Тёмный

GB 64 KWA MASHINE ZEGE ILIYOTUA KARABOUE CHAMOU, MASHINE YA KIVITA, WAPINZANI WASAHAU UBINGWA 

Ngwale Sports HD
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Chamou karaboue

Спорт

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 9 дней назад
Ee Yesu nakuomba uwalinde na kuwaigania wachezaji wetu uwalinde na mabaya Amina🙏
@SaidySaidysalum
@SaidySaidysalum 9 дней назад
Simba nguvu moja 🇹🇿🇹🇿🦁🦁
@HassanDonyoa
@HassanDonyoa 9 дней назад
Kaka gb yule manara ndio mchawi wa kwanza ametoa Siri zetu kubwa
@user-ou4tm2xi6p
@user-ou4tm2xi6p 9 дней назад
Wachezaji ote wa simba wasomewe alubadili Ili uchawi undunde
@HamisiAmili-ll2we
@HamisiAmili-ll2we 9 дней назад
Good good good ❤❤❤kaka
@OmallyAlly-cy3yt
@OmallyAlly-cy3yt 9 дней назад
Nyinyi wasifienitu ngoja tusubili akina jobe wengine.
@JumaMissungwiMpekaliwa
@JumaMissungwiMpekaliwa 9 дней назад
Chamou ni mashine mpya Tena mwaka huu wavimba macho watakima
@MamboMbuli
@MamboMbuli 9 дней назад
Uchawi upo,ila kiboko ya uchawi ni DUA na viongozi wetu wawe makini na kuyatafakarii ,,,wasafishe hata wafua Jezi
@KhamisDilangale
@KhamisDilangale 9 дней назад
GB nakuku Bali Sana ww sio mamuluki Kama chama
@AbbasyMdabwa
@AbbasyMdabwa 9 дней назад
Ombeni Dua acheni mboyoyo
@ChristianPazza
@ChristianPazza 9 дней назад
Ndio anachomaanish GB64
@KhamisDilangale
@KhamisDilangale 9 дней назад
Chama wasinge muona Kama sio Simba kaka gb 64
@user-en1re7ot8c
@user-en1re7ot8c 9 дней назад
Ulisha pewa ela saiv unasifia kila kituu
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 9 дней назад
Kwani kuna ulazima wa kukataa kila kitu..kinachofanywa na Adui hata kama ni kizuri..?
@user-yw7uu6mc3m
@user-yw7uu6mc3m 9 дней назад
Wewe bwana unabidi uwe h.r wa simba no doubt
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 9 дней назад
Tatizo mnawasifia sana kabla hata hawajagika nchini tz.
@MrishoMindu-zq7mz
@MrishoMindu-zq7mz 9 дней назад
Iwe Nyegera nyegera. Huu mpira Sio katerero migombani.
@gastonmbarila9458
@gastonmbarila9458 9 дней назад
Rogeni na nyie😅 mwaka uu ndo mtasema pia
@AbbasyMdabwa
@AbbasyMdabwa 9 дней назад
Gb 64 msiishie kwenye midia tu wachezaji wetu walindwe
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 9 дней назад
Simba muiten uyu jamaa anamengi
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 9 дней назад
Kabisa kaka yangu wafante Ivo visomo jamani na maombi sisi tumechoka kutukanwa
@SamsonPeter-sv1ug
@SamsonPeter-sv1ug 9 дней назад
Saf kak
@frankurio469
@frankurio469 9 дней назад
Wazee wetu wa simba, kile chumba chenu namba nne kinawadubiri ili kuwasomea dua wachezaji wetu wakae salama!!!
@mostarwb
@mostarwb 9 дней назад
Njaa tupu
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx 9 дней назад
uchawi upo kwenye lig yetu nyuma mwiko wanaongoza kwauchawi
@user-wi6ci2ms3b
@user-wi6ci2ms3b 9 дней назад
Kumbe wasiojitambua ni wengi mbona we KUNDU wa msimbaz muliwasha moto Africa kusini
@FiniasBugobola
@FiniasBugobola 9 дней назад
Umeanza kuogopa we pimbi
@ShabaniOmari-tg6yp
@ShabaniOmari-tg6yp 9 дней назад
Kama Kuna ukweli flani viiileee😅😅😅
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 9 дней назад
Manara katoa Siri nyingi
@OmallyAlly-cy3yt
@OmallyAlly-cy3yt 9 дней назад
uwo niuwongo acha kuharibu mpla hayo wewe umeajuaje kama nanyinyi haikuwa tabizenu acha uwongo ngoja tusubili naohao watotoenu wamwa ka 2000 kuzaliwa hawa nidagaa ngoja msimu uanze hatutaki malalamiko
@fatumahassan8425
@fatumahassan8425 9 дней назад
Kaka nakukubari ila usisahau kuwakumbusha mataw viongoz dua kulinda wachezaji kisomo kisomwe gb64 tunaomba
@AbbasyMdabwa
@AbbasyMdabwa 9 дней назад
Wapishi wanaofua jenzi wote safisheni
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 9 дней назад
Mnamlipa kweli huyu jamaa ?anawapa contents za bure
@amaniomar1755
@amaniomar1755 9 дней назад
Mie nataka watani muwe hivihivi mpaka msimu uanze na musibadilike mpaka uishe
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 9 дней назад
Uskalili bro life
@amaniomar1755
@amaniomar1755 9 дней назад
Mie nimesema nasubiri msimu uanze haya nimekariri nini hapo?
@Juliusbagasheki
@Juliusbagasheki 9 дней назад
Kumbe wewe ni filimbi tu, mbona timu tulizozifunga kono sio simba tu.?
Далее
Лайфхак для дачников
00:13
Просмотров 17 тыс.