Tulia dada tafazali...kp kasema sulaji dibozi na likoma wapo mikoani kwenye show ila bado wapo kw team kp...si kwamba wamekosana ila ni kazi tu...tuwasubili ady siku ile watakaporudi xwaaa....
Kp huyo mhusika wako katika sonaa ni kama haleti shangwe...umezinguana na akina dibozi ndo utuletee yule...acha tutamcheki kma anaendana na team yako cpendi mchezo nataka wale wazee pamoja na silaji...nko apa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Wabongo tunapenda kukuza mambo jamani khaaaa!!!! vipande vyao vikifika tutawaona tu sio lazima kila siku waanze mwanzo,,,,,kp anainua vipaji ndomana anaanza n wageni jmn