Тёмный

KUMEKUCHA MAGOMENI KOTA: DC GONDWE ATINGA, ATAHADHARISHA MATAPELI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Leo Novemba 18, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe ametembelea mraji wa Nyumba za Magomeni Kota ambapo kuna Kaya takribani 644 mradi ambao uliasisiwa na Aliyekuwa Rais wa Tanzania, awalu ya Tano, Hayati Dr.John Magufuli na kutoa tahadhari ya matapeli kwamba hakuna Nyumba za ziada bali Nyumba ni kwa wakazi waliwahi kuishi maeneo hayo tu.

Опубликовано:

 

17 ноя 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Mashallah mungu amuondolee Zabu ya kaburi hayati magufuli na amsamehe makosa yake.
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Usomeni uislam jamaa mengine mnayasema mtakuja kujuta mkifumba macho
@yasinjuma1445
@yasinjuma1445 2 года назад
Subirini waje wafuge kuku na kupandisha magunia ya mkaa ghorofani
@htx1873
@htx1873 2 года назад
Duh hatuto pata Vitu Yule baba alietupatia , mzee Alitupenda sana watanzania . Ila mungu atamlipa ishallah . R.I.P Magufuli, we already miss you here , we are back in square one, No power, No water, No job, No Nothing type of life style is back after you left us baba magu.. daaahh tutakukumbuka sana
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 года назад
Wee acha tuu, inasikitisha sana .
@hawamabira1499
@hawamabira1499 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭 ooh God!
@cidewashington670
@cidewashington670 2 года назад
Pumzika kwa amani mtumishi wetu MAGUFULI tutakukumbuka Kwa mazuri na Uzalendo wako ulituonyesha Watanzania
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 2 года назад
Eee Mungu wa mbinguni, naomba utupatie mtu mwingine mwenye kujitoa kwa ajili ya taifa kama JPM. Amina.
@jaymore6785
@jaymore6785 2 года назад
R.I.P JPM mwenyezi mungu akuhifadhi mahali pema mzee wetu
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 2 года назад
Usafi mhimu nyumba nzuri
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Mnoo Ila ipo mijitu special kuchafuaa naomba wangefunga kamera za mtaani
@suzansuzanei1143
@suzansuzanei1143 2 года назад
Kwaiyo watakuwa awalipi kodi
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
@@suzansuzanei1143 awalipii kwa miaka mi5bure them wanalipa kidogokidogo kwa lengo la kupanunua na Madam president kasema watalipa gharama tuu zilizotumika kujengea haiongezwi
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 года назад
RIP 😭🙏mzee baba
@kamanda007
@kamanda007 2 года назад
Nyumba ni ya mama,baba na watoto hao mashemeji, dada, kaka ,bibi, babu etc wasipewe hiyo haki na wakae mbali sana hawahusiki kabisa wakatafute zao,RIP mwamba Magufuli
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Allah akupunguzie adhabu ya qabri Rais wetu Magufuli kipenzi cuacwanyonge na watu wenye akili timamu hakika mazur yako twayaona leo ukiwa umelala ktk tumbo la Allah
@christopherdimagaaaikopouw916
@christopherdimagaaaikopouw916 2 года назад
Panoga kweri kweri Aisee R I P uncle magu
@gangmore9091
@gangmore9091 2 года назад
Hongera Tanganyika
@saidollarchain2895
@saidollarchain2895 2 года назад
Magu alikuwa anaona mbal r.i.p
@issayasosolo6033
@issayasosolo6033 2 года назад
Usituletee sisi habari ya matumaini sisi tunataka watu walio toka hapo Sasa mambo ya matumaini hatutaki, Hapa tunataka haki yetu ya kuhamia hapo,
@timbukwa9771
@timbukwa9771 2 года назад
@Issaya, Dah kweli bro watu wamesubiri saaana na wengine wameshafariki, nashangaa wanacheleweshwa kwa lipi lakini?? haki yenu lazima mpewe iwe au isiwe.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 2 года назад
Nyumba ni ya mama na watoto jamani. Sio ya shemeji .kwani mrithi wa mume ni nani?sio shemeji
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 2 года назад
NI MASHEMEJI WASIOJIELEWA!WANAOSHINDWA KUPAMBANA.
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 года назад
Magu lala baba ee mola mueke mahali salama babaetu
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 года назад
Rip magufuli
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 года назад
Maguful jmn😢😭🙏
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 года назад
Ila hizi nyumba nzuri kweli ila wasije wakairudisha ile magomeni kota chafu vyoo vilivyojaa wahuni wakabaji uchafu
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 года назад
Wezesheni shirika la nyumba wajenge nyumba kama hizo sehem nyingine na masoko yao ili tusisongamane Kariakoo
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
Shemeji ndugu wa marehemu anahusika nn kwenye urith wa kaka labda kama huyo mama hajajaaliwa kuzaa.
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Kwa waswahili hapo baada ya mwezi uchafu na mavi matupu, watapikia na mkaa na kuni ndani, kufuga kuku ghorofani na kutwanga kisamvu na kinu magorofani. Na usiku hiyo mitaa ya maghorofani waswahili watakabana, kuporona hata kubakana. Waswahili sio wastaarabu ona kama uwanja wa Benjamini mkapa walivyouharibu
@rahmamollely5296
@rahmamollely5296 Год назад
😂😂😂😂😂
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 2 года назад
Nina mashaka sana sijui kama watanzania waki pato cha chini wataishi humo tusubiri tu
@seifmohamed836
@seifmohamed836 2 года назад
maji yapo manake nyumba za chini wananua maji yadumu je hao
@emmanuelsimon545
@emmanuelsimon545 2 года назад
Walitakiwa wapewe mwezi wa nne saivi kumi na.moja duh
@deusrobert1343
@deusrobert1343 2 года назад
Zichomen nazenyewe 😂😂😂
@deohaule8161
@deohaule8161 2 года назад
Wazee wakae nyumba za chini ili kama lift 🛗 haifanyi kazi inakua rahisi ku endelea na shughuli zao za kila siku
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
Jamn wajenge zngne tupange na sie jamn plzzz
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Kumbe serikali bwana inauwezo wa kuwajengea masikini basi tu
@rahakesho5550
@rahakesho5550 2 года назад
Dah tutalikumbuka jembe sana tu. Ila wakiingia wahusika jamani wasi ziharibu tena wakazichakaza tena . Maana ssi wa tz hatuchelewe vibao vya block vikauzwa vyuma chakavu
@shedrackmwaipopo219
@shedrackmwaipopo219 2 года назад
Kwaiyo watakuw hawaripi kodi
@timbukwa9771
@timbukwa9771 2 года назад
Bro unaishi wapii??
@geey7893
@geey7893 2 года назад
Alikuwepo Chumaa, R.I.P Muzee ya kazi. Hakunaaaa, nasemaaa hakuna kama wewe
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 2 года назад
kama ndoto baba angu.
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 2 года назад
Kiongozi wa umma..
@omarymbeck7717
@omarymbeck7717 2 года назад
Mzeee baba utakubukwa
@cmantz8837
@cmantz8837 2 года назад
Alafu wanatuaminisha mzee j p m mmbaya dah dunia hii kweli ukiondoka unaondoka na chako
@geey7893
@geey7893 2 года назад
Yale mala rushwa na mapigaji ndio yalikua yanapiga propaganda
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MpMTd_Z5mNU.html Mdada wa kazi afumwa wakifanya mapenzi bafuni na kij...
@faridhassan6834
@faridhassan6834 2 года назад
Mallard ayo acheni kutoa habari kipimbi,awamu ya tano na sita ni ile ile,ingetosha kusema serikali ya Tanzania,hii inaonesha kama kuna chama au serikali nyingine kuacha ccm
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 года назад
Kuweni na imani na Raisi Samia. Kazi iendelee
@timbukwa9771
@timbukwa9771 2 года назад
Utakuwaje na Imani kwa vitu visivyotia imani????
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 2 года назад
JPM kweli duh Tumepoteza Almas Tumebaki na gari zisizo na taa
@fredrickmbaruku5094
@fredrickmbaruku5094 2 года назад
Mmmh bado sana.
@suzansuzanei1143
@suzansuzanei1143 2 года назад
Kwaiyo watakaa bule au watalipa kodi
@geey7893
@geey7893 2 года назад
Imani Plus au?😃
@suwedinamga581
@suwedinamga581 2 года назад
Si tupewe mabachela tuishi humo
@josephambrose2215
@josephambrose2215 Год назад
RIP Rais wetu Magufuli🙏🙏🤔
Далее
DRC: M23 rebels pull out of town near Goma
0:49
Просмотров 92 тыс.
NYUMBA YA MILIONI 600 INAYOUZWA PALM VILLAGE MIKOCHENI
11:17