Тёмный

KUOTA NDOTO YA MWIZI INAJULISHA: MUHARIBIFU WA WAKE/WAUME ZA WATU: CHUMA ULETE: MTU DHALILI: MUONGO: 

Nyumba ya Tiba na Dua
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 26 тыс.
50% 1

لص في المنام:
KUOTA NDOTO YA MWIZI USINGIZINI: HIZI NI FASIRI ZAKE:
***********************************************
Na mwandishi wako khamisi suleiman mayunga, piga simu namba:
+255713439891
+255685496336
+255776969998
WhatsApp:
+255765893020
+255758678552
*****************
1. Kuota mwizi ambae unamjua katika ndoto kunajulisha kua:
"Huyo ni mtu muongo na dhalili"
"Huyo ni mwanamume dhalili anaetafuta kitu kisichokua chake"
"Huyo ni muharibifu wa wake za watu"
"Huyo ni mtu muongo"
"Huyo ni mtu mwenye vitimbi"
2. Kuota mwizi usie mjua katika ndoto kunajulisha kua:
"Huyo ni malaika mtoa roho, kwa kule kujificha kwake wakati wa kuchukua roho yako, na ndivyo mwizi usie mjua anavyoshuka nyumbani kwako bila ya idhini yako, hivyo atapora mali na roho za watu"
"Huyo ni mwanamume mzinifu, kwakua anajificha kama anavyo jificha mzinifu mwingine"
3. Kuota mwizi katika ndoto kunajulisha kua:
"Wanyama wakali"
"Majoka makubwa"
"Majini chuma ulete"
4. Imeelezwa na wafasiri wakubwa kua ndoto ya kuota mwizi pia inajulisha ni:
"Ikiwa mwizi ni mtu mweusi basi ni Maradhi ya saudai"
"Ikiwa mwizi ni mtu mweupe basi ni maradhi ya balgham"
"Ikiwa mwizi ni mtu mwekundu, basi ni maradhi ya damu"
"Ikiwa mwizi ni mtu wamanjano, basi ni maradhi ya manjano"
5. Mtu anapolala kisha akaota kua kamuona mwizi kaingia ndani nyumbani kwake na akachukua kitu na akaondoka nacho, basi njozi inakujulisha kua:
"Ajali ya mtu hapo nyumbani imekaribia"
6. Mtu anapolala kisha akaota kua kamuona mwizi kaingia ndani ya nyumba yake, lakini mwizi huyo hajachukua chochote na akaondoka, basi njozi inakujulisha kua:
"Ajali ya mtu katika nyumba hiyo imeakhirishwa"
7. Mtu anapolala kisha akaota kua kamuona mwizi, lakini ulipomuona hujui katokea wapi au mahala gani, na mwizi huyo kunakitu kakibeba, basi njozi inakujulisha kua:
"Mgonjwa wako atapona na atanawirika mfano wa jauhari"
"Nakama mwizi hakubeba kitu, basi utapitia katika maradhi mazito na utapona haraka"
8. Mtu anapolala kisha akaota kua kamuua mwizi, basi njozi inakujulisha kua:
"Utapona maradhi yako"
9. Mtu anapolala kisha akaota kua Mwizi kaingia ndani ya nyumba, na ndani ya hiyo nyumba kuna mwanamke ambae hajaolewa au hana mume, basi njozi inakujulisha kua:
"Huyo ni mchumba atakaekuja kuchumbia"
10. Mtu anapolala kisha akaota kua anaiba, basi njozi inakujulisha kua:
"Utazini"
"Utasema uongo"
MENGINEYO:
*************
Njozi yako bishara yako, Kwakua inakubashiria mazuri utayoyapata.
Njozi yako nidhari yako, kwakua inakunadiria au kukukhofisha kutokana na mabaya yanayoweza kukukuta.
Njozi yako maisha yako, kwakua inakuelezea maisha yako ya nyuma, yasasa, na yajayo.
Usikubali kuidharau njozi yako kwakua utakua umedharau kitu muhimu sana maishani mwako, chukua hatua sasa.
Waweza kuwasiliana nami kwa namba hizi:
+255713439891
+255776969998
+255685496336
WhatsApp:
+255765893020
+255758678552

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@nicanduva2663
@nicanduva2663 Год назад
Pole na majukumu mie nimeota tulikuwa sokoni mwizi alikotokea cjui ila mzigo wangu gafla nikawa siuoni mara tu nikamuona mwanamke mmoja ana huo mzigo wangu ulikua ni unga alivyo niibia jinsi alivyochukua cjaona nikaitaa mwizi anakimbia kweli kweli mara kwenye kukamatwa akawa ni kijana mweupe kapigwa kwelikweli ata mie nilimpiga na vitu vyangu nikavipata
@eunicegerald732
@eunicegerald732 2 года назад
Basi mimi tangu nikiwa mtoto huota sana wezi wamevamia makazi na wanaiba kila nyumba ila kwangu/kwetu hawajawahi kuiba wakifika tu wanaweza ongea tu na kuondoka au wasifikie kabisa nyumba yangu/yetu lakini ajabu kila niotapo naona kama vile nyumba ninayoishi haina usalama kabisa, aidha madirisha yako wazi na hayafungi au mlango unakuwa wazi na haufunguki lakini wezi siwajui kabisa... 🙌 Sheikh tafadhali nijukishe tafsiri 🙏🙏
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Pole sana
@galaxykahalid3172
@galaxykahalid3172 3 года назад
Asante shekhe Mengi unatufunza
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 года назад
Shukran
@fatumasaidi
@fatumasaidi 2 месяца назад
Mi sijaona mwizi. Nimeota tu vitu vyangu havipo vishaibiwa
@agnesnangela2689
@agnesnangela2689 Год назад
Waaa, nimeota mwizi amemshika babangu, na hyo mwizi simjui
@Mussajacobo
@Mussajacobo 19 дней назад
Shida yako unaongeaga sana hunyoki kwenye points
@neemaphilipo9543
@neemaphilipo9543 Год назад
Shekhe mume wangu aliota wezi wameingia ndani wakaniuwa Mimi harafu baada ya hapo ikapita wiki na mie pia nikaota hivyo hivyo mwizi kaingia ndani na kutaka kuniuwa hii inamaanisha nini naomba nisaidie 🙏🏾🙏🏾
@rwantundasadiki2120
@rwantundasadiki2120 2 года назад
Aksante kwa mafasirio ya ndoto
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Shukran sana
@nabirabakary4209
@nabirabakary4209 3 года назад
Barakllahu fiq
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 года назад
Amina yaarabiy
@ZoroShariff
@ZoroShariff 3 месяца назад
Hakika ki ogozi wetu
@anliomaromar7163
@anliomaromar7163 3 года назад
Asalamu alaykum shekhe habaryako.
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Waalaykum salaam warahmatu llaah wabarakatuh
@agathemichelle238
@agathemichelle238 8 месяцев назад
Salam Sheikh tafazali nimeota sifuria kubwa inajaa maharage yamepikwa maana yake nini nayalikuwa yameungwa kabisa
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu Месяц назад
Nimeota tunaiba pesa nyingi sana ila mimi nimepata pesa nyingi ila mwenzangu hakubahatika kwenye kukimbia akaanguka kwenye maji yake sijaelewa ila mimi nilvuka lile daraja pasipo kudonda ndani ya Yale maji nikatoka nikakutana na mwanaume aliyekuwa ananipenda anaumwa kama kaathilika kisaikolojia baadae mimi nikamsaidia akaniambia kumbe unapesa nyingi baadae akapona baadae kwenye kuludi mtaani kwake majirani wakasema amepambania hadi amempata ampendae mwenyew ndiyo mim na yy inamaana tumeludiana na mahaba mazito na mlisha chakula majirani wanaona haya, ila mimi sijaolewa je inamaana gani shekhe
@neyiflaim9249
@neyiflaim9249 3 года назад
Nimeota ofisini kwangu wameiba kila kityu
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Huyo ni mtu wako wa karibu tena aenezae mambo ya uongo.
@ghinaathman6681
@ghinaathman6681 5 месяцев назад
Nimeota mwizi ameingia akatoka na kijana wangu mkubwa
@zaituniantony2380
@zaituniantony2380 2 года назад
Mm naixhi mwenyewe 2 xaxa inamaana gn kwa upande wangu ndio siku zimexha fk au itahusika adifamilia ya mama baba mwananga kaka yng dada yng au wadogo zng au itanihusu mm na mwanang
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Inakuhusu wewe mwenyewe ingawa wewe unaweza kua ni chanzo cha kuumia
@haseanatnsanya2079
@haseanatnsanya2079 3 года назад
Asante
@SophyAmos
@SophyAmos 3 месяца назад
menmeota nipo na maskauti tunaiba maji yariyopasuka mara nikaona tunakimbia kwenye kichaka na wale skaut washulen kwetu gafra nikaota nmeiba mashuka vitambaa mikoba yan nivipya nmebeba frushi kubwa mikononi furushi la nguo nyingi nakimbia navyo inamaan gan
@johsen9475
@johsen9475 Год назад
Samahani, nini maana ya maradhi ya saudaa
@christophersommy1135
@christophersommy1135 Год назад
Niliwah kuota naibiwa simu lakin mbele nikakutana na mtu namjuwa akaita watu wakanisaidia kutafutaa na nikawaeleza jinsi hao wezi wapo wakasema wanawajuwa simu na wakaahidi kunirudishia sikumbuki mwisho ila kulikuwa na watu ni kama kijiweni ila mm niliibiwa mbele yao ila wap hawakuona mpka mimi nilipowaambia
@Modey._.Staraxy
@Modey._.Staraxy 2 года назад
Je ukiota jambazi kashika bastola kaja kwako but thn ukashituka
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Mchunguze mtu wa karibu yako, kwakua siri zako anaziweka hadharani ambapo itakuja kukuumiza
@binthatv2794
@binthatv2794 2 года назад
Nimeota nampiga mwiza vibaya sana alikuja kunibia sim nimempiga jiwe la uso Pia nilikuwa nimemumiza sana usoni kwake wangine wakaogopa kunisogelea kwasababu nilikuwa nimepita sokoni wakanivamia hapo nimempiga sana
@chrislacarin4332
@chrislacarin4332 3 года назад
Nzuri
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 года назад
Shukran
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 года назад
@@nyumbayatibanadua737 nimeota nimeibiwa simu na sura ya mwizi niliiona ila hiyo sura ni ngeni kwangu sijawah kuiona nisaidie shekhe
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 года назад
@@nyumbayatibanadua737 pia nimeota kuna nguo nyeusi na nyeupe nikawa navaa navua navaa navua javaa navua mwulishoe nikavaa nguo nyeusi peke ake nyeupe sikuivaa
@jacklinibrahim8805
@jacklinibrahim8805 10 месяцев назад
Shekh nimeota mwizi ameiba ndani kwangu pesa na vitu vingine akakimbia nikamkimbiza namuitia mwizi akashikwa nika mnyanganya vitu vyangu nikawa na mchapa atoe napesa hiyi nini maana yake
@MwajumaSebe-zo9ob
@MwajumaSebe-zo9ob Год назад
Mm nimeota nime mkamata mwizi
@fadiashami6381
@fadiashami6381 3 года назад
🙏🙏🙏
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 3 года назад
Shukran
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 Год назад
Ukiota Qluani ime andikwa kwa maandishi ewani na moto
@nancynkya4462
@nancynkya4462 Год назад
Mimi nimeota tumeibiwa wapangani wote Yani kwenda dukani nakurudi tukakuta vyumba vyetu vyeupe pee mmoja tu ndo ajaibiwa
@esterkavuuirungu367
@esterkavuuirungu367 2 года назад
Na mm nikiwa mwixi
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Inajulisha upunguze uongo
@jamessanga4816
@jamessanga4816 2 года назад
Sasa Mimi nimeota naiba mwenyewe
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Hiyo inakutaka upunguze uongo, kwakua uongo ni jambo laweza kuleta hatari katika jamii
@mariamwakabuta1034
@mariamwakabuta1034 3 года назад
Nimeota mwanamke mweusi kaniibia nguo nika mkamata nikawa nampiga usoni kwake inamaana gani ?
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 2 года назад
Hiyo umeondosha udhia kwako
@DorothyPhilipo-sl1gj
@DorothyPhilipo-sl1gj Год назад
Kuota umemkamata mwizi alie kuibia maana yake nn
@fatmamohammed5034
@fatmamohammed5034 Год назад
Na kma mwizi nisiyemjua amenichukulia simu yngu kisha kanirudishia.
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 Год назад
Kuwota una nywshewa na vuwa ya fudha balabalani
Далее
🍎 Apple Pie Cinnamon Roll Donut #Shorts
00:21
Просмотров 3,3 млн
Beautiful Military 🏅
00:10
Просмотров 2,5 млн
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Просмотров 11 тыс.
KUOTA UKIOKOTA MASHILINGI (COINS) HII NDIYO MAANA YAKE!
1:20:59
Ndoto za Mbwa na maana yake (@MTAVASSY TV TANZANIA )
6:35
Ukiota Hizi Ndoto Unapoteza Vitu Za Maana !
2:05:49
Просмотров 2,6 тыс.
NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!
4:07
Просмотров 377 тыс.