Тёмный

KUOTA NJOZI YA PESA: PESA ZA SHILINGI: PESA ZA NOTI: MABANDO YA PESA: Shekh khamisi Suleiman 

Nyumba ya Tiba na Dua
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Assalaam alaykum warahmatu llaah wabarakatu.
Ndugu zangu nipende kukukaribisha katika chanel yetu hii pendwa. hivyo usikubali kuondoka ukasahau ku
SUBSCRIBE. LIKE. SHARE. NA COMMENT
Pia waweza wasiliana nami kwa namba hizi.
±255685496336
±255776969998
WhatsApp:
±255765893020
±255758678552
±255713439891

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@ommykiss97
@ommykiss97 13 дней назад
🤲🤲Allahumma amiin 🥰 ikawe kheri kwangu insha Allah 🤲🤲🤲
@sweetbertkikarugaa8814
@sweetbertkikarugaa8814 Год назад
Ubarikiwe sn Kaka kwaufafanuzi mzr wa ndoto
@fatemaissaissafatema6310
@fatemaissaissafatema6310 4 года назад
Salaam salaam ahsante sana na je ukiota kitanda kupinduka nn maana yske
@danielmlwafu4380
@danielmlwafu4380 Год назад
Asanteh!
@kulwajuma6012
@kulwajuma6012 Год назад
Salaam ukiota unaokota sarfu yaan zile mia miambil
@Raya-em8wz
@Raya-em8wz 4 года назад
Asante Sana Kwa Somo zuri
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Shukran
@mariammariam642
@mariammariam642 4 года назад
Masha Allah shukrani
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Baraka llaah. ahsante
@AmCool_
@AmCool_ 11 дней назад
KIANZIO NI KIREFU SANA.
@fadiashami6381
@fadiashami6381 4 года назад
Mashaallah 😘😘
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Baraka llaah
@estamelejomah572
@estamelejomah572 4 года назад
Asante sana
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Shukran
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 4 года назад
Amiin amiin amiin inshaAllah.shukran jazzakh Allahu kheirukum
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Amina yaarabiy
@oman1oman179
@oman1oman179 6 месяцев назад
Mimi nimeota na pewa sadaka ya pesa nyingi zlikuwa ni dolla
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 8 месяцев назад
Mimi pia nimeota boss wangu anipa pesa
@wawaptv-bv3mv
@wawaptv-bv3mv 6 месяцев назад
Mm nliota pesa zazamani zikiwa nyingi
@MartineThomas-lh8qo
@MartineThomas-lh8qo 5 месяцев назад
Dirkham ndo pesa ya ain gani..? Noti au senti
@rehmahamishamismkande4348
@rehmahamishamismkande4348 Месяц назад
Dirham ni pesa ya Dubai
@hamisaasmani8241
@hamisaasmani8241 Год назад
Mi nimeota nimeingia kwenye nyumba nisiyo fahamu nimepata elfu tano za saudi
@AliHamad-k7s
@AliHamad-k7s Месяц назад
Hy
@wizzmoh
@wizzmoh 4 года назад
naukiota mwanamke anampa mwanaumehela kisha huyomwanaume akupe ww .hii inamaana gani
@Raya-em8wz
@Raya-em8wz 4 года назад
Jee ukiota unapewa swadaka hii Ina maana gani
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 4 года назад
Hiyo ni kheri kubwa
@neemamushi1844
@neemamushi1844 5 месяцев назад
Mi nimeota nimekuta mabando ya pesa kaka mfuko ninaotunzia pesa.. nikawa najiuliza zimetoka wap
Далее
Kuokota pesa kwenye ndoto je utazipata kweli ?
33:10
Просмотров 56 тыс.
DOTA 2 - ПРОКЛЯТЫЙ АККАУНТ?!
23:03
Просмотров 246 тыс.
POLI и Маша - Сигма бой
00:20
Просмотров 533 тыс.
Nyiradi za Asubuhi
27:01
Просмотров 234 тыс.