Тёмный
No video :(

KWA MWAMPOSA WATU WAMEFURIKA, HAIJAWAHI KUTOKEA, GOZBERT AFUNGUKA WATUMISHI KUJIITA MUNGU 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 192   
@damareshilary5002
@damareshilary5002 Год назад
Baada ya kuanza kusikiliza na kufuatilia mafundisho ya mtumishi kiukweli nimebadilika nna raha na amani Mungu endelea kumtunza mtumishi wako ❤
@shubianan
@shubianan Год назад
Mungu wangu mtunze na umpe umri mrefu baba yetu Mwamposa live long❤
@godlikedeodatus9274
@godlikedeodatus9274 Год назад
Nmepitia koments za watu wengi aisee , hawamjui Mungu kabisa , wengine wanasema watu wanakimbilia miujiza , wengine wanasema n utapeli , wengine wanasema miujiza feki, lakin mm amin nnakwambia nyie .kama hamfaham Mungu pole tena sana ,,, kwa Mungu huwez piga janja janja au utapeli arafu Mungu akuache upoteze watu wake wote hao never tena never, kama ni rahis kama mawazo yenu yanavyofikiria nanyie anzisha muone kama n rahis hivyo, au hamsom maandko.
@user-un7rz8mv6b
@user-un7rz8mv6b Месяц назад
Umesema kweli?
@happylynguya3464
@happylynguya3464 Год назад
Kila mmoja ambaye yupo hapo anatamani atendewe jambo na Mungu, ili moyo wake upate kupona.
@deevon3364
@deevon3364 Год назад
Dah akili nyingi sana maana sio Kwakupangua maswali ya mitego hivyo 😂😂
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 Год назад
Mkesha rahaa sana, mi nilikeshea nyumbani, baba mungu akubariki sana
@bibip9181
@bibip9181 8 месяцев назад
Yaani hongera sana kaka godluck umejibu vema sana intavyuu Yako Mungu azidi kukubariki n kukuinua,wasndishi wachimbuchimbu sana ila umejua kumtukuza Mungu na majibu Yako vema
@marymdoe9437
@marymdoe9437 Год назад
Mungu ni mwema nakupenda sana mwamposa Kila nilichoomba nimepata briiwa
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Год назад
Mwamposa tunakupenda sanaaa Mungu anajuaaa hiiloo....wabaya hawakosekani popooteee
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 Год назад
Eee MUNGU baba tenda miujiza kwangu amen 🙏
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 Год назад
Kama Mungu angeruhusu watu kuwa na macho ya rohoni, tungezijua hizo gharama.
@servantofalmightygoddranth2511
Mtumishi wa JEHOVAH hizo hizo gharama alizoongea jamaa apo gozbert na sio kinywa cha gozbert bali NGUVU YA ROHO MTAKATIFU IMEMLAZIMISHA atoe siri ya ya mwamposa na kuzimu inayompa nguvu ambapo moja ya gharama alizozitoa mwamposa ni kafara ya watu kufa wakiwa wanakanyaga mafuta mwaka 2020 moshi,ila walio vipofu watapingak maana wamepofushwa macho,shtukeni mnaingizwa kuzimu bila kujua, mnamuabudu lucifer bila kujua acheni TUMGEUKIE YESU ALIE HAI.
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 Год назад
Sio kila anayesema Mungu anamaanish yule wa Mbinguni ..Kuna Mungu wa Dunia hii na Wala si ajabu shetani kujibadili malaika wa nuru ,pia mtawajua kwa matendo yao tu..Ile njia ya kusongasonga Ni nyembamba waionayo ni wachache ,kwa Gharama wanazotoa ni kubwa watu wafunguliwe macho ya rohoni ..Baba wa Mbinguni achanganyi madhabahu yake na waimbaji wa hivi 1 Wakorinto 6:14
@annastaziakimaro3042
@annastaziakimaro3042 Год назад
@@clouartmichael7296 kweli ndugu yañgu, wangejua gharama wanazozitoa hao wanaojiita manabii WA upako na waimbaji wao, wasingewasogelea Wala kuwatazama
@reginamatem9893
@reginamatem9893 Год назад
Hata wewe ulikombolewa kwa gharama, muda anaoutumia tu kumsifu Mungu na kuhubiri injili ni gharama,mtu unakuta ana ibada mbili,ya kwanza iishe saa nane,aingie apoapo nyingine, atoke apumzike kidogo arudi operation komboa familia,apumzike kidogo sijui maombi ya saa nane usiku,..weee,wala hatuhitaji macho ya rohoni kuona gharama dear,
@janensajigwa3940
@janensajigwa3940 Год назад
Mungu alisharuhusu ni wewe tu ongeza bidii kwenye imani yako utapata macho ya Rohoni
@suzypaul4559
@suzypaul4559 Год назад
Ameen Mtumishi huyu Mungu aendelee kumuweka haki
@marcondokeji8982
@marcondokeji8982 7 месяцев назад
Goodluck hekima yako iko juu
@johnsondamas9311
@johnsondamas9311 6 месяцев назад
Mungu akubariki gudek umezungumuza vizuri sana
@cavinjohn-9648
@cavinjohn-9648 Год назад
Good brother
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Год назад
G. Nimekuelewa sana mdogowangu hongera, interview nzuri
@viktamade
@viktamade Год назад
Shida huwa hamfuatiliii huyu bulldozer tarehe moja mkesha wa mwaka mpya alijaza Benjamin mkapa....leo wewe unasema haijawahi kutokea
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Год назад
Awajui kwa mkapa kulifulikaaa
@USbmnk
@USbmnk Год назад
Bulldozer fire
@Latifa-ck9hi
@Latifa-ck9hi 3 месяца назад
Mungu baba ba mimi napokea leo miujiza yangu hapa tumbo linaniuma sana naamun nakwenda kupokea miujiza yangu ktk jina la yesu kristo ameeeeeen
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 Год назад
Mungu baba Tusameh tunakukosea sana ..badalabya kukuamiji wewe tunaweka imaki kwa wanadam
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Год назад
Labda akusamehe wewe usiyetaka kuamini kuwa MWAMPOSA anatumiwa na MUNGU ili jina lake MUNGU litukuzwe kupitia MWAMPOSA. Hivyo acha kiburi chako cha uzima maana huyo MWAMPOSA kakubali kutengwa na kutumika na MUNGU. Mungu akusaidie sana.🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@yahwejoymkumbo9180
@yahwejoymkumbo9180 Год назад
Mungu pia atusamehe kwa sababu kuna watu wamekuwa wanasengenya watumishi wa Mungu, aende Mungu amtendee AFI alienda kushuhudia ataona kama ataruhusiwa kusema Mwamposa ndo ametenda, siku zote atasema Mungu ametenda, acheni kuongea ongea Mungu atawaadhibu
@protasmathias5064
@protasmathias5064 Год назад
amin amin, the man of God, bring heaven down
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 Год назад
Mungu akuzidishe baba
@halmashekalage2318
@halmashekalage2318 Год назад
Mungu ambariki mwamposa amtumie atuhudumie
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Umba mungu wewe mtu hana atakalo kupa zaidi ya kutaka sadaka atajirike
@MtuSafi
@MtuSafi Год назад
daaah😅
@user-jm1ec2uw9q
@user-jm1ec2uw9q 26 дней назад
Jamani mwamposa mngu ampe maisha marefu
@syliviamgeta8131
@syliviamgeta8131 Год назад
Amen baba tunakupenda sana♥️♥️♥️♥️🙏
@zuhuraambari6799
@zuhuraambari6799 Год назад
Mungu aendelee kukutumia sawasawa na mapenzi yake mtumishi wa Mungu, Mungu aendelee kukuweka kijana ili uendelee kuponya na kufungua familia nyingi zilizofungwa bb, neema ya Mungu izidi kukutunza 🙏
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Год назад
Mungu wetu azidi kumtunza mtume wake kwa jina LA Yesu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 месяцев назад
@@pendomarco8928 acheni ujinga huyo anatumia nguvu za kuzimu na majini kuangusha watu na kama unabisha uje nikupake mafuta original ya zaituni uende pale Ili ujionee mwenyewe mazingaumbwe ya huyo jamaaa
@wilsonmwimi2392
@wilsonmwimi2392 Год назад
Uko Juuu Sana kimtazamo Barikiwa sana
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Год назад
Seeeemaaa aaaaiiiyaaaayaaaaah❤
@bensonmoris463
@bensonmoris463 6 месяцев назад
ee mungu mlinde mtumishi wako mwamposa
@sir.hassankizwi4718
@sir.hassankizwi4718 Год назад
jibu zuri waandishi wanawaza kushindana tu
@matikowambura7657
@matikowambura7657 Год назад
Ndo wale wale wa paul makenzie
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Год назад
Kabisaaaa
@user-lj2dp6tu7m
@user-lj2dp6tu7m 8 месяцев назад
Niswala la mda tu mungu akuongezee hekima
@odethadismas1410
@odethadismas1410 Месяц назад
Mungu kupitia mkesha usiosahaulika niongoze nifanye mitihaniyangu nikiwa na afya na kufaulu'nafuta roho ya kufeli
@georgelusinde4972
@georgelusinde4972 Месяц назад
Roho Mtakatifu pekeake ndie mwenye uwezo wakukuonyesha yupi mtumishi wa Mungu na yupi sio mtumishi wa Mungu, sisi tuliotulia chini ya mkono wa Mungu ulio hodari' tunaelewa, natumenyamaza tukiamini kua Bado kitambo kidogo tutakutana ng'ambo.
@user-wy1or9fm2s
@user-wy1or9fm2s Месяц назад
Ukrisito siyo dini ya mungu
@RehemaMwambugu
@RehemaMwambugu 6 месяцев назад
Ameeni ❤
@hurumalunda2490
@hurumalunda2490 Год назад
Kuna siku katabanwa aka kajamaa katafuta Mungu wa kweli acha kalambe viasali kwanza
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Год назад
Kanisani ni sehemu ya kumtafuta Mungu na faraja ya moyo. Endeleeni kumtukuza Mungu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 месяцев назад
Kwa huyo tapeli anaetumia nguvu za kuzimu au mwingine?
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 8 месяцев назад
​@@Hussein-gx4quwaambie hao Wapuuzi Wanajizima data imani ya kweli gani Kufundisha mafanikio nasio kuonya zambi 😡😡😡
@msuhahappy7016
@msuhahappy7016 Год назад
Mungu endelea kumtumia mtumishi wako aendelee kutusaidia leo tupo hapa tunasikiliza neno kwenye kinywa cha mtumishi wako mlinde ,mpiganie tuna kutukuza kwa neema hi uliyoiachia Tanzania
@user-mk5lj8dq7n
@user-mk5lj8dq7n 4 месяца назад
Amen
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 Год назад
Kwa wale wanaoona km Mungu anahitaji msaada wao ili kutafsiri huduma ya mtu iwe katika ukristo au uislamu kama unajua huwezi kuutengeneza uhai wako ili uishi hata kwa nusu saa unaitegemea pumzi ya MUNGU MUUMBA ARDHI NA MBINGU basi nyamaza acha kunyoshea kidole yeyote MUNGU HAPIGANIWI ANAJIPIGANIA unahitaji msaada wake hana msaada anaohitaji kwako
@shukulanichares
@shukulanichares Год назад
Daa kweli mwamposa anapendwa sana anaponya kweli au utapeli
@sophiaremmy6326
@sophiaremmy6326 Год назад
Hamna mwanadamu anaeponya watu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
lsaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi. 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi
@msuhahappy7016
@msuhahappy7016 Год назад
Wala aponyi yeye ila nguvu iliyopo ndani yako tatizo lolote linaisha ukiwa pale
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@msuhahappy7016 mungu ndio anaye ponya hata yesu alikuwa anaponya watu kwa uwezo wa mungu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@msuhahappy7016 Mathayo 15 7 Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri lsaya kwa habari zenu, akisema 8 Watu hawa huniheshimu kwa midomo; lla mioyo yao iko mbali nami. 9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
@dorcasaruni9561
@dorcasaruni9561 Год назад
Amen my Papa ❤
@bibliakitabukitamu6015
@bibliakitabukitamu6015 Год назад
UWONGO KAMA UWONGO UNAOITWA NEEMA
@user-wy1or9fm2s
@user-wy1or9fm2s Месяц назад
Hao makafiri jamani
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Год назад
Wanaadamu wengi ni wavivu wa kufikiri, HUWEZI HATA MARA MOJA AKAMWAMINI YESU HALAFU USIWE MUISLAM.
@easymoneytzfx
@easymoneytzfx Год назад
hatujakuelewa chief
@ireneassey2022
@ireneassey2022 Год назад
Fafanua kidg
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Год назад
@@ireneassey2022 YAANI UKISOMA MAFUNDISHO YA YESU AMEFUNDISHA KWAMBA TUJIFUNZE KWAKE NA JAMBO LA KWANZA AMEFUNDISHA KWAMBA ILI UUPATE UZIMA WA MILELE : 1, UAMINI KUWA MUNGU NI MMOJA TU 2, KISHA UAMINI KUWA YEYE AMETUMWA NA MUNGU KWAMAANA YEYE YESU HAJA WAHI HATA MARS MOJA KUFUNDISHA KUWA YEYE NI MUNGU, WALA YEYE ANAPASWA KUABUDIWA, WALA HAJA WAHI KUFUNDISHA KUWA MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU, NDIO NIKASEMA: UKIMWAMINI YESU KWA UJUMBE ALIOKUJA NAO UTAKUWA MUISLAMU KWA SABABU MOJA YA IMANI YA WAISLAMU NI KUMWAMINI MUNGU MMOJA TU NA KUAMINI KUWA YESU NI MTUME WA MUNGU ALIYETUMWA KUFUNDISHA HABARI ZA MUNGU, KWAHIYO YOYOTE ANAE AMINI KUWA YESU NI MUNGU HUYO SI MFUASI WA YESU, AU ANAE AMINI KUWA MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU HUYO SI MFUASI WA YESU, AU ANE MUABUDU YESU HUYO SI MFUASI WA YESU IFAHAMIKE YESU MAFUNDISHO YAKE NI KWELU TUPU HAJASEMA UWONGO KATIKA MAFUNDISHO YAKE HATA MARA MOJA, REJEA YOHANA 17:3 YOHANA 20:17 YOHANA 5: 30......50 LUKA 18:18 MARKO 12:28 MATHAYO 15:24 EFESO 4:4 NA SEHEMU NYINGI KATIKA MYFUNDISHO YA YESU UTAKUTA YESU ANA FUNDISHA KUWA MUNGU NI MMOJA TU NA YEYE NI MTUME WA MUNGU TUU ( YAANI YEYE NI NJIA YA KWENDA KWA MUNGU).
@fumotv7914
@fumotv7914 Год назад
Ndo nn
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Год назад
@@fumotv7914 UNATAKIWA KUMWAMINI MUNGU MMOJA TU WAPEKEE NA WAKWELI, NAKUAMINI KUWA YESU NI MTUME WA MUNGU, NAYE NI MWANADAMU KAMA SISI KAMA ALIVYO SEMA: NAMIMI MWANA WA ADAM NITAKETI KATKA MOYO WANHI MAUSIKU MATATU NA MICHANA MITATU.
@matridawilium9945
@matridawilium9945 8 месяцев назад
Gozbet hakuna roho mtakatifu ni walewale wanaoigiza wokovu
@EsterJonas-ii4do
@EsterJonas-ii4do 7 месяцев назад
Nime fulahi sanaaaa amen nitafunguliwa kupitia mafundiaho haya
@Latifa-ck9hi
@Latifa-ck9hi 3 месяца назад
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@gracejulius23
@gracejulius23 23 дня назад
Unahekima wewe kaka angu nimekupenda bule aisee
@mberwasevelian7406
@mberwasevelian7406 Месяц назад
Kupitia ibada hii napokea mambo mazur yanikimbilie nisipungukiwe kamwe Bali niongezeke Kila kukicha
@ushindimbwilo1398
@ushindimbwilo1398 Год назад
Mungu wetu hachanganywi na Vitu viwili
@964d
@964d Год назад
Nice one
@ZuhuraMlaki-i3t
@ZuhuraMlaki-i3t Месяц назад
Napokea upako na kufuta kesi
@twinzfashion4534
@twinzfashion4534 10 месяцев назад
amin
@evelinadodie9443
@evelinadodie9443 6 месяцев назад
Umesema kwa mafumbo ila mi nimekuelewa
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Wanajisumbua tu
@OttienoJohn
@OttienoJohn 2 месяца назад
Sebo adam
@user-wy1or9fm2s
@user-wy1or9fm2s Месяц назад
Mathayo 24 na Wakorintho 15 :18
@yohanarashidi7434
@yohanarashidi7434 Год назад
Nataka kupona amina
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 Год назад
Watu mataira sana dah wanampa tuu utajiri
@Barakaclassic
@Barakaclassic Год назад
Kafungue na wewe lakwako upate utajiri kenge wewe😅😅
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@Barakaclassic wenzako kenya wameambiwa wafunge wafe pasta kawatowa mafigo na viungo vya ndani vyote kaenda kuuza kisha kawazika wasokuwa na akili
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
​@@alzawahirabdallah2299 we mwenye akili kulikoni unalala njaa 🤣🤣🤣
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
Waislamu walio wengi ! Halafu wanafunguliwa. Mambo yanakuwa mazuri. Huyu Mungu huyu ni mkuu sanaa na muweza ❤🙏🙏🙏 Hachagui dini wala dhehebu ❤ ❤
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@nuruworldinsight2957 allhamdulillah namshukuru mungu kwa kunipa riski nakula vizuri allhamdulillah
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 9 месяцев назад
Da huu mkesha ulikuwa na watu balaa. Nilifika niliona na tumepokea
@ghatimakuri
@ghatimakuri 6 месяцев назад
amina nampenda sana
@mercypeter162
@mercypeter162 Год назад
Watu wa MUNGU wanaangamia Kwa kukosa maharifa. Wanapenda miujiza wasiojua chanzo chake kuliko kumpenda MUNGU. imani Yao iwaponye.
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Год назад
Bado uko agano la kale kuna akili wametuzidi ndo maana tunatupa dongo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
Wengi hapo nisis waslam Mungu atusameh
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
Akusamehe kwa lipi ? Akati ukifika hapo masumbuko yooote yanaisha . Mungu ana fyoonza masumbuko yako yotee. Alianza muislam mmoja kukanyaga pale kwa madhabahu. Leo wanakanyaga waislamu laki moja. Ndio maana anasema "Njooni kwangu wote msumbukao, hauwezi kufika kwa baba pasipo mimi. Mimi ndimi njia ya kweli na ... "
@barakabusima
@barakabusima Год назад
Iko shida sana kwa hii tz...😂
@user-qr5kz3fh4w
@user-qr5kz3fh4w Год назад
Yani hao wote wanataka aman moyono
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 Год назад
Hakika huyu nimtumishi wa mungu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Год назад
Mimi siyo shabiki wa Mwaponsa. Lakini kuhusu watu waliyokufa Moshi wengi wao walikuwa wagonjwa sana. Hivyo wakashindwa kustahimili msongamano kutokana na udhaifu wa miili yao. Wanaosema ni kafara wajiulize kabla ya Mwamposa marehemu hawakuwepo?
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Nawale walio kufa kenya walofunga mpaka wakafa vipi
@yahwejoymkumbo9180
@yahwejoymkumbo9180 Год назад
Wape ukwel na Hawajui pia shetani hataki kazi ya Mungu iendelee mbele lazima atafte tu namna ya kuchafua jina la Mtumishi wa Mungu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@yahwejoymkumbo9180 lsaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi. 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
@@yahwejoymkumbo9180 lsaya 56 10 Walinzi wake ni vipofu, wote pia hawana maarifa; wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia; huota ndoto hulala, hupenda usingizi. 11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote. 12 Husema, Njoni, nitaleta divai, Na tunywe sana kileo; Na kesho itakuwa kama leo, Sikukuu kupita kiasi Kazi ya shetani inaendelea tu km kiti chake cha enzi kipo kanisani
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Год назад
Mmh, Islamic is different and Unique.
@fumotv7914
@fumotv7914 Год назад
Nusu ya hao watu ni islamic
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Год назад
@@fumotv7914 sio kwel, stop lyin, au kisa ukisikia muhammad bas unaclam ni muislam!
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
​@@worldhappiness1181ni waislamu usibishe sababu tunaishi nao huku mitaani tena siku 1 fanya kwenda maeneo hayo usishangae ukakutana na shehe wako kabeba mafuta
@abdul-hamidali6534
@abdul-hamidali6534 Год назад
​@@mcback4384sio muislam bhana rabda waislam jina hujui maana ya uislam kausha
@jacklinecharles6428
@jacklinecharles6428 Год назад
Hahaaaaa nusu yao na robo tena ni Muslim believe me nenda uchunguze! Hakuna watu wanaodondoka mapepo kama hao...ila Mungu anawaponya sanaa na shuhuda ni nyingi.
@user-wf9nz2hd5u
@user-wf9nz2hd5u Год назад
Hekima ya roho
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Год назад
Nilibarikiwa na nimepokea
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Год назад
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa
@machachehardware5975
@machachehardware5975 Год назад
Maarifa yapi
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Год назад
@@machachehardware5975 ndo uyatafte asa ili uyajue ni yapi
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 месяцев назад
@@shijandobehe4953 malifa ni ujinga WA kutojua kuwa huyo anatumia nguvu za kuzimu kuangusha watu au nyie mlijua ni ujinga gani
@gladnessterry8430
@gladnessterry8430 Год назад
Baba tunakupenda mno
@benjo_brighter
@benjo_brighter Год назад
Hao watu wanavutwa na yale mafuta au vp 🤔🤔
@maswamills3161
@maswamills3161 Год назад
Tunavutiwa na INJILI ya KWELI 💯. ARISE AND SHINE TANZANIA ni MADHABAHU iliyo hai,Haina fitina,ubaguzi,wala,uchochezi,pale Ni Neno la MUNGU ALIYE HAI na MAOMBI kwa kwenda mbele.
@msuhahappy7016
@msuhahappy7016 Год назад
Kama mafuta yanaweza kumvuta Mtu bas n raha wakati unafika mtajua kwamba hiki ni chanda cha Mungu na Mungu anamtumia
@maswamills3161
@maswamills3161 Год назад
@@msuhahappy7016 Ameeeeen!!!👏👏👏👏👏👏👏💯
@todahtv2407
@todahtv2407 Год назад
Aminaa
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Год назад
Watu wanafata miujiza kuliko kumfata mungu hapo lazima ukutane na watumishi fake
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Год назад
Mungu karuhusu miujiza itendeke kwa ajili ya kuinua IMANI za watu. YESU slide a hivi “mkiomba chochote kwa jina langu,Baba wa Mbinguni Atalanta” sasa wewe Mkristo gani usiyeamini miujiza ya MUNGU?? Hilo ni PEPO lenye mkia 😂😂
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Год назад
@@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly mungu hatoi miujiza kishamba kishamba ivo lazima uanze mchakato na huo mchakato uwe na mwendelezo mtumishi mwenyewe anakwambia dini zote njooni ili apige sadaka zenu MAISHA yaendelee
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Год назад
@@shijandobehe4953 Acha wivu wenzako tunafanikiws kwa kujiungamanisha tu nyumbani. Haya sadaka hiyo anaipataje? Kutoa ni Mungu tu akuguse wala hayuko pale kwa ajili ya pesa. Huo ni wivu wa kishamba sana,hata shetani anakushangaa 😂😅🤣
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Год назад
@@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly sawa bro komaa ila hata yesu alisema kweli lakini walimuweka msalabani
@yahwejoymkumbo9180
@yahwejoymkumbo9180 Год назад
​@@HiteshkumarDhirajlal-nh3lyAsante Hawajui hao
@Bless510
@Bless510 Год назад
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@musampanda3643
@musampanda3643 Год назад
Wamama na wanawake ndio wengi
@f2abooksuppliers122
@f2abooksuppliers122 Год назад
Hahah
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 9 месяцев назад
hão ndio wajinga wakudanganywa kila siku
@alicejumaa89
@alicejumaa89 Год назад
Miujiza sio mbingu tafuteni Yesu sio miujiza tu.
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Eti wanatafuta miujiza
@YustoMlay-is8ed
@YustoMlay-is8ed Год назад
Kweli wamtafute Yesu
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Год назад
Nyie wakristo hamshtuki? Wanzungu wameshajua ukweli wanakimbia nyie ndio kwanza mnadanganywa kama Watoto wadogo mnazolewa mnakwenda bila kufikiria
@Odogwu9667
@Odogwu9667 Год назад
We kweli mjinga
@bibliakitabukitamu6015
@bibliakitabukitamu6015 Год назад
Si kwel
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
Wazungu wamegundua ukweli upi??
@FreeGod368
@FreeGod368 Год назад
We ni takataka imani yetu ni halisi sio ya kubahatisha bahatisha kama yenu
@millcentsamali6793
@millcentsamali6793 Год назад
Jamani Gudluck Kristo azidi kukuinua, umejibu maswali kiroho mnoooo,,pokea hekima zaidi ktk jina la Yesu
@abdulyabubakar6247
@abdulyabubakar6247 Год назад
Swali ni kwamba alishawahi kuperfom kwenye umati mkubwa kama huo jibu ni hapana hapo ndio mara yake ya kwanza ila naona anakata viuno tu hapo anashindwa kujibu vizuri 😂
@Bambagatz
@Bambagatz Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kweli anakatika😂Viuno
@servantofalmightygoddranth2511
MUNGU yupi? Maana kuna "MUNGU" KWA MAANA YA MUNGU ALIE HAI JEHOVAH, na kuna "mungu" yaani lucifer MUNGU wa dunia hii,kuhusu iyo gharama uliyosema kalipa ni kweli kalipa maana 2020 kuna watu zaidi ya 20 moshi walikufa wakiwa wanakanyaga mafuta ile ni moja kati ya kafara zake,mchezo wa shetani kuliingiza kanisa kuzimu ULISHASHINDWA KWA JINA LA YESU ALIE HAI.
@maswamills3161
@maswamills3161 Год назад
Kwenye umati ukijilegeza utakanyagwa tu huna ujanja.Moshi Ni nyumbani na hakuna kafara iliyotolewa ,kwani kwenye msiba wa Mh.JPM watu hawakufa!!!!!! Acha kujipotosha fikra.
@shubirarutaihwa4829
@shubirarutaihwa4829 Год назад
Kwa kweli watu wengi wanaangalia kwa kukosa ,maarifa hii Ni biashara tu hakuna Cha zaidi ,wakishtuka muda umekwisha
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 Год назад
@@maswamills3161 umejibu vizuri hata Mungu mwenyewe alijitoa kafara kupitia YESU KRISTO MNAZARETH Mungu hapiganiwi anajipigania
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Год назад
Watu walikanyagana hata kwenye meshi ya bure ile ya Yanga wale wa Algeria au umesahau ile nayo kafara ya Yanga???
@maswamills3161
@maswamills3161 Год назад
@@magrethmbuma3045 swali tamu Sana👏👏
@MoureenAbdallah
@MoureenAbdallah Год назад
Kwan yeye mwamposa amesema mumuamin yeye msiropoke na kabla halijakukuta usiongee ukienda kwa mganga una mwamini nani
@callmelwizz553
@callmelwizz553 Год назад
Kazi ya shetani ni kuvuruga kanisa na hii ni mbinu moja yake watu wanapotezwa pasina kujua 😢 mungu awafungue akili zilizo fungwa na hawa mawakala wa shetani
@godlikedeodatus9274
@godlikedeodatus9274 Год назад
We tuoneshe Kaz y Mungu ni ipi bas ,,kama Kaz nzur za kuponya watu n za shetan ,nnarudia tuoneshe Kaz ya Mungu .kama hii n ya shetan .kama hamwan yy ziaminin Kaz , Mwiz anakuja kuiba kuharibu na kuchinja Bali yeye Yesu alikuja Ili tuwe na uzima tele ,kama kuwa na uzima n Kaz y shetan ya Mungu ni ipi?
@ZuhuraMlaki-i3t
@ZuhuraMlaki-i3t Месяц назад
Napokea upako na kufuta kesi
@LomayaniLukumayi
@LomayaniLukumayi 2 месяца назад
Amen
Далее
«Ой Бой» откуда выражение?
00:45
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 24 млн
Mtume Boniface Mwamposa aelezea story yake ya lockup .
15:56
«Ой Бой» откуда выражение?
00:45