Тёмный

LEO KUMEKUCHA MAKAMU(OMO) ASEMA ANIKOSOE KILA MZANZIBAR UMEBEBESHWA MZIGO UNALIPA ELFU41 KWA MWEZI 

Tifu Tv
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 3,1 тыс.
50% 1

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Опубликовано:

 

6 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@Allybinamour
@Allybinamour 11 дней назад
kwa hapa omo katufumbua macho sana
@MuhammedFoum-kr5kc
@MuhammedFoum-kr5kc 13 дней назад
Dhhh hatar Mwaka wa kufa watu huuu 2025 😢😢😢😢😢
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 9 дней назад
Siasa za Tanzania kila siku ukizisikiliza ni mipasho tu kama waimba taarab
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 9 дней назад
Kuna watu wanaumwa na magonjwa sawa kuna watu wanaumwa na njaa sawa kuna wengine wanaumwa na maradhi ya wivu sasa hao wanaoumwa maradhi ya wivu hao ni wagojwa hatari sasa na ndio mana kila siku utasikia mipasho tu kama waimba taarab.
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 9 дней назад
Sasa onyesha basi na ww kama ukiwa Rais kile utakacho fanya au na ww fanya kama anavyofanya mwinyi ili na ww tukuamini tukikupa urais utakua muadilifu
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 9 дней назад
Asikwambie mtu wivu mbaya
@omarhamadomar8832
@omarhamadomar8832 13 дней назад
Ukiwa na uongozi mzur kila kitu kitakwenda sawa
@user-lr6qx9df4z
@user-lr6qx9df4z 9 дней назад
Mie huyu wala simuanini mie naona kama ni msanii tu hakuna mgonjwa wa akili ambae anaona yanayo fanyika kua asimpe mwiinyi siongei kiushabik mana mie sio mambo yangu na sipendi siasa ila kwa hapo omo unafurahisha wananchi tu hakuna lolote na hakuna mwana siasa ambae atakaesema mwakani tutashindwa uyo dunia nzima hayupo mwana siasa huyo aseme mwakani tutashindwa uyo hayupo
@omarkb6775
@omarkb6775 8 дней назад
Ww ushakufa lakin unatembea pole sana
Далее
MANENO YA MHE JUSSA MAZITO YENYE UJUMBE WA ZANZIBAR
11:16
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46
How to Measure ANY Cliffs Height with a Rock
00:46