Nikazi ngumu sana kuchekesha watu wazima haswa wenye nyazifa kubwa serikalini,lkn jamaa ameweza,pia lugha yake ipo smart na hachoshi watu,,pure talented comedian we have in the country 🎉
😂😂 ila na mm pesa ya sponsor nilishawahi kuitumia sana, daah!! Haya maisha, had nikalipiwaga ada ya shule. Sema yule sponsor alikuwa serious sana had akamuoa demu wangu 😂😂😂
Kinacho nishangaza wabongo huwa wanakuja kwenye show bila pesa hata kumtunza mchekeshaji tu kwenye jukwaa hamna jaman acheni roho mbaya watunzeni wachekeshaji kwenye jukwaa