Тёмный

LEONARDO: MIMBA NA UJAUZITO NI VITU TOFAUTI, UMASKINI UNALETA SUBRA HASA UKIENDA KUKOPA 

seto tv
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 190 тыс.
50% 1

Приколы

Опубликовано:

 

5 дек 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@brianmwami765
@brianmwami765 Год назад
Asee huyu jamaa ana kipaji cha ajab sana..anatumia lugha nzuri na maadili ya hadhira yake kuchekesha watu..wat a talent
@DAVIDMWAKYEJA-lp4uj
@DAVIDMWAKYEJA-lp4uj Год назад
Ameeeen Mungu wa mbingu na nchi akulinde mnooo Asante Sanaa 🙌🙌
@victorkadiriashayo2791
@victorkadiriashayo2791 Год назад
Jamaa anajuaaaaa, Sema hiyo hadhira haikujua kumchangamasha, yani Walikua wamepoa sana.
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Год назад
Etiii mimba na ujauzito tofauti 😂😂😂😂
@uwerapraxeda7240
@uwerapraxeda7240 Год назад
Eliud ndo mnomaaaaaaa kuliko comedian wote Tz
@mkadinali_ent.
@mkadinali_ent. Год назад
eliud n accent inamsaidia broo,,bt leonardo n mkali
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 4 месяца назад
😜😜
@gittermugdanny2001
@gittermugdanny2001 Год назад
Hahahaaaaa hapo kwenye sigara. Ila dunia inawatu wa ajabu we Leonardo bas 2
@4ktime587
@4ktime587 Год назад
Kachekesha miez mitano iliyopita lkn adi Leo Nacheka kinoma 😂😂😂
@mwakimedia291
@mwakimedia291 Год назад
Hadhira imepoa Sana imemuangusha wazito mno
@mellaabeid1674
@mellaabeid1674 Год назад
Vizuri sana
@djkingtv4400
@djkingtv4400 3 месяца назад
Upo vizuri aseee
@AmCool_
@AmCool_ Год назад
Ujauzito, unajifungua. Mimba unazaa 😂😂
@AmirHk-mh1xc
@AmirHk-mh1xc Год назад
the audience didn't deserve this man. akili zimelala sana.
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 2 месяца назад
Duuuhhh jmn Leonardo naijuw huo et ''mapenz n mbel 2 nyum mwiko'' nimeielewaa hyo big up sanaa kwakoo unanikoshaa hatar❤
@mtorosenga1272
@mtorosenga1272 Год назад
😃😃😃😃😃 mimba ni janga
@henrykabupa2816
@henrykabupa2816 Год назад
Leonardo we n nyoko kabsaaaaa,,, hapo kwa mvuta sigara umeua mzeee
@Lulumassawe001
@Lulumassawe001 2 месяца назад
Broo unavut nn naon umeumiaa sanaa
@villagelifecorner
@villagelifecorner 11 месяцев назад
Uko poa sema hadhira imezingua sana😰😰
@digostjafety6070
@digostjafety6070 Год назад
Duh jamaa anasimulia achekeshi
@mckingu4004
@mckingu4004 Год назад
Right presentation to wrong audience
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Год назад
Content unarudiarudia ndio noma,watakuchoka
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Год назад
Tofauti ya comed za kenya na bongo ninini
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Год назад
Inajionyesha kabisa
@elishamgale912
@elishamgale912 Год назад
JAMAA AMECHUKUA MDA MREFU SANA MPAKA ANALEMEWA SASA
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 Год назад
Nice
@benancejohn1198
@benancejohn1198 Год назад
Leonardo ameua 🔥🙌
@shimarevo3701
@shimarevo3701 Месяц назад
Huyu kijana ni 🔥 ananichekesha mpaka natokwa na machozi
@user-kb7hw7sw8d
@user-kb7hw7sw8d 3 месяца назад
Daah kwl mimba ni janga alf ujaauzito ni baraka 😆😁😁
@adboyseverine7055
@adboyseverine7055 Год назад
Good 👍
@user-lb7vn4gu2q
@user-lb7vn4gu2q 10 месяцев назад
Leonardo uko njema sana
@dennisbakuza8851
@dennisbakuza8851 2 месяца назад
Yupo vizuri
@user-fs2tp7it7i
@user-fs2tp7it7i 10 месяцев назад
Leonado anarudia nondo umoumoo 😂😂😂😂
@amosethantheking8815
@amosethantheking8815 Год назад
Pale mseng😂😂😂
@studentsBLOG12
@studentsBLOG12 Год назад
Wakenya wamepoa
@SammitindoJeremia-jv4qb
@SammitindoJeremia-jv4qb 11 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamaniiiiiiiiiiiiii daaah
@justinidaudy5438
@justinidaudy5438 Год назад
Broo unatisha
@afronemmy
@afronemmy Год назад
🤩🤩🤩
@mccheka6915
@mccheka6915 Год назад
😂😂😂😂hatariiii
@paulPius-uk9rq
@paulPius-uk9rq 4 месяца назад
Jamaa amewa kinoma
@dianamchami2720
@dianamchami2720 Год назад
Why are you hia ...tell me😂😂😂😂😂😂😂😂😂nmcheka jmn you you yuuuuuu
@valyagraphicstz799
@valyagraphicstz799 Год назад
Leornard anarudia punch
@jumahaule6146
@jumahaule6146 Год назад
kwani msanii wa mziki akipanda stejini huwa anapaform nyimbo mpya tu kurudia punch sio zambi
@renatuskailole9568
@renatuskailole9568 Год назад
Custume muhimu jamani tuboreshe stendup commed kwa kugaramia custume
@mussachifu3894
@mussachifu3894 Год назад
Acha kurudia contents
@mrishobuchumi3166
@mrishobuchumi3166 Год назад
🙄😳😳😳😳😳
@justinidaudy5438
@justinidaudy5438 Год назад
😂😂😂😂😂
@Siilalevasianonzaro
@Siilalevasianonzaro Месяц назад
Uko vizuri sana kaza komaa
@shabanimakwaru2875
@shabanimakwaru2875 Год назад
Tatizo ya leonardo anarudia punch sana
@PesaMadafu
@PesaMadafu Год назад
Unaweza wewe 😂
@ammyskills5588
@ammyskills5588 Год назад
@@PesaMadafu 😂😂swali zuri sana 😂
@UtufyoPangachini-ru3yg
@UtufyoPangachini-ru3yg Год назад
Mbona unamuandama sana
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 Год назад
Huyu naye comedian? Hovyo kabisa
@FanesKalumbwa
@FanesKalumbwa Год назад
Kuwa comedy wewe
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Год назад
We. Unaweza fanya na wewe unafikiri kazi rasi
@yohanakidanga2820
@yohanakidanga2820 Год назад
Kaka God bless ue
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 4 месяца назад
Mkali mpaka mkali Tena ❤❤❤❤
@user-by2gk2uz2w
@user-by2gk2uz2w 2 месяца назад
Kama humjui mtu Bora ukaushe tu kuliko kuropoka ropoka, utaitia matundu heshima yako
Далее
NDARO NA LEONARDO WALIVO KIWASHA CHEKA TU
9:21
Просмотров 287 тыс.
No one will play with him( #standoff #meme #grenade
00:12
Crossing the Most Dangerous Crosswalk
00:24
Просмотров 8 млн
COY MZUNGU,SAID SAID,HALELUYA,LEONARDO
20:48
Просмотров 156 тыс.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
NITONGOZE
12:10
Просмотров 152 тыс.
LEONARDO ALIVYO CHUANA NA JOLMASTER
9:00
Просмотров 613 тыс.
Приятного аппетита 🤣
0:15
Просмотров 8 млн