Dogo katisha sana kwa bongo kuhusu stand up comedy anastaili kuwa no moja kwa wale msiomuelewa msijiulize sana co rahisi kukubalika na watu wote ila dogo anajua, san a hyo idea aliyokuja nayo nkuleta sura mpya katka stage bt all in all kww upande wang kauwa sana hii battle