Тёмный

LIFE WISDOM:MBINU 3 ZA KUPATA UNACHOTAKA - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Опубликовано:

 

9 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@DanielaSanka
@DanielaSanka 2 месяца назад
Sijawahi kujutia kusikiliza DK chache za masomo yako yaliyobeba maana kubwa na mafundisho ndani yake ni DK chache lakini maana kubwa na dhamira yenye kumgusa mtu ❤ wewe I really appreciate you ❤❤
@Pepsimbuna
@Pepsimbuna Месяц назад
Hello
@DanielaSanka
@DanielaSanka Месяц назад
@@Pepsimbuna hello
@user-oq4fv5ed7u
@user-oq4fv5ed7u Месяц назад
Ya Leo kali, Bro umenifanya nijikute nacheka na ninasukumwa na kitu ndani maana naona umetazama MOYO wangu ndo ukatoa SOMO hili umenigusa sana aisey Nina karibu wiki TATU kitu hicho kinanitesa moyoni duuh, Barikiwa sana.
@LovenessJosephMwamalenda
@LovenessJosephMwamalenda 2 месяца назад
Asante brother hakika vizazi na vizazi vitakuja kuona hii kazi yako
@Madam255
@Madam255 Месяц назад
Asante sana kaka mimi mwaka huu nmechukuwa hatua kadhaa kwanza kabisa nmeweza kuanza kuweka akiba kwa muendelezo alafu pia nmepanga kwenda kuonana na mtu ndani ya huhuu mwaka ubarikiwe sana
@FunguaUbongoWako
@FunguaUbongoWako Месяц назад
Ubarikiwe 👏
@user-lj4pz4pv8o
@user-lj4pz4pv8o 2 дня назад
Mungu akubariki sana
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 Месяц назад
Shukrani kaka ❤❤
@FrenkPaulo-m3v
@FrenkPaulo-m3v Месяц назад
Ahsante sana mwarimu
@BukelebeTv
@BukelebeTv Месяц назад
Ahsante kaka Joel
@KiT.KaT.Cute.
@KiT.KaT.Cute. 24 дня назад
Nahitaji kitabu😊
@anselemimchulo4084
@anselemimchulo4084 Месяц назад
Sijawahi kujuta kukufaham kaka
@user-go1lc6vy7w
@user-go1lc6vy7w 16 дней назад
somo zuri
@CharlesEgbert
@CharlesEgbert 2 месяца назад
Broo MUNGU akutunze sana pamoja na videos zako kwa vizazi vinavyokuja
@iizalaw6674
@iizalaw6674 Месяц назад
Yote nitajaribu uwiii
@jacklinechahilu6659
@jacklinechahilu6659 Месяц назад
Mashallah, Asante sana bro mungu akuongezee kwa kila hali.umezungumza nikaona kuwa sijajaribu kuanzia Leo nitajituma kwa muongozo wamaneno haya 😊barikiwa ✌️
@peterjames1538
@peterjames1538 Месяц назад
GOD BLESS YOU BROO,KWAKUZIDI KUCHOCHEA HAMASA NDANI YETU💡
@AbisaiBilla
@AbisaiBilla 2 месяца назад
Kaka hongera sana kwa mafundisho MUNGU muumba wa mbingu na nchi akubarika zaidi maishan mwako.
@PatrickMarwa
@PatrickMarwa Месяц назад
Asante Sana 🙏🙏
@FarajaMkumbo-pc3ft
@FarajaMkumbo-pc3ft 2 месяца назад
Asante sana kaka joel kwa mafundisho yako mungu azidi kukubariki zaidi ❤❤
@NickGamba-ft8tl
@NickGamba-ft8tl Месяц назад
ASANTE SANA MENTOR, MASTER ARTHUR NANAUKA JOEL🙏🙏🙏
@user-tu1uh5sy8e
@user-tu1uh5sy8e Месяц назад
Kwakweri mungu akubariki Joel's nanauka
@matokeomudende
@matokeomudende 2 месяца назад
Amen,asante kwa mafundisho yako mazuri,kaka Joel❤
@selemanramadhan3279
@selemanramadhan3279 Месяц назад
TUNASHUKULU KWA MAFUNDISHO BRO. Joel.
@marymkamwa3779
@marymkamwa3779 Месяц назад
Asante kwa kuchochea moto uliomo ndani yangu
@ansetv1343
@ansetv1343 2 месяца назад
Asantee bro Kwa msaada wako wa elimu hii
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Месяц назад
Asante sana coach Joel nimejifunza
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Месяц назад
Insha Allah shukran
@gelardjames2595
@gelardjames2595 Месяц назад
Asante...Barikiwa
@safinamagambo2912
@safinamagambo2912 Месяц назад
Ubarikiwe zaid
@user-ow9tx6mb4j
@user-ow9tx6mb4j Месяц назад
❤ asante coach
@franklukazula
@franklukazula Месяц назад
Safi sana ndugu
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv 2 месяца назад
Ahsante sana ❤
@rashidkombo5847
@rashidkombo5847 Месяц назад
My teacher
@DatiusKakeneno-no4cu
@DatiusKakeneno-no4cu Месяц назад
Ubarikiwe
@Anneth-mc1oc
@Anneth-mc1oc Месяц назад
❤❤❤❤❤❤
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Месяц назад
Asante Sana ❤.
@cornerbrezz1207-lc6rg
@cornerbrezz1207-lc6rg Месяц назад
Naumia sana watu kama nyie tunakuwa tunawahitaji ila hatuwapati kwasababu ya connect ninashida na number yako nitapataje
@YakobDaud-s1x
@YakobDaud-s1x 2 месяца назад
Asante sana🎉
@emmyphilibert1906
@emmyphilibert1906 Месяц назад
Powerful
@GraceKwenyepa-hc3uj
@GraceKwenyepa-hc3uj Месяц назад
Asantee sana
@selemanramadhan3279
@selemanramadhan3279 Месяц назад
Nitajaribu kufanya hivyo ili iweze kupata matokeo,
@AbubakariSaidi-g1b
@AbubakariSaidi-g1b 2 месяца назад
Nikwel
@goldiegranted5501
@goldiegranted5501 Месяц назад
🥳🥳🥳✊🔥🔥🔥🔥
@realemma2312
@realemma2312 Месяц назад
🎉🎉🎉
@GraceSteven-qq5hn
@GraceSteven-qq5hn 2 месяца назад
Asant
@abubakarmmango627
@abubakarmmango627 21 день назад
Naomba unisaidie namba zako Mkuu
@AidanpastoryAndrea
@AidanpastoryAndrea 2 месяца назад
🌹💪🥂
@annayambayamba8614
@annayambayamba8614 2 месяца назад
😊😊😊😊
@user-ys2wk4rj6f
@user-ys2wk4rj6f Месяц назад
Tutaendelea kujifunza Kila siku
@bakariomary5781
@bakariomary5781 2 месяца назад
Breakfast
@AminaSaid-v6u
@AminaSaid-v6u Месяц назад
Asant san na kupitia video zak najifunza vingi san nakushkul san kiongozi
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Месяц назад
Mkuu natafuta milioni 52 ili niweze kununua trekta mpya aina ya New Holland au kama mtu anaweza kuninunulia trekta aina hiyo naomba mawasiliano! Ninayo mashamba lakini kukosa trekta naona inanirudisha nyuma
@jacksonlema9475
@jacksonlema9475 День назад
karibu jetco services
Далее
LIFE WISDOM:MUEPUKE MTU WA NAMNA HII - JOEL NANAUKA
12:03
THE GIANT KILLER - JOEL NANAUKA
25:33
Просмотров 27 тыс.