Mwimbaji wa nyimbo kayengeyenge anaitwa Christophe Matata. Anatokea kwenye inchi jirani ya Burundi. Na kwasababu lugha ya kiha na kirundi vina ukaribu sana, waha na warundi wanaelewana bila mkalimani. Mimi niliishi Tanzania nikiwa mkimbizi hadi mwaka 2005. Nilipenda sana lugha ya kiha. Cha kuchekesha shetani kwa kiha anaitwa kilanga. Na kilanga alikuwa mungu wa warundi wakati wa mababu.
This is very good if food is available to eat and for sale,now the government should consider the place and construct a modern market for selling food and tarmac the road.