Mtazamo wangu: Muulizaji hana subira, hasikilizi majibu, ni kama ana majibu yake, na anakusudia kufunika baadhi ya majibu anayopewa. Anauliza maswali halafu anaogopa majibu. Akikutana na muulizwaji legelege atamlisha maneno.
Sasa huyo Naye ni mtangazaji kwa anaelew definition ya interview Sasa anauliza swali lisu hajmaliza kujibu ashauliza lengne Sasa tutamwelewaje Basi Kam Ana majibu ake mwenyewe asingemsumbua jembe letu lissu kwa interview😊😊😊😮😮😮😮
VIVA MH. LISSU....WATANZANIA WAMEKUELEWA SANA....UMEKUWA MUWAZI NA MKWELI SANA....BWANA MAKONDA NI MUUAJI ....NA AMEUWA WATU WENGI....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HATAMUACHA SALAMA.
Mtangazaji mpumbavu sana. Kama muda hautoshi uliza swali moja aelezee nusu saa nzima akimaliza funga kipindi umyite siku nyingine uulize swali moja alijibu kwa mapana, akimaliza funga kipindi umyite siku nyingine. Huu upumbavu wa kusema muda hautoshi halafu unauliza swali lingine ni ujuha uliopita kipimo. Hakuna asiye jua STER TV ni channel ya wale wale tu. Kama hamuwezi kuwahoji wapinzani achaneni nao.
Lisu ni chuma pua.Huyasema mambo yaliyofanyiwa utafiti tu na ambayo ni ya uhakika.Sasa mtu kama huyo kukaa meza moja kwenye mdahalo unatakiwa kuwa makini sana.Vinginevyo njia rahisi ni kumkimbia tu.
Star TV ni ya Anthony Diallo (CCM), nadhani huyu bw Nyanda huwa anapewa maelekezo na mwenye chombo hicho asiruhusu majibu ya maswali anayouliza yasikike! Wengi tuliamini Chadema ilikosea kumfanya Lowassa mgombea wao wa u Rais licha ya wao wenyewe kumtaja ktk orodha ya watu wasiofaa (wahujumu wakubwa ktk nchi!). Lakini huyu Nyanda anakera kwa mtindo wake wa kutaka maswali aliyouliza yajibiwe atakavyo! Yaani kauliza swali lakini na jibu analazimisha alitoe yeye mwenyewe😂...kwa nini uwaite watu basi?? Star TV hawafai kwa sababu uendeshaji wao wa vipindi hauna PROFESSIONALISM. Na kasoro hiyo wanayo waandishi wa habari wao karibu wote
Lisu suala la Lowasa limewaweka Pabaya ,Sasa vipi Slaa alikimbia chama chenu,mbona Leo Tena Slaa mmemkubari Tena ,halafu Leo mnasema sasahivi CHADEMA inamuhitaji sana Slaa
Siasa sio uadui mbona sumai ,lowasa, membe, waitara, godwin na wengine wengi bila kumsahau nyarandu waliamia chadema na sasa wameludi ccm na wengine wamefia ccm kwahyo kwenye siasa kuhama na kurudi sio zambi
Mtangazaji unaharibu ubora wa mahojiano, Kwanini usisubiri mtu amalize kujibu unamkatisha, katikati ya jibu unauliza swali jingine!! Angalia hilo ni tatizo.
Mwandishi usiwe chawa mwache lisu azungumze ili wahusika wasikie usiwakingie kifua watashugulikiwa TU lisu hata acha kulizungumzia swala lake ata ungekuwa wewe usingekoma
Mungu akubariki sana Lissu. Taifa hili litakukumbuka sana. Hakika hukupona kwa bahati mbaya .. Waliotaka kukutanguliza walitangulia wao ..😊 Mungu huyu jaman...
Lissu mlitaja majina mwaka 2007 na ripoti ya mwskyembe ilikuwaz mwanzoni mwa 2008 hapo imekaaje kusema eti mlitaja jina kutokana na ripoti ya mwakyembe na wakati ripoti ya mwakyembe ilikuja baadae mwaka uliofuata
Shida ya huyu mtangazaji:- 1. Anauliza maswali marefu huku akijaza maelezo ndani ya swali. 2. Anamkatisha na kumuingilia wakati anayeulizwa akiendelea kujibu 3. Anavuruga mtiririko wa kipindi/mahojiano kwa kumkatisha anayejibu hii si kwa Tundu tu hata wageni wengine anaokuwa nao.
Uyu jamaaaa ana hakili kweli mbona kam hajui maana ya interview au anaigiza falaaa sanaaaa amuache lissu ajieleze bhanaaa mbona hajielew fala. Kabxaa😅😅😅😂😂😂
Mkuu wa mashtaka anachaguwa kesi ,ili serikali iliyomuweka ilinde ugali wake ,,HII INAONESHA YAKWAMBA MAHAKAMA ZETU HAZINA UHURU INACHANGIWA NA KATIBA ILIYOKUWEPO ,,NDIO MAANA CCM HAWATAKI KATIBA MPYA ,,DAA NDIYO MAANA MH LISSU HADI SASA HAKWENDA MAHAKAMANI KWA JAMBO LILE LA KUPIGWA RISASI
Jamaa hatasubutu tena kumtafuta Lisu😂😂😂 Alitaka umaarufu maskini😢 Huyo mtu ana mambo mazito kichwani mwake, muulizeni mbowe😅😅😅yeye mwenyewe huwa anahenya naye😂 Mwisho wa siku imebidi jamaa awe time keeper baada kuendesha mahojiano😢