Munamuhukum Dr sule et kwa sababu ana majini wakati nyienyie kuna yenu amuwezi kuyasema kwa sauti wenyewe mnayajua ,,kila mtu anabeba mzigo wake ww mwenyewe ujui unaenda wap alafu et unasema sure wa motoni kwani we ndo mungu???,,uelewa aupo aisee pambana na nafsi yako acha kusema ya yatu jiulize ww kwanza kabla ujamuhukum mtu🤗🤗
Kwa vile mie ni muislam, nna wasiwasi wewe sijui kama muislam...kwasababu Sule hajahukumiwa, sie waislam tumeitwa umma bora kwasababu tunaamrishana mema na kukatazana mabaya...sule amekosea ndio waislamu lazima atarekebishwa, hapa mimi nampenda sule lkn haimaanishi akikosea asirekebishwe..
Ati hujui unaenda wapi??? Wewe si muislamu... Soma Quran 19:71-73 waislamu lazima waingie motoni wote hata yule mwupe kama pamba... Mbaka Allah aridhike ndio kisha atawaokoa anaye wapenda na hao ndio wale wachache wengi wa waislamu watabakia mule motoni milele... Yesu naya Johanna 3:16-18 amewaakikishia yoyote sio wakristo tu amwaminie ata pata uzima wa milele ... KAMA UJA SOMA UKO PEKEE YAKO
@@elishamwaifugemwaifuge9720 wewe hujui wakristo wanafuga majini, hao mafreemason wanatumia majini, hebu fuatilia mafreemason wengi hasa celebrities wengi ndio hutumia.
Asanteni sana kwa walim wapande zote mbili.mi nilichofaidi kwenye midahalo hii ni kwamba yesu yu hai na yuko mbinguni ,Muhamadi alikufa yuko kaburini sasa mimi natakiwa kumfwata alie hai ambaye anashuhudiwa na vitabu(coran na biblia)kwamba atarudi naye ni yesu kristo.
Hahaha wewe kweli huna unachokijuwa, unajifanya unamjuwa yesu kuliko waislam?? Nyie wakristo mnamjuwaje yesu, hebu nitajie jina la mama yake mariam (mary) alomzaa yesu
@@samxx411 Mr.@samxx411. Hiv unajielewa kwel ww? au unadhan sisi waktisto ni watu wa kubishana. No!! Huwez kusema unamjua Yesu ambaye humtumikii, ww unamjua Yesu Kwa kumsoma! Wengine tunamjua Kwa kumsoma, kumtumikia na kumwabudu maana yupo ndan yetu. Huwez kuniuliza bib yake Yesu et ni Nan! Wakat Sina shida na bib ya Yesu. Mim Nina haja na Yesu mwenyewe.
@@samxx411 Ukitaka kumjua nitafute nkupe Family tree yote ya Yesu. Usinisumbue tu. Au niseme tu! Alikuwa anaitwa Anna,, sasa usije ukanisumbua Tena kuhusu baba yake, ngoja nikwambia na yeye, alikuwa anaitwa Joakim.
@@elishamwaifugemwaifuge9720 huna andika Anna limetoka wapi?? Hamsomi maandiko mnarusha tu maneno kutoka kichwani mweni ikisha mnajifanya mnamjuwa yesu wakati mtihani mdogo umefeli
kikubwa kuitafuta elimu ya haki maana baada ya umauti kila mtu atafarijika na kuhudhunika mwenyewe ko tujitahid kusikiliza pande zote na kuzijengea fikra za kina kisha tufate utakayo ona sahihi . tujitahidi sana ndugu zangu .
Kwenye huu mdahalo nataka kuuliza hili swali na majibu yake siyapati ,swali Hilo lipo inje ya mada hii ,kwanini mitume (prophet )wote waliletwa kwa njia ya uarabu ? Ama watu Hawa warabu walikua wanafanya mabaya mengi kukithiri,walikua waovu Sana ?,sielewi kabisa viongozi au mwenye elimu ya juu anijuze kwanini wao na huku Africa Bado.
Waislamu hawana haya yoyote inayosema Yesu hakufa. Wanasema hawakumuuwa. Lakini hayati Nyerere hawakumuuwa, Moi hawakumuuwa, Mobutu hawakumuuwa. Hiyo haimaanishe hawakufa... Mada imewashinda kabisa. Hata majini ya Sule hayamsaidie. Labda angelinyonga hilo pete...
@@Zuwenamachela Mt 26:39-46 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe. Sasa, Mungu alisikia maombi ya Yesu? Kikombe alipewa anywe? Yn 18:11 Basi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake; je! Kikombe alichonipa Baba, mimi nisikinywee?
Waislamu ndvyo walivyo wakishindwa kwa hoja wanakataa had quran yao., Wamepewa andiko 3:55 Mungu amesema atamuua Yesu .,atamfufua na atamnyanyua kwake lakini bado wanajifanya hawaelewi wanakazania hawakumuua
@@bustedislam3578 Dah hii ni hatari kweli yan wanatumia uongo kuitetea dini alafu wanasema wanafata zile amri kumi za Mungu za agano la kale ikiwa "Usiseme uongo pia ipo. Na Yesu anasema ibilisi ndyo baba wa uongo.
Waislamu tatizo mnasikiliza kwa kuwa tayali kupinga sio kujifunza kwani maneno hayo si yanasomwa kwa vitabu au anatunga acheni ushabiki bahna fungukeni macho
Alafu ndacha huna jipya kabisa yni sikuelewi unachokitetea kitugani hpo soma quran na uache kuipotosha na maandiko ya bibilia bora usilimu uwe ndugu katika iman acha kufundisha watu uongo kila siku
@@richardchimba3800 chenye kimeshindwa Dr sule sija kiona huwezi kuchafua qoran na bibilia hata ww wasubiri kuunga mkono hoja za ndacha yn Kwa kweli shetani anawapamba mpk kuisoma bibilia na kuielewa mnashindwa ndacha ndio awasomee upuzi
Jamani wakristo hawana hata hoja mwanzo ilikuwa yesu kafa akafufuka hapo unawambiya watu kiyama cha mauti sio tena kifo hapo iko je ? ALLAH AKBAR jamani karibuni ktk Uislamu Ni Free hujatoa hatujasikiya and iko kutoka ndani ya Biblia
ukijiuliza kwa akili za kawaida tu mungu amekufa wenyewe tulikuwa tunajifanyia dhambi na ibada halafu kesho hizi siku tatu si tutamkatalia mungu kuwa ulikufa halafu unatusingizia hizo kesi na tulivyo wanadam zile siku tatu mungu kakata mbn moton huendi hiyo ligue yake
Huyu sure ni mbaya zaidi kuliko kafiri kwasababu kafiri tushamjua hatusumbui ila sure anajifanya anatetea uislamu kisha anawalingania waislamu wamshirikishe Allah, na kuwapandikizia itikadi waislamu waabudu majini nakuamini pete kwamba ndio itatoa baraka enyi waislamu wenzangu jiepusheni na huyu mtu
Roho mtakatifu anafanya kazi hiyi mithaharo nishaidi Tosha wenye kusikiya watasikia wenye hawapendi kusikiya shauli yawo bira unafiki aushabiki hapa ukweri unapatikana Kati ya sule na ndacha kuna ukweri we kuwa makini 😮😮😮😮
Qur an haijasema kuwa hakufa bali ilifafanua madai yao ndio maana ikaanzia walipoishia wao.tuwasikilize hawa walim(ndacha na sule)kisha tutafakar kielimu sio kiushabiki.
@@JamesMoses-jd1yqmkiweza kudhibitisha hilo itapendeza sana tutaritad kuwa wakristo kwanin tusifate haki ikidhihiri ikiwa kila mtu anahitaj kuwa salama baada ya umauti .
kikubwa kuitafuta elimu ya haki maana baada ya umauti kila mtu atafarijika na kuhudhunika mwenyewe ko tujitahid kusikiliza pande zote na kuzijengea fikra za kina kisha tufate utakayo ona sahihi kwa manufaa ya nafsi zetu wenyewe.