Тёмный

#LIVE 

ISLAAH ISLAMIC  TV
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#islaamic #drsulle #tanzania #live

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@KangazohMaster
@KangazohMaster 4 месяца назад
Ndacha hongera sana unamjibu sawasawa na anavyouliza kabisa tatizo n sule anarudia swali lilojibiwa
@weezybwoy-rb5xl
@weezybwoy-rb5xl 4 месяца назад
Mungu akubaliki Dr Sule
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 4 месяца назад
Mashallah Dr.Sule unawnyoosha kwa hoja sio ushabiki km walivo wao
@madetetv6576
@madetetv6576 4 месяца назад
Kwahiyo na ww ni mfuga majini kama yeye?
@AnithaMuvurwaneza
@AnithaMuvurwaneza 4 месяца назад
Doc sule Kubali Kristo unajuwa ukweli achana na dini Ya uwongo Bwana Yesu Anakuitaji karibu sana
@MchengaMwahui
@MchengaMwahui 4 месяца назад
Dr mwambie tu ndacha asilimu Anache kuhangaika na ukweli uko wazi.
@hurrychris2647
@hurrychris2647 4 месяца назад
Ndacha is blessed ❤ may God give you more strength
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 4 месяца назад
Umeeleweka sulle kwenye kbs kwenye maandiko Alhamdulillah
@nuhukenny7183
@nuhukenny7183 4 месяца назад
Dr Sule, asanti sana. Kumfundisha Ndaca
@emanuelgidienju8974
@emanuelgidienju8974 4 месяца назад
Amefundisha Nini acha ushabiki huyu kalenewa😂😂
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 4 месяца назад
Mashaalah
@BahoAsuman
@BahoAsuman 4 месяца назад
Ndacha ubarikiwe unabishana najini
@FatimeOmari
@FatimeOmari 4 месяца назад
Ndacha zake fujo tuu hanyooshi majibu km Sule
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 месяца назад
uyo mwalimu ndacha mbishi uyo..
@Sharrif456
@Sharrif456 4 месяца назад
Ka ahidiwa pesa na prado ndo maana ana kufuru hadharani
@nomar3708
@nomar3708 4 месяца назад
Ndacha upuuzi mtupu. Anajua vizuri Biblia imebadilishwa na kuna contradictions humo lakini anashikilia tu
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 4 месяца назад
Kazinzuri sana
@martinjoseph-fc7ze
@martinjoseph-fc7ze 4 месяца назад
Ndacha katumwa na wazungu kupotosha jamii
@ShenyMosses
@ShenyMosses 4 месяца назад
Hii inaitwa midahalo ya kielimu ya Sule ni dokta, mwana history na pia ni mwana sayansi
@MpangileMzee
@MpangileMzee 4 месяца назад
Dr sule umemnyoosha ndacha
@NeemaJoel-r6r
@NeemaJoel-r6r 4 месяца назад
Shida hunaga hoja ukizidiwa unaanza kucheka
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 4 месяца назад
Sule mjuwaji sana na hajuwi kitu anazani ni majini😂
@rajuxcharity
@rajuxcharity 4 месяца назад
Acha ushabik mandazi fata mandiko
@FrancoisNyandwi1
@FrancoisNyandwi1 4 месяца назад
Ndacha anaua kwakweli
@markodaniel2662
@markodaniel2662 4 месяца назад
Sulle wewe huna elimu kabisa, ila umefaulu mitiani.
@kobabaoyamerudi
@kobabaoyamerudi 4 месяца назад
Wewe sule anaelimu sanatu
@HERIURIO
@HERIURIO 4 месяца назад
Haka kajamaa kalichovaa suti nyeusi hakana hoja ujanja ujanja tu hana aya analeta ujanja unambiwa toa aya wap yesu alikufa huna aya .mohamad rasul
@emanuelgidienju8974
@emanuelgidienju8974 4 месяца назад
Huna akili kumbe.Hujasikia mpaka saiv 😂😂😂😂😂
@FatimeOmari
@FatimeOmari 4 месяца назад
Ndacha hatoi majibu sahihi,ila Sule ananyoosha na hatoki kwenye mada
@everlynewanyama
@everlynewanyama 16 дней назад
Hawa waislamu jamani wanakera kweli 😂😂😂😂
@yohana1242
@yohana1242 4 месяца назад
Kichachosikitisha wakristo wanashabikia kma mpira wa yanga na simba ata wakifungwa kilasiku anasema mm sihami nitabaki umoumo
@KangazohMaster
@KangazohMaster 4 месяца назад
Jibu hoja uliyoipewa Acha kutumia mda mwingi sule
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 4 месяца назад
Waislam wanafikiria yesu ni binadamu..hapanaa yesu sio binadamu
@MrVicRamSeen
@MrVicRamSeen 4 месяца назад
Wasema Yesu C Binaadam Kwan Yesu n Kondoo Ama ?
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 4 месяца назад
@@MrVicRamSeen ni mwana wa mungu
@MrVicRamSeen
@MrVicRamSeen 4 месяца назад
Yesu C mwana wa Mungu wala c Mungu yesu n mtoto wa Maryam
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 4 месяца назад
@@MrVicRamSeen kwa mujibu wa quran yako..lakini biblia inasema yesu ni mwana wa mungu
@MrVicRamSeen
@MrVicRamSeen 4 месяца назад
Hiyo ni imani potof Wanapewa Wasiojielewa ebu fikiria Ivikwel Mungu anaweza Kumuingilia kimapenzi mjawake amakatia mimba ?
@MichaelMurithi-sz1kd
@MichaelMurithi-sz1kd 4 месяца назад
Ndacha
@georgengoma7226
@georgengoma7226 4 месяца назад
Hii kazi kikristo tunaita kueneza injili duniani na ni kazi tuliotumwa wakristo wote duniani,yaani kwa maana nyingine kwetu sisi ni kazi maasusi kabisa!
@ShenyMosses
@ShenyMosses 4 месяца назад
Ndacha anaishia kulalamika tu ata siku ya kiama watalalamika mpaka watakapoingia MOTONI
@emanuelgidienju8974
@emanuelgidienju8974 4 месяца назад
Labda Kama kiama anarudi Mohamed Ila Kama ni Yesu wewe ndo utalalamika 😂😂😂
@AdemAli-d3y
@AdemAli-d3y 4 месяца назад
Paka na fanya to😂😂😂😂
@NeemaJoel-r6r
@NeemaJoel-r6r 4 месяца назад
Sasa atajibu maswali wakati hayajui mtu huyo huyo atibu watu huyo huyo ajue biblia
@rajuxcharity
@rajuxcharity 4 месяца назад
Hadi wewe baba yako kakuza unekua unajua kafanya kazi ngapi? Kwani kua na ujuzi zaidi nikosa?
@rajuxcharity
@rajuxcharity 4 месяца назад
Hata yesu alikua fundi selemani na katangaza dini!
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 4 месяца назад
Habari njema itahubiliwa mpaka miisho ya nchi kisha yule Mwana wa Adamu atakuja tokea mawinguni akiwa na malaika na wale wazee 24 kwa utukufu mkuu
@neilmutunga8857
@neilmutunga8857 4 месяца назад
Sule hauna lolote
@AndryMfuko
@AndryMfuko 4 месяца назад
HAYA MAMBO YA KIZAMAN YASHAPITWA NA WAKATI . NI BORA UNGEKAA NA KUKEMEA MAMBO MACHAFU YAFANYIKAYO ULIMWENGU HUU RIBA KAMALI UCHAWI MAJINI
@Dominant97
@Dominant97 4 месяца назад
Elimu haina uzamani ndugu,acha tunaofaidika kwa kujifunza tuendeleee kujifunza mambo mazuri ya Mungu
@KangazohMaster
@KangazohMaster 4 месяца назад
Ndacha hongera sana unamjibu sawasawa na anavyouliza kabisa tatizo n sule anarudia swali lilojibiwa
@KangazohMaster
@KangazohMaster 4 месяца назад
Ndacha hongera sana unamjibu sawasawa na anavyouliza kabisa tatizo n sule anarudia swali lilojibiwa
Далее
Тренд Котик по очереди
00:10
Просмотров 347 тыс.
MAZINGE VS NDACHA, Je yesu ni mtoto wa Mungu?
1:27:50
Просмотров 30 тыс.
DR.SULLE ALIVYOPIGWA NA HOJA NZITO NA PST NDACHA
32:54