Dr sule tunakufata tup zambia wewe ni sule pigakaza saidiya watu malipo kwamungu usi sikilize maneno yawatu piga kazi mungu atakulupa nasitunazindi kukuombea kwa mungu
Shekhe umetupa wakati mgumu sana sisi waumini wako tunaokufuatilia toka umeanza kuongea habali ya majini tukituma klipu zako za mawaiza kwenye magrup yetu ya wasap zinafutwa tunaambiwa uyu mchawi sio muislam tusafishie mazingira shekhe 😢😢
Shekh mimi mwaka jana nimeota nyotamkia (comets) 3 zinapita kwa kasi yenye usawa usiku angani zilizojipanga mstari wa kuongozana moja mbele ya pili kati ya tatu nyuma kwa eneo nililokuwapo zilikuwa zinatoka kusini mwa dunia zikiwa zimeongozana mpaka katikati ya dunia zikazima halafu hapo hapo nikaona zinatoka zinapita nyengine nne zikiwa zimejipanga kimstari kama mwanzo zinatoka kutoka kusini mwa dunia mpaka kaskazini mashariki ya dunia zikazima hapo hapo nikashtuka. Jee nini maana ya ndoto hii?