Тёмный

#LIVE 

Star TV Habari
Подписаться 159 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 223   
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 8 месяцев назад
Mtazamo wangu: Muulizaji hana subira, hasikilizi majibu, ni kama ana majibu yake, na anakusudia kufunika baadhi ya majibu anayopewa. Anauliza maswali halafu anaogopa majibu. Akikutana na muulizwaji legelege atamlisha maneno.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
Nimefurahi sana kuona comment yako Mzee NGURUMO ❤❤❤
@eliajimmy95
@eliajimmy95 8 месяцев назад
Hata wewe brother huwa nakuelewa sijawahi kosa kuangalia video zako uko vizuri sana.
@zamorad5654
@zamorad5654 8 месяцев назад
Kakangu ngurumo nilikuwa nawaza kama wewe,mtangazajia alikuwa na majibu yake tsyari
@ezraochora8495
@ezraochora8495 8 месяцев назад
Mchambuziwangu.mimi.naitwa.ezra.ochola.niko.tabora.tanzania.hatamimi.naona..mtangazaji.hana.subira..alos.nyanda.hua.nimuogasana..anwaogopasana.hawa.miamba.wa.chadema
@gaingabriel8982
@gaingabriel8982 8 месяцев назад
Ttz muda
@danielmpanguko759
@danielmpanguko759 8 месяцев назад
Viva Lissu uishi miaka Mingi Mungu mwenyewe akupiganie
@musa-v3f
@musa-v3f 8 месяцев назад
Thanks Nyanda for fair interview, very naive and cynical questions also you need to give Mhe.Lissu enough time to respond to questions posed.
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 8 месяцев назад
Lissu ni hazina kwa taifa letu
@Fred-Ma
@Fred-Ma 8 месяцев назад
Haya Mahojiano Kaka Nyanda please tafuta muda muyaendeleze....Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Lissu.
@RichardJr-y8d
@RichardJr-y8d 8 месяцев назад
Hakuna mtangazajii hapooo
@Fred-Ma
@Fred-Ma 8 месяцев назад
@@RichardJr-y8d Kwa nini umesema hivyo?
@KalistoKalilile-v7l
@KalistoKalilile-v7l 8 месяцев назад
Sasa huyo Naye ni mtangazaji kwa anaelew definition ya interview Sasa anauliza swali lisu hajmaliza kujibu ashauliza lengne Sasa tutamwelewaje Basi Kam Ana majibu ake mwenyewe asingemsumbua jembe letu lissu kwa interview😊😊😊😮😮😮😮
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 8 месяцев назад
VIVA MH. LISSU....WATANZANIA WAMEKUELEWA SANA....UMEKUWA MUWAZI NA MKWELI SANA....BWANA MAKONDA NI MUUAJI ....NA AMEUWA WATU WENGI....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HATAMUACHA SALAMA.
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 8 месяцев назад
Ama kweli.chadema,ni chama cha kisayansi.viva ivctory.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 8 месяцев назад
Mtangazaji mpumbavu sana. Kama muda hautoshi uliza swali moja aelezee nusu saa nzima akimaliza funga kipindi umyite siku nyingine uulize swali moja alijibu kwa mapana, akimaliza funga kipindi umyite siku nyingine. Huu upumbavu wa kusema muda hautoshi halafu unauliza swali lingine ni ujuha uliopita kipimo. Hakuna asiye jua STER TV ni channel ya wale wale tu. Kama hamuwezi kuwahoji wapinzani achaneni nao.
@paulsamuel3976
@paulsamuel3976 6 месяцев назад
Ni Kweli naona kabisa inamchoma
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 6 месяцев назад
@@paulsamuel3976 wanamalengo yao kumuita
@driss4957
@driss4957 8 месяцев назад
Wewe Mwandushi una tabia ya kuuliza maswali halafu wakati unajibiwa unaingilia, KAMA UNAOGOPA ACHA INTERVIEW, UNAZINGUA...
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 8 месяцев назад
Safi sana makamu hsujawahi kuyumba kujibu maswali
@florencejohn6427
@florencejohn6427 8 месяцев назад
Kama muda haitoshi kwanin huwa mnawaita watu wenye madini kama Lissu. Mwandishi anakwepa baadhi maelezo. Ovyoo
@leonardmartine662
@leonardmartine662 8 месяцев назад
Lissu yuko smart sana
@kirariwilanya1850
@kirariwilanya1850 8 месяцев назад
Nyanda anajaribu kuirinda Ajira yake na star ⭐ tv Yao.
@anordkazuba-ft5jr
@anordkazuba-ft5jr 8 месяцев назад
Lisu tunakugemea sana
@jumahungulu9891
@jumahungulu9891 8 месяцев назад
I stand with lissu congratulations to you brother nanda
@DenisGodwin-uu6zz
@DenisGodwin-uu6zz 8 месяцев назад
Madini sana,watu ambao huwa napenda kuwasilikiliza🙏TAL umebarikiwa.
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 8 месяцев назад
Namkubali sana huyu mwamba pacha wake Lema yuko wapi
@RutinikiGosbert
@RutinikiGosbert 7 месяцев назад
Ndugu sawa ila chadema ina watu wengi vichwa vya hatari tunajivunia ivyo
@TajewuoMoseka
@TajewuoMoseka 7 месяцев назад
Lema ni dume
@thomasmollel787
@thomasmollel787 8 месяцев назад
Tundu lissu ni icon ya nchi
@christophermwampashe465
@christophermwampashe465 8 месяцев назад
Lisu ni chuma pua.Huyasema mambo yaliyofanyiwa utafiti tu na ambayo ni ya uhakika.Sasa mtu kama huyo kukaa meza moja kwenye mdahalo unatakiwa kuwa makini sana.Vinginevyo njia rahisi ni kumkimbia tu.
@makeyhunter2006
@makeyhunter2006 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@mackrankagenzi5236
@mackrankagenzi5236 8 месяцев назад
Ndo maana wanamkimbia hawataki midahalo naye 😂😂#TunduLissu🙏
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 8 месяцев назад
Nikukimbia tu Kama alivyofanya Bashiru Ally hata mgombea mmoja wa ccm alikataa mdaharo wawagombea urais
@RamadhanNyangi
@RamadhanNyangi 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@danielsamwel4432
@danielsamwel4432 8 месяцев назад
Usipomwelewa lissu sijui utamwelewa nani Sasa
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 8 месяцев назад
Vivacommander Viva MH lissu mungu nimwema sana atazidi kutupigamia siai wapendahaki eemungu tusaidiye utujariye watu wenyeroho zamungu ktk Madaraka yanchihii,
@TrustElbashil
@TrustElbashil 8 месяцев назад
Tuombe mungu makonda aje ashughulikiwe kikamilifu na watu alio waongoza kumpiga risu wapo nao waje washughulikiwe
@kilangoable
@kilangoable 8 месяцев назад
Mtangazaji hajui kazi yake
@richardnganya2311
@richardnganya2311 6 месяцев назад
Mwoga
@agtbss3463
@agtbss3463 7 месяцев назад
Lissu forever
@TrustElbashil
@TrustElbashil 8 месяцев назад
Safi sana lisu dk 5 nizake asitubabaishe
@HenryMathias-fe5uh
@HenryMathias-fe5uh 8 месяцев назад
Lissu anayekuchukia wewe haipendi inchi yetu
@Fred-Ma
@Fred-Ma 8 месяцев назад
Nategemea kuna part 2.. Haiwezekani mahojiano yameisha haraka hivi...Na Nyanda pia uko vizuri sana unamwacha Lissu azungumze..
@MatimbaShalunyona
@MatimbaShalunyona 8 месяцев назад
Nyanda sometime bora hâta ww unajitahidi kuwaita wapinzan kwenye vipindi vyako,mawe me mengine we yavumilie tu
@kilimohub580
@kilimohub580 8 месяцев назад
Akili mingi
@nelsonkolukwi
@nelsonkolukwi 8 месяцев назад
Nyanda anataka kukimbia😂😂
@samweldaniel3774
@samweldaniel3774 8 месяцев назад
Anaogopa 😂
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 8 месяцев назад
Star TV ni ya Anthony Diallo (CCM), nadhani huyu bw Nyanda huwa anapewa maelekezo na mwenye chombo hicho asiruhusu majibu ya maswali anayouliza yasikike! Wengi tuliamini Chadema ilikosea kumfanya Lowassa mgombea wao wa u Rais licha ya wao wenyewe kumtaja ktk orodha ya watu wasiofaa (wahujumu wakubwa ktk nchi!). Lakini huyu Nyanda anakera kwa mtindo wake wa kutaka maswali aliyouliza yajibiwe atakavyo! Yaani kauliza swali lakini na jibu analazimisha alitoe yeye mwenyewe😂...kwa nini uwaite watu basi?? Star TV hawafai kwa sababu uendeshaji wao wa vipindi hauna PROFESSIONALISM. Na kasoro hiyo wanayo waandishi wa habari wao karibu wote
@ibrahimsengo2506
@ibrahimsengo2506 8 месяцев назад
Nenda kaangalie BBC Hardtalk ndo utajua kua nyanda ni best
@DinaEmanuel-x2y
@DinaEmanuel-x2y 7 месяцев назад
Mtangazaji ni msenge sana
@oneagainstone593
@oneagainstone593 8 месяцев назад
Mtangazaji jifunze kutulia na kumuacha mtu ajieleze, unamkatisha kila dakika na kuharibu interview
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 8 месяцев назад
Dr Tundu Antipas Mugwayi Lisu katika ubora wake.
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 8 месяцев назад
Huyu jamaa fundi sana
@pastorstevenmdoe5143
@pastorstevenmdoe5143 8 месяцев назад
Mtangazaji una kiherehere sana siumpe nafasi kiongozi aongee
@IdeaIncubator_id
@IdeaIncubator_id 8 месяцев назад
Hapa hakuna mtangazaji.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 6 месяцев назад
Yupo yupo tu. Hajiamini na anahofia kuijua kweli..
@JustinaKaronge
@JustinaKaronge 8 месяцев назад
Hiki kipindi mwandishi hujakitendea haki weka muda wakutosha na mpe muda Lisu wakutosha
@Don-Brain.
@Don-Brain. 4 месяца назад
Kazi nzuri sana lissu🎉
@ChristopherShirima-r5c
@ChristopherShirima-r5c 8 месяцев назад
Good explanation for our nation
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 8 месяцев назад
Pole sana kaka
@husseynzooh1979
@husseynzooh1979 8 месяцев назад
Lissu🧠 ✌️
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 8 месяцев назад
Huyu Sio Mwandishi Ni CHAWA ANAYEJIPENDEKEZA
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 8 месяцев назад
kazi ipo kweli kweli big brain😂😂
@farhatfatma12
@farhatfatma12 5 месяцев назад
Bring Ayub Abdikadir from kenya maybe can handle hounarable Lissu. I plaud Lissu such a courageous politician.
@oscarsolomon4018
@oscarsolomon4018 8 месяцев назад
Mtangazaji amekosa weledi anamkatisha Lissu kila mara pale anapo expose uchafu wa viongozi
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 8 месяцев назад
Akili za Lissu ni za viwango vya juu sana
@DenisGodwin-uu6zz
@DenisGodwin-uu6zz 8 месяцев назад
Hili la ''hapa ni uongo''hata mm nimecheka😅😅😅😅
@YahyaOTHMAN-t4p
@YahyaOTHMAN-t4p 8 месяцев назад
Star TV hamna kitu hapa huyu sio muandish
@buberwapaul7690
@buberwapaul7690 7 месяцев назад
kawe ww mwandishi
@abelmbagale2265
@abelmbagale2265 8 месяцев назад
I wish Tanzania tupate kiongozi mkubwa kama huyu
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 8 месяцев назад
Nyanda Nyanda Nyanda nimekuita mara tatu Lissu ni habari nyingine
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 8 месяцев назад
Lisu suala la Lowasa limewaweka Pabaya ,Sasa vipi Slaa alikimbia chama chenu,mbona Leo Tena Slaa mmemkubari Tena ,halafu Leo mnasema sasahivi CHADEMA inamuhitaji sana Slaa
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey 8 месяцев назад
Siasa sio uadui mbona sumai ,lowasa, membe, waitara, godwin na wengine wengi bila kumsahau nyarandu waliamia chadema na sasa wameludi ccm na wengine wamefia ccm kwahyo kwenye siasa kuhama na kurudi sio zambi
@hatibuyusufu4668
@hatibuyusufu4668 8 месяцев назад
Infact ktk hii interview Lisu kachemka sio Lisu tunaemjua maswali alio ulizwa ni tatanishi Hana majibu yalio nyooka
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 8 месяцев назад
Mtangazaji unaharibu ubora wa mahojiano, Kwanini usisubiri mtu amalize kujibu unamkatisha, katikati ya jibu unauliza swali jingine!! Angalia hilo ni tatizo.
@wilfredkitelenya1140
@wilfredkitelenya1140 8 месяцев назад
Hbr star TV tunaomba mahijiano yaho yaludiwe na yapewe muda wa kutosha.
@marcogodfreymboya7349
@marcogodfreymboya7349 8 месяцев назад
Interviewer ana interupt every minute!
@dicksontheobald874
@dicksontheobald874 8 месяцев назад
Viva lissu
@augustinejohnp6383
@augustinejohnp6383 8 месяцев назад
Kwa mara ya kwanza RU-vid wamekula bando langu, na nimeinjoi na kupata elimu
@josephatbwakome5711
@josephatbwakome5711 8 месяцев назад
Tundu Antipasi Lissu ni msikivu sana anapokuwa anaulizwa maswali, ila muuliza maswali ndo miyeyusho.
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 8 месяцев назад
Huyu Mwandishi Anatakiwa Akutane na Miguna Miguna Unauliza mtu Swali halafu Akiwa anakujibu Unamkatisha? Kukosa Adabu
@JescaBaha
@JescaBaha 8 месяцев назад
Thanks lissu
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 8 месяцев назад
Tindulisu hajawai kushindwa kujibu na majibu yake sahihi kabisa
@chanendimo7815
@chanendimo7815 8 месяцев назад
Nyanda uko Jembe sana, very intelligent!
@robertedward7821
@robertedward7821 8 месяцев назад
Iet him talk please
@BernardBahatiMallya
@BernardBahatiMallya 8 месяцев назад
Star TV kwa mini hutaki Lisu waseme ya moyoni. Umwulize vyema lakini unamwekea mipaka ya majibu. BILA kuacha giza ulikuwa na agenda yako.
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 8 месяцев назад
Mwandishi acha papara ujibiwe, au majibu yanakuwasha?
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 8 месяцев назад
Huo ukweli anaousema lissu ndio ulifanya mahojiano yake na wasafi kufutwa kwa amri kutoka juu.
@TrustElbashil
@TrustElbashil 8 месяцев назад
Mwandishi usiwe chawa mwache lisu azungumze ili wahusika wasikie usiwakingie kifua watashugulikiwa TU lisu hata acha kulizungumzia swala lake ata ungekuwa wewe usingekoma
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 8 месяцев назад
Mwandishi, haujitambui
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 8 месяцев назад
Mungu akubariki sana Lissu. Taifa hili litakukumbuka sana. Hakika hukupona kwa bahati mbaya .. Waliotaka kukutanguliza walitangulia wao ..😊 Mungu huyu jaman...
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 8 месяцев назад
Mh tukonyuma yako.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 месяцев назад
👊👍✌️
@emmapaul1766
@emmapaul1766 8 месяцев назад
Mtangazaji acha mihemko ya kina zembwela au kina kitenge be logical patient and well organised when interviewing people like lissu.
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 8 месяцев назад
Super Guru.
@meddy92
@meddy92 8 месяцев назад
Kama ulikuwa unaogopa majibu kwanini ulimwita?🚮🚮
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 8 месяцев назад
Jembe la Taifa❤
@KapondaZenaida-g3z
@KapondaZenaida-g3z 8 месяцев назад
Naililia Tanzania yangu
@abdallahmtale4060
@abdallahmtale4060 8 месяцев назад
Lissu mlitaja majina mwaka 2007 na ripoti ya mwskyembe ilikuwaz mwanzoni mwa 2008 hapo imekaaje kusema eti mlitaja jina kutokana na ripoti ya mwakyembe na wakati ripoti ya mwakyembe ilikuja baadae mwaka uliofuata
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey 8 месяцев назад
Hajasema kutokana kasema ipo kwenye report ya mwakiembe
@omaryidd4373
@omaryidd4373 8 месяцев назад
Lisu ninoma sn
@aggreymudinyu9465
@aggreymudinyu9465 6 месяцев назад
The interviewer is impatient
@MadeliTV
@MadeliTV 7 месяцев назад
Anajikuta piers Morgan wa Kanda ya ziwa. Interruption Hadi zinaboa. Acha Lissu ashushe madini
@samweldaniel3774
@samweldaniel3774 8 месяцев назад
Aisee huyu mwandishi chizi kwel kwel
@dominicksangu8934
@dominicksangu8934 8 месяцев назад
Lissu jembeletu tz Mungu,azd kujulinda.
@godwinmushy4339
@godwinmushy4339 8 месяцев назад
sijaona interviewer ambaye hana content kama huyu
@mohoniajoseph9067
@mohoniajoseph9067 8 месяцев назад
Ukiwa na akili ya kawaida, kumhoji Mhe. Lissu ni sawa na kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kukimbia
@MgishaMt
@MgishaMt 8 месяцев назад
Asante kaka lisu
@MARAMBOTv
@MARAMBOTv 8 месяцев назад
Wwe nikiboko
@driss4957
@driss4957 8 месяцев назад
UNAULIZA MASWALI UKIWA UNAJIBIWA UNAKATISHA AU UNAHARIBU MAJIBU AU UNAINGILIA MAJIBU..POOOR INTERVIEWS ZAKO..JIREKAEBISHE,KAMA UNAOGOPA WASEMA KWELI ITA MAKADA TU,UWAHOJI..
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 7 месяцев назад
😮
@ramadhaningulinga217
@ramadhaningulinga217 8 месяцев назад
U deserve better ishi sana mkuu
@fredrickjoseph6133
@fredrickjoseph6133 8 месяцев назад
Ifike atua hizi interview ziwe na dak za nyongez
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 8 месяцев назад
huyu mwandishi msenge tuu
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 8 месяцев назад
Shida ya huyu mtangazaji:- 1. Anauliza maswali marefu huku akijaza maelezo ndani ya swali. 2. Anamkatisha na kumuingilia wakati anayeulizwa akiendelea kujibu 3. Anavuruga mtiririko wa kipindi/mahojiano kwa kumkatisha anayejibu hii si kwa Tundu tu hata wageni wengine anaokuwa nao.
@KalistoKalilile-v7l
@KalistoKalilile-v7l 8 месяцев назад
Uyu jamaaaa ana hakili kweli mbona kam hajui maana ya interview au anaigiza falaaa sanaaaa amuache lissu ajieleze bhanaaa mbona hajielew fala. Kabxaa😅😅😅😂😂😂
@RichardJr-y8d
@RichardJr-y8d 8 месяцев назад
Yaaan ujingaaa lissu Ana story nzuri mtangazajii anatunyimaaa hiyo story
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 7 месяцев назад
Lkn Mhe Lisu wanasemaga kuwa kitendo cha Dereva kutokuonana na hadi leo tukio lilikuwa ni kijanja.
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 8 месяцев назад
Mkuu wa mashtaka anachaguwa kesi ,ili serikali iliyomuweka ilinde ugali wake ,,HII INAONESHA YAKWAMBA MAHAKAMA ZETU HAZINA UHURU INACHANGIWA NA KATIBA ILIYOKUWEPO ,,NDIO MAANA CCM HAWATAKI KATIBA MPYA ,,DAA NDIYO MAANA MH LISSU HADI SASA HAKWENDA MAHAKAMANI KWA JAMBO LILE LA KUPIGWA RISASI
@AmedeusKessy-o1h
@AmedeusKessy-o1h 8 месяцев назад
Doooh Hatari
@mauamkamba4906
@mauamkamba4906 8 месяцев назад
Mahojiano yamekosa ladha kwa mtangazaji kumkatisha katisha mhojiwa
@ntasumbamgodapesa9365
@ntasumbamgodapesa9365 8 месяцев назад
tabu ya mh. lissu anapenda kuhamisha sana swali au goli
@allenmambasa408
@allenmambasa408 8 месяцев назад
Jamaa hatasubutu tena kumtafuta Lisu😂😂😂 Alitaka umaarufu maskini😢 Huyo mtu ana mambo mazito kichwani mwake, muulizeni mbowe😅😅😅yeye mwenyewe huwa anahenya naye😂 Mwisho wa siku imebidi jamaa awe time keeper baada kuendesha mahojiano😢
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 8 месяцев назад
Chadema chama makini sana bahati mbaya usalama na police wanatuqngusha kwa kuwabeba majinga ccm
@isayakihongile4921
@isayakihongile4921 8 месяцев назад
Kamati kuu ndiyo iliyojadili na kumleta hayati lowasa CHADEMA ninyi mnaemsema Mbowe mmepata majibu Mbowe tunae na tutaendelea kuwa nae
Далее
Mahojiano na Tundu Lissu
27:29
Просмотров 84 тыс.
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
Mkasi | S11E07 With Mh. Tundu Lissu - Extended Version
1:17:26