Тёмный
No video :(

MAANDAMANO KENYA LEO TENA RUTO AMEANZA KUILAUMU MAREKANI KUFADHILI. 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg Месяц назад
Watching from 🇱🇧🇰🇪
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Месяц назад
Freedom is coming in east and central Africa
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Месяц назад
True 👍
@YusriAllyMuhammadahmad
@YusriAllyMuhammadahmad Месяц назад
Marekani walihitumiya Kenya kupora Mali za afrika assa DRC Congo walitaka kufanya mapinduzi,Sasa mapinduzi yatafanyika Kenya kwa hilo basi freee afrika 4 new colonialism
@eliudkimari-wt5cl
@eliudkimari-wt5cl Месяц назад
Kenya inajielewa
@WilsonOnyango-r7w
@WilsonOnyango-r7w Месяц назад
It's good to obey
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Месяц назад
Walimshobokea wanyewe marekani toka lini akawa rafiki Ruto alijipeleka mwenyewe marekani sasa yanamtokea puani..
@reginamayuto1357
@reginamayuto1357 Месяц назад
Pamoja sana mwalimu wa neno la Mungu. 🇩🇰🇩🇰🇩🇰
@LaizerSaitoty
@LaizerSaitoty Месяц назад
yani ulivyo ikana urusi ndo mkosi ulipo anza ulikosea sn
@samweljohn174
@samweljohn174 Месяц назад
kenya lazima mjielewe hao wafadhili kawaida yao vita kwao hakuna nyie uweni nchi yenu wenyewe
@hadijaossi7821
@hadijaossi7821 Месяц назад
RUTO KAJICBANGANYA WENYEWE WACHA YAMKUTEE... RUTO ALIKUWA KIONGOZ WA MFANO LAKIN WAKOLONI WAKAMTIA MTEGONI.... SASA HAO NDIO WAKOLONI WALIVYOOO... NA RUTO KILA UNAVOUWA WATU NDIVYO UNAVOWATOWA WATU UOGA WA KUFA..
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi Месяц назад
Wapi mfano mzuri?Wewe humjui ruto. Ruto ni mwizi,fisadi mkuwa,mto wakuongea urongo kila sika,hana uwezo wa kuwa rais ata wa kijiji. Mtu useless muuwaji ,tapeli mkubwa. Amekuwa kazi ni kuiba pesa za ummaa. Tumemkataa na ataenda na uongozi wake wa ukora na wizi
@kelvinkariuki1054
@kelvinkariuki1054 Месяц назад
Zakayo free Kenyan's 🇰🇪🇰🇪 Resign for our country to be free
@hassansingano1150
@hassansingano1150 Месяц назад
Ruto alianza vizuri, safari zake za ulaya zimemponza
@user-tw9wu2gz4g
@user-tw9wu2gz4g Месяц назад
Yaani.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Месяц назад
Tanzania ndo hatali, mmeuzwa, mmekuwa watumwa tena, siku mkiamka mmekwisha.
@fabiankyopuwatv3819
@fabiankyopuwatv3819 Месяц назад
Vijanaa munatumika vibaya hapo nchini kwenu kenya.. maandamano hayatatui changamoto kukaa na kuzijadili changamoto kutawapatia nja nzuri za kuzitatua... Ni ngumu sana kuirudisha amani ikishaondoka.
@Qqambaa
@Qqambaa Месяц назад
Hawajatumika we mshamba nyamaza hamna mtu analipa vijana watu wamechoka na ushuru na ugumu wa maisha wakati unJua vzr nchi yako ina uwezo ila viongozi ni wafisadi wakenya wamechoka simple
@fabiankyopuwatv3819
@fabiankyopuwatv3819 Месяц назад
@@Qqambaa Trust me it goner be worse than what its... hapo ndipo mutaelewa kete mulioichagua kuicheza haikuwa sahihi.... ila hongeren kwa action maana kupaza sauti kuliko kukaa kimya.
@user-us8ku3nk3x
@user-us8ku3nk3x Месяц назад
Wa Uganda pia wa Rwanda muaanze maandamano kwenu.
@SadickHamis-vm1qi
@SadickHamis-vm1qi Месяц назад
Kaanzie kwenu😢😢😢
@user-yl3be9ix4y
@user-yl3be9ix4y Месяц назад
Tim russia inashukuru matokeo yakenya malipo yadam jeshi lakenya kumwaga drc congo
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie Месяц назад
Sasa wakenya ninani mtamchaguwa mana tatizokubwa lipo kwenye mfumo wa demoklssia 😢
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un Месяц назад
Akishaondoka ruto watajuwa nani wakumueka
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 Месяц назад
atachaguliwa kutoka familia ya Gen Z
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Месяц назад
Hapa tanzania watu wanatekwa na kuuwawa na wasiojulikana icc mko wapi
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 Месяц назад
Ruto must go
@himidmkuya7381
@himidmkuya7381 Месяц назад
ruto kajichanganya kuenda ukrain kumsuta putin hajui putin hawapendi marekani sasa atatoka madarakani masikini
@Mumewangu
@Mumewangu Месяц назад
Ruto aliipinga urusi sasa cha moto unakipata
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 Месяц назад
Bado hajasema, Yani mpaka aseme
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Месяц назад
Sisi kwetu tz tunamtaka samia aondoke madara kani
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Месяц назад
Wewe labda peke yako ndio uondoke usiwe raia wa Tz
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Месяц назад
Labda 😂kakosea mashariti ya wa magaribi
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
🤣🤣🤣
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Месяц назад
Hizo ni fikra za kikoloni na umasikini wa kufikiri, inamaana unaona kama vile wanaoandamana ni vibaraka sio? Wametumwa a marekani ama? Iweje useme alikosea masharti? Kenya siasa ni nyingi kuliko utendaji, pesa yao imepanda rate ipo juu sana kwa sasa maana yake uchumi umepanda wakati raia wengi ni masikini, hii imekaaje hapo wakati fika tunajua uchumi wa dunia umeshuka sana kutoka na vita ya Israel na palestine, Russia na Ukrain na sehemu nyengine machafuko pia yapo ila Kenya uchumi unapanda what a funny jokes.
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
@@nassercurtis9579 ndugu hamaanishi kua waandamanajin ni vibaraka, ila anachomaanisha kua pengine Ruto amekosea masharti aliyopewa na Colonial Masters wake ndio maana yamezuka maandamano na machafuko
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Big up mwalimu 💚
@Alex-n8w4d
@Alex-n8w4d Месяц назад
Sana mwalimu
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu Месяц назад
Washenzi kikuyu ndio walichagua Ruto Sasa mbona tena Ruto aliyechaguliwa na kikuyu wezi amekua mubaya
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg Месяц назад
Mm pia nilijua,marekani atakua nyuma kwa sababu ruto ni kiongoz mzuri sana sema kwa trick waliomfanyia ni ngumu watu kuelewa nani mbaya
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi Месяц назад
Wewe humjui ruto. Ruto ni mwizi,fisadi mkuwa,mto wakuongea urongo kila sika,hana uwezo wa kuwa rais ata wa kijiji. Mtu useless muuwaji ,tapeli mkubwa. Amekuwa kazi ni kuiba pesa za ummaa. Tumemkataa na ataenda na uongozi wake wa ukora na wizi
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Месяц назад
Ukimsema vibaya putin basi ujue laana lazima ikushike
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 Месяц назад
Neno lipi unalisimamia wakati huo huo unasema bibilia sio neno la Mungu?? 😂😂😂😂 Kama bibilia sio neno la Mungu, wewe unafundisha neno lipi mpaka kujiita mwl wa neno la Mungu?? 😅😅 Amua brother kama unabase kwenye propaganda au kwenye uhalisia. Be blue my friend.
@user-ec5hw3kh4m
@user-ec5hw3kh4m Месяц назад
Nani alikuambia Biblia ni neno la MUNGU? Biblia ni maneno ya Warumi na Wagiriki.
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 Месяц назад
@@user-ec5hw3kh4m aliyekuambia hayo ni nani?
@stevenfumbi9566
@stevenfumbi9566 Месяц назад
Hapana kuna Waziri wa utumishi bi Aisha Jumwaa ni mbunge
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu Месяц назад
Nato ndio waliweka Ruto kwa utawala Sasa kimeumana
@AbdallahMiwere
@AbdallahMiwere Месяц назад
Kipi inajielewa
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e Месяц назад
Shame On You Kenya Muache Kujipendekeza ...😂😂😂
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 Месяц назад
Mwalimu wa neno la Mungu, Mungu yupi huyoo?? 😂😂😂 Ivi uliwahi ona wapi manabii wa kiyahudi wanaikosoa falme tofauti na za kiyahudi?? Kama hakuna, wewe kupambana na nchi za magharibi umetolea wapi?? Nchini kwako kuna dhuluma za kila namna mbona hutoki hadharani na kukemea kama kweli unapambania ukuu wa mwafrika?? 😅😅😅 Mbona unashika watu akili kijinga ndugu yangu?? Kama kweli unamaanisha simama na watanzania. Wakina eliya, wakina elisha n. K hakuna aliyepambana na utawala mwingine zaidi ya nchini kwao.
@user-yl3be9ix4y
@user-yl3be9ix4y Месяц назад
Tim russia inashukuru matokeo yakenya malipo yadam jeshi lakenya kumwaga drc congo
Далее
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 276 тыс.
IFAHAMU PARADISO YA DUNIA USWIZI
48:46
Просмотров 3,4 тыс.
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
Просмотров 89 тыс.
How Turkish Got To Turkey
13:59
Просмотров 106 тыс.
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 276 тыс.