Тёмный
No video :(

HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 343 тыс.
50% 1

Leo December 9 2017 Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza msamaha kwa Familia ya Babu Seya, msamaha huo ameutoa wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Uhuru yaliyofanyika kitaifa mkoani Dodoma

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 297   
@peterpet8319
@peterpet8319 6 лет назад
JPM umefanya nipate mduwao mkubwa. Hakika moyo wangu umefurahi nikatamani ungekuwa unaweza kufikika nikupe mkono. What a decision Mr President JPM. God Bless you! Hongera Nguza Viking
@eppamsa2
@eppamsa2 6 лет назад
Big up rais wangu, MUNGU akupe nguvu siku zote na daima, uendelee kutawala namna hii kwa busara. Nakuombea Sana. "Mamlaka ya shetani juu yako yashindwe katika jina la YESU! Amen"
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 6 лет назад
Yani kwa,hili la Babu seya, mzee Hongera, sana, yani dah asante
@joelnassari105
@joelnassari105 6 лет назад
God is Great....God Bless You Honourable John Pombe Joseph Magufuli....Hatimaye yamekua wamekua huru...am so happy Papii alienda jela akiwa kijana mdogo sana na familia yake..Jesus is Answer
@maryschroeder521
@maryschroeder521 6 лет назад
His so dope I wish Kenya we had such a man:
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 2 года назад
Utadumu moyoni mwangu, ninalia tu 😭😭😭😭😭
@dastanherman.kingdicetv1840
@dastanherman.kingdicetv1840 6 лет назад
yaani we magufuri umefanya nihamie ccm direct bila chenga mungu akulinde baba
@jaksonmakorere2521
@jaksonmakorere2521 6 лет назад
My president u make me to belief ur vision n mission asante sana mh.Mungu akupe maisha marefu
@winndelule2302
@winndelule2302 6 лет назад
Nakupnda rais wangu. .....am speechless. ...nlivyoona hiyo habar nilisisimka. .dar kwangu mim baada ya nyerer ni wew. ....God bless u alwayz. .acha wakuseme 2 lakin deep inside we know that u r so gud 2 us
@egmnation9926
@egmnation9926 6 лет назад
mungu akulinde rais wangu mzalendo katika viongoz wote
@mapendosafi3429
@mapendosafi3429 6 лет назад
Oooh thank you Lord Mungu amubariki sana baba raisi 💝💝💝💝💝💝💝
@innocentngogolo212
@innocentngogolo212 6 лет назад
magufuli ni zaidi ya rais mungu akupe maisha marefu duniani.
@kitundakivule2716
@kitundakivule2716 2 года назад
Nimesoma comment yako leo😭😭
@johndavif1729
@johndavif1729 6 лет назад
hongera sana baba kwa busara zako mungu akupe maisha mrefu
@user-zk8sg3iw1z
@user-zk8sg3iw1z 5 месяцев назад
Hatuwezi kupata mwamba kama wewe baba wa Taifa wa kweli JP Magufuli🎉🎉🎉 Mungu akusamehee na wewe mazambi yako yoteee ya duniani baba na Kila anayekubaliana na Mimi alike statement hiiii Amina 💪🔥🔥🔥🔥♥️❤️💗💞💞💕💓
@wardamarungu2478
@wardamarungu2478 4 месяца назад
Hakika hatuwezi yni kama ni ndoto tuamkee😢😢
@cvanocharles6001
@cvanocharles6001 6 лет назад
Rais wangu Leo umenifanya nimeshiba bila kula kwa kusamehe na kuwa achia huru wafungwa hasa wa mda mrefu Mungu Akubariki akupe maisha marefu
@salamamohamed9519
@salamamohamed9519 6 лет назад
A L H A M D U L I L L A H👏👏👏 Mungu ni mwema jaman Asante Rais wa wanyonge umegusa miyo ya watanzani na kuwajaza fraha na Aman kwa cku ya Leo kuwatoa hawa viumbe wa mungu ktk adhabu walokuwa wanatumikia kwa muda mlefu kwani hata Mungu anasamehe MUNGU AKUBARIKI SN MH. RAIS WETU leo ni cku ya furah kwa watanzania walio wengi
@godlovedonkoli6050
@godlovedonkoli6050 Год назад
R.I.P JPM Hakika nakuombea kwa Mungu nawe dhambi zako zote zisamehewe hakuna binadamu mkamilifu.
@jerusalemtz8924
@jerusalemtz8924 6 лет назад
Yan mpaka machoz yananitoka.....what kind of president are u magufuli.....! God bless u sana! Kwa hili la babu Seya! Mungu akuinue! I fail believing t right now, naona kama nadream hv!😢
@jackygaucho8774
@jackygaucho8774 Год назад
Pumzka kwa Amani 🙏,Nakukumbuka sanaa Magufuli😥😥😥😥
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Месяц назад
Acha tu.. 😭😭😭😭😭
@frankkashner
@frankkashner 6 лет назад
Raisi Mungu akubariki nimelia hawa watu hawana hatia
@spaice995
@spaice995 6 лет назад
Haya machozi sijui ya furaha maana yamenitoka tu now can see how people's tulisubir hiki kitu kwa hamu MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU BARIK RAIS WETU
@emilianatemba4178
@emilianatemba4178 6 лет назад
Jamani raisi wangu mungu hakulinde hubaki ikulu tu hukiondoka wanyonge tumekwisha jamani tufunge na tumuombe raising wetu
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
spaice Johnny yaan daah
@tammysalum5475
@tammysalum5475 6 лет назад
Mungu n mwema kwa kila jambo,hakuna aliyemkamilifu,yote n hero za Mungu,jina lake litukuzwe
@norascombedule1057
@norascombedule1057 6 лет назад
Mungu awape Moyo wa kusamehe km wawo walivyosamehewa na awajaze Moyo wa ushujaa uliojaa matarajio mema Amina
@tembasimba9462
@tembasimba9462 6 лет назад
Hakya Mungu tumepata rais tuliekua tunamtaka, Mungu akupe maisha marefu babaaaa
@adamkabila7113
@adamkabila7113 6 лет назад
unacma ww hivyo wengine hawaelewi
@mallyaeditha694
@mallyaeditha694 6 лет назад
nimefurah sana jamani mungu akubariki Rais wangu
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
Mungu akupe umri mrefu my president👏👏👏👏
@alialle6441
@alialle6441 6 лет назад
Mungu ni mwema sana! Tumpe utukufu wake!
@clevermakundi2022
@clevermakundi2022 6 лет назад
Hakika rais w umetoka mikonon mwa mungu kira wakat ntaomba dua kwa mungu il akufanikishe kwa kira uriwazalo barikiwa sana rais wang jpm mungu aubalik uzao wako na ww na mama janeth AMINA
@morismosses788
@morismosses788 6 лет назад
We jamaa nilikuw sikupendi lakini kuanzia sasa unakuwa rais kipenzi changu na 2020 kura yangu nitakupa kabisaaa
@lascoshirima9202
@lascoshirima9202 6 лет назад
Nimekukubali rais 2020 kura yangu nakupa kweli ww ni mzalendo
@happysilyvester1712
@happysilyvester1712 6 лет назад
Katika siku uliyonifurahisha mzee wangu ni leo kuwasamehe hao wafungwa haswa babu seya na papii kocha dah ubarikiwe baba umefanya vyema..
@user-eu1pq2fb9x
@user-eu1pq2fb9x Месяц назад
Jpm ungekua bado upo hai Tanzania ingekua mbali sana mungu akusamehe Dhambi zako
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 2 года назад
Nitakupenda milele Magufuli wangu
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 лет назад
dah roho wa mungu aendelee kua juu yako raisi wetu jpm uwe furaha yakila mmoja raisi wetu umri unaompendeza mungu uongezewe my jpm ww ndiwe tuliyekuomba uzaliliwe tz
@giovannygracious3434
@giovannygracious3434 6 лет назад
ad mwili umenisisimka hakika wakati wa Mungu ukifika hakuna awezaye pinga!!!! karibun uraian ndugu zetu!! japo maisha magumu karibun tupambane pamoja!!! mje mumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu
@sarakaghembe3097
@sarakaghembe3097 6 лет назад
giovanny gracious amen amen amen...Mungu na ahimidiwe.
@fadhilasaidlukas7543
@fadhilasaidlukas7543 6 лет назад
Hongera Sana mh rais hakika ww ni rais shujaa
@ashuraiddy8345
@ashuraiddy8345 6 лет назад
kweli raisi magufuli wewe nirahisi unaefaa kuongoza nchi hongera sana kwakuwa samehe ndugu zetu nakuwaachia huru aswa kwababu seya napapikocha mungu akuzidishie miaka yote kiukweli nimejawa na furaha mpaka machozi yafuraha yameni bubujika kuona papikocha nababayake wako huru. mungu akulinde Raisi wetu Joni Josef pombe magufuri.
@beatricemveyange1156
@beatricemveyange1156 6 лет назад
kwahapo baba nimeuona uzalendo wako mungu akubariki sana
@Shabanjr329
@Shabanjr329 6 лет назад
mungu akuzidishie my president ukiisiliza hii unaweza toa machozi ya furaha
@yusufbasiliya1247
@yusufbasiliya1247 6 лет назад
Asante sana baba Rais wetu mpendwa
@naomynathanael5445
@naomynathanael5445 6 лет назад
mungu ampe maisha marefu raisi wetu
@hamishamis9905
@hamishamis9905 6 лет назад
Magufuli..wahurumie na hao..masheikh..mungu atakulipa
@sebastianododa9177
@sebastianododa9177 6 лет назад
Mungu akulinde
@greydimpoz5425
@greydimpoz5425 6 лет назад
Miaka mia mzee umefanya jambo la msing sana
@stephenchenga4028
@stephenchenga4028 6 лет назад
magufuli rais wangu namba moja ingawa maisha yngu hapa mjini magumu lkn ya wazazi wangu kule kijijini mazuri...nilimpa kura yngu 2015 na ntampa tena hata akigombea awamu 10 cuz NO prezoo like him....like if u agree
@williamalex4792
@williamalex4792 6 лет назад
Kweli raisi wetu umeonesha moyo wakiume na mungu akulinde katika kutetea haki za wanyonge
@gidionsukuru4421
@gidionsukuru4421 6 лет назад
Umefanya mzee nikuamini kwa asilimia 2 keep up mzee
@yenuramadhan5662
@yenuramadhan5662 6 лет назад
Nakupenda sana rais wetu mungu akupe kila la kher ln sha allah
@fahariyangu2782
@fahariyangu2782 6 лет назад
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI
@DeejayJulius254
@DeejayJulius254 3 года назад
Samahani, si mnyongeni bali ni mnyongeeni
@epainethowanjara6546
@epainethowanjara6546 6 лет назад
nimeona sasa kazi unaifanya MH RAIS big up
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 лет назад
Jamani Mungu ni mwaminifu asante baba magufuri
@sophiayusuph5424
@sophiayusuph5424 6 лет назад
Mungu endelea kumtia nguvu Rais wetu azidi kutenda mema kW watu anaowaongoza hongera sn kW hili
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 6 лет назад
Ubarikiwe sana Rsisi wetu, Mungu anapenda wanaosamehe wenzao
@lucywilibroad8816
@lucywilibroad8816 6 лет назад
Natamani hata kulia Jaman mungu mbariki huyu baba
@mtotowamamasamorabm4648
@mtotowamamasamorabm4648 6 лет назад
Mwenyez mungu akujalie miaka mingi rais wangu JOHN POMBE MAGUFULI. Heri wenye kusamehe maana wao watasamehewa
@asmeramir2371
@asmeramir2371 6 лет назад
mungu akubariki My president
@frankjoseph6213
@frankjoseph6213 6 лет назад
Mungu akubariki sana raisi wetu
@omarymkombozi23
@omarymkombozi23 6 лет назад
Magufuli , endelea kuwa Rais mpaka nikwambie inatosha ... Maana hata sioni umuhimu wa uchaguzi 2020 ....
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 6 лет назад
Omary Mkombozi semaaa kaka ommy
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
Utachefua watu Hahaha kuna watu hawajawah kumsifia JPM ata afanye mema gan, haina haja ya kufanya kampen 2020 tutakwambia upumzke pale tutakapopenda watanzania
@jimmymwandenuka8690
@jimmymwandenuka8690 6 лет назад
hawa wanacheza na akili zetu bro kama unaupeo mfupi huwezi elewa nn wanamaanisha so fikiria kwanza nn kinaendelea nyuma yake zen uwe #mzalendo
@upendosanga3328
@upendosanga3328 6 лет назад
asante mkuu
@marygregory7566
@marygregory7566 3 года назад
Magufuli baba nikikutafakari sana nakuta machozi yananitoka..machozi ya shukurani kwa Mungu kutupa baba kama wewe ambae umekubali Mungu akutumie kama chombo hapa duniani..tutakuwa wote paradise siku ya mwisho.
@priscajose2392
@priscajose2392 6 лет назад
daaaah kwakweli mungu akuweke miaka kamayote uncle magu
@patricmwakapalila7301
@patricmwakapalila7301 6 лет назад
Du! mkuu, katika hili ulilolofanya limekufanya upae juu zaid,,,!! umewafurahisha wa TZ,,,!!
@beatriceshadrack9995
@beatriceshadrack9995 6 лет назад
Magufuli Mungu akuweke tu Rais wetu😘😘😘😘😘
@seadkolasnic6894
@seadkolasnic6894 6 лет назад
Hongera kwa hili ila watanzania tuache unafiki wakati lowasa aliposema mkinichagua nitamtoa babu seya tulilaani kwa nguvu zote na Leo tunashangilia kwa nguvu zote
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 лет назад
hongera raisi wetu love love
@maisha2207
@maisha2207 6 лет назад
Wallah itapendeza zaid wakiachiwa na mashehe wa uamsho
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 11 месяцев назад
Rest in peace JPM
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 лет назад
yan imeniliza tujifunizen kusamehe mungu atusamehe na sisi
@abuhurayrah3465
@abuhurayrah3465 6 лет назад
me pia mpk chozi limenitoka automatic kulizuia sikuweza mungu akuongoze mr. president
@gabriellydaud5411
@gabriellydaud5411 6 лет назад
Jambo jema Sana rais wetu mungu pamoja nawe
@felixbombo6175
@felixbombo6175 6 лет назад
Mungu akubarki Rais Magufuli...
@ibrahimlatif1917
@ibrahimlatif1917 6 лет назад
Mashehe tunategemea Inshaallah kwa uwezo wa Allah nao watasamehewa siku ya uhuru wa Znz.
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 6 лет назад
Ibrahim Latif Allah kareem Inshaallah wataachiwa huru
@hazjay4671
@hazjay4671 6 лет назад
#InShaaAllah!!
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 Год назад
Kwenye hili na mengine mengi nitakukumbuka daima Rais wangu.Mungu akupumzishe huko ulipo
@samiraelias8145
@samiraelias8145 6 лет назад
ahsant mungu kwakumuwezesha rais wetu kuliona hili balikiwa magufuri
@jasminasha9551
@jasminasha9551 6 лет назад
Asante sana Rais wangu Lakini uwafikilie mashehe na LuJu👋
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
Jasmin Asha hawajahukumiwa bado huenda mwakan Mwenyez mungu akajaalia
@scolasticajustiny2223
@scolasticajustiny2223 6 лет назад
Mungu azidi kukuweka raisi wetu magufuli kila kunapo kucha ninazidi kukupenda sijawahi kukuchikia hata iweje nitazidi kukupenda magufuli raisi wetu
@geremyshadrack9170
@geremyshadrack9170 6 лет назад
ni mapema sana kucoment katika hili zaidi yakusema Stay blessed Dad..
@aloysevodius7761
@aloysevodius7761 6 лет назад
Mipango baba Mungu alitushushia neema kwa JPM ww ni neema yetu nakukubali sana Mr President
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Месяц назад
Pumzika kwa amani baba🙏🙏
@sudeinwahab906
@sudeinwahab906 6 лет назад
Hapo mheshimiwa nakujubali mungu atakujaalia kila la kheri huruma ulionayo ni kubwaa sana
@nazmaabdul949
@nazmaabdul949 6 лет назад
Magu ubarikiwe babab
@ericpauldiego6091
@ericpauldiego6091 6 лет назад
mwee!
@mnikomasana1102
@mnikomasana1102 6 лет назад
safi sana mzee wangu raid wangu MUNGU akubariki
@barikichichimu3502
@barikichichimu3502 6 лет назад
mungu akubariki presider jpm.......hakika ww ni kiongoz.
@frankmwaluko9095
@frankmwaluko9095 6 лет назад
mungu akubariki sana kwakumsamehe mtuhumiwa asie kuwa na hatia kama babu sea kidogo nimecha anza kuwaelewa ccm hasa rais
@zarkleon2511
@zarkleon2511 6 лет назад
Nahamia CCM kuunga mkono juhud za Rais
@linahmatayo2650
@linahmatayo2650 Год назад
Pumzika kwa amani baba natamani mungu akuludishe duniani uje utuone wanao baba sauti yako inaumiza rohoni baba nileo 30,3,2023 nakukumbuka
@laurencelucas3108
@laurencelucas3108 6 лет назад
Mungu akubariki sana raisi Wang mpendwa wewe ndo raisi bora ukitoa nyerere
@kroby9581
@kroby9581 6 лет назад
Mungu akubariki ewe magufuri
@salimmapunda7393
@salimmapunda7393 6 лет назад
thank
@prophetmunuo9317
@prophetmunuo9317 6 лет назад
Ndiyo maana tunamuombea Rais wetu. Na Roho wa Mungu anamsaidia kutenda maajabu
@burtonsatshop2061
@burtonsatshop2061 6 лет назад
_BREAKING NEWS_ *Babu Seya kapigwa na butwaa baada ya kuambiwa Mbowe na Lipumba bado wenyeviti kwenye vyama vyao*😀😀😅😜
@ndapwatv6600
@ndapwatv6600 6 лет назад
Burton Jorde 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@catherinecharles932
@catherinecharles932 6 лет назад
Burton Jorde hajazimia kweli kusikiA bdo wapo
@brownjaffaly1172
@brownjaffaly1172 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@aloysevodius7761
@aloysevodius7761 6 лет назад
Tumengoja sana iyo kitu atimaye umekuja kutufanyia kile tulichokingoja ubarikiwe baba mkubwa
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 лет назад
Cmkubaligi Raisi ila leo umetenda haki kwa hao wafungwa, aswa mzee nguza na mwanae
@tukeimalinga1548
@tukeimalinga1548 6 лет назад
Tracy Justice hata SAA mbovu kuna wakati husema ukweli. Mpende pale anakugusa kwani yy cyo malaika akupendeze SAA zote
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 лет назад
2k Malisasi c ndivyo niliyosema kuwa ametenda haki au ulikuwa unataka nisemeje? Maana kiswahili kigumu unifundishe ndugu yangu labda cjatumia kiswahili kizuri
@jimmymwandenuka8690
@jimmymwandenuka8690 6 лет назад
hiii mbinu ya mchezo mnyonge huwezi elewaaaa
@bahsanyare6907
@bahsanyare6907 6 лет назад
Wooow
@catherinemgaya8498
@catherinemgaya8498 6 лет назад
nimefurahi mnooooo kusikia hayoo,,mungu aendelee kukutunza vyema raidms wetu
@heriethmashulano3963
@heriethmashulano3963 6 лет назад
mungu akubaliki sana rais wetu
@mtumweusi5649
@mtumweusi5649 6 лет назад
MUNGU MKUBWA HAKIKA MAOMBI YA WALIOWENGI YAMEJIBIWA TUWAKARIBISHE NA KUJUMUIKA NAO KATIKA KULIJENGA TAIFA.
@giftyfrance8748
@giftyfrance8748 6 лет назад
Mungu akubariki sana raisi wetu, nilikuwa nikiuliza maswali kila siku kuhusu babu seya na mwanae kuwa watatoka lini katika adhabu isiyo ya haki? kwel nimeamini ninae rais mzalendo
@happynnko1193
@happynnko1193 6 лет назад
asante baba ubarkiwe ktk hili
@ben_digital
@ben_digital 6 лет назад
Glory to God....Hapo Magufuli amenikosha....Sasa wapinzani wenzangu msije mkaanza kupinga na hili suala ohooo!
@chatoonline9352
@chatoonline9352 6 лет назад
wewe nizaidi ya raisi wewe ni nabiii
@twalibuabdallah9337
@twalibuabdallah9337 6 лет назад
acha usenge www
@rosegodson4633
@rosegodson4633 3 месяца назад
leo nimerud hapa magufuli wetu, 😢 sjui kama unaona hii comment au huioni, sjui sana kuhusu kifo ila nna uhakika MUNGU yupo basi mwenyez MUNGU akuweke pamoja na wakuu, we're sorry we failed you dad😢😢 may u rest in peace 🕊️
@joycedonald767
@joycedonald767 Месяц назад
Na Mimi nipo apa machozi yananitoka dah
@emmanueljohn5011
@emmanueljohn5011 6 лет назад
HSANET MZEE BABA KWAKWELI UMENIKOSHA MTIMA WANGU , SASA UYO MZEE WA WTU MIAKA 42 NDANI YA JERA DAAAH MUNGU AZIDI KUKUPIGANIA RAIS WETU
@elishaalex1747
@elishaalex1747 6 лет назад
MUNGU AKUBARIK JPY KWA MARA YA KWANZA LEO NIMEKUSIFIA ASEE
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 6 лет назад
elisha alex 😂😂😂😂 mwenyewe leo kanigusa kweli kwa mara ya kwanza
@elishaalex1747
@elishaalex1747 6 лет назад
Sakina Ndoile ila huyu mzee mtata sanaa aise
@suzanmaswatu3814
@suzanmaswatu3814 6 лет назад
Yaani aise kwa hili nimekubariki Rais wangu ,
Далее
Live. JPM ALIVYO WAACHILIA BABU SEYA.
2:03
Просмотров 16 тыс.
President Obama Addresses the British Parliament
42:24