Hapa lazima masheikh wajifunze kupitia hili darsa ni la umuhimu sana kwenye dini yetu na pia viongozi walioko mbele yetu na watakaokuja baadae yetu Insha'Allah,, Ni mafunzo mazuri sana ,pia nashukuru Alhamdulillah kuna mambo nimejifunza na mimi pia Mungu anizidishie umbri,uelewa mzuri,moyo wa kutoa ili na mimi ni wape wasiojuwa na kizazi changu Insha'Allah
Kalamu tv ,nawaapta vizuri sana❤❤ pia leo METULETEA SHEKH NA MCHAMUNGU KWANZA ANAADABU SANA,MNYENYEKEVU ..MASHEKH VIJANA WA SASA BAADHI YAO HAWATAKI KUJISHUSHA .TUNAWAPEND MASHEIKH WETU NA NAWAHESHIMU SANA ILA TUJIFUNZE KWA HUYU SHEKH
Sheikh umeongea maneno mazito mno, maimamu wengi hawajitambui wao kazi Yao ni kuomba sadaka tu na kusoma Aya ya za vitisho za motoni, kuwatisha waislamu Ili watoe, kila siku mawazo Yao ni sadaka za ujenzi wa msikiti, misikiti haishi kujengwa, hawana wanachojua kuhusu uongozi, wao wanawakamua maziwa ngombe wasiowapa malisho.