Тёмный

Maisha ya Marekani - Upweke, Nyumba, Ukimya na Familia 

EBM SWAHILI
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 10 месяцев назад
Thanks Sir EBM.. pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
@victornzebele3990
@victornzebele3990 4 месяца назад
Now i am enjoying to see how environments of America have arranged and so attractive ❤❤
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 3 года назад
Mwalimu wangu wa somo la maisha mr ebm napenda sana kazi zako zinatuamsha hali ya kupambana ndoto
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 3 года назад
Aisee raha sana
@salafitvsalafitv910
@salafitvsalafitv910 2 года назад
Mashaallah darsa nzuri sana
@hellenjohn7306
@hellenjohn7306 2 года назад
Yaap,wanajenga kwa permit Kama huku Arusha Tanzania,ardhi yenye thamani kubwa. Good mr EBM kwa update nzuri za ughaibuni
@maryjohn1436
@maryjohn1436 2 года назад
Napenda hii mazingira
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 года назад
Habar yako,ahsante kutujulisha swali langu unavyozunguka hawawez kukuletea shida au umeshawataarifu
@nuhubigirimana9929
@nuhubigirimana9929 Год назад
Asante sana tunapenda masomo yako
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 2 года назад
Kazi mzuri Sana kaka
@RehemaKhamis-k8s
@RehemaKhamis-k8s Год назад
Mzinglayahuko hayapo tofauti Omni sasa naohawatoki juakali
@LizenMaker
@LizenMaker 3 года назад
Hamna wezi huko kaka
@ezekielmutethia9501
@ezekielmutethia9501 2 года назад
Si ufanye video ndani ya hizo nyumba
@macyagervr5888
@macyagervr5888 2 года назад
Mbona mtaa mzima sijaona kanisa wala msikiti
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 года назад
kwenye ujenzi mnatumia mbao au tofal
@MM-oe2eo
@MM-oe2eo 2 года назад
Wengine tunapenda sana maisha ya aina hiyo. Kukaa ndani basi, ukitoka bar kidogo basi.
@salmsalmo931
@salmsalmo931 Год назад
Kama uarabuni kukaa ndani lakin mm nimezowea maisha haya😂😂😂
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Happy kwetu wanakunyanganya jiji
@esphoneochengo
@esphoneochengo 2 года назад
EBM umeme wao vipi unapitia wapi,????
@barengayabomiriam
@barengayabomiriam Год назад
Kama Mimi Aya maisha ndio nayataka,nanime ya miss
@Yo_tune-tb5sn
@Yo_tune-tb5sn 2 года назад
Kiufupi marekani ukitaka rafiki labda mitandaoni na kazini kwako tu
@valentineshembilu1256
@valentineshembilu1256 2 года назад
Hahaaa Tz usipojenga kiwanja chako baada ya miaka mitatu halmashauri wanakiuza
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 2 года назад
Somo kwa wabunge kuhusu Shelia ya ardhi kazi kunyanganya wanyonge ardhi nakuwapa mtajili
@norahmakungu3855
@norahmakungu3855 3 года назад
Life seems so boring tulivyo zoea umbea kwenye Miji huku bongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Kakwasi
@Kakwasi 2 года назад
Umbea unasaidia kupunguza stress
@sharifukilongo2565
@sharifukilongo2565 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣,daaah bongo sihami
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 года назад
hata sisi Africa tunaweza halafu kaka unatwambia utamaduni hapana nisheria zilitumika sisi Africa hatuwezi kutokana na ufisadi nyingi serekali ikiweka sheria lakila mtu aweke mazingira zuri aaaah itawezekana.
@maasaieastafrica2556
@maasaieastafrica2556 2 года назад
Kaka umenifungua macho Sana,kumbe maisha ya marekani ni magumu aisee...Ila inaonekana no marahisi ukiwa na kazi, lkn ? Mbona sioni hata nguzo zinazoingiza umeme kwenye majumba?
@azadmtunzi6225
@azadmtunzi6225 3 года назад
Pia ukijenga ukaribu nasi humu kwa kujibu komenti
@tallmadoshi7153
@tallmadoshi7153 2 года назад
Sasa mnafanya kazi saa ngap?
@jenifferiregi7903
@jenifferiregi7903 Год назад
Tusidii
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 года назад
Kaka namba yako samahani.
@geotech4697
@geotech4697 3 года назад
Very nice
@mshua337
@mshua337 2 года назад
Kama hakuna vijiwe vya kahawa km Gwasa basi sipawezi
@odiliamathias5424
@odiliamathias5424 2 года назад
Apo kwenye kukata nyasi nimeipenda hiyo lakini uku Tanzania Kuna watu wanamakusudi jamani mtu kanunu kiwanja alimi Wala apandi ni pori pori minyoka mikenge wal ajari kama Kuna majirani wanaona kero
@georgempuya9343
@georgempuya9343 2 года назад
Broo naomba namba yako ya WhatsApp tuonge jambo binafsi.
@aminaegge4930
@aminaegge4930 2 года назад
Hata jirani ukifa hajui
@ibrahimcharls7892
@ibrahimcharls7892 2 года назад
Me nauliza tu hizo nyumba zimejengwa kwa mbao au ni matofali ila muonekano ndo wa mbao
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 года назад
Tupe umbea wa marekani
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 года назад
Kweli unatupa elimu,,,,
@sethstiven3393
@sethstiven3393 2 года назад
Mtu akifa inakuwaje makirani wanakuja mtaan mzima kama huku kwetu
@zawadix9574
@zawadix9574 3 года назад
Duu maisha huko siwezi very anti social
@norahmakungu3855
@norahmakungu3855 3 года назад
Kabisa
@hellenabusi1840
@hellenabusi1840 Год назад
Si ndo mazuri? We unapenda uswahilini?
@victoriashiko7172
@victoriashiko7172 2 года назад
Je racisme vipi wake wazungu wapendi wafrica
@hawajuma8606
@hawajuma8606 3 года назад
Namba yako ya whssap nataka nikuulize
Далее
Maisha Halisi (ya UPWEKE) ya Marekani. Upo Tayari????
11:28
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 3,4 млн
How Many Twins Can You Spot?
00:17
Просмотров 20 млн
JKizondo na Upweke wa Marekani
8:08
Просмотров 50 тыс.
Fursa ya Watanzania Kufundisha Kiswahili Marekani
17:42
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28