Тёмный
No video :(

Utaweza kufanya hii kazi kwa masaa 12 kwa siku, malipo mpaka million kila siku ( marekani ) 

Dnyota usa
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 257   
@SATZ-news
@SATZ-news Год назад
Hongera sana kijana usokuwa na Roho mbaya kama wengi hada watz Mungu akutangulie ila tu usije kuingia tamaa ya kudhulumu pesa ya mtu yeyote. Napenda unachokifanya Hongera sana!!! ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 Год назад
mfumo wamarekani kifedha ni nzuri,sahani ya chakula dola 20, au30 mlo kwa siku matumizi nikama dola mia ukiwa na matumizi sipo maisha yapo sana pamoja nimekuelewa mkuu
@allyfatma7359
@allyfatma7359 Год назад
Hii nilikuwa naitaka sana.somo zuri sana.endelea kutupa uhalisia. Thx bro.
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa sawa
@user-ic7qf8fl9x
@user-ic7qf8fl9x 9 месяцев назад
Namba kaka plz
@nyikumbarasylvester8505
@nyikumbarasylvester8505 Год назад
Unamilioni tisa unashindwa kufanya kazi bongo unataka uende marekani ukawe kibarua huo ni ubazazi kwa fulsa zilivo jaa hapa bongo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Hizo kazi anazofanya hela ya uhakika, na hizo za Bongo ni nyongeza, Yuko sahihi ndugu Tena saaana hiyo hela anayoingiza kwahiyo kazi ni mkweli
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 Год назад
Well done Dnyota unafanya jambo jema sana..
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Asante
@ab5u6ll8y-ku9vk
@ab5u6ll8y-ku9vk 9 месяцев назад
kwely ukiwaudumia vizur wanakupa Asante yako brother naomba unisaidie na Mimi nipate viza nije bro Tanzania hakuna ki2 naomba sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😩
@fadymoses4994
@fadymoses4994 Год назад
Allamdulilah 🙏 nko nakazi ya Truck USA maisha ni simple sana Ukiwa na conetion
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Kweli kabisa 😊 pamoja kaka
@johnshio8387
@johnshio8387 9 месяцев назад
Naomba tuwasiliane Fadymoses🤝
@zanjrahamhammad9250
@zanjrahamhammad9250 Год назад
SASA WEWE UNAINGIZA KIASI HICHO KWANINI UNATAKA ADVANCE YA 6M KWA NDUGU ZAKO WANYONGE ? AMBAO WANAOHITAJI KUJIKWAMUA ? MIMI NAAMIN HELA IPO KWA SABABU INATAFITWA ILA SIAMINI KM UNAINGIZA M1 PER DAY, 20 DAY 20 M , ITS IMPOSSIBLE , IT DOESN'T COMPATIBLE THE WAY YOU SAY YOU CAN'T HALP YOUR BRODHES MPAKA UPATE 6M
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 Год назад
Ni kweli hiyo pesa anayo sema tena kuna kazi nyengine unapata zaidi ya hiyo mpnz ni juhudi zako za kujituma tuu
@mrbig2181
@mrbig2181 Год назад
Eeeh bwana atusaidie tufike uko then yy aandae mkataba ambao ata wabongo tutautumikia Kwa muda alafu mamboa mengine yaendelee maana hii vidio hawez angalia mtoto wa bakheles Wala wa muiguru nchemba Bali n SS hoihae ndio tuna ndoto za kufika ukoo ,,Kwa bro D iyoo ela ya visa hatuna bali tunataman kuja ukooo
@SATZ-news
@SATZ-news Год назад
Hapana hiyo haikubaliki hata kidogo toa pesa yako ili ikuume !☹
@jovenarynduka340
@jovenarynduka340 Год назад
@@SATZ-news ntakutafuta Sana Asante sana
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
@@rubenprince8990 vp bro
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
Ww kwa bongo umefanya nn kwa izo pesa acha kufanya watt vijana kutaman maisha ya siyo ya kweli una miaka 10 bado una tembelea basket, na uko kwenu tuoneshe kwanza umefanya nn acha kuwa tapeli et vissa milion 9 na M6 Hao wateja wenyewe unawowapa wenyewe masikini tu, onyesha marekan ya wale wa nalala barabaran acha kutapeli watu utapatikani tu hapo marekan sio sehem ya kujifichia, tuoneshe wangapi ushawafikisha marekan zaidi ya kuwatapel
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 6 месяцев назад
Big up my Brother, God bless you 🙏
@hekimamtazamo4151
@hekimamtazamo4151 Год назад
Bro acha kuishi maisha ya USA uyafananisha na Tz kiukweli dolla 500 au 1000 kwa life la USA kila baada ya wk 2 haina uwezo wa kukufanya wewe uishi vizuri maana unakuwa ni wale watu wa low income hapa USA bwana. Pia hauwezi kupata hela ya dolla unaifananisha na ya tz bwana wewe tueleze hiyo milioni unayoipata unawezaje kukusaidia hapo USA ili utimize ndoto yako na sio kuwazia tz bwanaaa Hizi ni akili duni sana kutuambia unapata milioni kila siku
@elibarikimaganga9571
@elibarikimaganga9571 2 месяца назад
Umesema kweli ndugu Hekima Mtazamo, watu wa huko sijawahi sikia anasema naingiza Dola kadhaa kwa mwezi, matumizi ni dola kadhaa, nasave dola kadhaa. Ninasikia tu tunaingiza milionunkwa siku, ndo hayo ya kuwazia hela ya Tanzania wakati huko Marekani.
@user-lp3kw2vn8f
@user-lp3kw2vn8f Месяц назад
kaka uko poa unatwamsha wadogo zako mungu akutangulie
@davidtayari2477
@davidtayari2477 Год назад
Jumla ya gharama ya Visa shingap na inahitajik education qualification
@jumajumashabani8665
@jumajumashabani8665 Год назад
Nakubali sana kaka
@abdultimoc4625
@abdultimoc4625 Год назад
Broo kila mtu ana ndoto za kufik uk marekani shida pesa kuipata kibongo bongo ni kazi broo angekuwa na njia mbadala ya kutusaidia utusaidie broo dulla
@africanboy3714
@africanboy3714 Год назад
Hiyo pesa unavyosema nahisi before tax so waambie ukweli kiasi gani unapata after tax, hiyo kazi ni kwa wengi wakiofika abroad mana unatumia nguvu nyingi malipo ni duni kwa level ya abroad, ni nyingi ikiwa unafanya kazi abroad na unalala Bongo, ila sio kwa 10 years na unaendesha bike, Hendry Ngozy Sweden 🇸🇪
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Unaongea utumbo. Maisha marekani yapo uwezi kufananisha na ulaya
@mrbig2181
@mrbig2181 Год назад
Mjomba tafuta njia ya kutusaidia Kwa makubaliano ata ikiwa Kwa mkataba mpka ela itapo ludi lkn n baada ya SS kufika uko ...maana apo Kwa wiki unaweza ingiza zaidi ya 20m za bongo asa uoni ndan ya wiki tunaludisha ela Yako bro ,,maana as wabongo kama tunaweza beba zege siku nzima sembuse kusambaza ivoo na ka kabike 😁😁😁🙌 bro tushike mkono na sio kututamanisha bro
@ridhwanlongo9113
@ridhwanlongo9113 Год назад
Zege masaaa 24 af vibox kwenye ka bike masaa6
@mrbig2181
@mrbig2181 Год назад
Umeona mzeee
@tanzaniaprogress
@tanzaniaprogress 9 месяцев назад
Ila kumbuka kaka unaweza lipwa dola 20 kwa saa lakini sahani 1 ya chakula ni dola 20, na huko kuna baridi balaa, baridi la huko linaleta njaa, unajikuta unakula mara 5 kwa siku, dola 100 apo imeenda, bado maji ya kunywa, na bills zingine, unakuta ni kama bongo tuu, mtu analipwa laki 6 sahani ya chakula ni Tsh. 3,000/= huko sahani dola 20 au zaidi. Matumizi ni yale yale tuu, afu kitu kingine ni upweke, hichi watu wa huko wengi hawasemi. Maisha ya upweke huna wa kuongea naye.
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 8 месяцев назад
Chakula unapika unabeba! Upweke mitandao ya kijamii yote hiyo au unaogopa kulala peke Yako? Ktk kutafuta hakuna starehe Wala kujiurumia! Maisha kupambana mwisho wa siku malengo yatimie....!!!!
@EdimundiNgitu
@EdimundiNgitu Месяц назад
Jamani ni kweli
@user-fh2ff9bv1h
@user-fh2ff9bv1h 5 месяцев назад
naomba unifanyie mpango nami nije tufanye kazi bro naitwa emanueli
@frowinmgimba8513
@frowinmgimba8513 Год назад
Mfano unapiga mishe hiyo harafu English language chenga vipi customer service inakuwaje au nitakuwa naongea kwa ishara😂😂🤔
@one4real189
@one4real189 Год назад
You me zinakua za kutosha😂😂
@mchungajifredypetermwasung6651
Maisha ya nje yanchi ni mazuli sana mtu akiwa anakuadisia. Lakini ukishaenda unakutana na kitu tofauti na ukicho ambiwa. Mimi nimesafili sana nje ya nchi mbali mbali. Najua ayo mambo mnao enda uko mjipangage vzr namna ya kwenda na kulidi usije ukakulupuka ukaenda jela. Au ukawa mkimbizi. Kumbukeni ukouko malekani kuna watu wana maisha magumu wengi tu......
@mossesrashid1552
@mossesrashid1552 Год назад
Tushaur mchungaji kwasbb kila m1 anaanglia unafuu wa kupambana atobor
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 8 месяцев назад
Huo ukimbizi watu wanautaka ndio maana wakifeli ktk maojiano plan B ukimbizi yote ni kusaka pesa...... Bongo nyoso
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 Год назад
Aliyobeba hyo maan naon maelezo tu but keep it up!
@muna1165
@muna1165 Год назад
Mimi ni Binti na nipotayari kugaramia kila kitu je vp ninaweza kupata mchongo huko
@kipyegontitus145
@kipyegontitus145 Год назад
Tumia Dolla ndio tuelewe bro am from.kenya ukisema milioni moja Niko confused juu 10000 us dollars them same as 1 m ksh
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 Год назад
Huyo anazungumzia watz si wakenya ndio maana anataja Tzs
@ab5u6ll8y-ku9vk
@ab5u6ll8y-ku9vk 9 месяцев назад
naomba unisaidie bro 🙏🙏
@octavianjerry7958
@octavianjerry7958 Год назад
Safiii broh jinsi ya kuwasiliana sasa fanya msahada bass
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Ongera. Sana. Kaka. Ila tz. Mtu binafus kuipata milioni tisa shuguli fanya msaada kwa anaetaka kuja uko tafuta. Boss atoe pesa alafu unamfanyia mpango mtu
@mashanjepa9203
@mashanjepa9203 Год назад
Nimeipenda kama utojari Mimi sina Hera IRA ukikubari kunifikisha uko miezi3 mshara wangu asimia 75utachukua wewe naitwa baraka kulwa Niko mwanza
@soundmale
@soundmale Год назад
Baridi Sana broo.au mafua tu.maana kiila vd unaumwa mafua.
@VicentJohn-tg9yp
@VicentJohn-tg9yp 9 месяцев назад
Daah nimeipenda hiyo
@OmarVuru
@OmarVuru 8 месяцев назад
Mimi ninayo pesa kidoogo nisaidie nitapofika uko nikanzakazi utachiukua aki Yako Mimi sichagui kazi kwanza una uongo tusaidie ili tuwe pamoja mungu akubariki
@user-nd6eo6db7r
@user-nd6eo6db7r Год назад
Uko vizuri.ri
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Год назад
Mitaa kama ya karikoo.
@joycemalisa5703
@joycemalisa5703 Год назад
6miil kwa mishahara ya tanzania ndgu nilini utaipata?
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 9 месяцев назад
Kaka fanya mpango utuletee mahojiano ya watu uliowasaidia kwenda uko kama wanavyofanya wengine
@robertmgori8165
@robertmgori8165 8 месяцев назад
respect brother
@yusufukaima-yi8lp
@yusufukaima-yi8lp Год назад
Nipo fiti kikazi nipe sapoti ndugu
@Osmarnkanjo
@Osmarnkanjo 7 месяцев назад
Sema bhna dunian Kuna hela jmn
@boniphacesylivester2541
@boniphacesylivester2541 Год назад
Uko juu sana man na unachokifanya kinafanya nivutiwe sana na wew kwan nina ndoto ya kufanikiwa ughaibuni
@flavianfabian9507
@flavianfabian9507 Год назад
Nakubari sana mtu anaetumia akili naguvu zake kutafuta pesa ya halari , Asante Kwa kutufungua macho vijana wenzio 👍
@mohdseif2593
@mohdseif2593 Год назад
Hongera babu life nikupambana
@mussachipeta297
@mussachipeta297 Год назад
Nakubali kaka unajitaidii kutuelezea
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Год назад
Mbona ha reply necessary comments??? Lkn zahovyo anajibu?
@InnocentFaustin-fw7bs
@InnocentFaustin-fw7bs Год назад
Brother mimi nipo tayal kuja tatizo pesa kwa sasa nyumbani uku hali aiko sawa ... mimi naitaji nipo tayar nifanye kazi alafu mshala unachukua nipo tayar
@anasjelani8186
@anasjelani8186 Год назад
Milioni 6 siotatizo ila mawasiliano hutoi napia hujib msg
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Год назад
Ata mimi niko tayari lakini sjui vile nitaanza
@saadysaidzahaze5980
@saadysaidzahaze5980 Год назад
I like it bro
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 9 месяцев назад
Milion 9 du!!!kweli sio poa
@user-gl5og3si5y
@user-gl5og3si5y 10 месяцев назад
Nilijuwa marekani majengo yote yanalift
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 5 месяцев назад
Mimi nipo America Delaware napenda hii kazi unanishaulije??
@boniphacesylivester2541
@boniphacesylivester2541 Год назад
Milioni kaka hiyo ni hela ya kutosha sana nataman sana nipate mchongo wa kuja huko
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Год назад
Hi
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Год назад
Tutumie namba yako
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Год назад
Naitaki kazi hiyo
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Год назад
Nitumie nambayako nahitaji hiyokaz
@omanhh2875
@omanhh2875 Год назад
Honger broo
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Год назад
Kazi kazi
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Год назад
Dadake
@thobiaskayange9302
@thobiaskayange9302 Год назад
Mwanangu nataka lG YAKO nitakublock sauti mbona kubwa 🙌🙌🦺🦺🦺🤣🤣🤣
@saadysaidzahaze5980
@saadysaidzahaze5980 Год назад
Good job bro
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Год назад
Mm nahitaj safar ndugu
@erickjonas4382
@erickjonas4382 Год назад
Kaza kaka
@01_Gada
@01_Gada Год назад
unyama mwingi mtaa wa thamanini🔥😂
@morjanoman5181
@morjanoman5181 Год назад
Akifanikiwa kufika uko Una akikisha wewe unamkata mshaalawake Yani unakuwakitukimoja na. Boss. Wezenu nchi za kiarabu ndivo wanavofanya
@sund2553
@sund2553 3 месяца назад
Visa million tisa 😂😂😂😂😂😂😂😂haloow watu mnaibiwa haki😅 wakati embassy before covid ilikuw usd 150 sa hivi inaweza kuwa laki 4/5 hivi
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 2 месяца назад
😅😅😅😅 Tena inategea Na msimu
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Год назад
Nipo fully Kila kitu nipo nacho ndugu nipe maelekezo
@SHAFIIAbdully
@SHAFIIAbdully Год назад
Safisana kaka namimi naitaji kazi je nitafanyaje
@hamisasaidi9697
@hamisasaidi9697 Год назад
Sometimes namuamin sometime namuona mrongo
@ngaribaonlinetv
@ngaribaonlinetv 8 месяцев назад
Kupanga kuchagua
@tashaomamo
@tashaomamo 4 месяца назад
CONMAN
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Год назад
Tusaidie tuje bro...🙏
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Pesa yako tu
@mohammedbaraka9230
@mohammedbaraka9230 Год назад
Good mzazi
@kakakuona57
@kakakuona57 Год назад
Unaendesha Nini baskeli?
@jacksonmbaji9676
@jacksonmbaji9676 Год назад
Kaka nakupataje,naihitaji visa na mwongozo wako,hela ipo brother,naomba mwongozo
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
+15167783253 whatsapp
@asmahshemoka1685
@asmahshemoka1685 Год назад
Nakubali sana
@joycemalisa5703
@joycemalisa5703 Год назад
Mmmmh jaman jaman mi nimechoka kusikia ivo
@geofreysimpepo9945
@geofreysimpepo9945 Год назад
Duuh tusio jua kiinglishi SASA 😂😂😂fulsa tunazikosa hivi hivi
@InnocentFaustin-fw7bs
@InnocentFaustin-fw7bs Год назад
Naomba Kaka naitaji kuja
@hemedhemed8590
@hemedhemed8590 Год назад
How to apply viza am intereset job mybest
@user-dg9th4tp8k
@user-dg9th4tp8k 9 месяцев назад
nakupeda sana maicha amerika
@MarimOmari-gw3te
@MarimOmari-gw3te 8 месяцев назад
Mimi nataka kuja malekani
@azizakombo376
@azizakombo376 Год назад
Dnyota kka nasie wadda tunataka tufkirie utufanyie tukifika uko tunakulipa tuhurumie tz kugumu bbaa
@yahayahanafi3234
@yahayahanafi3234 Год назад
Kaka iyokazi. Ilkalmaza. ,Masaa. ,sita unalipwa. ,apoapo. ,auunalipwa mwishp wamwezi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
Nataka hiyo nafasi, nipe number hebu tuyajenge
@OmarVuru
@OmarVuru 8 месяцев назад
Unipe majibu naomba
@AbdallahKawambwa-lk4pl
@AbdallahKawambwa-lk4pl 4 месяца назад
Tanzania hakuna ya kufanya kwa wiki ukapa milioni nane
@mchungajifredypetermwasung6651
Mh Watanzania.....😢
@fatmasaid9115
@fatmasaid9115 5 месяцев назад
Habari yako mimi nipo marekani natafta kazi
@nailaty
@nailaty Год назад
Mie nipo oman je na kutoka oman ni hiyo milion 6?
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 Год назад
Package kama hizo ulizobeba hapo zinakuwa na wastani wa kilo ngapi Mkuu?
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Nyepesi tu
@jescamwera5631
@jescamwera5631 Год назад
Good job Bro
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Asante
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Год назад
@@dnyotausa6154 hapo unapeleka nini mbona sijafaham. Hizo package zina nino
@MakavetiFalion
@MakavetiFalion 3 месяца назад
Bro nawezaj pata
@user-xm8ts3xg5c
@user-xm8ts3xg5c 10 месяцев назад
ebwana naitaji unifanyie mpango ila pesa changamoto
@Mazoea
@Mazoea 10 месяцев назад
Bro upo state gani.Shukurani
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Год назад
Wewe unataka ml 6 mimi ntakupa ml.15...mpaka nifike nianze kazi...
@twahirmohd1058
@twahirmohd1058 Год назад
Upumbavu tu ndo uliokua nao. Sasa kwanini ushindwe kuwasaidia hao wabongo wenzio. Nyooo kuwatia tamaa tu mkundu wee . Huna lolote ushamba mtupu ulionao
@shithyomar3828
@shithyomar3828 Год назад
Dulla mnyama huna roho mbaya mwanangu wengi tulikuwa hatujui michongo hiyo wabongo wengi wanaficha code halafu huna mbwembwe unapiga mzigo nitakujoin soon nipe in box yako yako ya face book salute
@shithyomar3828
@shithyomar3828 Год назад
Homeboy milioni tisa usaidiwe dah halafu unatukana mwana itakuchukuwa muda kutoka homie
@bishopruvunira3528
@bishopruvunira3528 Год назад
VIP beskeli hiyo Ina ingini so?
@bethisdori5197
@bethisdori5197 9 месяцев назад
Kaak mzm
@mussachipeta297
@mussachipeta297 Год назад
Kaka unawezaa kutembea na raman
@saidruto4393
@saidruto4393 Год назад
Ntakucheki mwana
@user-gl5og3si5y
@user-gl5og3si5y 10 месяцев назад
Tuambie na matumizi muhimu yasiku uko usa
@petermarwa3871
@petermarwa3871 Год назад
Mwizi tu wewe mtu anakupaje hiyo pesa wakati visa naenda kuomba mimi mwenyewe nikikosa na pesa nishaa kupatia?unatoa somo mazuri ila tafuta utalatibu mzuri wa watu kutoa pesa ili waje huko
@rosemkude4804
@rosemkude4804 Год назад
Saidia ndugu zako na wewe.....hiyo bei wapoozee bwana
@andrews_kodeson
@andrews_kodeson Год назад
Sasa unatembea na baiskeli?
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 5 месяцев назад
Nitakupataje kaka nisaidie vigezo vya kazi ninavyo tayari,nisaidie
@mgenisaleh4205
@mgenisaleh4205 Год назад
Kitambo saana nunda ndan ya Zanzibar
@gervasmwijage8657
@gervasmwijage8657 Месяц назад
Yani TIP unaitamka kama mndengereko mzee
@hdhdhdhdhdh3264
@hdhdhdhdhdh3264 Год назад
Mimi nataka visa plz mimi ni mkenya🇰🇪🇰🇪
@goodluckythomas1093
@goodluckythomas1093 Год назад
Mwaka wa 10 uko marekani Bado ni delivery guy 😂😂
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 Год назад
Ss hapa mm ndowananiumiza akili kwa siku milion moja alf mtu yupo mwaka wa 20 ulaya na kaz ya kubeba mabox ujue nipesa nyig sana ukizipga isabu vo kwa miaka 10
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 Год назад
Nikarbun b1 uko ss pesa zote izo yann tena kuhagaika kama ivo
@africanboy3714
@africanboy3714 Год назад
Huko sahihi na hiyo ni kazi ya level ya chini sana, kwa miaka 10 😀😀😀 hata hasinge sema
@user-vq8pz4ge6t
@user-vq8pz4ge6t 11 месяцев назад
Yaan cjawahi kumwamini huyu Kaka namuonaga kama Tapeli
@mkingaempire418
@mkingaempire418 9 месяцев назад
Kwa siku milioni 1 kwa mwezi milioni 30 kwa mwaka milioni 360 kwa miaka kumi bilion 3.6 tuoneshe ayo majengo uliyo wajengea watu unaosema tutakamilisha ndoto zao kwa miezi mitatu na nyumba zako unazo miliki bongo
@hasanimfaume3876
@hasanimfaume3876 6 месяцев назад
kaka vp
Далее
Safari ya kurudi bongo kutoka ughaibuni ( marekani )
13:39
Nyumba za kupanga marekani mjini NewYork
17:51
Просмотров 3,2 тыс.
KAZI ZA MAREKANI PART2
5:56
Просмотров 2,3 тыс.