Тёмный

MAISHA YA UGHAIBUNI - Njia za kwenda na kufanikiwa kimaisha Marekani, Ulaya na Canada 

EBM SWAHILI
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Watu wengi wamekuwa wanatafuta njia mbalimbali za kwenda ughaubini

Развлечения

Опубликовано:

 

19 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz Год назад
Roho ikiwa nzuri moja ikaambukiza wengine kumi nao kumi wakaambukiza wengine zaidi hapo sasa ni rahisi wengiii kuwa na roho nzuri na hivyo ndivyo Mungu alivyotaka tuwe na mema mengi ndipo yatatuijia hivyo na tuweni na nguvu na umoja huo ili tupate baraka za Mungu tele na tele,kwa hiyo Big up kubwa sana kwa Ebm
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 года назад
Ernest UNASEMA UKWELI mimi nina miaka 9 sasa, nimesaidia sana watu lakini nimelipwa zero, sija fanya chochote nyumbani.
@nzigiyimpainnocent8738
@nzigiyimpainnocent8738 2 года назад
Asante Mzee Wangu .Nakupata Sana siku zote nikiwa Zambia.Ila nina maongezi sana na wewe.Ila Baado Sikati Tamaa Siku moja nitakubahatika
@mmbswahili778
@mmbswahili778 2 года назад
Mr EBM upo more direct Sana, hutaki kufichaficha Mambo na kwa namna unavyoelezea ni inamfanya mtu ajihisi yupo marekani au apende kuja marekani. Hakika nakupenda kaka unanifanya niwe proud Sana lkn kikubwa one-day yes to America
@alexndabatinya7953
@alexndabatinya7953 2 года назад
Asante sana BRO EBM. Nimechelewa sana kuona video zako. They are real impressive! Nakumbuka wewe ndo ulinifundisha namna ya kufungua email pale beb come, kigoma. Nakufuatilia sana. Nakuomba utuandalie video ya gharama ya maisha ya kila siku au mwezi mzima kwa hapo marekani. Bei za vitu na matumizi ya kila siku. Thanx in advance
@victordavidmmbaga8491
@victordavidmmbaga8491 2 года назад
Very Straight speech.... And meaningful
@ellyremisho7930
@ellyremisho7930 2 года назад
thanks so much sir wellcome from kuwait
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Ahsante sana home boy
@reginahmwanzia927
@reginahmwanzia927 2 года назад
Kaka naomba link niko Dubai lakini nataka ninje marekani
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Jamaa Ana roho nzuri
@augustineswai5174
@augustineswai5174 2 года назад
Thank a lot home brother
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 2 года назад
nakupenda mnoo my kaka unatufundisha
@josephmahoo4467
@josephmahoo4467 2 года назад
Be blessed mr makulila you a herro
@amourhemed4343
@amourhemed4343 2 года назад
Brother ebm tunaomba iyo link tuweze kuwasiliana na wewe moja kwa moja
@elsaMo-b5r
@elsaMo-b5r 2 года назад
nakusikiliza kwa makini sana EBM
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 года назад
Ukiwa Marekani miaka ina kwenda mbio sana, unajikuta hujafanya kitu chochote nyumbani.
@mwinjilistigodvoicemshanga
@mwinjilistigodvoicemshanga 2 года назад
Kaka EBM naomba nikuulize swali. Mimi nimeishia darasa la Saba naweza kucheza green card lottery
@r-g-bchanal4963
@r-g-bchanal4963 2 года назад
ndio unaweza
@iam_deo
@iam_deo 2 года назад
Uwezi inatakiwa High School Diploma
@mgenisalim6947
@mgenisalim6947 2 года назад
Unaweza lakini ni uwe na cheti cha working experience
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Год назад
Unapenda sn wengine wafanikiwe endelea na moyo huo achana na wenye roho mby
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Nyama ya kuku rahisi sana.Ujerumsni vyakula rahisi sana Ulaya nzima
@patrickmwangi47
@patrickmwangi47 2 года назад
Very imformative... Keep it up!
@joniajohn4716
@joniajohn4716 2 года назад
Very helpful
@tenthmaruhe6589
@tenthmaruhe6589 2 года назад
Hongera sana EBM
@mbekewambeke9305
@mbekewambeke9305 2 года назад
Yes bro nashukuru sana kwa info
@godfreynatai8649
@godfreynatai8649 2 года назад
Please 🙏 give me conetion please
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 2 года назад
Unasema watanzania wameomba 3ooo ni njia gani?
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 9 месяцев назад
Pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Congrats home boys 💝
@danielmartinKiondo-dq4jz
@danielmartinKiondo-dq4jz Год назад
Hujakosea uko sahihi kabisa siku hizi ndumba vijana na mijini ndio wenyewe vijana wasomi wanapigwa ndumba na wasichana wa mitaani tu hata wasiowasomi had wanasahau majukumu yao
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Usiogope na kuogopa kusafisha vyoo Tafadhali
@shukuruhassan9115
@shukuruhassan9115 Год назад
nakukubari san kakaangu
@samuelsenge6715
@samuelsenge6715 2 года назад
Hi bro,,am a Kenyan and I would like to be a track driver,what am I supposed to do bro
@judithassenga9479
@judithassenga9479 2 года назад
Heheeeeee
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Someni Sana.Lakini siwashauri kuoa wazungu na kuacha watoto huko.rudi na wanao
@shukuruhassan9115
@shukuruhassan9115 Год назад
mimi nataka nikulizee swali kaka mimi dereva wa matruck nikitaka kuja uko nitumie njia Gani kak
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 2 года назад
Sikuyaguyakwaza marekani nimeede bar kulewa nikafanya fujo nikkaenda jela
@sarahmakutwa7360
@sarahmakutwa7360 2 года назад
Mafunzo mazuri muhimu
@edwinmayala5497
@edwinmayala5497 2 года назад
Kaka naomba mawasiliano yako
@joycestivin3871
@joycestivin3871 2 года назад
Bro nilikua naomba nisaidie whatsaap no yako
@godfreynatai8649
@godfreynatai8649 2 года назад
Mimi naweza kuishi uko kabisaa bila shaka nakuusu sheria najua kabisa kwamba uwe makini sasa nafanyaje nije uko??
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
Hata waafrika Pia NI wabaguzi
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 года назад
Mim nataka hizohizo kazi za kulea wazee ilimradi nalipwa pesa ya maana kwani hata bongo mbona kuna mama ntilie wanafanya biashara na malipo kidogo sasa si bora kulea wazee ulaya unapokea mshiko wa maana? Acha nipambane ipo siku ntantoa ushuhuda hapa kwa chanel yako kwamba ulinishauri kitu cha mbolea sana
@msemasungura5651
@msemasungura5651 2 года назад
Sikufanikiwa green card
Далее
KUPATA VIZA YA MAREKANI: MASWALI NA MAJIBU
1:59:53
Просмотров 4,4 тыс.
Mapenzi Ukiwa Nje ya Nchi - USA, Canada, Ulaya
57:54
Просмотров 1,5 тыс.
Мыла наелся
0:21
Просмотров 4,2 млн
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Просмотров 58 млн
It worked for me)
0:19
Просмотров 21 млн