Тёмный

Ni umri gani wa kwenda Ulaya, Marekani au Canada? Unaona umechelewa? 

EBM SWAHILI
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

#Marekani #Ulaya #Canada #Visa #Maishaughaibuni
Kuna watu wana ndoto au mipango ya kwenda kutembea na wengine kusoma na wengine kwenda kufanya maisha nchi zingine. Kipindi kingine wanaanza kuwaza umri wao na kudhania wamechelewa kukamilisha malengo yao.
Sasa ni umri gani sahihi wa mtu kwenda ughaibuni?

Опубликовано:

 

21 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 137   
@amazingadventures.8019
@amazingadventures.8019 2 года назад
Kenya 🇰🇪 (+254) in the house. This is one of the best educative channels for those aspiring to start life abroad. Thumbs up for the good job.
@thobythoga7836
@thobythoga7836 Год назад
Hongera sana Bro kwa kutupenda watanzania na kutusaidia free. Fursa nyingi ambazo unazungumzia ni kwa kundi la waliosoma angalau chuo kikuu, kwa mtu ambae ameishia form four na labda anajua tu English hii ya kitanzania, anawezaje kufanikiwa kufika na kufanya maisha Ugaibuni. Pili ni fursa gani anaweza kuzipata....Zamani watu walizamia meli na wakaishi huko ila kwa sasa ni ngumu. HEBU TUSAIDIE KWA HILI. Naitwa Makunga nipo Zambia.
@Kobe_254
@Kobe_254 2 года назад
Huyu jamaa kaongea kweli kabisa..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 года назад
Nipatie management wa mziki bac kaka mimi niko kipaji kikubwa sana ya mziki naomba unifadhili, ♥️🇹🇿🇹🇿❤️🙏🙏 nitakushukuru sana kaka angu,
@hermanlupogo5485
@hermanlupogo5485 Год назад
Your are very clear!Got right with you.
@erasmusishengoma5175
@erasmusishengoma5175 2 года назад
Thanks brother.
@bochelachikoti
@bochelachikoti 2 года назад
Unanifurahisha unaongea kiswahili bila kuchanganya na kiingereza safi sana.ila Angel Bernard anachanganya siyo powa sana
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 2 года назад
this is very helpful and educative and truth
@bonamaxnicholauskopatu1188
@bonamaxnicholauskopatu1188 Год назад
Poin thanks for advising .and providing ideas .Great
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 Год назад
Thank you brother
@kahejashukuru4797
@kahejashukuru4797 2 года назад
Asante sana
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d Месяц назад
Ahsante sana brother
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 года назад
e bwana jamaa uko vizuri sana!yaani nina muda wa maisha yangu sijaburudika kumsikiliza mtu akanifurahisha kama leo,,,HONGERA
@harriethkalindili7980
@harriethkalindili7980 Год назад
Asante sana ubarikiwe
@jafarinhomtepa9669
@jafarinhomtepa9669 29 дней назад
Safi brother
@upendokweka6845
@upendokweka6845 Год назад
Hello Ernest, good presentation
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Safi sana umezungumza vitu vizuri sana aisee
@sharifachacha6682
@sharifachacha6682 2 года назад
Sawa kabisa
@Abduli23
@Abduli23 Год назад
Brother, you have really spoken, give them education, others do not understand.
@collinskiplimo1135
@collinskiplimo1135 Год назад
Asante sana kaka kwa mafunzo hayo
@twalibushabani3610
@twalibushabani3610 Год назад
Nimeipenda sana hii... Congratulation sn kwko
@EWillyzeDiplomat
@EWillyzeDiplomat Год назад
asante mkuu
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 2 года назад
Ummeleza vizuri sana kaka
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 года назад
Kweli kaka yangu mimi nchi niaeipenda hapa duniani ni marekani tu hata zingine nazipenda ila marekani ni zaidi na nitaemdaga2 mungu naomba uzima 👏🙏❤️🇹🇿🌹♥️
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 2 года назад
Wewe Seff umechanganyikiwa kama unatamani kuishi america. Hujui nini kinatokea kwa watu weusi.
@mwanzomwisho1217
@mwanzomwisho1217 2 года назад
hujitambui, mara unataka usaidiwe ufanye mziki mara unataka kwenda marekani.
@manilakiza5077
@manilakiza5077 3 года назад
Kweli brother ni malengo ya mtu
@lizngigiofficial7162
@lizngigiofficial7162 3 года назад
Nimetoka kwa Joyce nurse Canada hongera kwa kazi nzuri
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 года назад
We mdada utakua baharia, yaan mpambanaji
@upendolema9809
@upendolema9809 2 года назад
@@lizngigiofficial7162 kusema wee mpambanaji ni kosa?why God adeal nae??
@johntemba5439
@johntemba5439 2 года назад
Joyce yupi tena?
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 года назад
​@@lizngigiofficial7162 unafanya kazi gani huko jqmqni natamani unitafutie hata kazi ya kuosha vyombo jamani
@simbaasad5811
@simbaasad5811 2 года назад
@@lizngigiofficial7162 mbona unakataa dua kubwa hii. Au hukuelewa. Amekusifu mno
@mandomediasolutions7045
@mandomediasolutions7045 Год назад
Ok
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 3 года назад
Somo la leo zuri sana EBM, kumbe bado sijachelewa at 4..😁💪🇹🇿✈️
@Hancymtembo
@Hancymtembo Год назад
Ebm safi dana
@fatumafatuma1459
@fatumafatuma1459 2 года назад
Inshallah Allah tk pamoja 😁👌👌👌
@RankBiznes
@RankBiznes 6 месяцев назад
Umeongea vitu muhimu sana 🙏
@charlesnyamu3753
@charlesnyamu3753 2 года назад
Unaeleza mambo kwa ufasaha uliokidhiri na lugha elekevu. Nimejifunza mengi amboyo yalikuwa yanitatiza kuhusu scholarship, jinsi ya kujaza Greencard Lottery na mengine mengi. Mola akuzidishie neema. Umesema ukweli, kunaye Mkenya anaishi Marekani lakini udaku wa siasa kibao, anatusi hata Raisi kwenye mitandao.
@lutufyojason2598
@lutufyojason2598 Год назад
Ufasaha uliokithiri . Lugha elekezi
@neemaemmanuel5116
@neemaemmanuel5116 Год назад
Kaka tumeelewa naomba hiyo fursa, kweli Kaka Una Moyo kwani ni wachache wenye Moyo kama wako, wewe sio mchoyo fursa
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 2 года назад
Hi Vera sana kwa elimu uitoayo
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Mkuu. Upo. Sawa
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Kwenda kuishi au kwenda kufanya kazi na kurudi
@noelimlinga9694
@noelimlinga9694 2 года назад
Hr. Napenda kusema watu kama nyie hapewi kipaumbele ila unasema ukweli sana na nipende kusema tu umetumwa mahususi lazima watu wajue ukweli umetoka kimaisha lakini hauna hila
@FAVI23
@FAVI23 2 года назад
Inakuaje Sasa Kama mtu maybe umeishia form four then una dream kuja kufanya music USA,,,,hii inakuajeee
@alleyhemedy6994
@alleyhemedy6994 2 года назад
Bro samahani naona kwenye maelezo yako yote umetalenda sana watu waliosoma hadi kufikia chuo na vipi watu wanaotoka kuja kama 🇨🇦 au 🇺🇸 ambao wameishia darasa la saba na wanandoto za kujatoka???
@joramtz9633
@joramtz9633 2 года назад
Swali muhimu sana hili
@buteratomath4754
@buteratomath4754 Год назад
Inabidi atupe maelekezo hapa
@jadidlepeta8137
@jadidlepeta8137 Год назад
Niko na pesa lakin sijui nitaenda vipi,🤣🤣 sio rahisi
@lilianphilemon907
@lilianphilemon907 3 года назад
Tuko pamoja
@yhtvonline9079
@yhtvonline9079 2 года назад
7
@franckswedi5664
@franckswedi5664 4 месяца назад
Tuna shukuru sana atakama atujapata bahati yakuingiya uko
@jotradingx3541
@jotradingx3541 2 года назад
Nataman sana niende marekani mtu wa kunisaidia tafadhali
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Год назад
Unataka ukafanye nini ndugu?
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 3 месяца назад
Mi nataka kuja. Aiisee natumia nguvu nyingine kipo kidogo ,sifikii malengo
@josephnyamhanga4432
@josephnyamhanga4432 2 года назад
Yeah nahitaj na Mimi kweda Canada so ipo Nita fanikisha
@charlesstone3956
@charlesstone3956 2 года назад
I am truck driver in Kenya with more than 10 years experience. Can I get a chance in America as a truck driver?.
@Kobe_254
@Kobe_254 2 года назад
They don’t bring in truck drivers from overseas
@this_is_chriss4296
@this_is_chriss4296 3 года назад
Uncle naomva unisaidie niweze kuingia us mm ni mwanachuo mwaka wa kwanza
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 2 года назад
Kaka channel yako nzuri sana usiache kutoelimisha
@danlordnyimbi2355
@danlordnyimbi2355 2 года назад
Content moja makini sana yani
@bossnfashingabo7131
@bossnfashingabo7131 2 года назад
Niaje kaka mimi naitwa Joshua naishi Ohio but natamani kujiunga na jeshi naitaji maaada wako asante
@mrembowakisukuma1447
@mrembowakisukuma1447 2 года назад
Tupeni njia mlifikaje uko Afrika kugumu
@abdullahhamedal-toqi9006
@abdullahhamedal-toqi9006 Год назад
Aslm alkm, tafadhali nitumiye Web side ya kuomba Green Card ya USA
@takito_africa
@takito_africa Год назад
Soon ntakuwa huko
@rinamich4423
@rinamich4423 2 года назад
Lie ican go any where with any age
@user-vp6ol3kq6g
@user-vp6ol3kq6g 4 месяца назад
Je waweza kuja bila kuwa na elimu ya sekondali ?
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 года назад
Alafu we mzee nimeshakusanukia we ni kama vile unataka kutukatusha tamaa kuja huko marekani lakini haiwezekani lazima tuje hasa mimi naweza kuja chapu 😂😂😂😁😁🤣🤣
@vicentsilikwa4024
@vicentsilikwa4024 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@msafirikihiyo8818
@msafirikihiyo8818 Год назад
Hata mimi nilikua najiuliza hilo swali.
@aishamtwana1323
@aishamtwana1323 Год назад
Kufuatana na mabadiliko ya dunia ya sasa ni vigumu kutafakali kuishi nje ya nchi yako hii pia itategemea na mafanikio yanayopatikana katika nchi yako kutokana na uongozi na asili mali ya nchi na nini kitakachokusaidia maendeleo yako katika maisha yako na familia yako katika nchi yako katika future ya siasa na maendeleo ya nchi na mabadiliko kasi ya dunia kwa ujumla
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 2 года назад
Brow niko na elimu ya VETA
@roseraulent
@roseraulent Год назад
Kaka nisaidie na mimi natamani sana kuishi uko na kufanya kazi ila sija soma
@maabadburhan9385
@maabadburhan9385 Год назад
Kwa uwezo wa mungu tutafika tu uko 🇺🇸 na tuna malengo mengi
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 года назад
Cjui nifanyeje ili nije uko.mkoba mya wa kietronik wa buluu upo tuuu unaniruhusu kutoka njie ya tz.
@deusmorris1030
@deusmorris1030 2 года назад
swali kwanini watu wa ulaya wanatabasamu kila wakati yaani wanaraha
@MichaelJohn-pf3ug
@MichaelJohn-pf3ug 10 месяцев назад
Mimi nimtaalam wamambo ya laundrysarvice je naweza pata kazi nanini nifanye niweze kufika huko nakufanya kazi?
@howardbillionaire
@howardbillionaire 5 месяцев назад
niko hapa hadi siku nimefika hapo
@IDDY_MHANDO
@IDDY_MHANDO 2 года назад
Kaka mimi nina elimu ya kidato cha nne tu...je naweza kupata nafasi huko...lengo langu ni kuja huko kufanya kazi kwa bidii ili nijisomeshe huko huko...nitafanikiwa kweli?
@anwarsaid2008
@anwarsaid2008 11 месяцев назад
NIMECHEKA KWAMBA MTU AKIKOSA UGALI WA MUHOGO NA MGEBUKA ANAUMWA THIS IS SO FUNNY
@praygodnanyaro8510
@praygodnanyaro8510 2 года назад
Namba tuwacliane kiongoz
@mrambamasha7727
@mrambamasha7727 2 года назад
Naomba nipate kazi ja kufagia super market huko USA bro
@RizikiMpallateongoogle
@RizikiMpallateongoogle 2 года назад
Kuna robot 🤖 zinafagia tayari hazilipwi mshahara🤣
@sharifachacha6682
@sharifachacha6682 2 года назад
Kaka samahani naomba nikutumie namba yangu kuna kitu nikuulize
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 2 года назад
Nataka kuja huko.kufanya kazi nina umri wa miaka 30
@titobernard383
@titobernard383 Год назад
Hujachelewa Bado !
@augustinecassian1242
@augustinecassian1242 2 года назад
Kaka naomba connection mimi ni excavator operator from kigoma
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Nenda kanyani Uvinza mvugwe zccc sino huko
@ChikoMathias
@ChikoMathias 9 месяцев назад
Nina miaka 62 nitsweza kuja
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 года назад
I'm 40_yrs old Kumbe sijachelewa.
@emmanuelmkonda5010
@emmanuelmkonda5010 2 года назад
Kijana sana wewe
@zinabal-dubae3551
@zinabal-dubae3551 Год назад
Nimeingia America nikiwa na miaka 46
@gilbaleticia
@gilbaleticia Год назад
Hongera. Je unadhani ulifanya maamuzi sahihi? Natamani kufahamu uzoefu wako
@HassanMohamed-hd3eg
@HassanMohamed-hd3eg 2 года назад
Kaka unachosema in swala muhimu sana. Kila kitu inaanza na wewe binafsi.
@mathayomwashambwa1238
@mathayomwashambwa1238 Год назад
KWANI DUNIA YA KWANZA NDO KULIANZA KUUMBWA AU SIFA NI NINI? UCHUMI UNAWEZA KUFANYA NCHI MOJA IWE YA KWANZA NA YA MWISHO KUUMBWA??? ....
@mshangaemmanuel8964
@mshangaemmanuel8964 Год назад
Je kazi ambazo sio za usomi vp zinapatikana kama vle housekeeper n.k ?
@jumong-gameplayer
@jumong-gameplayer 4 месяца назад
Zipo nyingi sana
@wilsonwagyson48
@wilsonwagyson48 2 года назад
SAMAHANI JE!NI VP KWA MTU AMBAYE AMESTAHAFU TZ, HALAFU AKAAMUA KUJA KUISHI USA AU CANADA, MTU HUYO UNAMUELEZEAJE?
@marthamuthoni8348
@marthamuthoni8348 2 года назад
Niko na swali ? Nahitaji number yako
@aldofuchanda7644
@aldofuchanda7644 3 года назад
Kaka mm ninatamani sana siku moja nifike ulaya hata niwe house girl tu sawa ili niweze kuokoa jahaz la maisha duni ya familia yangu nina miaka 25 kama waweza nisaidie
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 года назад
Nitafute mzee
@aldofuchanda7644
@aldofuchanda7644 3 года назад
@@ahmuhally4430 nipe habar
@seffsamwel5649
@seffsamwel5649 2 года назад
Utaenda tu kuwa na subra tu kilocho chako hata ikichelewa kiasi gani lazima itakufikia, ila pambana
@rahelifredrick8460
@rahelifredrick8460 2 года назад
@@ahmuhally4430 unapatika vipi ?
@madetetv6576
@madetetv6576 2 года назад
@@ahmuhally4430 na Mimi mkuu
@pmt79
@pmt79 3 года назад
Umefafanuwa vyema umri wowote unaenda ILA ujuwe kwa nini unaenda, malengo na mipango yako. Kuna mghana namfahamu anamiaka 65 ndio kaenda US. Hujachelewa kilakitu kinawezekanika
@saidmega1527
@saidmega1527 3 года назад
daaah I m so happy kuskia hvyo
@msemasungura5651
@msemasungura5651 2 года назад
Kigoma nyumbani mjomba mimi elimyangu niyadini .kwasasa nipo mtaani .ila ni mpambanaji.unawzaje kunisaidia kuja USA
@msemasungura5651
@msemasungura5651 2 года назад
Kaziyoyote nafanya ilimradi iwe yahalali ambayo haina madhara
@Kobe_254
@Kobe_254 2 года назад
Aahh hapana… kama ako na watoto hapa basi poa, kama hustla…. Nimekatataa hilo 👍
@annamakoye9945
@annamakoye9945 3 месяца назад
Wewe mbinafsi
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 года назад
Kwasasa nipo omani Ila naomab nipate kazi hqtq ya kuosha vyombo huko nikifaka nitajitahidi mpqkq namimi. Niishi huko
@hafsasaif2618
@hafsasaif2618 2 года назад
Nataman nije kufanya ata kazi za ndan bro
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
Marekani hawaruhusu mtu kuwa mfanyakazi wa ndani huo kwao nikama utumwa . Huku utafanya kazi yoyote ile ila isiwe yakuvunja sheria tu na pia sio housegirl. Hakuna kabisa kazi izo
@reginahmwanzia927
@reginahmwanzia927 2 года назад
@@rahmaabdulla4949 kaka naomba unisaidie ninje huko nipo Dubai miaka mitatu kwa sasa nipo na hela naweza ngaramia nilipe shule naomba connection tu hela za kila kitu niko nazo
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 2 года назад
@@reginahmwanzia927 mie sio kaka ni mwanamke dada. Mie nisikufiche sina chochote nijue how kuhusu mambo ya mtu kutaka kuja Marekani mie mwenyewe nimeletwa na mumewangu tu . Ila najua njia moja naiyo ndorahisi kuliko zote .nimchezo wa bahati nasib unaitwa lotarygreen card . Kwa kukusaidia tu nenda kwenye account za Uyo EBM swahili. Nazani Facebook uko ndomwenye kujua mambo yote ya mtu kutakakuja hu anaelezea kila kitu . Mpaka kuhusu uo mchezo wa lotary pia kaeka link zake na maelezo jinsi ya kucheza kila kitu
@reginahmwanzia927
@reginahmwanzia927 2 года назад
@@rahmaabdulla4949 basi naomba usaidishi wako
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 2 года назад
Kufanya kazi muda mwingi ni kujipotezea umri wako wa maisha ya kuyafurahia mana unafanya kazi mpaka miaka 50 ndio unarudi Afrika baadaye unaishi miaka kumi unafariki . Maisha mafupi
@saloomidd1084
@saloomidd1084 2 года назад
kwa hiyo unashauri nini,watu walale tu wasifanye kazi?
@vicentsilikwa4024
@vicentsilikwa4024 2 года назад
Sasa utafanyaje
@vicentsilikwa4024
@vicentsilikwa4024 2 года назад
Mimi nikienda naishi mwaka umojatu
@vicentsilikwa4024
@vicentsilikwa4024 2 года назад
Nikishapiga pesa najiludia zangu
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Asante sana
@user-pf1pf6cy6s
@user-pf1pf6cy6s Год назад
Mimi taka nilipe unijasie
Далее
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
Просмотров 20 тыс.
Who Can Break Most Walls? Ep.2 | Brawl Stars
00:26
Просмотров 1,7 млн
Ushamba wangu mwanzoni Marekani - Maisha Ughaibuni
53:50