Тёмный

Majibu sahihi kuhusu nyama ya NGURUWE kwa WAKATOLIKI/Padre kutengwa na kanisa/kufukiza Ubani Nk. 

Breez Online Tv
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 73 тыс.
50% 1

Mhasham Askofu Method kilaini, Msimamizi wa kitume wa Jimbo katoliki la Bukoba na Mtaalamu wa historia ya kanisa Katoliki, akijibu maswali tata ya wasikilizaji wa kipindi cha Historia ya kanisa kupitia Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu.
#MaswalinaMajibu #HistoriayaKanisa #kanisakatoliki

Опубликовано:

 

10 ноя 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 187   
@hemmysaleh3521
@hemmysaleh3521 Год назад
Hajui kabisa Biblia inasemaje ,Yesu kasema hakuja kuvunja Sheria ya Musa Bali kiutimiza ,hakuna agano la kale Wala jipya ,Kwa hio kula chochote ni halali basi hata kumla yeye askofu nyama yake halali ,,asipotoshe UKWELI MUNGU AMEPIGA VITA NGURUWE
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Hili jibu la nguruwe ni ovyo kabisa iwe je kusiwe na HARAMU. Ina maana anaeweza kula nyama ya mtu ale tu kwa kuwa atasihia chooni.
@alexraymond1623
@alexraymond1623 Год назад
Askofu anajua Kila kitu maana biblia Iko wazi ila mambo ya walawi 11 sura nzima inatoa maagizo yote ya Nini kiliwe na Nini kisiliwe na uzuri askofu amesema agano jipya linakamilisha agano la kale Kwa hiyo hakuna kilichobadilika labda kafara tu ya wanyama ndo iliyoondolewa na yesu mwenyewe baada ya kufa msalabani akizibeba dhambi za ulimwengu
@esterinajonas
Tyk naitwa esterina mfilinge kutoka parokia mariade Matias mivumon je not mtakatitu yupambaye Sala yake huaza na maneno bwana nifanye chombo Cha amani
@jacksonkisabala8687
@jacksonkisabala8687 Год назад
Mnasoma sana uchumi mzee majibu yako rahisi sana alafu Roman Catholic walifanya biashara ya utumwa kuna dini .Vatican ina serikali pia dini gani inakuwa na serikali na mabalozi kila nchi hakuna dini mzee usitudanganye
@emanuellukwaro1032
@emanuellukwaro1032 Год назад
Ina maana askofu hujui vyakula najisi na safi soma Law 11:1- Kumb 14:1-
@mwesi527
Yaani kuhusu jpili ndo nimetambua akili hamna humo dah acha nitengwe tu ala mzee hapo umezingua,lakin utambue bwana atakata kichwa namkia soma katika kitabu cha isaya 9 anzia 4 na kuendelea usipotubu hapo bas
@kiookimolo
Mnapinga kitimoto isiliwe mkiingia kanisani mnavua viatu?je mwanamke akizini mnampiga mawe mpaka kufa, siilikua sheria,mwanamke aliruhusiwa kuoa wanawake wengi kulingana na uwezo wake mbona hamuoi siilikua sheria,,,mmekazana kitimoto kitimoto,hicho ni chakula kula ngurue na kuua kipi bora ,×watu wanafanya uzinzi wanaogopa kula ngurue aisee l see ,,hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya juu ya mwili,
@luciansanga5195
@luciansanga5195 Год назад
YESU MWENYEWE ALI ITUNZA SABATO YANI JUMAMOSI PIA TAURATI ALI HESHIMU
@PastorZakariaTzTV
@PastorZakariaTzTV Год назад
Kama mnashika agano la kale kwa kufukiza uvumba KWANINI mle nguruwe wakati agano hilohilo linakataza nguruwe.
@aloysiusrugejuna2804
@aloysiusrugejuna2804 Год назад
Katika majibu yako nimependa jibu la Jumapili. Asante sana baab askofu
@Grace-rx5xy
Asante sana baba askofu kwa majibu sanifu
@kilianmruma297
Waamini wa kristu hawafungwi na agano la kale.
@graceladislaus1176
@graceladislaus1176 Год назад
Mhhhh,huku tunakoelekea tunaangamia 😭😭😭😭zaidi tumuombe Mungu atusaidie kulewa maandiko.
@nyirefami19471947
@nyirefami19471947 Год назад
Asante sana Baba Askofu kwa majibu sanifu
@leonidaskwigize1853
@leonidaskwigize1853 Год назад
Hongera sana waumini mtafutao kujua mambo yale tuyaaminio
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba Год назад
Sanam kuiabudu hapana aisee , yawezekana ktk kueleza kakosea kidogo !!!
@danielnyabungi693
Hii ni sawa na kulisha watu upepo
@kiookimolo
Yesu alisema hakuna kilicho nje ya mwili kikiingia chaweza kuutia unajisi bali yamtokayo mtu moyoni mwake kama mawazo mabaya ,uzinzi ,na dhabi zote,,maana yake dhambi ndizo zinazo tutia unajis sio chakula
@shadymulu1568
Wapi maandiko yasema kwamba alibariki siku ya Sunday baada ya kufufuka kwake masihi.....???
Далее
Чистка пляжа с золотом
00:49
Просмотров 369 тыс.
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Просмотров 7 тыс.
CV YA LUHAGA MPINA WASIFU NA HISTORIA YAKE
13:24
Просмотров 40 тыс.
jee muislamu anaruhusiwa kula nguruwe
6:47
Просмотров 1,2 тыс.
ALIYEKUWA  MUISLAMU AWA  BRUDA MKATOLIKI
15:19
Просмотров 11 тыс.