Тёмный

Askofu KILAINI awaliza watu kanisani/aeleza sababu za Mdomo wake Kupinda mbele ya Makamu wa RAISI. 

Breez Online Tv
Подписаться 76 тыс.
Просмотров 64 тыс.
50% 1

Maadhimisho ya Jubilei ya Dhahabu ( Miaka 50 ) ya Upadre wa Mhashamu Askofu Method Kilaini
ORIGIONAL SOURCE:TUMAINI MEDIA
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #Jubilei
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv

Опубликовано:

 

20 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 46   
@korentinisilayo8125
@korentinisilayo8125 2 года назад
Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuogoza kiroho baba asikofu amina
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Dr M ana unyenyekevu Sana katika Mambo ya Imani. Hajikwezi
@sofiaoman5901
@sofiaoman5901 2 года назад
Atanishika mkono tuu Nitaamka tuu Mungu akulinde
@genovevakato3409
@genovevakato3409 2 года назад
Hongera Sana Baba Askofu kwa Mungu kukujalia kuinjilisha katika kipindi cha miaka 50. Mungu akubariki uwe na afya njema, hekima na busara🙏🙏🙏
@marthakimalila4268
@marthakimalila4268 11 месяцев назад
Mungu akulinde
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 2 года назад
Ubarikuwe baba askofu kwa utume mwema
@NowelaRaymond-zq4ys
@NowelaRaymond-zq4ys 6 месяцев назад
Mungu akutunze Baba Askofu wetu!
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Mungu aendelee kukutia nguvu na uzee mwema.
@meckymethy9225
@meckymethy9225 2 года назад
Mungu azidi kukupa nguvu na afya njema Baba
@andrewmunishi8484
@andrewmunishi8484 2 года назад
Mungu akupe maisha marefu nayaishi yote uliyotufundisha katika semina za uchumba na ndoa makuburi baba
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 2 года назад
Mungu aendelee kukutunza Baba.
@urumtewele9693
@urumtewele9693 2 года назад
Hongera sana BABA Mungu azidi kukushushia baraka zake
@FrolenceRogath-fv6ku
@FrolenceRogath-fv6ku Год назад
Baba mwenyezi mungu ahenderee kukupigania . Kwel din yetu unaijua vizur
@wilbrodtungaraza6204
@wilbrodtungaraza6204 2 года назад
Hongera sana baba askofu kwa kumbukizi ya miaka hamsini ya upadre
@mekumeku2484
@mekumeku2484 2 года назад
Hongera sana baba
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 2 года назад
Heri sana baba Askofu. Pension yako ipo miguuni pako.
@ibel4lf
@ibel4lf 2 года назад
Mungu akuwekee tunakupenda sana
@benny4345
@benny4345 2 года назад
Askofu Methodius Kilaini ni tunu kwa Kanisa Katoliki Tanzania na Ulimwengu.
@robertigohe7477
@robertigohe7477 6 месяцев назад
Bwana Yesu ni wa rehema mno na anaponya udhaifu wote. Zaburi 103:3-5
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Si atanishika mkono nitaamka tu!.Usikate tamaa.
@rwelamira
@rwelamira 11 месяцев назад
Proud of you Baba Askofu
@respiciusjoseph2293
@respiciusjoseph2293 2 года назад
our Father...
@luciansanga5195
@luciansanga5195 Год назад
Muna Bebana sana Sisi hapa tuna jua Hata Waovu wapo kwa kusudi la MUNGU HIVYO Hata Ninyi Mpo kwa kusudi lake
@chazyshadrack2558
@chazyshadrack2558 2 года назад
Amina baba 🔥🔥🔥
@magdalenasanga6378
@magdalenasanga6378 2 года назад
Mungu akuzidishie neema na baraka baba yetu. We missed you in DSM
@andrewmunishi8484
@andrewmunishi8484 2 года назад
Tunamshukuru mungu kwa zawadi ya uhai kwako tulikufaidi sana ulipokuwa dar na mafundisho yako na semina zako za vijana Jimbo kuu la daresalaamu
@rafaellamba6724
@rafaellamba6724 2 года назад
Hongeara sana baba kilain wew ni chachu katika kanisa la Tanzania na kanisa la Mungu hapa dunian
@user-bw2gm7pt5q
@user-bw2gm7pt5q 10 месяцев назад
jamani mbona anatulazimisha atuachie bandali yetu aende zanziba kaweke mkataba sis hattaki
@hildambielmasawe9467
@hildambielmasawe9467 2 года назад
Niseme nini mimi kwa zawadi ya baba askofu kilaini. Tunakupenda baba tunakuombea.
@hildambielmasawe9467
@hildambielmasawe9467 2 года назад
Thanks
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 2 года назад
Asante Mungu kwa zawadi ya Askofu Kilaini. Baba Kilaini umekuwa zawadi na chachu nzuri kwa Kanisa la Tanzania na ulimwengu mzima. Nimefurahishwa na hotuba yako 🤣
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
nakule kusini mwa Tanzania tunataka kujitenga atuoni faida gas yetu kusini kama maasikofu wachukia kuwekezwa bandali kusini tunaibiwa gassi bila yawatu wakusini kunufaika
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Makuzi yao ya upendo. Neno kubwa sana.
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
kama kila kinacho semwa na wengi tunataka selikali tatu ndio tunasema muungano utakua umefika mwisho
@maryjoseph6973
@maryjoseph6973 10 месяцев назад
Amina🙏🙏
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
kama tutaongozwa na maasikofu basi muungano ndio mwisho wake umefika
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Год назад
Ila BABA ETI DAISALAMU🤭🤭🤭. NIMEFURAHI TUNAKUPENDA SANA
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 года назад
bukoba tunakupenda baba askofu wewe uwe askofu wa jimbo letu
@EutropiaMinja-rx8sv
@EutropiaMinja-rx8sv 10 месяцев назад
Mijitu mingine haina akili kama hili linalojiita user. Hili user halina akili kabisa sijui ni chizi hili!!!
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Tunae Rais na Mama. Nani Kama Mama?
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
mbona amtoi tamko kuhusu gasi mtwara imeporwa na wananchi wame kufa mbona hamkutoa tamko kwakua kanisa lina hisa yake
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
tunasubili kuona selikali au maasikofu ndio wataiongoza Tanzania
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
biashara chafu mtakosa kufanya ndio maana mlimchukia magufuri akujali udini halikua muwazi
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t 10 месяцев назад
kanisa limeiba madini ndanda kue masasi rondo chidia namtumbo mbona selikali imekaa kimya nyie maasikofu ndio wala rushwa sugu hamlipi kodi mnaonaselikali ikiwekeza mtatakiwa mlipie na biashala zenu za pembe za ndovu zitakwama
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Tumebebana
Далее
Despicable Me Fart Blaster
00:51
Просмотров 4,7 млн
Cat Plays with Window Washer
00:22
Просмотров 1,8 млн
Despicable Me Fart Blaster
00:51
Просмотров 4,7 млн