Тёмный

MAKONDA AWARIPUWA VIONGOZI WASIYO MPENDA NA KUMSEMA VIBAYA"MIMI SINA MPANGO WA KUFA LEO" 

Adil TV
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

#AdilTV

Опубликовано:

 

15 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@user-io3xw4yr3t
@user-io3xw4yr3t 29 дней назад
Kakaangu Makonda wabane hawo Madhwalimu kwa Spana mpaka Wanyoke wote. Mwenyewezimngu akulinde wewe na Mama yetu Samiya hapa Duniyani na kesho Akhera. Ameen Ameen Ameen. MAKONDA HOYEEEEEE MAKONDA HOYEEEEEE MAKONDA HOYEEEEEE ES LEBE MAKONDA ❤❤❤
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 5 месяцев назад
Mimi mwenyewe sina pakuwalipulia wanaomchukia Bwana Makonda tayari ningekuwa nilishawalipuwa kitambo sana na mimi sio mtanzania Nawala sijawahi ishi Tanzania.ila siasa za Africa hekima zake nazijuwa Makonda ni umoja mwawale viongozi wenye hekima na huruma
@augustamayemba3495
@augustamayemba3495 5 месяцев назад
Hongera Ndugu Makonda Mungu akulinde akutunze usikilize vilio vya wanyonge wa Taifa hili.
@marianmartin7483
@marianmartin7483 5 месяцев назад
Makonda ww ni mwamba imala sana, mwenyezi MUNGU awe pamoja nawe ktk kazi zako.
@user-cz7yn8ct5r
@user-cz7yn8ct5r 4 месяца назад
MUNGU aendelee kukulinda MAKONDA na wote wanao onewa wapate haki zao,ni Maombi yangu MUNGU aendelee kukupa uzima Uzidi kuusema ukweli
@salimmjungu8745
@salimmjungu8745 5 месяцев назад
Mh Rais tuongezee jembe lingine hapo ALLY HAPPY Mchapa Kazi shupavu.
@hamiduchingi2672
@hamiduchingi2672 4 месяца назад
Wamuongezee jembe sabaha
@DiorMabaril-qy6yp
@DiorMabaril-qy6yp Месяц назад
Makonda Oyeeeeerr
@yusufsadic2930
@yusufsadic2930 5 месяцев назад
Masha Allah Makond Allah akulinde kwamafisad ot mim nipo hapa Pritoria nakufatilia san
@user-qe3fs1xc3b
@user-qe3fs1xc3b 5 месяцев назад
Ambie hawanahaya ..halafu vitisho vyao viaikuyumbishe ..siaia tunakuombea na Kwa nguvu za ALLAH utasimama daima kwenye haki na wao wataadhirika .WALAFI HAWANA NAFASI KWENYE TAIFA LETU.PUMBAV ZAOOOO.
@SharoComedy-vt5nf
@SharoComedy-vt5nf 5 месяцев назад
❤ kaka Makonda Mungu akupe maisha malefu duwa njema kwako
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 4 месяца назад
Hapa hatuna mahakama kabisa Kuna majambazi
@hamiduchingi2672
@hamiduchingi2672 4 месяца назад
Tatizo lawatumishi waserikar wasomi wanajizuma kujilipizia pesa walizo sameshewa nababazao ndiomaana Awana uchungu namali zataifa na Kodi zawananchi
@rahmahasan32
@rahmahasan32 5 месяцев назад
Masha Allah Allah akuhifadhi
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 5 месяцев назад
Nguvu ni Za mungu. Siye yesoo mwanangu ,yesoo ni nabiiy..usione vibaya …
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 месяцев назад
Makonda watu wenye roho mbaya wanafikiri we unafanya compani za ccm,kumbe we unatatua matatizo ya watanzania,na nyota yako inawaka wanafikiri wanaweza kuizima huwezi kuzima kilichowashwa na Mungu huwezi kuzima
@ndayizigasamson665
@ndayizigasamson665 4 месяца назад
Safisana mzee saidia wanainchi Songambele.
@francesfelician3506
@francesfelician3506 5 месяцев назад
Live long mir makonda
@johnjoel5012
@johnjoel5012 5 месяцев назад
Mh Makonda husiogope vyura mpaka watasema.
@JAMALABEID-ry8wp
@JAMALABEID-ry8wp 4 месяца назад
Mama huyo jamaa mpe nguvu
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 5 месяцев назад
Mungu atakulipa
@DicksonIgnas-pq1rj
@DicksonIgnas-pq1rj 4 месяца назад
Nikikanyaga mahakamani kesi imesha kula nina
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 5 месяцев назад
Hilo shirika la Trc linamchwa wanataka shirika likose ufanisi Kisha libinafsishwe
@shabanihassani7115
@shabanihassani7115 5 месяцев назад
Ama kweli siku ya hukumu kutakuwa na mambo
@raurentkorosso2014
@raurentkorosso2014 5 месяцев назад
Ukaimishwe na tamisem mkuu maaaana unasema ukwer
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 5 месяцев назад
Wachemshie dawa yao wanye chuki kwako wanywe sumu😂😂😂
@user-tz8yn9uf2k
@user-tz8yn9uf2k 5 месяцев назад
😮
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 5 месяцев назад
Ujinga mwingine. Mnatapeliwa kijinga. Ni tatizo gani angalau moja huyu chawa ameishatatua tangu mmpelekee zaidi ya kuwatapeli kwa kuwambia mnachotaka kusikia. Namuonea huruma Samia kwa kufufua huyu bashite anayezidi kuonyesha kuwa kumbe Tanzania haijawahi kuwa na serikali yenye kuwafaa wananchi hadi sasa bashite anapojimwambafy kama rais.
@nicethgabriel3319
@nicethgabriel3319 5 месяцев назад
Katumwa kusema badala ya rais, fanyeni majukumu yenu kama viongozi, hawa wananchi mnataka wasaidiwe na nani, wenye majukumu yenu mnajaza vitambi tu nyooooooo. Huyu ndio raisi ajae fanyani mfanyavyo ndio rais
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 5 месяцев назад
Rais ajae? Kwani watu wenye akili timamu wameisha Tanzania hadi mnafikiria na wendawazimu wanaweza kuongoza? Kama mnampigia kampeni hapa, jua mnamchoma na kuunguza@@nicethgabriel3319
Далее
O-Zone - Numa Numa yei на русском!🤓
00:56
Просмотров 177 тыс.
O-Zone - Numa Numa yei на русском!🤓
00:56
Просмотров 177 тыс.