Тёмный

MAKOSA 6 YA KUEPUKA UNAPOANZISHA BIASHARA - Victor Mwambene. 

Victor Mwambene
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Kupitia somo hili utajifunza makosa 6 wanayofanya watu wengi wakati wa kuanzisha Biashara. Kwa kutokujua makosa haya biashara nyingi zimekufa ndani ya muda mfupi.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Опубликовано:

 

9 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@ENGINEER55.
@ENGINEER55. 9 месяцев назад
Asante kaka nimejua vingisana umenitoa Gizan nimepoteza biashala nyingi sana ningependa nipatate hivyo vitabu nipo dar
@NgomyakomyaKashumbi
@NgomyakomyaKashumbi 4 месяца назад
Yeah nakupata vizuri sana
@SamsonHumbe
@SamsonHumbe 3 месяца назад
Ni kweli kaka yangu, nakupata barabara.
@barakakamsila499k
@barakakamsila499k 2 месяца назад
Shukra brooo
@user-kt3zw8bv9b
@user-kt3zw8bv9b Месяц назад
naku fuatariya kutoka congo
@wilsonfanuel9642
@wilsonfanuel9642 Год назад
Appriciated sana 👊
@aganokomba2423
@aganokomba2423 2 месяца назад
Kweli Kweli wako wengi sana huku mtaani 😅😅😅
@EnockMahenge-yv2cd
@EnockMahenge-yv2cd 4 месяца назад
Asante niko na maono makubwa Ila niligundua kubwa sina maarifa ya fedha na biashara sasa naweza kuingia vitani bila Hof asante sana mwalimu kikubwa lazima nipate vitabu vyako vyote ili niwe expart
@harunipaschal513
@harunipaschal513 3 месяца назад
Hicho kitabu cha jinsi ya kujitofautisha ni shingapi.
@omarmahirizi
@omarmahirizi Год назад
Kweli kabisa kaka
@ShabanhasanShabanHasan-yc1gd
@ShabanhasanShabanHasan-yc1gd 11 месяцев назад
Big up brother endelea kurusha mawe
@UgaliDagaa-gu2vp
@UgaliDagaa-gu2vp Год назад
Safi teacher
@farajarogath196
@farajarogath196 Год назад
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
@user-de9iz1os6z
@user-de9iz1os6z Год назад
Nimeependa sana Husia wako
@benedictaustard5583
@benedictaustard5583 5 месяцев назад
Tufindishe jinsi ya kupata Capital na kutumia Mkopo to your advantage!
@victormwambene
@victormwambene 5 месяцев назад
Somo la Jinsi ya Kupata Mtaji Nitaliweka wiki ijayo, Tayari Nilisha shoot
@benedictaustard5583
@benedictaustard5583 5 месяцев назад
@@victormwambene Asante
@harunaathumani1672
@harunaathumani1672 Год назад
Somo zuri na nimejfunz kitu
@FaidaShija
@FaidaShija 4 месяца назад
Kaka mm sped kuajiliwa nijitowe vp Ili na mm nifanikiwe kibishaara
@kanyikatzmg7228
@kanyikatzmg7228 9 месяцев назад
Ahsante
@user-yf3lq3hx9f
@user-yf3lq3hx9f 5 месяцев назад
Asante sana brother umenifundisha nimekuelewa
@user-zs5ml7hz3y
@user-zs5ml7hz3y 5 месяцев назад
Nime kuelewa
@harunaathumani1672
@harunaathumani1672 Год назад
Teacher liwepo hilo somo la maswali ya kuuliza kwenye Interview
@user-xv1pj3wq5b
@user-xv1pj3wq5b Год назад
😮kaka kutoa tang fetha n kvp
@joycemugaka3039
@joycemugaka3039 10 месяцев назад
Asante sana kaka ,nimefunga mengi
@JumaAli-cf4qw
@JumaAli-cf4qw 10 месяцев назад
habari kka
@RaheliMichael-st2tc
@RaheliMichael-st2tc 10 месяцев назад
Kaka unazo Akili mnoo
@j4amas5
@j4amas5 8 дней назад
Kitabu nakipataje?
@youngrappertz1735
@youngrappertz1735 Год назад
boss we umeanzisha biashara gan ikafanikiwa??
@MohamedSaid-dz7ci
@MohamedSaid-dz7ci 4 месяца назад
Hhhhh
@ashamnyanga3397
@ashamnyanga3397 6 месяцев назад
Ahsante
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Njia Nne (4) Za Kukuza Biashara Yako - Joel Nanauka
9:07
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Просмотров 52 тыс.
MBINU ZA KUEPUKA MADENI MABAYA - Victor Mwambene.
12:03
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00