Тёмный
No video :(

MALI ZA BILIONEA MSUYA ZAANZA KURUDISHWA KWA WATOTO NA SERIKALI 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 192 тыс.
50% 1

WATOTO WA BILIONEA MSUYA WARUDISHIWA NYUMBA NA SERIKALI
Arusha. Mgogoro wa mali za billionea Erasto Msuya Serikali yaagiza watoto wa kurejeshwa kwenye makazi ya Baba yao ambayo ulikuwa imefugwa.
Agizo hilo la awali ametolewa Leo Octoba 17, Mkuu wa wilaya ya Arumeru,baada ya kukutana na wazazi wa billionea Msuya, watoto wake na baadhi ya wanafamilia upande wa mke wa Msuya ambaye yupo magereza segerea akikabiliwa na kesi ya mauji.
Mke huyo wa billionea Msuya anatuhumiwa kwa mauaji ya dada wa billionea huyo, Aneth Msuya yaliyotokea Kigamboni jiji Dar es salaam.
Wakizungumza baada ya maamuzi hayo,Mtoto wa billionea huyo,Kelvin Msuya na Baba wa billionea huyo,Elisaria Msuya walikubaliana na maamuzi hayo ya awali.
Kelvin (22)anasema, anataka yeye na wadogo zake wapewe haki ya kusimamia Mali za Baba na mama yao na sio mtu mwingine.
Anasema familia ya baba yao inataka kuwanyan'ganya mali kwani baada ya mama yao kukamatwa wamefungua kesi upya za kudai usimamizi wa mirathi ingawa tayari mama yetu aliteuliwa wa lengo lao wachukuwe Mali.
"Mwanzo babu na shangazi Ester walifungua kesi ikafutwa, Ndeshukuro Sikawa na babu wakafungua ikafutwa sasa amefunguatena Bibi peke yake"amesema
Anasema ndugu hao walinfungulia kesi na kutaka kumuunganisha na mama yake lakini alisaidiwa na ndugu wa mama yake na maafisa wa juu wa polisi
Hata hivyo baba wa billionea huyo, anasema walifunga nyumba za billionea huyo,kutokana na kuzuia upotevu wa Mali hasa baada ya kuanza kuibiwa
Hata hivyo alisisitiza baadhi ya Mali za billionea huyo yeye na mkewe walikuwa na hisa ikiwepo mgodi wa Tanzanite ambao alidai ni mali yake,hoteli ya SG na mashamba.
Billionea Msuya aliuawa kwa kupigwa risasi mwaka Agost 7 2013 na ameacha nyumba za kifahari zaidi ya tano,magari,hoteli mbili za kitalii,viwanja na mgodi wa Tanzanite.
HABARI MPYA DAILY
www.youtube.co...
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
/ playlist

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 654   
@augustinomwanjabike5157
@augustinomwanjabike5157 4 года назад
sijawahi comment kwa hili machozi ya furaha yamenitoka kuona haki inapatikana BIG UP DC
@rosempunga9973
@rosempunga9973 4 года назад
Tunaishukuru serikali kwa kusikia kilio cha hao watoto.mungu akubariki sana mkuu was wilaya.
@saramsemo1536
@saramsemo1536 4 года назад
Watoto wabilionea
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 4 года назад
Mkuu wa wilaya hoyeeeeeeeeeeeeeeeee mungu akubariki nimefurahi sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 года назад
HUYO MAMA ANATAMAA SANA. MAANA ANAKIHELHELE.
@Rbmate
@Rbmate 4 года назад
Na ukiona mama ana kiherehere ivo OGOPA sana watoto wake..
@loganoipatrick7744
@loganoipatrick7744 4 года назад
tena kiherehere mpk anawashwa mpumbavu sn huyu mama
@paulkisatulusana1142
@paulkisatulusana1142 4 года назад
Mama hajielewi vizuri Tamaaa duuu Asante Jerry muro hapa kazi tuuu
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 4 года назад
Mheshimiwa DC hakika ulistahili,yaani jana tu! umesikia tatizo leo hii umelishughulikia kwa asilimia Hamsini?kweli unatosha kiongozi
@jumamchina9038
@jumamchina9038 4 года назад
Hao ndio Vijana anaewataka Mh Rais wetu. Mungu amsaidie DC aumalize huo Mgogoro kwa namna nzr itakayo maliza Uhasama kwa hiyo Familia
@bahishaalexander3641
@bahishaalexander3641 4 года назад
Juma Mchina sina shaka hata kidodo yuhu mheshimiwa anaweza na hapo ndipo ninapoamini mamlaka ya Rais kuwa mara nyingi hayakosei na lake ni lefu sana.kwa stahili hii tutafika hakika
@kiatu
@kiatu 4 года назад
Intro ya Jerry ni 🔥, hiyo confidence uzidi kuwa nayo - shida baado zipo, Mungu atazidi kufanya kazi yake ndani yako.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 4 года назад
Tunakushukuru msaidizi wa raisi ngazi ya wilaya, hivi ndivyo inavyotakiwa katika ngazi ya uongozi, siyo kila kitu lazima kiende ikulu wakati kuna ikulu ndogo wilayani👏🏻👏🏻👏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿 DC Muro👏🏻👏🏻
@kiatu
@kiatu 4 года назад
E K 💯 %
@swahiliwithdavid5910
@swahiliwithdavid5910 4 года назад
Kweli kabisa. Si kila kero isikilizwe au kutatuliwa wakati Rais atakapofanya ziara maeneo husika. Hongera sana DC Muro!
@henrickovicent2933
@henrickovicent2933 4 года назад
Hongera sna mhe dc kwa hekima uliyo nayo, mwenyezi Mungu akubariki. Ahsante
@Mwinyi79
@Mwinyi79 4 года назад
DC Jerry Muro hongera saana, inaonyesha ww ni mwanafunzi sahihi wa Awamu hii ya Rais Magufuli. Umeivaa saana
@georgechalondunda6599
@georgechalondunda6599 4 года назад
Jerry Muro amepewa kipawa na Mungu. .Ndio maana naipenda inchi ya Tanzania. ..Naona niki hamia huko. .Viongozi wanao mpenda Mungu. .Mimi natoka Kenya and I am in love with Tanzania and it's leaders. .wapi likes .Tanzania oyeeee
@philipoelias4262
@philipoelias4262 4 года назад
KAMA WATOTO WAMESHAFIKISHA MIAKA 18 WAACHIWE WAZIENDELEZE, WEWE BIBI KAGOMBANIE MALI ZA MUME WAKO
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 4 года назад
Sawa
@barakamwakapoma2702
@barakamwakapoma2702 4 года назад
Hahahahahaha kweli kabisa akatafute sake na mumew
@evamlay8997
@evamlay8997 4 года назад
Kweli akaangaike na za mumewe
@isackmwaluko113
@isackmwaluko113 4 года назад
Kumsomesha mtoto ni wajibu wa mzazi hakunaga malipo..bibi ametia aibu,,sasa hao wajukuu kweli wataenda kwake..babu katulia bibi sio mtu mzuri..ameshasambaratisha ukoo wake..
@isackmwaluko113
@isackmwaluko113 4 года назад
Dada wanapataje mgao jamani;;;mnawaonea watoto na mm yao 😂😂😂😂 dunia mtaroni!!!!hao wakina dada wakifa hao watoto Wa msuya watapata mgao???
@damianmakala2913
@damianmakala2913 4 года назад
Kisheria hii kesi sio ngumu sana kufanyiwa maamuz bcoz marehemu aliandika mgawanyo wa mali zake zote na walishapata mgao wao ! Kilichopo ni tamaa tu hiyo ndio inayoleta shida
@frankjonas1275
@frankjonas1275 4 года назад
Yaa kisheria hiyo nikama vile maji na samaki tuu ata haina ugumu wowote kama washapata mgao wao basi ni kuwablock wasiifatilie tena mali ya woto
@juliusjaliwa9887
@juliusjaliwa9887 4 года назад
Daaaaaa mungu ni mungu na atabaki kuwa mungu asante sana kuona serekali imesikia kilio cha wa toto hawa kweli ilikuwa ime niuma sana duuuuuu
@saidwambura2461
@saidwambura2461 4 года назад
Jamani hii familia nifamilia yenye mgogoro mkubwa,baada ya kuwawa kwa baba na kuwawa kwa shangazi.mama amejieleza vizuri na imani watapata suluhisho zuri.
@veronicatweve4786
@veronicatweve4786 4 года назад
Daaa! Nimekupenda saaana mkuu wa wilaya Jerry Muro na Mungu akulinde 🙏
@davidmihambo3051
@davidmihambo3051 4 года назад
Hii familia inaongozwa na mama nini, maana naona yeye ndio mishipa imemsimama kuongelea hill swala. Ila wajue tu pesa ,dhahabu na Mali zote tutaziacha hapa hapa dunia cha msingi watengeneze mahusiano mazuri na Mungu na waache ufisadi na dhuluma kwa hao watoto wa marehemu.
@jacklineerasto6920
@jacklineerasto6920 4 года назад
Usiongee hvyo ww kumbuka yule ni mama ake na marehemu and always she wants the best kwa wajukuu zake... Siamini kama hao wajomba na hao watoto kama ni vya kweli wanavyovizungumza...
@julianacostantine6682
@julianacostantine6682 4 года назад
Dah Safi Sana mheshimiwa mungu akuongoze Kwa kila hatua 🙏🙏
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 года назад
Matajili Wote Akikisheni Mnaingilia Hii Kesi Nanyi Watoto Wenu Wasije Kuingia Majalibuni Kwakua Msipofanya Ivo Watoto Wenu Watapata Tabu Sana Lindeni Aki Kwa Wengine Nanyi Kizazi Chenu Kitendewe Aki Pindi Mkiwa Makabulini
@kazkaz1943
@kazkaz1943 4 года назад
Awadhi Rajabu hata masikin pia tuakikishe tumeandika radio ya nan, na nani atachukua sim ya kitochi, godolo mpk mashuka tuandiken jmn kwa maskini hali ndo tete zaid watu wanauana kisa mfuko wa cement
@dorahndauka3046
@dorahndauka3046 4 года назад
Kwel kbsa nao pia wanakitu cha kujifunza na kuweka waz mapema kbsa na ikiwezekana kuita kikao cha ndgu na kukabidh mal kwa watto na ndgu wote wakiwemo na kurecord juu ili hata cku likitokea kuwe na kumbukumbu za kutosha inaumiza sana kwakwel
@zakaliaugulumu3274
@zakaliaugulumu3274 4 года назад
Umeongea maneno mazito sana yenye hekma kubwa ndugu AWADH. Mungu akulinde sana
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 4 года назад
Mali ya marehem itarudi kwa kwa marehem tu
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 года назад
Hussein Nyomi ..Mali Ya Marehemu Itarudi Kwa Wajukuu Mali Kawaida Zienderezwe Sio Kama Nyerere Alianzisha Viwanda Waliotakiwa Kuviendereza Awakuviendereza Rakini Mali Ya Nyumbani Kwake Watoto Wanaziendereza Hata Nyumba Ziko Imara Ukiwa Na Mali Na Uko Na Watoto Akikisha Dada Zako Ndugu Zako Wengine Wanakaa Mbali Na Mali Zako Na Ata Ukiwa Na Mtoto Mwenye Tamaa Nae Akae Pembeni Kawaida Za Mali Zinapaswa Zidumu Na Zienderezwe Kwenye Familia Kupunguza Umasikini Unachagua Mtoto Mwenye Ufahamu Na Mahamuzi Yasio Na Shaka Unamuandika Kua Msimamizi Wa Mali Na Sio Mlisi Wa Mali Akiwa Mlisi Wa Mali Atauliwa Mapema Awe Msimamizi Ziandikwe Serikalini Kabla Ya Mzazi Kufa Jamani Wazazi Ukifikia Miaka 75 Wewe Unaenda Kufa Muda Wowote Atakama Vijana Pia Twafa Rakini Miaka Iyo Ndio Ya Kuandika Msimamizi Wa Mali Nae Haakikishe Anasimama Imara Abagui Ndugu Zake Ukiwa Mke Mumeo Ausiki Na Mali Izo Na Ukiwa Mme Mkeo Ausiki Na Mali Izo Ivo Unapochukua Mahamuzi Yatoke Kichwani Mwako Na Sio Kusindikizwa Na Mkeo Hau Mumeo Apo Utaalibu Familia Nzima Mali Za Ulisi Azimfai Mke Hau Mume Bali Familia2 Mana Dunia Ya Sasa Watu Uchukua Mahamuzi Kutoka Kwa Mke Hau Mume Ndipo Wanakofeli Watu Wengi
@petermollel1471
@petermollel1471 4 года назад
Nimekupenda sana DC Muro kwa hekima zako na busara. Endelea kusimamia haki. Kikubwa watoto sasa wamezidi miaka kumi na nane, wana uwezo fulani kisheria. Hiko liangaliwe. Naamini pia hao wazazi hawana shida na watoto wa marehemu mtoto wao Erasto. Bifu liko kati ya wazazi na mke wa marehemu (mama wa watoto wa marehemu). Ni issue ngumu sana inayohitaji neema ya Mungu ili hii familia ielewane
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 4 года назад
Jerry umekuwa mwakilishi mzuri sana wa rais. Safi sana mungu akubariki
@mannabu9333
@mannabu9333 4 года назад
Duuh milioni 200 wamepewa wengine milioni 75 bado wanatamaa na nyengine waachien watoto urithi waish kwa aman bhana
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 4 года назад
@@agnestemba8079 wewe umezitafuta zakwako????au ndo unawatia ujinga??
@zuhuramniwasa1063
@zuhuramniwasa1063 4 года назад
Baba na mama jumla wemepata mmln 400 + 73 x ? wadada bado wanashikilia mgodi hawajatosheka hao ndiyo Binaadamu, inawezekana hata mama kazuahiwa kesi, mrudieni mungu wenu, jiulizeni aliyetafuta yuko wapi?
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 года назад
@@agnestemba8079 hayajakukuta ukutanavyo hivi ndoo utaelewa sasa na lazima yatakukuta tu ili uelewe
@dorahndauka3046
@dorahndauka3046 4 года назад
Yaan watu wana tamaa jmni hawana shukran kbsa hata kdgo mtu upewe mil 75 burebure tu bado roho inakutoka hahahahaha khaaaaaa
@lilianlukeisa2739
@lilianlukeisa2739 4 года назад
We ni mchawi Kama sio mchawi bas unakunya ndan hv umefkil kabla ya kuandka nyoooookooo
@dicksonmarko7926
@dicksonmarko7926 4 года назад
Jerry muro Tangu umekuwa kiongozi leo umefanya kitu ambacho kitakishi kwenye mioyo ya hao watoto na hizo zitakuwa ni baraka za maisha yako yote. Kila la kheri mkuu Mwenyezi MUNGU akakuongoze kwa kukupatia akili na maarifa ili ukahitimishe jambo hili hiyo jumatatu.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 4 года назад
Ooh YES! Hii ni busara, nimekukubali Jerry ktk hili. Mungu akuongeze
@jumamchina9038
@jumamchina9038 4 года назад
Aamiin
@salomekessy9003
@salomekessy9003 4 года назад
Hongera sana serikali wawaachie hao watoto jamani
@olemollel5565
@olemollel5565 4 года назад
Nimeipenda sana maamuzi ya muro huuo sasa ndiyo maana ya neno kiongozi
@ostakiambilinyi6614
@ostakiambilinyi6614 6 месяцев назад
Bibi jeuli
@tolutolu2970
@tolutolu2970 4 года назад
Muro kwa mala ya kwanza Nakupongeza leo
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 4 года назад
😂😂😂😂aise watu na malii buanaaaaaaa!!!!! Watu wakali kama wametafuta wao
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 4 года назад
Mm nadhani tunatakiwa kujifunza juu ya kugawa miradhi tukiwa hai kisheria haya yote yatapungua kama sio kuisha kabisa
@chamwinoduka7446
@chamwinoduka7446 4 года назад
Charles Kaozya mali huw n ya mme na mke na watoto wao. mama hapo yy kama hakutafta zao na mmewe shauri yao wawaache jmn mbn hata wao hawajui lin ck yao mung analipa hapahap dunian
@johnemanuel2822
@johnemanuel2822 4 года назад
Nashangaa,Bibi anamme wake ,kwann asirithi Mali za mume wake,msyuuuuuuuuu!! Watoto wapo ,Mama yao yupo hata kama yupo gerezani ,,,hao wakina SHANGAZI sijui wakina babu wapambane na Hali zao
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 4 года назад
@@johnemanuel2822 niajabu sana yaani mpaka anaboa.
@johnemanuel2822
@johnemanuel2822 4 года назад
@@feisalsalum1258 umeona eeee
@quranhadith1675
@quranhadith1675 4 года назад
Jamani, ukishakufa ndo mali zinabadilika zinakuwa mtihani. Kuna umuhimu mkubwa wa kufanya sana ibada. Mungu amrehemu Msuya kwa busara yake kuacha ameandika wosia na kugawa mali. Hongera Jerry kwa kazi nzuri sana.
@benhorta5121
@benhorta5121 4 года назад
Hii family inasafari ndefu sana kama ujui Erato msuya alifariki vip, je Dada wa msuya alifariki vip baada ya kaka yake kufariki je mke wa marehemu kwanini yupo magereza mpaka saivi basi ukijua hayo ndio ujue hii family inamambo mengi ndani bora upite mbali nayo tu...
@michaelmatonange630
@michaelmatonange630 4 года назад
Brother Kwani hili sakata likoje kuhusu mke wa marehemu erasto
@kasimuyahaya4010
@kasimuyahaya4010 4 года назад
Safi Sana mh m200 ila Bado tu unataka waachieni hao watoto pongezi kubwa kwa DC muro ubarikiwe Sana kwa uongozi bora
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 4 года назад
Mmh Mama milioni 200 na Baba 200 wa dada milion 75 mmmh mmh we Mama wee??? hapo kazi ipoo huyo mama huyo mmmmh kazi ipo hapo
@sushielakrishna9697
@sushielakrishna9697 4 года назад
Ipo kweli
@msafiriramadhani3339
@msafiriramadhani3339 4 года назад
Ni jambo jema sana. Hongera Sana Mheshimiwa DC kwa kulitatua jambo hili kihekima.
@tumamwandu4965
@tumamwandu4965 4 года назад
Hongera xana muheshimiwa kwa maamuz hayo mungu awasimamie hao watoto
@RonnieBertin
@RonnieBertin Месяц назад
Big up mkuu wa wilaya habari kwisha
@gasolinecheatcode8528
@gasolinecheatcode8528 4 года назад
finally...i like this goverment official. step by step.
@georgemhalla3515
@georgemhalla3515 4 года назад
Chimah The Goon @@@ Good government
@nataemsuya
@nataemsuya 4 года назад
Eti shangazi na mwajomba mnafunga nyumba ya wa watoto wa marehemu SHAME BE UPON YOU.
@athanaseiyamuremye512
@athanaseiyamuremye512 4 года назад
Jeti kwasha mmbe
@magangajames4644
@magangajames4644 4 года назад
Inasemekana MAMA na WATOTO walishikiliana kumuua BABA ili wapate kulithi mali ndo maana ndugu wamechukia .wachaga wanajuana wenyewe.
@lizynyeze7521
@lizynyeze7521 4 года назад
@@magangajames4644 ivi unauhakika gani kaa walipanga kumuuwa
@barakanyambele4673
@barakanyambele4673 4 года назад
Kwa kweli mtegemea cha kaka hufa masikini
@khadijakhadija6212
@khadijakhadija6212 4 года назад
@@magangajames4644 Laki si ndo desturi yao mali tu inakutoa roho khaa
@doreengomes3489
@doreengomes3489 4 года назад
God be praised forever. Amen Ephesians 5:31 "Therefore a man shall leave his father and mother and hold fast to his wife, and the two shall become one flesh.” The Late Erasto's parents have no rights to what he had built with his wife. They had no rights over his property when he was alive. What gives them the rights now? If his wife is in prison than the next of kin their children that are above the age of 18 can handle their properties. 💐🙏May God rest Erasto's soul in peace. Amen
@alfredymalata269
@alfredymalata269 4 года назад
Jibu bado sijawai lipata kwannn kina mama wengi wa kichaga ni wajane na wenye mali nyungi
@kelvinjonathan4772
@kelvinjonathan4772 4 года назад
Naendelea kujifunza jinsi Dunia ilivyo......
@lilianlukeisa2739
@lilianlukeisa2739 4 года назад
Umeona ehee
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Kaka siku zote Mali ni mtihani,,,,
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Wanaadamu si watu katika Mali,,,,,,
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 года назад
Kua uone sio majumba na maghorofa uone....................
@ibrahimushabani5299
@ibrahimushabani5299 4 года назад
Ule usemi wa kua uyaone ulidhani ni magorofa?
@rossejoseph9312
@rossejoseph9312 4 года назад
ahsante sana .nimefarijika sana .serikali ya magufuri hoyee:mkuu was wilaya was arumelu safiiii.hapa kazi tu.kitaeleweka tu.
@josephkiphizi1020
@josephkiphizi1020 4 года назад
Mungu wa mbinguni awasimamie mlimalize watoto wa enjoy jasho na husle za baba yao!!!
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 4 года назад
Hongera mheshimiwa muro kwa kusimamiya hili watoto wapate khaki zao waondokana na maisha ya hofu ktk serikali ya awamu ya tano haki itapatikana
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 года назад
Makufuri oyeeeeee asante mungu kutetea wawatoto
@aishaomary732
@aishaomary732 4 года назад
mali za watoto jamaniiiiiiiii wazazi mlishapewa milioni mia mbili Bado tuu haitoshi hata hizo nyingine zitakuwa haziwatoshi
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 4 года назад
Bi Aisha Omary niwa jinga tu tamaa zime watawala
@jumamchina9038
@jumamchina9038 4 года назад
Aisha. Jumla wazazi wote wawili wamepewa zaidi ya 400m. yaani Baba wa Marehemu 200m+ Na Mama wa Marehemu 200m+
@wiza2309
@wiza2309 4 года назад
Ukiwa na mali shida, ukiwa huna ni shida, watu hawajachuma lkn wamepewa mamilioni lkn bado hawajatosheka jamani kweli pesa ni Ibilisi. Mungu awasaidie tu katika hili, mwenye mali alishafariki akaviacha hamjui nanyi mtafariki mtaviacha?? Aibu kubwa
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Kutoka Arusha Jerry ndio husikika. Anastahili awe ndio mkuu wa mkoa.
@kakurukakurupacha859
@kakurukakurupacha859 4 года назад
Kwa ushauri wangu tu. Maahii abari nilikuwa naifatilia sana na iliniuma sana kwa sanababu ukweli unajionyesha kabisaaaa. Sasa kwa ushauri wangu. Namshauri raisi Jerry awe mkuu wa mkoa na mgwila awe mkuu wa wilaya.
@makwayasilas1585
@makwayasilas1585 4 года назад
Safiii Sana mro Leo nimekuelewa
@thamiyuucute7098
@thamiyuucute7098 4 года назад
Duh..Mapesa yote mlopata tena hamhaxitolea jasho hamjashukuru tuuu cmngefanyia biashara dah jamaniii....akaaa..bibi linatapatapA..KHAAAAAAA
@godfreystephano304
@godfreystephano304 4 года назад
Mungu tusaidie Duniani tunapita vyote ni ubati...
@moseelias417
@moseelias417 4 года назад
Hongera sana mkuu wetu Wa mkoa kesi nyingi sana kama hizo zipo nyingi mno mungu akubariki
@vincentvin211
@vincentvin211 4 года назад
Milioni 200+ bado haijamtosha? Daaaaah, yaani hadi wajukuu mnawaonea tamaa?
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 года назад
Ukweli mtihan mi mwenyewe alivyofariki vya marehemu walichukua hawana habar kabisa na watoto tena watoto wadogo kabisa mkubwa ndo kwanza yuko darasa la sita,yaani toka mwaka 2011 wakiwa hawajaanza hata shule hawana habar hata kwa salamu,kwa kweli mtihan
@vincentvin211
@vincentvin211 4 года назад
@@hadijamandanje6189 ni roho mbaya tu hizo. Yaani unaachwa utadhani haujawahi kuwa na mahusiamo mema nao
@gladymndala1061
@gladymndala1061 4 года назад
Yaan me sijawah ona wazee kama hawa
@vincentvin211
@vincentvin211 4 года назад
@@gladymndala1061 very sad, tamaa imepitiliza kabisa
@kemmymugele350
@kemmymugele350 4 года назад
Bibi na babu badala ya kua msaada kwa wajukuu wao, nao wamekua mwiba duuuh
@kipolaina
@kipolaina 4 года назад
Rais J.P Magufuli. Oyee CCM oyee kwa kutululetea viongozi wema na wafutiliaji mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 Magufuli 2020 🔥🔥🔥❤️❤️✌️✌️😍🇹🇿
@jeremiahmwasapilicharlie2926
@jeremiahmwasapilicharlie2926 4 года назад
😂😂😂😂,,,kizur cha kutafuta mwenyewe sio kusubili mtyu af ndo mle good time ,,jasho la mtyu ndo linawatoa macho Na machozi ,,some time ukibarikiw kuwa bilionea tukion siku znakaribia kupotea ,nikutafuna Mali zako zote
@biggamihayombotte184
@biggamihayombotte184 4 года назад
Hahhahahaa, hilarious comment
@lilianrobert8588
@lilianrobert8588 4 года назад
Dah huyu mama sijui kama hata ana hofu ya Mungu na uzee huo..anaacha kumtafuta Mungu awe na mwisho mzuri ye anazurumu wajukuu Mali
@azizauledi4108
@azizauledi4108 4 года назад
subhuhana llah mama acha tamaa million 200 bado unataka miradhi muogopni mwenyezi mungu duniani mapito tu km aliyechuma ameziacha sembuse nyie mnaoridhi
@zuenaramadhan2221
@zuenaramadhan2221 4 года назад
Jamani mpinge mpangue mtu akisha kufa anaondoka na Mali zake nyie ni kuchuma zakwenu ndo cha msingi na mtu Akisha kufa Mali hua zinapotea taratibu hua inabaki story
@limicornel8089
@limicornel8089 4 года назад
😀😀 nacheka km mazuri mi mwaka wa 18 huu sijakanyaga kwetu sabb ya migogoro ya mali
@jumamchina9038
@jumamchina9038 4 года назад
Pole saana Limi!
@limicornel8089
@limicornel8089 4 года назад
@@jumamchina9038 asante sana
@goodluckmoshi5544
@goodluckmoshi5544 4 года назад
ninampango huo sema niko mwenyewe🤔🤔
@vince-vinson2945
@vince-vinson2945 4 года назад
Dah....!!! Inapokuja mambo ya mirathi hasa mali inapohusika ndugu wanatoana roho. Jamani watoto ni watu wazima achane hizo mali ni za Baba yao. Tafuteni mali zenu. Mnatia aibu mmeoa na kuolewa. Hebu malizeni hizo tofauti zenu hii ni mirathi tu.
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 4 года назад
Asante jerry umesimama kama kiongozi hapo kwenye watoto warudi kwenye nyumba
@abdulahmad3818
@abdulahmad3818 4 года назад
Aisee best of best solution hongera mheshimiwa!!
@berthergeorge6579
@berthergeorge6579 4 года назад
Hongera DC ur so humble hio ndio maana na tafsiri yakua kiongoz
@gracewilsoni6632
@gracewilsoni6632 4 года назад
Baba kweli uko vizuri sana kwenye kazi mungu akubariki umetenda haki
@jacquelinejohnson8181
@jacquelinejohnson8181 4 года назад
Huyo Bibi awaachie watoto Mali zao akagombanie Mali ya mumewe
@rahmamakwisa4089
@rahmamakwisa4089 4 года назад
yaaan kumbe kuna husia halafu mnapoteza mda achen uroho ...... wacheni watoto wapate haki zao....jamn Mmmmh
@shufaamauya2451
@shufaamauya2451 4 года назад
Mungu wangu hela yote mliopokea bado mnataka kuwadhulumu watoto wa marehemu? Mtakufa vibaya nyau nyie
@sharoombay8997
@sharoombay8997 4 года назад
Jeriiiiiiiiiiiii!!!!!!Asanteeeeee Babake . Mungu akubariki Babaaaa.
@munguaibarikitanzanianawat9254
@munguaibarikitanzanianawat9254 4 года назад
musihimiwa umeongea vizuri mashalalah
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 года назад
Erasto amekufa Kwa kuuliwa, Dada yake naye amekufa Kwa kuuliwa. Bado mnagombania Mali! Hamuogopi! huenda wauwaji wanawaona na hamjui mpango wao! Kimbieni muokoe uhai. Mkishakufa hizo Mali mtazionaje! Damu ya Yesu iwafunike yasitokee mauaji mengine.
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 4 года назад
Waoooo Kumbe kwenye mambo yasiyo yakisiasa huwa unahakili hakika nimefurahishwa na maamuz uliyoyachukua hapo mgogoro haupo umeshaumaliza saf kabisa DC
@euvassammy8537
@euvassammy8537 4 года назад
Wachagaaaaaa nawaona nawaona... hahaha.
@samuelseverua
@samuelseverua 4 года назад
Huyoo Mama ajue.... Mali sio zake na wala siyo za mume wake.
@ashaally6993
@ashaally6993 4 года назад
Muogopeni mungu nyie alietafuta mwenyewe kaacha....hiyo mali ya watoto wapeni mali yao!!!
@jenifamuia2286
@jenifamuia2286 4 года назад
Weee huyu alietumwa na serikali akona busara kwelikweli.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@papushkamedia3277
@papushkamedia3277 4 года назад
Acheni mambo yenu yakijinga izo mali aziwahusu awo mabroo washakua waacheni wafanye maisha yao tafuteni mali zenu
@gredsontangare2401
@gredsontangare2401 4 года назад
Huyo bibi anaongea sana kwa maano yangu ni mkorofi sana,hizo mali ni za watoto,wewe utalisi mali za huyo mumeo si yupo pamoja na watoto wako hao ambao wako kimbelembele kuwanyanya hapo watoto wa kaka yao marehemu
@irenemwanaa8160
@irenemwanaa8160 4 года назад
Hakika
@tatusaid1223
@tatusaid1223 4 года назад
Marehem alikosea kuseama akifa aslimia 40, wapewe ndugu, dunia ya sasa, huenda ndugu hao hao walihusika kumuuwa erasto ili wapate mgao huo, make tayari walijuwa kuna mgao mzuri endapo akifariki, mungu amulaze mahari pema
@peterdavid9361
@peterdavid9361 4 года назад
Huyo mama anaonekana sio mtu mzuri
@ramazubery8396
@ramazubery8396 4 года назад
Huyu bb anawakana wajukuu nauzee huo kiss Mali alafu nayeye punde akifa wajukuu nao walisi sibora izo pesa agawe ulithi kabisa ila anavyoonekana anaweza kwenda Nazi kaburini maana bb na huyo babu wanatia aibu sana kweli kabisaaa babu nawewe bibi subhana llah dunia dulange.
@hadiafarijallah2450
@hadiafarijallah2450 4 года назад
Umeongea point had nimejikuta nalia aise me mwenyewe muhanga wa hilo swala mzee kafariki mashangaz na baba wadogo wametugeuka wanatuzuruma mali aise kesi ipo high court arusha juz j4 tumeenda kuskilizia mungu atupambanie sana aise
@ramazubery8396
@ramazubery8396 4 года назад
@@hadiafarijallah2450 amin Allah ndie mueza wakilakitu maliyayatuma hailiki atasikumoja shida watazo pata azitaisha mpaka wawaridhishe tena kiliochayatima akichukui cku nyingi balaa lake nalijua.ndugu yangu kama wamekudhulumu walausiangaike waache ww kila unapoumia ndipo wao wanavyoteseka.iposiku watakurudishia kilakitu wemshtakie mungu tu.
@goodluckmasige5276
@goodluckmasige5276 4 года назад
babu na bibi mpaka hapo walishapokea kama ml400 na bado wanakomaa😂😂😂
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 года назад
Zingekua zama zile za madili unafikili nin kingetokea lakini kwa zama hizi za JPM xo mchezo aangalii sura ya MTU poleni sanaa
@gladnessterry2465
@gladnessterry2465 2 года назад
Ee mungu sisi wazazi tunapambana watoto wetu waje waishi vizur leo hii watu wanawanyanganya we bib we bab we shangaz mjomba mungu anawaona
@bushafricanlandsafarisonli175
@bushafricanlandsafarisonli175 4 года назад
Uyo bibi na huyo babu wawekwe ndani akili zitulie wana tamaa
@shukurumalewa3115
@shukurumalewa3115 4 года назад
Shubaamit ntafufuka Mh DC usipepese macho watoto wa marehem ni wakubwa wepewe Mali zao... hyo mikaka na midada itafute Mali zao nao warisishe watoto waoooo waache ujinga. Bibi na babu washamaliza zamu Yao km walikuwa na upendo kwa wajukuu zao watalelewa vzr mpk wanakufa waache tamaaa...
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 4 года назад
Huyu bibi mbona simuelewi siasubili mumewe afe achukue mari za mumewe Waachie watoto wao waache taama
@frankmboyo8115
@frankmboyo8115 4 года назад
Wamama wenye kisebusebu namna hii wanaziangamiza familia nyingi sana ndoa ni muhimu,kuandika mirathi kabla ya kifo ni muhimu na kumtanguliza mungu maana kwakwel hawa wakwe saivi ni kichomi san mpka kufunga nyumba ya marehem mungu atawaaalaani
@othmanali7637
@othmanali7637 4 года назад
Nadhani mama amejieleza vizuri Sana na document zipo kwaiyo muhimu ni kuaminiana Tu tujali utu na usimamizi mzuri wa urithi
@rodgerthegreat9192
@rodgerthegreat9192 4 года назад
Huko tz siku hizi kila kitu ni show biz Kuna mtu kaumwa na mbwa haya iteni mkuu wa wilaya na live coverage 😅 ng’ombe kaibiwa leteni media tujigambe tutasaidia dah enzi ya magufuli kweli 🤣🤣 hapa kazi tu Majaji mtasubiri kesi mahakamani sana ❤️from 254. ✌️
@goodluckmoshi5544
@goodluckmoshi5544 4 года назад
😂😂😂 mtaelewa tu
@estheradriel9829
@estheradriel9829 4 года назад
Wa roho wakubwa yani mepewa gawio lenu bado mnataka kuzurumu, hata kama mkwewe anauza sikachuma na mumewe na anawatoto tamaa mbaya sana eti kidogo tu milion 200x2 milion 400 bado mnataka nini msio kaa mkaenjoy maisha yalio baki, watoto wakizifisidi shauri yao wenyewe
@broadfuturetv6737
@broadfuturetv6737 4 года назад
Hii familia ina laana..... warudi kwa mungu kuna watu wana tamaa isiyo na kipimo hapo kwakweli
@kingkongmadiba3174
@kingkongmadiba3174 4 года назад
Leo DC naku pongeza kwa kazi nzuri 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 4 года назад
Ushauri wangu kwa mjukuu wao asikae upande mmoja na wote ni ndugu zake awe nao karibu awasaidie pindi atakapochaguliwa kuwa kiongozi wa mirathi.
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 4 года назад
Inategemea wana upendo naye?
@happytz6190
@happytz6190 4 года назад
Hongera mkuu ndugu waache tamaa pia hao watoto wapate ulinzi
@magrethjohn3463
@magrethjohn3463 4 года назад
Hata Kama kijana anapewa kichwa kwao mama lakini nihaki yake kuwa na Mali za baba yake wampe 2 anaonekana kija ameshapaniki mpaka anahisi kulia anatia huruma
@linnamlay3643
@linnamlay3643 4 года назад
Hapa ni fundisho jamani ,kila mtu ajifunze.Watoto wa bilionea wanaishi maisha ya ki yatima,baba hayupo,mama magereza,ndugu wametushtaki mahakamani.duuu dunia inapwaya.Mungu awapiganie wadogo zetu
@africanbeauty6556
@africanbeauty6556 4 года назад
Hawa ndugu na wazazi was marehemu wanatia aibu sans ,mimi.sijawahi ona leo nimejionea kwenye TV , Heshima yote ya marehemu, wazazi na ndugu wanamwaibisha mtoto wao kungombania Mali na kufunga nyumba watoto was marehemu wasiingie, Watu tujifunze hapa , Kuacha Mali vizuri za watoto , Kweli.ukisha kufa ndugu wanakusahau na kukutesea watoto , Huyu Kijana ni.mtu mxima apewe Mali ya baba yake awatunze wadogo zake, Pesa mbaya sana , Sisi waafrika tumezidi Sana ohoo Mungu atuzidishie uzima tutunze watoto wetu wakuwe kabla hatujafa hata waweze kuanza kazi Mungu Mungu iutusikilize maombi yetu , Nimelia Sana
@linuslinua8504
@linuslinua8504 4 года назад
Kunywa chai na kuangaria TV jerry muro umetisha
@zanzibaronetv988
@zanzibaronetv988 4 года назад
Mkuu wa wilaya douh unaakili sanaaa umejua kusuluhisha Mungu akusaidie
@danielmboya8424
@danielmboya8424 4 года назад
mediator, big up
@cosmasdaud9088
@cosmasdaud9088 4 года назад
Jaman mwenye Mali zao jitaidini kuandika warisi wenu kwa Majina
@geraldsahani5315
@geraldsahani5315 4 года назад
jerr muro sasa umekomama mkuu, saf umemaliza hilo jambo kiungwana sana. viva
@jemahaonga727
@jemahaonga727 4 года назад
Asante baba kwa kuliona hilo Mungu awabariki mmalize salama
@mariamhadija7236
@mariamhadija7236 4 года назад
Mali ya Wtto na mam yao Yaani.....Bora kufa masikini kuliko kuwacha mali baada ya kumuombea marehem
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 4 года назад
Big up Jerry hao familia pumbafu zao marehemu alishawaona mama anaongea eti mbalimbali kama mbingu na ardhi ndo maana alifanya hivyo
Далее
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 310