Тёмный

MTOTO WA BILIONEA MSUYA ALIYEKO CANADA KUREJEA NCHINI, LAWAMA ZAMWANGUKIA BIBI "MAMA YUPO GEREZANI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 дек 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 99   
@eliasmwambeta6453
@eliasmwambeta6453 4 года назад
Bibi ulishakula maisha wakati wako waachie wajukuu bibi mda huu ni wakufanya ibada kwa muumba wako ili ukitwaliwa ufe vyema katika bwana ushindwe kwa jina la yesu
@gddh4122
@gddh4122 4 года назад
Wapeni watoto mali zao bibi acha tamaa mali hazikuhusu
@shamsakimaro7133
@shamsakimaro7133 4 года назад
Hivi hii dunia tunaenda wapi jamanii,,eee mungu wapiganie watoto hawa
@aurelialyimo8650
@aurelialyimo8650 4 года назад
Watoto hawa wanahitaji maombi na mimi nawashauri wapigane na maombi sana. Kwa mwili hawatashinda lakini wakimwachia Mungu atawashindia
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 4 года назад
Mungu yupo tunawaombea sana mpate haki zenu Wewe bibi yao hacha dhuruma Hachana na watoto wafraie Mali zao
@faustinmarko3472
@faustinmarko3472 4 года назад
Bibi mbona umeshazeeka acha tamaa wachie wajukuu zako Mali za baba zao wainjoi na wenyewe wewe unamda mfup Sana hapa dunian
@saidasimba9979
@saidasimba9979 4 года назад
Watu wa kaskaszin pesa kwanza undugu badae.. Na huwezi kuwabadirisha saiv ndiyo desturi zao.
@aminakassim8272
@aminakassim8272 4 года назад
Mwenyezi Mungu tusaidie, utupe umri mrefu tukae na hawa watoto jamani
@bettynovertyfrances9620
@bettynovertyfrances9620 4 года назад
Bibi ana hasira mana inasadikika mama yako kamuu mtoto wa bibi So usitarajie bibi atawapenda kamwe
@dorismamf7404
@dorismamf7404 4 года назад
Wanauana wenyewe umbwa hawakwataa zamali subiri magufuli atayafichua
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 года назад
Kabisaa, af mbaya zaidi huyu kijana inaonekana ana mdomo Sana, badala kukaa watafute suluhu kila siku wako kwenye media
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 года назад
CLAUDIA JAMES Halafu wajomba zake na huyu dogo kila mahali wako nae manake wanajua kuna chakula!! Kila video clip yuko nae!! Asipokuwa kuwa makini na kupunguza mawenge atapoteza haki zake za msingi..
@noelbryson7840
@noelbryson7840 4 года назад
Bettynoverty Frances Halafu kama kama kuna kitu umeona hapa ni kwamba Ndugu wa upande wa mama nao wanautolea urithi macho usiku na mchana,, We angalia wanajitahidi kwa njia yeyote ili mke wa marehemu ndio awe msimamizi wa mirathi ili wapige hela kilaini kitu ambacho huyu dogo hajui!! Na bibi yeye hataki kwasababu amepoteza watoto wake wawili na mmoja wao inadaiiwa mke kahusika. So bibi hawezi kubali mali za mtoto zimilikiwe na mtu ambaye anatuhumiwa kumuua binti yake..
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Год назад
@@dorismamf7404 ameyafichuwa na huyo unaemtetea kashasema kama yeye ndo alituma watu wakamuuwe wifi yake
@stellangoka7032
@stellangoka7032 4 года назад
Iam so touched by the cry of this young man.Its injustice for anyone to claim the wealth of a man who dies and he had a wife and children..Relative needs to fear Gods curse.God is the father to fatherless,Justice belongs to God.Great wisdom from the National leader. The children needs to be the succer of their fathers wealth.
@expert5898
@expert5898 2 года назад
Ungekuwa unajua mama yake alichokifanya! Hata usingeongea
@hakimameir1712
@hakimameir1712 4 года назад
Uhusiano pekeee duniani ambao unamueka mwanadam katika usalama na uhakika ni kati ya mama na mtoto kwaio inaezekana bibi anauchungu zaidi ya hao watoto sifikiri kama bibi ana tamaa ya mali ukilinganisha na watoto kwa pengine hata ao watoto wenyewe biological father hakuwa msuya
@reychapo9402
@reychapo9402 4 года назад
Huyo Bibi anatamaa sana mungu atampanza
@betyboniphas3123
@betyboniphas3123 4 года назад
Msimtukane Bibi yenu mambo yote mungu ndiye anayejua, make mmtanguliza Mali kuliko undg
@zuberimgawilo2639
@zuberimgawilo2639 4 года назад
Bibi mtoto wake wa kike kachinjwa na mama wa hao watoto ndio anatuhumiwa ndio sababu yuko ndani.
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k 3 месяца назад
mashangazi waritaka ubaki uko canada iriwajiriye pesa zababayako
@allymohamedi991
@allymohamedi991 4 года назад
hapa ukiachilia mbali wanafamilia kupewa pesa na bado wanagombea mali jibu ni moja tu familia inaweza kuhusika na kifo cha ndugu yao ,,, mung asimame na watot wa marehem hak itatendeka tu
@judithcha-mushala8852
@judithcha-mushala8852 4 года назад
Huyo bibi yenu wa ajabu kweli, mimi ninavyowapenda wajukuu zangu nashangaa sana bibi yenu.
@magrethsanga942
@magrethsanga942 4 года назад
Kutoka 22:22huyo bibi hakika Mungu atamuadhibu haiwezekani awanyanyase yatima na mjane kamuweka ndani Mungu yupo atawasimamia ndg watoto muombeni yeye
@nadyakisho811
@nadyakisho811 4 года назад
yan ukifa ukachaa mali bas juwa umeacha vita kubwa sn nyuma dunia hii ingekuwa tunakufa nazo huko mbinguni ingekuwa bala
@joharimanyanda3363
@joharimanyanda3363 4 года назад
Kweli kabisa
@rakiburashid7720
@rakiburashid7720 2 года назад
Sasa kama mama Yako auwa shangazi Yako hivi bibi Yako atakupenda wewe na mama Yako kweli
@saladaniel9274
@saladaniel9274 4 года назад
Mungu tupe umri tuleee haya watoto 😭
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 года назад
Mungu atatenda haki tuu,hiyo ni haki yenu na mtaipata japo inachelewa.
@khadijamadry7822
@khadijamadry7822 4 года назад
Ndio mana kuna wale maharusi wameoana kwa gharama kubwa sana mamilioni walikopa sasa walivyoona nyumba yataka kuuzwa na hawana uwezo wa kulipa wakajiuwa wote mke na mume haya ndio yanatakiwa ili mliobaki mlipie madeni😁
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 4 года назад
Poleni.
@dollyandthedoliganeloi3025
@dollyandthedoliganeloi3025 4 года назад
Wabongo mpaka aibu mengi msuya na Leo nimesikia mfuruki family zinarumbana. .sijui laana gani
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Mungu yupo
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
Usikute huyo bibi ndie anaehusika na ........ ya marehemu mtoto wake.😷
@dorismamf7404
@dorismamf7404 4 года назад
Kweli kabisa hawawanauana wenyewe kwawenyewe wanamsingiziatu huyomama ukweli utajulikana siokwa serikali hii
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 4 года назад
huyo bibi kizee bora awe mfuu tu.
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 года назад
Hili tatizo kubwa saaaaana, huyo bibi ana uchungu wa wanawe na ukichangia kua mama yao ndio kamuua mwanawe wa kike, sasa hapo ni vigumu bibi kuwapenda wajukuu zake hawa sema mjukuu ndio haelewi au anajitoa fahamu, hapa ni wagawane mali na kila mtu ashike njia lakini kupendana hakuna hapo.
@MtuSafi
@MtuSafi 4 года назад
Kwahyo kuwachukia wajukuu ndo dawa ya kurudi mtoto wake...Na Kama kweli mke kamuua mumewe wajukuu anawajukuu ili iweje?..na kingine kuna uthibitisho umetoka Kama mama kamuua mumewe?..Mimi wachaga siwaamini kabisaa mchaga kumuua Mtoto,mume,shemeji,baba,mama kawaida saaana..
@MtuSafi
@MtuSafi 4 года назад
Mali za watoto lakin mpk mashangazi,wazazi khaaa Mimi ndo naona kwenye hii familia toto kubwa Kama hilo ulipangie Mali kweli?...Angekuwa hana watoto sawa sasa watoto wapo hii kugawana mama,baba na mpk mawifi inatoka wapi?Hapo wamempa case huyo mama wapate muda Wa kugawana mali tuu.
@agathamnyambwa5623
@agathamnyambwa5623 4 года назад
Magu natman msamahawako umptie Hugo mkewa msuya.arud kulea watoto wanatseka
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Год назад
Yeye ndo muuwaji
@dominiquemushy895
@dominiquemushy895 2 месяца назад
Mama yenu nayy atauwawa kwa upanga
@leroykunda9832
@leroykunda9832 4 года назад
Wapare bana ,,,anauza ng'ombe kwa kesi ya kuku! Iv huyo bibi haoni si familia tu bali jamaa hii itasambaratika? Maana kitakachoondoa uovu na damu zilizomwagika ni MSAMAA,.. Kama kuna mtu mbaya ataondolewa kwa aibu na mkono wa Mungu..(lkn sharti waachie)
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 4 года назад
Amen
@LearnNow2023
@LearnNow2023 4 года назад
Hiyo red mark inazngua at the centre
@marymbilinyi562
@marymbilinyi562 Год назад
Siku zote ndugu upande wa baba si watu wema hiyo imeikuta familia yangu
@andrewngowi4855
@andrewngowi4855 4 года назад
We bibi si uwape watoto hela zao we vip mama, komaaa kivyako usipende vya bule ww
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Год назад
Na bibi hana Tatizo ungekuwa wewe ungekubali Laka yako na dada yako wauliwe na huyo mama yao kakiri kushiriki
@boazsebastian358
@boazsebastian358 4 года назад
undugu kwanza pesa ,mali ni vitu vya kupita mtu unakataa wajukuu ,pendaneni mjueni mungu
@yoveamc2091
@yoveamc2091 2 года назад
tatizo sio bibi ni mama yako
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 года назад
Sasa uyu Bibi vip
@jeannetteholbrook6958
@jeannetteholbrook6958 4 года назад
Wewe jamaa ulikua mpiga debe wa yanga ulishindwa njaa inakusumbua usijidai kuongea sana nyie ndio matapeli wa kudhulumu yanga ina karne haina uwanja wezi wakubwa
@hussainomar1849
@hussainomar1849 4 года назад
YAANI MIRATHI YA KUIGAWA KWA WIKI MOJA MUKAMALIZA MNAHANGAIKA MIAKA HII MIRATHI IGAWENI KIISLAMU AMBAYO IMEWEKA KILA KITU KATIKA SEHEMU YAKE.
@shau78
@shau78 4 года назад
Mahakama iachwe ifanye kazi yake. Naamini haki itatendeka tu. Mahakama ni chombo huru
@rehemamwachalula2915
@rehemamwachalula2915 4 года назад
Pole Sana kijana
@merrymerry4282
@merrymerry4282 4 года назад
Inawumiza.kweli.kaka.sasa.uyo.bibi.yenu.ni.mubaya.sana.anawazulumu.mali.naiko.nazako.ni.rofa.sanaa
@tolutolu2970
@tolutolu2970 4 года назад
Uyu bibi ni mchawi sio bule
@babumjumbe1691
@babumjumbe1691 Год назад
Mu ngu yupo atawasi amia
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 2 года назад
Mlikuwa mnamtukana Bibi kuwa anawaonea mbona sasa mama yenu Mekiri mahakamani kuwa kweli alimuua wifi yake ? Hamkujua mama yenu kamaa Ni shetani?
@mishigwan6598
@mishigwan6598 Год назад
Umeonaeeee na mijitu humu inacomment ujinga wasiuoujuwa
@Papa2thaE
@Papa2thaE 4 года назад
There are No devils. Shetani ni wewe mwenyewe. Mchambia gunzi.
@zuberimgawilo2639
@zuberimgawilo2639 4 года назад
Fungua hii link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-yr5Y_8OzCGM.html/yr5Y_8OzCGM
@blooperscorrectorelulu1566
@blooperscorrectorelulu1566 4 года назад
Mi naishi Montreal Quebec Canada, ningependa kupata mawasiliano yake hii Ni WhatsApp number yangu ±(450) 9991093
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
Mama yuko wapi
@aishaissa6028
@aishaissa6028 4 года назад
Rumande
@mwalimusuzanamollel4753
@mwalimusuzanamollel4753 4 года назад
BJzee Acheni basi hayo matusi.kesi haiwahusu.midomo jujuu.
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 года назад
Jela, aliua mtoto wa huyo bibi wanaemtukana
@bjzee1981
@bjzee1981 4 года назад
@@claudiajames2003 . Mtoto mwingine baada ya erasto kufa?
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 года назад
@@bjzee1981 Mdogo wa kike wa Marehemu Erasto Msuya, alichinjwa km kuku muda mfupi baada ya kifo cha kaka yake
@ameniameni617
@ameniameni617 4 года назад
Inaonyesha uyo mama msuya atakua aliusika katika kifo cha mwanae maana sikwatamaa izo ivi uyo Bibi siku akifa watoto wa marehemu msuya watapata mgao wa Mali zake
@marcodominico9503
@marcodominico9503 4 года назад
Kumbe amepatikana kwa juhudi za kumtafuta ? Mi nafikiri hawa watoto waelekezwe namna ya kumwangukia bibi yao
@nelsonnevlin2919
@nelsonnevlin2919 4 года назад
Marco nafikiri hauelewi chochote fuatilia mtiririko mzima wa stori hizi utapima nakujua kwamba bibi yao ni mshenzi watoto wanapata shida sana kisa mali tena za baba yao
@frenkfrancis4151
@frenkfrancis4151 4 года назад
Nenda uko Bibi anatama
@marcodominico9503
@marcodominico9503 4 года назад
Frenk Francis " Ana tama " sijui umemaanisha nini.
@marcodominico9503
@marcodominico9503 4 года назад
Nelson Nevlin Ndugu yangu, yawezekana katika hali ya kawaida nikawa sijui A to Z ya jambo hili. Lakini kwa maoni yangu na kwa kiasi nilichoelewa kuhusu huu mvutano, mi naamini jambo hili litamalizwa kwa njia ya maridhiano ( at family level ). Kwa maoni yangu watoto warudi wakae na bibi yao waongee vizuri yaishe. Mi naona watu wa pembeni ndo wanachochea mvutano huu, watoto wapate mtu mwenye hekima kama Askofu au Sheikh awakalishe na bibi yao, tena iwe off record, naamini yataisha. Vinginevyo nawaombea kwa MUNGU wauone mwisho mwema wa jambo hili
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 года назад
@@nelsonnevlin2919we vipi na wewe uliefatilia mtiririko wa hii habari hukujua km mama wa hawa watoto ndio aliua mtoto wa huyo bibi??????
Далее
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 12 млн
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн