Тёмный
No video :(

MALOFA KANISANI.YESU SIO MUNGU. MZEE WA UPAKO ATENGUA HOJA 

Mzee wa upako
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

#GRC kwa mzee wa upako (Athony Lusekelo)
Follow our Social Media:
FB: / mzeewaupakotzz
IG: / mzeewaupako_tz
TIKTOK: / mzee__wa__upako
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za RU-vid Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

Опубликовано:

 

9 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 235   
@BenjaminKabebo
@BenjaminKabebo 22 дня назад
Hata shetani alikuwa mbinguni na hakumjua Yesu ni nani . Kwa kweli pole sana. Mi nakushangaa sana tena sana. Huwa najiuliza tangu miaka ya 80 mpaka leo huna makanisa mangapi Tanzania uo upako wa mtu mmoja kwa nini usisambae nchi nzima? Kumbukumbu la Torati 8:10-11 [10]Nawe utakula ushibe, utamshukuru BWANA, Mungu wako, kwa nchi nzuri aliyokupa. [11]Jihadhari, usije ukamsahau BWANA
@lilyg2134
@lilyg2134 22 дня назад
MPINGA KRISTO HUYU
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc День назад
Tusome vizuri Maandiko vizuri,Yesu jina la Yesu maana yake Nini?
@user-ck8xs2zo6r
@user-ck8xs2zo6r Месяц назад
Mzee wa upako,kwisha habari yako....nenda kalime mpunga,huna jipya!
@lilyg2134
@lilyg2134 22 дня назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@christopherlissa816
@christopherlissa816 Месяц назад
Huu ni kweli!! Sisi watu weusi tuna mapungufu. Israel kwenyewe Yesu hayupo!! Ila sisi tuna mwabudu Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Ibrahim. Yaani sisi watu wa Ajabu kabisa pumbavu zetu. Yesu hakuwa Mungu siyo Mungu na hajawahi kuwa Mungu na hata kuwa Mungu.. Yenu pengine ni nabii au mtume tu...
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
😂😂😂 Yaani wewe ndio jiwe kabisa kama umewahi kwenda kanisani labda ukiwa mtoto kabisaa, soma biblia utapata ufahamu ila kama utakua uasikiliza hawa mawakala wa shetani utapotea kama ambavyo hueleweki hata sasa.
@lilyg2134
@lilyg2134 22 дня назад
HAPO KWENYE DP UMEWEKA NIN KAMA SIO LIFALA FLANI LINALOMUABUDU MUNGU WA KIARABU🤣WE MWENYWE UNAABUDU MUNGUNWA WARABU, SASA SKIA KWA BAHAT MBAYA MUNGU WA KWELI NI MMOJA TU, NA POLE YAKO KAMA IMEKUUMA KUWA HAJATOKEA AFRICA ILA KWA AKINA IBRHIMU, NDO HVYO,..UMEJAA COMMENTS ZOTE KUANDIKA UFOKO TU ROHO IPO NYEUPEE KISA KUSKIA YESU ANATUKANWA FALA KWELI WEWE, JILILIE WEWE NA WASEGE WENZIO SIKU YA MWISHO NDO UTAELEWA
@elibarikimeela2761
@elibarikimeela2761 Месяц назад
You are too mechanical and fleshly to be a gospel preacher. Tafuta kazi nyingine kwani unajiaibisha .
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
EXACTLY...AFU ANA HASIRA HUYO NA MDOMO MCHAFU..🤣🤣HIS WORDS ARE UNGODLY, .EDUCATED PREACHERS WANAMUANGALIA TU KMA MWEHU MTU MZIMA HOVYO....
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Месяц назад
Kuanguka ktk dhambi ni nafuu kwa sababu Mungu ananaweza kukuinua tena. Ogopa sana Kuanguka mikononi mwa Mungu aliye hai.
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik Месяц назад
@@pirminmatumizi5464 Ebr.10:31
@kamwene
@kamwene Месяц назад
UPO SAHIHI SANA.... Hili nimelifahamu binafsi baada ya tafakari sana.... Nakuongezea Nondo ingine! Yesu alikuja kama "Mwalimu" au RABBI. Anaaposema kwenye maandiko Yohana 13: 12-17..."12 Alipomaliza kuwaosha miguu alivaa tena vazi lake, akarudi alipokuwa amekaa, ndipo akawaambia, “Je, mnaelewa maana ya jambo nililowafanyia? 13 Ninyi mnaniita mimi, Mwalimu na Bwana, na hii ni sawa, kwani ni kweli. 14 Kwa hiyo ikiwa mimi niliye Bwana wenu na Mwalimu wenu nimewaosha miguu, ninyi pia hamna budi kuoshana miguu. 15 Mimi nimewaonyesha mfano, ili mtendeane kama nilivyowafanyia. 16 Ninawaambia hakika, mtumishi hawezi kuwa mkuu kuliko bwana wake; wala anayetumwa hawezi kuwa mkuu kuliko aliyemtuma. 17 Kwa kuwa sasa mnafahamu mambo haya, mtabarikiwa na Mungu ikiwa mtayafanya." Anaposema kwenye Yoh 14:1-13 ...."mnamuamini Mungu ...Niaminini na mimi "... haina maana Kumuabudu! Mfano Mwalimu wako wa hesabu anaitwa "Rashidi....anapokufundisha fomula anakuambia "niamini hili ninalokuelekeza utafaulu hesabu" ..haimaanishi anapofanya hesabu unasema "namuamini Rashidi hesabu hii naiweza....unafanya kile alichokufundisha hapo mdiyo umeamini mafundisho ya mwalimu wako.🤓🤓......tena imeandikwa ...Yesu Akasema ''Yeye aniaminiye, ...atafanya kazi kubwa....".. Akupaye maarifa ndiye akupaye wokovu...ila yeye siyo wokovu..yeye ni "njia" mafundisho ya "Kweli na ya "Uzima" na mtu hatafika kwenye hatma ya mafanikio anayoyalenga"Baba" asipozingatia mafundisho haya..... Endelea kutusanua Chief Mwasandube Lusekelo🙌
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Unaposoma biblia soma kwa kuelewa usisome kwa kubahatisha. Tuanzie hapa Yohani 1:29-34 uone ulivyo mpumbavu. luka 3:21-22, Mathayo 3:13-17 kama biblia yako imefutika sema takununulia mpyaaaa, mtoto mdogo unatumiwa na shetani kudanganya watu.
@christopherlissa816
@christopherlissa816 Месяц назад
Ni kweli Mzee wa Upako, Mwaisa Nashukuru wachungaji mmeanza kuelewa hili
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Месяц назад
Ukisoma comments unagundua nchi inavilaza sanaa hiii
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv Месяц назад
Kama wewe
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Hahaha kweli maana mzee wa upako ana maandiko 99 lakini wafuasi wana mapokeo ya wazungu.
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
@@JofreyMsigwa-ok7hv Toa andiko.
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc День назад
Yohana5 14:8Filipo alijibu Nini aliposema tuonyeshe Baba yatosha9,Yohana5:18Kule kusema mwana wa Mungu,Mtu mwenye akili atambua ni Mungu,Atakae wafufu wafu na kuhukumu ulimwengu ni Yesu5:22'
@mbalilax162
@mbalilax162 Месяц назад
TUMEKUSHTUKIA WEWE NI MUISLAMU😂😂....ndugu zangu Wakristo kuweni makini na huyu pandikizi
@slymsameer5415
@slymsameer5415 Месяц назад
Hunaakili husomi bible KAZI kusema hiyo sio maana yake
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Yeye ni mkristu kamili na anarejelea biblia ya waisraeli, ana maandiko 99.
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 Месяц назад
Amina baba, wape somo.
@danielyabesy877
@danielyabesy877 Месяц назад
MZEE waupako. Wewe ulikuwa muhubiri. Mzuri. Kwa kweli zikuhizi. Umeshukuka. Tanzania. Hakuna. Muhubiri. Nilipenda. Kama wewe. Ushauri wangu. Ungekaa chini. Tena. Umtafute Mungu upya wewe nichombo
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 Месяц назад
Wewe ndo unachanganyikiwa Mzee upako yupo powa
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Месяц назад
@@jacksonmwafongo1917 we kweli mwafyongo
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Ngozi ya chui inaanza kujitokeza sasa, huwezi kumdhihaki Mungu ukabaki salama, huu ni mwanzo siku inakuja atasema hakuna Mungu
@Alexander-xp9zd
@Alexander-xp9zd 28 дней назад
Wahubirien watu habari za wokovu na kumnjua mungu
@christopherlissa816
@christopherlissa816 Месяц назад
Mzeee wa Upako Unganile Kinyamana!! Umeanza kunigusa kumoyo!! Na wachungaji wengi wataenda motoni kwa kuongea uongo.Siku hizi Yesu ndiye anayeabudiwa kuliko hata Mungu..
@lilyg2134
@lilyg2134 22 дня назад
KAMA MTUME WAKO ANAVYOCHOMWA NA MOTO WA GESI KWA KUDANGANYA WAPUUZI KAMA NYIE,..BADALA MUWAZE KWENDA KUBUSU JIWE LENU MNAHANGAIKA NA DINI ILOKUWEPO MIAKA 2000 KABLA YA DINI YENU ...KAMSALIE MTUME KWANZA ACHANA NA WAKRISTO! SHUNGI LILE
@StephanoMathias-e2z
@StephanoMathias-e2z Месяц назад
Tatizo lingine ninuelewa wetu waumini.. siyo kila anayejiita mchungaji au askofu ni mtumishi wa mungu muumba wetu.. wengine ni watumishi wa mungu wa ulimwengu, sababu naye anajiita mungu kwa waumini wake. Hajawahi kujiita shetani
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
kabisaa!1 biblia inatuonya sio kila anaetumia jina la yesu na kujiita mchungaji wake
@AllenNgoda
@AllenNgoda Месяц назад
Bwana akutetee Kwa Yote
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Hapa hakuna kushinda maana yeye mwenyewe ameshashindwa, ukimkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu maana yake mahubiri yako yoote ni bure. 😢😢 Kweli nyakati za mwisho kuna mambo. Ila hili ni fundisho kwa waumini wake , wanatakiwa kuchukua hatua maana kiongozi wao anahubiri mafundisho ya uongo je wameshadanganywa kwa kiasi gani? Pole wenye imani haba mliacha makanisa yenu mkaja kwa mfilisti huyu sasa ameanza kujiweka wazi kwamba hana upako zaidi ya ulevi na kuwarubuni achukue pesa zenu kama sadaka tu. Bado mapema amueni kabla mlango haujafungwa mtaangamia pamoja nae.😅😅😅
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 29 дней назад
Mzee wa upako ninakufatilaga kitambo na ninakuelewaga Sana zindua watu waliopelekwa Chaka na wazungu Kama yesu alipingwA Vita sembuse we chapa kazi
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 22 дня назад
Unamwelewa huyu basi umepotea huyu ni mpinga Kristo wa muda mrefu ni mpotoshaji uliona wapi mtumishi wa Kristo mlevi mgomvi mropokaji mwenye kutanguliza mwili kuliko roho kama kweli ni Mkristo anatumia kitabu gani kinachopinga Yesu si Mungu unamwelewa kwa kutimiza matakwa yako lakini tunaotumia Biblia tunamwona mchumia tumbo anayetafsiri Biblia kumfurahisha baba yake ambaye ni shetani hata Wayahudi waliomkataa Yesu kuwa si Mungu aliwaambia mnanikataa kuwa mimi na Mungu ni kitu kimoja kwa kuwa ni wa shetani hivyo huyu mhubiri anatimiza matakwa ya Ibilisi kila aliyemdhihaki Yesu mwisho wake huwa mbaya msuburi na huyu Mungu hakurupuki anamwacha aendelee na uovu wake ili hasira yake ijae halafu atampiga pigo kama la Farao ndiyo itakuwa mwisho wake na fundisho kwa wamuungao
@RajabuBakari-ew9ij
@RajabuBakari-ew9ij Месяц назад
Ubishi tu wa waafrika maandiko yako wazi Yesu ni mwana wa Mungu.....ila uvivu was kusoma Biblia
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Ubarikiwe hakika roho wa Mungu yu ndani yako. Yaani hata wakisoma majaribu ya Yesu kule jangwani jibu lipo, shetani mwenyewe analijua hilo.
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 Месяц назад
Jamani huyu sio mkristo, msitoe sadaka kwa huyu.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
WAJINGA WANAENDA KMA MAZWAZWA
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Toa andiko ndugu.
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik Месяц назад
Yesu alipewa kuwa ataitwa Yesu tangu unabii wa kuzaliwa kwake. Malaika anamwambia Mariamu kuwa, ataitwa Yesu, kwa sababu yeye ndiye atakayewaokoa watu na dhambi zao. Wewe unasema huyo siyo Mungu! Tuletee nabii au mwanadamu mwingine anayeweza kuwafutia watu dhambi zao.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Месяц назад
@@PeterJackson-uh2ik Si kweli Mariam aliambiwa na Malaika atabeba mimba atazaa mtoto wa kiume amwite Imanuel na si Yesu. Sijui ni dhambi gani kwani dhambi ya asili Mungu alishahukumu na kutoa adhabu kwa kuwaapiza nyoka Hawa na Adam na kufukuzwa bustanini wakatoke jasho na kuzaa kwa uchungu waijaze dunia na kuhusu zambi zingine mbona inajulikana kwamba kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe sasa ni dhambi gani hizo zinazomuhusu Yesu. Unawadsnganya watu ili wasitubu dhambi zao kudhani Yesu Keshawafutia?
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Месяц назад
@@PeterJackson-uh2ik Yesu kamwe hakumuumba Adam. Na haiwezekani Yesu amuumbe binadamu halafu kizazi cha binadamu kimzae tena huyo huyo Mungu Yesu. Yaani Mungu aumbe binadamu halafu binadamu amzae Mungu huyo huyo aliyemuumba
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik Месяц назад
@@hashimchaoga9566 Kumfahamu Yesu Kristo ni somo gumu sana kwa Watumishi wengi kama sio wote. Unaona bila hata ushahidi wa maandiko una ujasiri wa Kukiri kuwa Yesu (Neno) hakuumba! Hilo ni tatizo. No research, no right to talk. Tusome hii, then uniambie ni nani anazungumziwa hapo!? Yohana 1 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ¹ Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. ² Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. ³ Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Mst. 3 unaonesha pasipo Yeye Neno/Yesu hakuna kilichofanyika. Maana yake aliviumba vyote, ikiwa ni pamoja na Adamu. Hii Aya inathibitisha Uungu wa Yesu 100%. Hii si hoja ya kutuchelewesha. Iko wazi sana.
@PeterJackson-uh2ik
@PeterJackson-uh2ik Месяц назад
@@hashimchaoga9566 Yesu amekuwa Mwanadamu kwa kujifanya, soma Vizuri maandiko. Wafilipi 2 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ⁶ ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; ⁷ bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; ⁸ tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.
@evaristkobelo3936
@evaristkobelo3936 Месяц назад
Najaribu kuvuta picha ya mahubiri yako uliyo yahubiri miaka kumi Naona kama unajipinga lakini nitakutafuta tuzungumze kwamachache
@james_romanos_tz
@james_romanos_tz Месяц назад
Asante Mkuu.Acha Pombe.
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula Месяц назад
Kiongozi Umepotea njia Sana ! Soma Waefeso 2 - 10 inasema Tumeumbwa Katika Kristo Yesu ( Mungu Mkuu ) harafu Soma Yohana 5 - 30 - 47 Inasema wanachunguza maandiko Wala Sauti ya Mungu hawajawai kuisikia walakumwona Sura yake wanazani ya kuwa wanauzima wa milele ndani yake , Wala hamtaki Kuja kwangu ( Mimi Yesu ). Soma Tito 2 - 13 - 15 Mafunuo ya Utukufu wa Yesu Kristo ( Mungu Mkuu ) na Mwokozi Wetu , Soma Wakolosai 2 - 2 inasema Wapate kujua Kabisa Siri ya ( Mungu ) Yaani Yesu Kristo , . Soma ili Fumbo , Walaka wa Kwanza wa Yohana 5 - 8 inasema Mbinguni wako Watatu Baba , Neno na Roho . Duniani wako Watatu Roho , Maji na Damu . Watatu Hawa hupatana kwa habari Moja . Jiongeze Mzee wa Upako . Sina Mengi , Wasomehe Ujumbe huu Waumini wako ni wa Mungu Ndani ya Yesu . kristo
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 Месяц назад
Mungu ni muweza yote ( Almighty)
@jamalkishangu
@jamalkishangu Месяц назад
Wafundishe taratibu mzee wa upako watakuelewa. Kinachowatesa ni mapokeo. Fikiria juu ya Mungu asiyejua siku ya kiama kitakuwa lini, fikiria juu ya Mungu anayepeletwa Hospitalini kutahiriwa, Mungu aliyechoka, Mungu aliyelala usingingizi, Mungu alipigwa. Mungu huyo alipokufa Dunia ilibaki bila Mungu? Fikiria Mungu anayeacha kiti chake cha enzi na kwenda kuishi katika tumbo la Mariamu miezi 9, Imani hii kweli ni matango poli.
@user-rp1tj6rk5u
@user-rp1tj6rk5u Месяц назад
Kolosai 2:8-10
@MaombiIshmaeli
@MaombiIshmaeli 19 дней назад
Jaman msitow sadaka mtajiunganisha na namiugu
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Месяц назад
Hii elimu ni ya mpinga Kristo
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
bora useme wewe
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Toa andiko ndugu.
@lilyg2134
@lilyg2134 23 дня назад
@@jabirkasunzu6841 FALA KWELI WEWE...HATA tukIKUPA ANDIKO UTALIJUA🤣🤣UNADHAN HII NI aLLAH AKBAR? MMEKALILISHWA NA KUONA NENO LA MUNGU NI KAMA SHERIA BADALA YA KITU CHA KUWAJENGA NA KUISHI NALO.LIWAKUZE KIROHO.....UKIWA NA ROHO MTAKATIFU WALA HUHITAJI KITABU KUKWAMBIA ROHO MWENYEWE TU ATAKWAMBIA,,NYIE MMEMKATAA ROHO MTAKATIFU MASKINI MNATAKA ROHO MTAKAVITU (MASHETANI) HEBU KASOME 1 YOHANA 4:5 "Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zipimeni hizo roho, kama zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. 2 Katika hili mnamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. 3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani"......
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc День назад
Atakae hukumu ulimwengu nani?
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Месяц назад
Mzee wa upako wewe ni mjinga lakini hili la yesu sio mungu umelielew bado hujajua dini ya yesu ungeijua ukashkamana nayo utaokoka kwaukweli
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
AENDE AKASOMEE UCHUNGAJI KWANZA AIJUE BIBLIA NA ROHO AKIMUONGOZA..NDO SHIDA YA MAKANISA YA VICHOCHORONI, KILA MTU ANAKUA MCHUNGAJI, ONA HUYU SASA MXIUU
@leonardliberath2664
@leonardliberath2664 Месяц назад
One day I want to debate you Mzee wa upako about divine nature of Jesus Christ! Jesus is the Lord and Savior,and he will remain the Son of God! Second person of God! Nothing will change it even if all people will turn back and denied him!
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
he's working with the dark forces my dear dont even bother debating.....he actually knows the truth so he tries to supress it for whatever agenda they sent him for!! Lengo ni kumkana Kristo with his powers ili watu wamuone wa kawaida na unajua ukimuona Yesu kama mtu wa kawaida tu, basi uzima huna!! na wala ukiitia jina lake halitofanya kazi yoyote maana huliamini..now thats his target.. 1 John 4:3-4 the bible warns us
@kombosalehe9787
@kombosalehe9787 Месяц назад
Mungu ana wivu sifa yeke kumpa mtu anachukia YESU SIO MUNGU NA MUNGU NI MMOJA TU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA. BINADAMU HAWEZI KUMBEBA MUNGU TUNBONI
@marionoti5760
@marionoti5760 Месяц назад
Sasa imani hiyo ni yako, Acha uwongo, au ujinga, tatizo unampangia mungu aweje, usipokuwa na elimu huoni aibu kukakamaa , sasa unaweweseka. wanaokutukana ni wale wenye ujinga kama wako. kati yà wanaokujibu uliwahi ona padre anakujibu? muhubiri wa wanga na vinyamkera ni mganga wa kienyeji, pia hata kwa waganga wa kienyeji akina mama wanapata ujauzito, na miujiza mingìne na wanajaa. unatutukana waafrika eti tumekaririshwa, hujitambui,ndio tatizo la kuhubiri kwa kukariri mistari ya biblia. kanisa lilikuwepo kabla ya biblia.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
MPINGA KRISTO HUYO ANATUMIKA
@professorimmah
@professorimmah Месяц назад
Nyie mataila ukweli unauma mzee kasema kweli
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@professorimmah acha kutukana wenzio kisa wameenda tofauti na ufoko wako kichwani...we fala nini...kama huna reasonable points to point out, kalisha busha chini! au kama vip kamrushie shetani mawe au kaliabudu jiwe huko Mecca mfyuu
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Месяц назад
HATA SHETANI ALIKUA MBINGUNI, HISTORIA HAISAIDII MBAYA NI ROHO YA UKENGEUFU, HATA YUDA ALIKUA NA YESU
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Месяц назад
Nyinyi wakristo muwe na akili anachosema mzee wa upako yesu siyo Mungu ni kweli yesu siyo Mungu kwani yesu mwenyewe anasemaje yeye mwenyewe ametamka kusema yeye ni Mungu au anasemewa yeye ni Mungu kwa nini yeye mwenyewe hasemi yeye ni Mungu hacheni hujinga
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
SISI HATUHITAJI MAANDIKO 99, MZEE WA UFOKO, SISI HATA NENO MOJA TU LINATOSHA!! NAKUPA YOHANA 1:1-14 HAPO MWANZO PALIKUWA NA *NENO* , NAE NENO ALIKUWA KWA MUNGU , NAYE NENO *ALIKUWA MUNGU* VITU VYOTE VILIUMBWA NA YEYE HAKUNA CHOCHOTE KILICHOUMBWA AMBACHO HAKUKIUMBA, HUYO NENO *AKAWA MWANADAMU* AKAKETI KATI YETU AKIWA AMEJAA UTUKUFU WA KWELI, TULIONA UTUKUFU WAKE, *MWANA PEKEE WA BABA* ...NENO ALIKUWEPO ULIMWENGUNI, LKN JAPOKUWA ALIUMBA ULIMWENGU WATU WA ULIMWENGU HAWAKUMTAMBUA, ALIKUJA NYUMBAN KWAKE LKN WATU HAWAKUMPOKEA" .........NA HUYO NIE YESU NDO ALIKUJA KATIKA MWILI, MPAKA HAPO UNAONA KUNA MUNGU BABA NA MUNGU MWANA, YESU NI MUNGU ALIEDHIHIRISHWA KWA MWILI.....MNAPOFELI NI KU FORCE TUFANANE NA HAKUNA MTU ANAEJIITA MKRISTO HALAFU AKAKANA UUNGU WA YESU, KAMA YUPO AKATAFUTE DINI YAKE MAANA HAYUPO NA SISI, UTABWATAA WE MPAKA UFE, HUWEZI KUEPUKA UTATU WA MUNGU!!
@mbalilax162
@mbalilax162 Месяц назад
umepiga kwenye mshono....andiko huua Neno huiisha, mzee wa upako ana maandiko hana Neno!! SIMpLY KWA SABABU NI MUISLAMU MMOJA TU ASIYE NA ROHO WA MUNGU
@user-zs7eq8up5s
@user-zs7eq8up5s Месяц назад
Umeokoka juzi😮
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@user-zs7eq8up5s KABLA YA MTUME WAKO....KATAFUTE KWANZA JINA FALA WEW
@saidiissa4673
@saidiissa4673 Месяц назад
Habari naomba Nitumie namba yako tubadilishane mawazo
@saidiissa4673
@saidiissa4673 Месяц назад
Habari, naomba Nitumie namba yako tubadilishane mawazo
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Месяц назад
Kenge anazaa Mamba? Mbwa anazaa fisi? Mwana w wa MUNGU Ni Mungu..Maana YESU ,ALISEMA Mimi Ni ndani ya Baba.Baba yu ndani ya Mimi..YESU alimaanisha Nini? Lusekelo hapa kachemshaaa
@ibrahimmayoga8271
@ibrahimmayoga8271 Месяц назад
Ukweli usemwe Yesu hawezi kuwa Mungu sasa kama Yusu ni Mungu kipindi anataka kusurubiwa mbona alikuwa anamuomba Mungu? Watu tutumie Akili basi hata kidogoo
@ibrahimmayoga8271
@ibrahimmayoga8271 Месяц назад
inshort Yesu si Mungu jamaniiii
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 Месяц назад
Ushauri kwako Mchg.Anthony Lusekelo : Ingia kwenye maombi ya thati kabisa hakika Mungu atakujibu.Usitegemee kulijua Hilo kwa kuyachunguza maandiko,haya shetani anayatumia.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
hebu acha kumuita huyu mlevi mchungaji, ni wazi kabsa hata Roho wa mungu hana hapo!! ana mapepo huyo anatumika kupotosha watu, woe to those who go to is demonic church..maneno mengi jicho lake kwenye pesa
@professorimmah
@professorimmah Месяц назад
Nyie ndo vipofu mnaoona
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@professorimmah kipofu wew huko na huyu mzee wa ufoko..mashetani nyie
@zacharianyanda5424
@zacharianyanda5424 Месяц назад
Soma Isaya 9: 6-7 Yesu kama siyo Mungu. Kweli mzee umeenda kombo.
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 Месяц назад
Ilimsikiliza mzee wa upako? Amesema wazungu waliongeza, walibadili baadhi ya mambo ktk biblia. Hiyo aya ukiitafsiri kutoka manuscripts za mwanzo kabisa za Hebrew bible, unapata maana tofauti kabisa na tafsiri walioichakachua wazungu ili kufitu agenda yao ya kipagani. Fanya research ya hiyo aya utapata majibu ya maana halisi ya hiyo aya
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Месяц назад
Yesu awe Mungu halafu amuumbe Adam kizazi cha Adam Mariam tena amzae Mungu huyo huyo hiyo inawezekana wapi? Halafu si Mungu alimtuma Malaika kwa Mariam kwamba atapata mimba na atazaa mtoto Imanuel halafu Mungu huyo huyo tena akae tumboni kwa Maria azaliwe? Ina maans Mungu si mkweli hakumwambia Mariam ntakuja nikae tumboni mwako halafu unizae uniite Imanuel
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Месяц назад
Mungu hakumtuma Malaika akamwambie Mariam kwamba atahamia tumboni mwake amzae amwite Imanuel .Hiyo haiwezekani
@nasserm.nasser5087
@nasserm.nasser5087 Месяц назад
@hashimchaoga9566 Siku gani yesu aliitwa Emmanuel ktk uhai wake ktk injili nzima? Tunaona tu Jesus Son on Mary, Son of Man, Son of Adam, Jesus of Nazareth etc lakini hakuna hata aya moja inayomwita Emanuel na hii ni false prophecy iliyowazi. Huku ndio kulazimisha prophecy Halafu ktk original manuscripts hii isaiah ina tafsiri nyingine kabisa. Ni clear kabisa waandishi walikuwa wanafosi baadhi ya mambo kufiti theolojia zao au walikosea wakati wanaandika.
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 Месяц назад
@@nasserm.nasser5087 Hayo ya kusema alitumwa malaika kwa Mariam na kujulishwa kwamba atazaa mtoto na amwite Imanuel mbona yapo sana ila ajabu hawamwiti hivyo kamwe. Nakubaliana na wewe kwamba mambo mengi tu yamebuniwa au kutungwa na kuongezwa na waandishi kwa interest zao na mengi tu ni ya kupotosha
@sunrishmussan6958
@sunrishmussan6958 Месяц назад
SHIDA YA WATZ WENGI NI WAJINGA SANA NANDIO MAANA MPAKA LEO TZ HATA KIBURI CHA CCM NA VIONGOZI WAKE NI KUWA NA HADHIRA KUBWA YA WAJINGA TZ SABU HATA UWAAMBIE UKWELI WAO KAZI NI KUPINGA TU. HUU NDIO UKWELI MZEE WA UPAKO MUNGU ATAKUBARIKI SANA KWA KUJUA HILO.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
MJINGA WA KWANZA MTUME WAKO MUDI, WA PILI HUYU MZEE WA UFOKO WA TATU WEWE HAPO....BIBLIA INADHIHIRISHA HILO, YESU NI MUNGU YOHANA 1;1-14...WAKRISTO WOTE DUNIANI TUNAWAAMINI LUKA, MATHAYO, YOHANA, MARKO WALIOMUONA YESU KWA MACHO YAO WAKAISHI NAE WALIMUONA AKISULUBIWA, HATUWEZI KUMUAMINI KICHAA ALOKUJA KUANZISHA DINI YAKE MIAKA 2000 BAADA YA UKRISTO NA KUIGA BIBLIA KARIBU YOTE (INJIL, ZABUR, TORAH)....HALAFU LINAIBUKA NA KUSEMA YESU SI MUNGU NI MTUME WA KAWAIDA WAKATI HAJAWAHI HATA KUMUONA WALA KUMSIKIA🤣🤣 CHIZI NA MJINGA NI MTUME WAKO MUDI ALOWALETEA KITABU KINACHOUKANA UUNGU WA YESU NA KUSEMA NI MTU WA KAWAIDA HALAFU HAPO HAPO ANASEMA YESU ATAKUJA KUHUKUMU ULIMWENGU..NI MTU GANI WA KAWAIDA MWENYE MAMLAKA YA KUHUKUMU ULIMWENGU KAMA SI MUNGU? HALOO KAMA SIO MMECHANGANYKIWA KITU GANI?🤣 CHIZI FRESH NI HUYO MTUME WAKO MUDI ALOPAA NA PUNDA KWENDA MBINGUNI KUPANGA JINSI YA KUWAPANGIA NYIE MSALI MARA NGAPI KWA SIKU🤣🤣🤣MUDI ANAULIZWA UMEWAPANGIA MARA NGAPI KUSALI MUDI ANASEMA MARA 50 MUNGU ANASEMA HIZO NI NYINGI MNO WAFANYIE MARA TATU BASI WAKAKUBALIANA MFUNGE MARA TATU, HUO SI UKICHAA?🤣NA NYIE MKAAMIN HUO UFOKO CHIZI NI HYO MTUME MUDI ALOWAANDIKIA ATI MUSA ALIPOTAKA KUFA MUNGU AKAMTUMA MALAIKA AJE AMTAARIFU MUSA MUDA WAKE WA KUFA UMEFIKA, MUSA AKAMZABA KIBAO MALAIKA🤣🤣🤣MALAIKA AKARUDI KUMSHITAK KWA MUNGU BASI MUNGU AKAMUACHA KWANZA, MUSA AKAKUTA WATU WANACHIMBA KABURI AKALIJARIBU AKAONA INAFAA SASA KUFA AKAMWAMBIA MUNGU NA MUNGU AKAMCHUKUA🤣🤣QURAN YENU WENYEWE NDO INASEMA HUO UFOKO WENU WAJINGA KAMA WEWE MNAAMINI🤣 MJINGA NI MUDI ALIEMUOA MTOTO WA MIAKA 6 NA KUMFANYIA (AL IFK), AMA NISEME KUJICHUA MAPAJANI KWA AISHA MPAKA ALIPOFIKISHA MIAKA 9 AKAMLALA 😭NA HUYO NI MFANO WENU WAKUIGWA YAANI AKITOKA ALLAH WENU ANAFUATA YEYE LOH! SHANGAZI ACAHANA NA SISI BUANA..KATIKA WATU WASIOKUWA NA DINI NYIE MMESHIKA BENDERA,,,MNATEGEMEA KUUPINGA UKRISTO NDO MUONEKANE NA NYIE MNA DINI NDO MANA WAKRISTO NA WAYAHUDI NDO TUMEJAZA HYO QURAN YENU..YANI NUSU YA HUO MKITABU NI WAKRISTO NA WAYAHUDI AU HUJUI? MNA KAZI YA KUKARIRISHWA KIARABU TU TENA KWA MAKONZI HUKO MADRASSA KUELEWA AAH!
@rabiministry2389
@rabiministry2389 Месяц назад
KWAHIYO ILI UPNEKANI UNA AKILI UNATAKIWA KUMPINGA YESU KUWA SIYO MUNGU? 1 Yohana 4:3 Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani. MBALI NA MANENO MENGI YA WATUMISHI KUNA NENO LA MUNGU HILI NDILO NENO LA MWISHO....wahubiri hukengeuka kama wanadamu wengine, siyo kila anachosema muhubiri yuko sahihi.
@brunoh_bx
@brunoh_bx Месяц назад
Mathayo na Yohana ndo walimuona Yesu lakin Luka na Marko ni wasomi ambao hawakuwepo kipind cha Yesu kwaiyo hawakuwah kumuona Yesu kwa macho yao ​@@lilyg2134
@HadaikaNgabona
@HadaikaNgabona Месяц назад
Nawewe ni mjinga kama wao. Sasa ccm hapo inaingiaje?
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Месяц назад
Mjinga wa kwanza ni Wewe.
@BenjaminGwambaye
@BenjaminGwambaye 29 дней назад
Mzee wa upako unapofundisha wape na maandko maana watu wanhis unatoka kichwani usiwasomee wape misitari wakasome wenyewe
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Inasikitisha sana kuona watu mmeshindwa kumwelewa Mungu, ni mpumbavu peke yake atakayefikiria kwamba kila kitu kimeandikwa kwenye biblia, na yote yaliyomo ndio ukomo wa kila kitu. Soma hii Yohani 21:25 "Kuna mambo mengine mengi aliyoyafanya Yesu, ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa. Akina mzee wa Upako sasa soma 2 Thimotheo 3:1-4, 5 ndio huyu mlevi, anajidai mchungaji ana upako kwamba yu safi ila anakana uwezo wa Mungu
@ashelgabriel1696
@ashelgabriel1696 28 дней назад
Mhubiri wa miaka mingi familia ukoo mbona ndugu zake yesu jawakiamini mpaka baahdaye?? i mzee umri hata yesu hakuna na umri mkubwa tafuta mafunuo kama haukujua wewe no tatizo lako ahoda pia ukio na kanisa moja mhubiri mmoja biblia haisomwi maandiko macache hata hapo mengi tu mzee acha kukariri inaonekana hausomo ila uma agenda na watatu washuhudiao mbinguni ni nnini? Hii haitakusIdia mzee
@BobgIsmail
@BobgIsmail Месяц назад
Huyu ni msema kweli na anatoa maandiko shida ya wakiristo ubishi ndiyo unaowasumbua
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Kwa andiko hilo waislam mnalipenda maana hata kwenu yesu mnamkana kuwa sio mwana wa Mungu japo mnafahamu Yesu aliteswa, alikufa akazikwa na siku ya tatu alifufuka kutoka kwa wafu na alipaa kwenda mbinguni. Mnamkataa Mungu mnatukiza mwanadamu ambaye baada ya kufa hajulikani yuko wapi. Ila ni sawa, kama shetani alivyomkataa Mungu, halafu na nyie mnavyomkataa mwana wa Mungu, ukijumlisha na huyu mlevi mnaemshabikia jibu linakua wazi. Ndege wa rangi moja wanaruka kundi moja, sitegemei wala sitarajii watoto wa SHETANI anayempinha Yesu wao watampenda Yesu hapana, lazima wafuate alichowafundisha baba yao SHETENI.😡
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Месяц назад
Yah ukweli unauma akili ya muafrica % 80 tumeprogramiwa gizakabisa weangalia tunachangapesa zinaenda israel tunawaita watotowamungu je sisi ! Yan tunalishwamatangopoli bilakufikilia af wenyewe wanakulabata wanatuambia tuowane hizi dharaukabisa
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Месяц назад
Naona aibu sana kama waumini hatuwaombei watumishi hadi inakuwa hivi tuombee sana hawa wana widwa sana
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
MPAKA NASHANGAA KAFIKAJE KTIKA HALI HII...ANASIKITISHA
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Месяц назад
Pombe mbaya
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Hapo hakuna mtumishi kuna tapeli tu tena mlevi haswa, wakazi wa ubungo kibangu wanamfahamu vizuri saana. Badala kupoteza muda kumuombea jiombee mwenyewe maana muda unakaribia
@lilyg2134
@lilyg2134 26 дней назад
@@zxcvbnmmkh haswaa
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq 28 дней назад
Soma mathayo 1-23
@polycarplazaro8482
@polycarplazaro8482 Месяц назад
HUJIELEWI WEWE, NI MWONGO SANA, INJILI NI YA YESU NA SIO VINGINEVYO...
@slymsameer5415
@slymsameer5415 Месяц назад
Kwahiyo yesu mtanzania sio mpuuzi hakuwa myahudi huna akili
@JonIssango
@JonIssango Месяц назад
Uko sahihi sana.
@zacharianyanda5424
@zacharianyanda5424 29 дней назад
Pombe imekuchanganya. Pombe siyo chai.
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Toa andiko ndugu.
@ashelgabriel1696
@ashelgabriel1696 28 дней назад
Washirika wako nao ni mbimbum u kweli
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Toa andiko.
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Месяц назад
Hapo upo sahihi kabisa hakuna mahali inasema usije nyumbani mwa Mungu bila sadaka
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Месяц назад
@@elishampoki8751 Kumb 16:16
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Месяц назад
Unajifanya unajua wakati hujui. Nilikua nakuheshimu sana, lkini kwa swala hili la trinity, umeonyesha kutolijua neno kabisa. Rudi chuo ukasome kitu inayoitwa Christology. Christ, is a central doctrine of christian faith, by the holy spirit, God descend from heaven, for us men and for our salvation, was incarnate Mery, and become a man by human flesh through Jesus body. All three Persons Jesus mentions-Father, Son, and Holy Spirit-are God while being distinct from each other within the Trinity. So hakuna shaka kabisa kuwa Yesu ni Mungu. Kasome bana usipotoshe waamini wako.
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Tafsiri yake
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Месяц назад
Mungu hawezi kuchukuliwa na shetani ili ajalibiwe na akaruhusu hali hiyo itokee. Funguka akili yako
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
EXACTLY, TENA NAKAZIA HAPO JOHN 1:1-14...HE WAS MANIFESTED IN FLESH, NA THE WHOLE VERSE INAONGELEA UUNGU WA YESU, HATA SISI WAKRISTO TUNAKIRI IMANI YA MITUME "NMUAMINI YESU ALIEKUA NA UUNGU MMOJA NA BABA" A CONCEPT OF TRINITY HAIJUI ANAKUJA NA HANGOVER ZAKE ANABWATA, NAMCHUKIA HYU MZEE MAANA ANAPOTOSHA WATU, ANATAWANYA KONDOO WA MUNGU, LKN YESU ALITUONYA WATU KAMA HAWA
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@maclaudismail6606 UNAONGEA KAMA WEWE NDO MANAGING DIRECTOR WA MASUALA YA MBINGUN SIO? UNAJUA JINSI ULIMWENGU WA ROHO UNAVYO OPERATE SHANGAZI? AU UNAROPOKA TU, ETI OH "HAIWEZEKANI MUNGU AJARIBIWE" MBONA HUMALIZII YESU ALIMWAMBIA NINI SHETANI BAADA YA KUTAKA KUMJARIBU...ALIMWAMBIA 'USIMJARIBU BWANA MUNGU WAKO" MPAKA HAPO JIBU UNALO AFU HYO NI BIBLIA SASA UKITAKA TUPINGE NENO LA MUNGU (BIBLIA) WEW NI FALA KAMA MAFALA WENGINE TU....ULIMWENGU WA ROHO UNA TARATIBU ZAKE! DUNIA YAKE, TARATIBU ZAKE ATAKAVYO YEYE MWENYEW MUNGU, HZO AKILI UNAZOTAKA TUZITUMIE KULITAFSIRI NENO LA MUNGU SISI WENZIO HATUNAA!! TUNA MSAIDIZI WETU ROHO MTAKATIFU NDO ATAFANYA HYO KAZI, TUNAAMIN AKILI ZETU NI POTOFU NA HAZINA UWEZO WA KUTAFSIRI NJIA ZA MUNGU WALA NENO LAKE UPO SHANGAZI? KAMPIGE SHETANI MAWE HUKO MECCA YA WAKRISTO TUACHIE WENYEW😏
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@maclaudismail6606 @lilyg2134 0 seconds ago KWAMBA UNAJIKUTA WEWE NI MANAGING DIRECTOR WA MBINGUNI AU SIO SHANGAZI? HEBU TULIA.. MAMBO YA ROHONI YANA TARATIBU ZAKE, KAMA HUELEWI TULIA KWANZA SIO LAZMA UELEWE, KAA HAPO KWENYE UJINGA WAKO UNAMPANGIA MUNGU WE KAMA NANI? ATI MUNGU HAWEZI KUJARIBIWA MBONA HUMALIZII BAADA YA HAPO YESU ALIMWAMBIA USIMJARIBU "BWANA MUNGU WAKO"...BAKI NA AKILI ZAKO SISI HATUTAKI KUZITUMIA ZETU MAANA TUNAMTEGEMEA ROHO MTAKATIFU, TUNAAMINI AKILI ZETU HAZIWEZI KUTAFSIRI NENO LA MUNGU WALA KUCHUNGUZA NJIA ZAKE NDO MAANA TUNATUMIA ROHO MTAKATIFU....UNGEKUWA BUSY SASA HVI KUMSWALIA MTUME AU KWENDA MECCA KUMRUSHIA SHETANI MAWE AU KULIBUSU JIWE NA KULIOMBA LIWAPE PESAYA WAKRISTO MYAACHE MAANA KATI YA WATU WASIO NA DINI WAISLAM MNAONGOZA....
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 Месяц назад
NENO NI LA ROHONI, KWA MTU WA KIMWILI NI UPUUZI, NI VIGUMU KUBISHANA NA MTU WA KIMWILI
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Mjibuni kwa maandiko au pingeni kwa maandiko sio mumtukane
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa Месяц назад
Busara ni karama..sio kila mtu amebarikiwa...wao wana uwezo mkubwa wa matusi kuliko kupinga hoja kwa hoja
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Mngekua mmesoma biblia sidhani kama hata mngeandika haya, someni Yohana 21:25 jibu la upumbavu wake liko hapo
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 27 дней назад
Nadhani ungeanza kusoma *Yohana 17:3* kwanza labda ungeweza kumuelewa Mungu wa pekee na Yesu
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
@@Ayyub_Semtawa Anzia 17:1 ndio inajibu la 17:3
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
@@Ayyub_Semtawa Ameanza kwa kusema Baba, sasa nikuulize mbuzi anazaa mbwa?,ama binadamu anazaa kukuu kama watoto wake?. Iwapo logic ndogo kabisa inakua ngumu, hayo magumu mtayaelewa?
@ashelgabriel1696
@ashelgabriel1696 28 дней назад
Alete hayo maandiko tuone hataleta hayo 90 anayosema hayapo yanayosema yesu siyo mungu hii hata waisllam imewashind sembuse huyu anywahabikia pombe?
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
❤jibu lake liko hapa Yohane 21:25 kwamba biblia haijaandikwa yoote yaliyotendeka. Kama anakataa Yesu sio Mungu huyu ni wa shetani, huwezi ukasema Yesu sio Mungu kama roho mtakatifu yuko ndani yako. Huyu tapeli wakala wa kupeleka watu motoni
@aggreyprince3983
@aggreyprince3983 Месяц назад
Et Familia ya wacha MUNGU ila kweli hili ni kopo
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Toa andiko ndugu.
@user-bw6pt1yo5s
@user-bw6pt1yo5s Месяц назад
Hivi unaenda Kwa Antoni ,unasrma unaenda Kwa mtumishi wa Mungu ?
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
🤣🤣🤣NI HURUMA KWAKWELI
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 Месяц назад
HUKU TUNAKOELEA WOTE MTASILIMU SIKU 1
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
AMKA! UNAKARIBIA KUJIKOJOLEA
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Месяц назад
Kwahiyowewe unawafundishawaumini wakokuwa Mungu naYesu niwatuwawili tofauti... hivyo kumbe nimiungu yaani gods nawewe unafundisha hivyohivyo nawafuasiwako.pia wanaamini hivyohivyo. Wewejumamosi unajuailianzalini ?tafutamtu kamusomemutaalamu wa unajimu Galileo Galilei. mtaalamuwaunajimu siku nakalenda ndiyozilianza kutumika kisayansi nyumahuko kabla yaukiristo Mungu alisema asiyefanyazi na asilehaowatuwako unadaikuwapautajili bilakufanyakazi hiyonikazi yashetani kwakuwa hataYesu alimujaribu kuwa angemusujudu eti angemupamalizote zilizopo duniani endelea kuvunawatu wakwendanao jehanamu kwakuwashetani anamashariti kinyume naMungu.
@Ufahamu-01
@Ufahamu-01 Месяц назад
Hakika mzee endelea kupambana wapo watakao kuelewa
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl Месяц назад
Mme Editing
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 Месяц назад
Yohana 14:8 Soma majibu ya Yesu kwa Philip alipoombwa awaonyeshe baba
@saidiissa4673
@saidiissa4673 Месяц назад
Habari, naomba Nitumie namba yako tubadilishane mawazo
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 24 дня назад
Alisema kuwa ndiye.
@clemenceleonard1089
@clemenceleonard1089 Месяц назад
Umekuwa mchumia tumbooo
@user-ei3ps8dw8h
@user-ei3ps8dw8h Месяц назад
Siji chumi yes ßio mungu mungu anapigiliwa misumari nchi kumi na wahuni haki Uma mungu sio cheze kipofu akiongozwa na mwenzake wote shimoni
@StephanoMathias-e2z
@StephanoMathias-e2z Месяц назад
Tuwapime kwa maneno yao na matendo yao tu mbona imeandikwa?
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
kabsa tutawajua kwa matunda yao
@FadhiliMakasi-vb9dl
@FadhiliMakasi-vb9dl Месяц назад
Editing
@IsackIsaya-bi2hj
@IsackIsaya-bi2hj Месяц назад
Ww hata hunigusi kwa lolote
@ARNOLDTARIMO-d3r
@ARNOLDTARIMO-d3r Месяц назад
Mzee wa upako mpaka hapo uko sahihi, kwamba huwezi kukijua kitabu kuliko mwandishi wa kitabu.
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Wala ngurue ndio wanakupinga hawasomi kitabu wamekaririshwa mapambio tu bibilia kwao ni fasheni ya jumapili wanabeba kama pochi hawajui yaliyopo ndani
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
KAMA NDUGU ZENU HUKO WENYE LIMUNGU LAO LA KIARABU WANAOKULA NGAMIA WAKATI TORAH YETU IMEKATAZA..... NI NGURUWE NDO MNAYOIONA MXIUUU! KAMA NYIE HUKO MNAOKARIRISHWA KIARABU KWA MAKONZI KUELEWA AAH!! HEBU TUPISHE SIE MAANDIKO GAN UNAYOYAJUA, MUISLAM NA WEE UNA DINI BASI?🤣🤣🤣MTUME WENU KAIGA BIBLIA YOTE (TORAH, INJIL, ZABUR) HALFU NYIE MLOKUJA KUANZISHA DINI YENU MIAKA 2000 BAADA YA UKRISTO NDO MNAJFANYA MNATUJUA SNA...KAFIR MMOJA WA KIISLAM WE! NA KAMA MKRISTO MJAA LAANA HUJUI UNACHOABUDU! YESU NI MUNGU YOHANA 1:1-14...HUTAKI ENDELEA KUMSWALIA MTUME, NENDA MECCA HUKO UKAMRUSHIE SHETANI MAWE NA KULIBUSU JIWE NA KULIOMBA FULOOS(PESA)
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 Месяц назад
Africa is perceived as a hunting ground, where leaders are often more focused on enriching themselves through theft than on serving their people, who live in abject poverty. I urge you, Mchungaji, to remain steadfast in following God's direction and not be swayed by the ignorant voices of those who oppose you. God bless you. By your son Mike Mwaipungu,
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
KAZANA UPEWE WALAU TENDER YA KUBEBA KIKAPU CHA SADAKA! WHAT A WIMP, HE'S JUST AN ATTENTION SEEKER, A FOOL AT 50+...
@clemenceleonard1089
@clemenceleonard1089 Месяц назад
Mzee Wa upako punguza kupenda ku trend
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
FALA SANA HUYU BABA, HUU NDO URITHI ATAKAO WAACHIA WAUMINI WAKE VIPOFU
@professorimmah
@professorimmah Месяц назад
Oongeeni ila ukweli ndo huo bible haijasema yesu ni mungu
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Месяц назад
WEWE HUNA HOJA. HATA INJILI HUNA HIYO MIAKA YOTE UNABWABWAJA TU. ELIMU YA THEOLOJIA HUNA. YESU KAMA SIP MUNGU KWANINI UNAOMBEA WATU KWA JINA LA YESU?
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Kama we unayo elimu jibu kwa hoja
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 Месяц назад
Na wewe una miaka mingapi katika injili. Mfano mdogo tu wajinga nyie, unapo omba kazi, unaomba omba kwa managing director ( MD) au Human Resources ( H/R)
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
SI FALA HUYU, NA ANAKANA MAANDIKO AFU LINAJFANYA KUWAFUNDISHA VICHAA WENZIO KWA KUTUMIA HYO HYO BIBLIA......HAJUI ANACHOABUDU MLEVI HUYU
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@user-xm5xg1tt6d WE NAE UMEJAA COMMENTS ZOTE UNAANDIKA UFOKO TU, HOJA INAJIBIWA KWA HOJA, HUWEZI LETA HOJA KWA UFOKO KAMA HUU, CHIZI LINALOTAKA KU TREND MSCHEWW! HEBU KWENDA KULE
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Месяц назад
Uko sahihi Hao hawana akili kbsaaa
@edsonmwanyika4416
@edsonmwanyika4416 Месяц назад
Baba Biblia unajuwa sanaaaa tatizo wagumu kuelewa
@princenelsonsinko5237
@princenelsonsinko5237 Месяц назад
Huyu ni mpinga Kristo
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Mpinge kwa maandiko
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
HASWA
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 Месяц назад
Nafikili wewe ndo mpinga kristo unae amini miungu mitatu poleni Kwa hilo
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@jacksonmwafongo1917 peleka busha kule bana, unajua hata maana ya mpinga kristo🤣🤣🤣 mpinga kristo ni yule anaekataa YESU KRISTO... sio Mungu na wala hajasulubiwa🤣MUISLAM NI MPINGA KRISTO, 1 YOHANA 4:1-3 'kila roho inayokiri kuwa Yesu Kristo alikuja kama mwana damu, hiyo inatoka kwa Mungu. 3 Lakini roho yo yote ambayo haim kiri Kristo, si ya Mungu. Hii ndio roho ya mpinga-Kristo, ambayo mmekwisha kusikia kwamba inakuja, na sasa tayari iko duniani" LIPINGA KRISTO LA KWANZA NI MUDI, WA PILI HUYU MWEHU NA TUNAWAJUA MSIONE TUNAWAANGALIA TU🤣🤣
@slymsameer5415
@slymsameer5415 Месяц назад
​@@lilyg2134we matako ulilishwa matango pori huna akili labda za kuendeea chooni tuu na usikute hata hizo huna unakunya kitandani hakika laiti angekuwa na akili hata kisoda tuu usingeandika ujinga huu wewe unamjua yesu cristo wachina wanamwitaje?walatini wanamwitaje wajerumani waarabu yesu Kristo ni Kiswahili hicho kiarabu anaitwaje?kihindi anaitwaje? Wewe ndio mpinga cristo maana hufanyi aliyoyafanya alifufua watu wewe unafufua?aliponya watu wewe unaponya?alisali Kwa kuanguka kifudifudi wewe unafanya alisali katika masinagogi wewe unafanya alitawadha wewe unafanya kama sio kusema hukumaanisha hivyo hujitambui wakiyoyafanya na wanaofanya aliyoyafanya yesu ndio waumini wa kweli wewe hujui chochote endelea kufaidi matango pori shetwani mmoja
@frankkinkutta
@frankkinkutta Месяц назад
Kama una hoja mjibu kama Huna hoja kaa kimya upate kujifunza
@oscarwilliam8341
@oscarwilliam8341 Месяц назад
Huyu kumjibu nikukujibu wew unaposoma biblia lazima uzingatie sentens za sura na ukrasa yesu alipo wambia wanafuzi je litoka kwenda kumuona nani ? Nabii ?mtu alijitanda mavaz morolo Yesu akasema hapa yupo mkuu kuliko nabii ok mim simpigi kwakua anasema yesu si mungu maana yesu anasema ukimkiri yesu kristo Kuwa yeye ni mwana wa mungu uzima unao ila huyu anajitukuza kuliko mungu anajiona yeye nibora mbele za mungu kuliko wengine Ukisikia TU maelezo kwenye hiii speech yake unachongea hakielewek
@elishampoki8751
@elishampoki8751 Месяц назад
Nikweli kabisa mpendwa wangu mwantembe
@user-bw6pt1yo5s
@user-bw6pt1yo5s Месяц назад
Maisha yako si ya mtu waMungu una biashara zk unazojua mwenyewe.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
HASWA!
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Месяц назад
Ukweli lazima utapigwa vita Amini usiamini ukiwa mkweli Basi utatengwa lazima Bless up Stand up Mzee wa upako
@AyubuHeshima
@AyubuHeshima Месяц назад
Walio katika mwili tu ndio watakuelewa.
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 Месяц назад
Bahati mbaya sana, watu wengine akiweminmzee wa upako wanamtambua yesu ktk mwili, na sio ktk roho
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 Месяц назад
Watu wengine akiwemo Mzee wa upako
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
KABISAAA 🤣SISI WA ROHON TUNAONA ANAONGEA UFOKO TU
@slymsameer5415
@slymsameer5415 Месяц назад
​@@lilyg2134huoni na hujawahi ona chochote umekariri tuu huna charohoni wala cha wazi hata wewe unajua na roho yako inakushuhudia kuwa hujui chochote na huna chochote sema unajiona kama mkamilifu kumbe bure kabisa soma uelewe usibishe tumia akili yako sio ya kupandikizwa
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@antonyndinga8890 unadhani ukweli haujui? hapo yupo kazini nyie ulimwengu wa roho una mengi acha kabisa...msimuone kichaa hapo yupo kazini katumwa na target yake ndo hyo hapo!!! kawa kama nabii Tito🤣🤣🤣🤣🤣
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Месяц назад
Huyu mtu anwafumbua watu macho ila watu wamekaririshwa ujinga wanampunga tu
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
HATA JINA HUNA, SIGN OF UNSERIOUSNESS, HEBU TAFUTA KWANZA MSCHEW! BIBLIA HAIBADILIKI, WATAKUJA MAFALA KMA WEW NA MZEE WA UFOKO, NENO LITABAKI PALE PALE TUNAWAONA VICHAA TU, NA HVI MCHUNGAJ WENU NI MTU WA MIPOMBE MIKALI, HAPO YUPO BWII! ANAAMKIA KUTEGESHA CAMERA NA MA HANGOVER YAKE ANABWATA TU ILI APATE SADAKA LIKITOKA HAPO LINAJIFANYA A KUTOA WATU MAPEPO KWA KUTUMIA JINA LA YESU🤣MAFALA KWELI NYIE AFU ACHA KUTANGAZA UDWANZI WAKO KWNY COMMENTS MAANA UMEJAA WEWE TU NA JINA LAKO REFU KMA PUA LA MTUME WAKO MUDI....YESU ANAKUUMIZA SANA HEBU JISHKILIE BABU, CHUKI ZA WAZI KBSA,,,,YESU NI MUNGU..YOHANA 1:1-14..... SASA UTANIPA SABABU KWANINI NIKUCKILIZE WEW MWEHU WA 2000 AFU NISIWASKILIZE WANAFUNZI WA YESU WALIOMUONA NA KUKAA NAE MIAKA 2000 NYUMA KALA YA UISLAM KUJA DUNIANI...
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Месяц назад
Mzee wa upako Tatizo la Cristian Wamemsahau Mungu kumuita yesu kua ndio Mungu Wape elimu wamjue huyo Mungu mmoja wa kweli
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 Месяц назад
Soma injili ya Yohana 14:8
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Ana maandiko 99, wewe?
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 Месяц назад
Mlitahadhalishwa na mbwamwitu kama huyu lakini hamsoni maandiko kama anavyosema,si ili mjue Yesu sio Mungu kama anavyodai baada ya kurukwa na akili,bali ili mjue kwamba yeye ni tapeli wakala wa shetani. Baada ya kupungua ushawishi kaona awekeze youtube😂😂,anajua huku atakutana na mambuzi ya kiislam ataokoteza vihela.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
yaani nawaonea huruma hao waumini wake, kila jumapili ati wanaenda kanisani 🤣🤣nacheka kama mazuri...siku hzi kafanya youtube ndo gala lake si unaona hapo kaweka kabsa na sehem ya kutuma sadaka kwa ufoko wake...haoni hat aibu wala hofu ya Mungu..anajua mwenyew agenda aliyopewa na shetani kusambaza ndo maana lengo kubwa ni kumkana kristo maana katika Yesu uzima ndipo ulipo kwahyo target kuuu ni Kristo..tunaanza kuona makucha yake aliyoficha miaka
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 23 дня назад
Ana maandiko 99, wewe?
@lilyg2134
@lilyg2134 22 дня назад
@@jabirkasunzu6841 KATOA KWA BABU YAKO HAYO MAANDIKO SISI HATUYAJUI PEPO WEWE...KAMRUSHIE SHETANI MAWE HUKO MECCA UKABUSU NA JIWE, YA WAKRISTO HUTOYAWEZA SHANGAZI MAANA NAONA UMEJAA WEWE TU COMMENTS KUPINGA KRISTO
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
MPINGA KRISTO KAZINI
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 Месяц назад
Utaiona kweli ukifumba macho.
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@jabirkasunzu6841 macho ya babako huko magwepande au? Roho mtakatifu na biblia ndo macho yangu..huyu chizi atawadanganya nyie sio mim
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 Месяц назад
Kwani ye paulo mpk awe mpinga keristo
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@maclaudismail6606 Paulo yupi alikua mpinga kristo we kima, unamuongelea Paulo aloandika nusu ya vitabu vya agano jipya la biblia we fala nini🤣🤣 mpinga kristo ni hili chizi na mtume wenu kitombi mwamwedi
@lilyg2134
@lilyg2134 Месяц назад
@@jabirkasunzu6841 kweli ya babako huko makambako au...atawadanganya nyie na vichaa wengne..YESU NI BWANA,
@christopherlissa816
@christopherlissa816 Месяц назад
Leteni Mandiko hapa palipoandikwa katika Biblia utatu mtakatifu wa Mungu.. akiwemo Mungu+Yesu na Roho Mtakatifu.. Uongo mkubwa,,
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
😂😂😂 mjinga kweli wewe, Yesu alipowapatia mitume mamlaka aliwaambia nini, wakipatiza wabatize kwa namna gani?
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 27 дней назад
Ndio nyie mnabakia kupotezwa kila siku mara ubatizo sijui fyoko fyoko aliagiza nendeni mkaihibiri injili kwa kila kiumbe na mkiwabatiza kwa jina gani......, halafu jiulize alisema mkawaogeshe kwenye maji mengi au mkabatize?. Sasa wenye kuelewa walielewa wakabatiza watu hadi leo kwa njia waliyofundishwa na kutumia maji kama ishara ya kimwili kwamba umetakaswa. Ukigusa kilichotakaswa unatakasika ila kwa kuwa wachungaji hawana nguvu ya kutakasa maji ndio maana wanawapeleka mtoni, ziwani hata baharini sishangai hata kwenye mabawa ya kuogelea. Nimekuongezea hii ili uone ujinga wapo ulipo, kama hiyo ya utatu mtakatifu limekushinda kuelewa basi kawe mpagani tu.
Далее
SAFARI YA MTUME PAUL
28:28
Просмотров 9 тыс.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 11 млн
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Просмотров 3,3 тыс.
NEBUKADREZA MTAWALA WA DOLA YA BABELI  .
58:16
Просмотров 15 тыс.