Тёмный

LIVE: CROWN SPORTS, UKWELI KUHUSU FEITOTO KWENDA SIMBA, HANS RAFAEL, GEOF LEA. 

Crown Media
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 66 тыс.
50% 1

Uchambuzi wa kina na habari kubwa za Michezo zote kwenye CROWN SPORTS EPISODE II, HAPA NI NYUMBANI. #CrownSports #CrownMedia

Спорт

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 58   
@LowasaSanare
@LowasaSanare 5 дней назад
Hongereni sanaa crown big up Mr kingkiba kwa Kaz nxuri nawapta nikiwa hapa Nairobi kenya
@user-ur9pz5lp6o
@user-ur9pz5lp6o 5 дней назад
Safi kabisa mnabalance kuliko clouds wao ni Simba
@NemesMasawe
@NemesMasawe 5 дней назад
Hongeren crown media
@sumadashsumadash-yx8eb
@sumadashsumadash-yx8eb 5 дней назад
Saaaaafi kabisa kipind kinaeweta Mvuto hakuna makelele ya hovyohovyo Kwa watangaza, Ubora unajionesha bila mbwembwe
@donatamgaya2149
@donatamgaya2149 5 дней назад
Nimefrah Sana kumwona jeflea
@nestorymalando3419
@nestorymalando3419 5 дней назад
Katika kitu nimependa nivile wachambuzi wako very serious na kipindi hakuna ubishani kwa wachambuzi ambao unaondoa ladha ya kusikiliza michezo kilcho nifurahisha zaid niutulivu Wawa wachambuzi........ ..
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 5 дней назад
Ongereni crown 👑
@MackzubeMfaume
@MackzubeMfaume 5 дней назад
tunamuomba mfalume king 👑 ailete na mbeya uku tuinjoh
@nsokolaonlinetv3583
@nsokolaonlinetv3583 5 дней назад
i love crown💥💥
@AbdulilahiHashim
@AbdulilahiHashim 5 дней назад
Hii kitu balaa noma sana
@JumaMashaka-i6x
@JumaMashaka-i6x 5 дней назад
Hongera crown studio ❤❤❤❤❤
@user-li7rs1pz2s
@user-li7rs1pz2s 5 дней назад
Nisome Kama William nawatakia kila laheri crown sports kwa kazi mlioo ianza
@user-bx2gq9pd6y
@user-bx2gq9pd6y 5 дней назад
Ongezeni masafa basi tuenjoy zaidi
@MwiguluJames
@MwiguluJames 2 дня назад
Jaman panuen wigo na tabora mtufikie crown media📺
@mustakichiwembi2738
@mustakichiwembi2738 5 дней назад
Crown media tuko pamoja kila sekunde
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 5 дней назад
#hapa ni #Nyumbani🔥🔥🔥
@filbertvictor6159
@filbertvictor6159 5 дней назад
Safi sana
@user-lm4bu9ys1r
@user-lm4bu9ys1r 5 дней назад
Kutoka mozanlmbique apa nawakumbusha viongozi wakumbuke na kuwalinda wachezaji
@kalikenechota8606
@kalikenechota8606 5 дней назад
CROWN fm 👑 👑👑👑👑
@francisnyoni1606
@francisnyoni1606 5 дней назад
huyu EVANCE haongei sana ila kila anachoongea ni CHUMA
@user-zw8qt9rj2o
@user-zw8qt9rj2o 5 дней назад
Crown
@MussaAbdul-mv2kl
@MussaAbdul-mv2kl 5 дней назад
❤❤❤❤
@MussaAbdul-mv2kl
@MussaAbdul-mv2kl 5 дней назад
Crown ni hatari
@user-pr1nk6vr2q
@user-pr1nk6vr2q 5 дней назад
Crown 👑 fm ni 🔥 🔥 🔥
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 5 дней назад
Wasafi wanachumbua kishabiki Kitenge ameharibu wasafi kwa ushabiki wa Uto na ww Hans Rafael usilete mambo ya ushabiki hapo crown
@harounsalim927
@harounsalim927 5 дней назад
Si kweli wasafi ni bora zaidi. Crown nanyi jipangeni meanza vizuri
@AbdulilahiHashim
@AbdulilahiHashim 5 дней назад
Tusapotia tu jamani tusifanye utofauti
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 5 дней назад
camera za crown atari
@Amonationtv4551
@Amonationtv4551 5 дней назад
👊
@user-uj4xn2sw9c
@user-uj4xn2sw9c 5 дней назад
Mm pia no mchambuz wamichezo niombe saport yenu
@officialgenius488
@officialgenius488 5 дней назад
Crown ni noumaaaaaa
@peterkusaduka862
@peterkusaduka862 5 дней назад
Tupo pamoja
@AbdulilahiHashim
@AbdulilahiHashim 5 дней назад
Vipi kuhusu promotion
@user-nl9xe5bu1x
@user-nl9xe5bu1x 5 дней назад
Crown sport inaanza saa ngapi?
@user-vf5pp2wn1f
@user-vf5pp2wn1f 5 дней назад
Hapo laha San jmn kiba ww noma San hap laha ss
@user-uu1ln1hp5u
@user-uu1ln1hp5u 5 дней назад
Nawapata vizur niko oman
@Fikirinijafary
@Fikirinijafary 4 дня назад
Tumu kubwa na sisi niwakubwa sana
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 5 дней назад
Hawaaa ndio qanaushabiki wakisimbaaa hawa hawajawai isema yangaa hata suku moja hakuna time inashambuliwa kama yangaaa
@simonimarcel99
@simonimarcel99 5 дней назад
Hii chanel inaraha yake kunauchambuzi afu kunaumbeaaa pia
@hoseadante5658
@hoseadante5658 5 дней назад
Unyama
@ahimidiwejohn4447
@ahimidiwejohn4447 5 дней назад
Kigoma hatwapat mfike ili redio mbao tuzime
@RajabuSalimu-ip3zg
@RajabuSalimu-ip3zg 5 дней назад
Good
@user-yj6uk1jl1m
@user-yj6uk1jl1m 5 дней назад
Hakika mnatisha hapo mngemuongeza jemedari said ingekua baraa tupu
@aishabakari8040
@aishabakari8040 5 дней назад
Mh...😂😂😂
@deusdeditsanga9666
@deusdeditsanga9666 5 дней назад
🏘 HAPA NI NYUMBANI HIKI NI KIPINDI BORA CHA MICHEZO KWASASA UCHAMBUZI MZURI TUNAOMBA IWE HIVYO KILA MCHAMBUZI ANA SIKIKA KWA WAKATI WAKE
@yusufikowelo4647
@yusufikowelo4647 5 дней назад
jamani feitoto simba kweli?
@filbertvictor6159
@filbertvictor6159 5 дней назад
Sema ww
@user-uj4xn2sw9c
@user-uj4xn2sw9c 5 дней назад
Tuko pamoja sanaaa niombe sapot yenu
@KibibiMwalimu-pg8fg
@KibibiMwalimu-pg8fg 3 дня назад
Ushauri wangu mtoe Habari za ukweli si propaganda
@SalehFaki-im4nh
@SalehFaki-im4nh 5 дней назад
Video imekosa ubora 🙏 tatueni ilo tatizo please🙏
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 дней назад
Tafuta simu shekhe
@IsmailDeFrance
@IsmailDeFrance 5 дней назад
😂😂😂😂😂​@@johariabdalla3319
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 5 дней назад
Mbona video inakosa ubora kama mwanzoni shida nini
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 5 дней назад
Tafuteni simu jamani
@dicksontimotheo7617
@dicksontimotheo7617 5 дней назад
mpo kitofauti sanaaa.....alikiba hajawahi kushindwa akiamua kitu...
@godfreymanento2810
@godfreymanento2810 5 дней назад
Huyu dada jesca yupo vzr..tangu alipokuwa Moro..
@user-oq6to7pf2u
@user-oq6to7pf2u 2 дня назад
king ebu hiyo redio ilete mbeya bwana huku kuna viledio ata havieleweek
@nehemiahmithayo
@nehemiahmithayo 5 дней назад
Crown
Далее
LIVE: CROWN SPORTS, MASAU BWIRE NDANI YA NYUMBA
Просмотров 1,3 тыс.
The Hardest Challenge!
00:37
Просмотров 11 млн
What turned out better to repeat? #tiktok
00:16
Просмотров 2,4 млн
NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA
18:43
So satisfying! 🎯
0:26
Просмотров 1 млн
ERALI VS ABDUROZIK FULL VIDEO
22:40
Просмотров 820 тыс.