mbali na kujituma Kwako, urembo wako pia umechangia ufanikiwe.....wasichana wengi warembo hawapendi kujishusha wala kufanya kazi wakitegemea uzuri wao tu, mwisho wa siku wanaishia kuchezewa
Shilole hapa unasema unataka marafiki wa kukufanya uwe na akili ya uchangamfu, siyo wanataka mwende klabu na mitoko ya daily, eti siyo maisha uliyochagua lakini kwa sasa inaonekana ndo maisha unayoishi mara baada ya kutemana na Mziwandah.