Тёмный
No video :(

MAMA WA BILIONEA MSUYA 'AKATAA' KUFUTA KESI MAHAKAMANI, MTOTO ALIA.. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

MAMA WA BILIONEA MSUYA 'AKATAA' KUFUTA KESI MAHAKAMANI, MTOTO ALIA..
Kesi iliyofunguliwa na Mama mzazi wa marehemu, Bilionea Erasto Msuya, Ndeshikurwa Sikawa,
kutaka mke wa Marehemu, Miriamu Mrita, kuenguliwa kwenye usimamimizi wa mirathi ya marehemu mumewe...
Kesi hiyo imeshindwa kutolewa hukumu Leo katika mahakama kuu Mkoani Arusha kutokana na jaji anaesimamia shauri hilo kutokuwepo na kesi hiyo imeahirishwa hadi, Desemba 12, mwaka huu..
Ikumbukwe kuwa Familia zote mbili zilipokutana ofisini kwa mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro, mama huyo alikubali kwenda kufuta kesi hiyo ili wakae kama familia waelewane na wagawe Mirathi hiyo....
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 327   
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 года назад
Kwa kifupi hawa wasiposameheana kwa yaliyotokea hasa huyu bibi asiposamehe yaliyotokea kwa wanae basi ajue anatesa wajukuu zake, siamini km mali zina thamani kuliko utu kwa hawa wajukuu zake ambao wako peke yao, wewe mama wewe na uzee wako ungemwachia Mungu angekulipa hasara uliyopata kwa wanao.Mwenyezi Mungu simamia watoto hawa wa Erasto Msuya hawana makosa.
@frankngoloka8311
@frankngoloka8311 4 года назад
Jamani hizi Mali nimapambo ya dunia vyote tutaviacha duniani,mama je wewe mungu akikuchukua Mali zako utamwachia nani zaidi ya wanao,naye msuya kawaachia wanaye
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Wachache wanayajua hayo
@zuriathkajwangya1724
@zuriathkajwangya1724 4 года назад
Sasa yeye mama huyu zina muhusu huyu,kama marehemu kaacha watoto na mke mali ni za watoto na msimamizi ni mama yao,family za kiafrika jamani ni mtihani kweli
@naomymzumilo9783
@naomymzumilo9783 4 года назад
Jamani we we bibi na wewe babayako angeondoka duniani halafu udhulumiwe ungejisikiaje vaa kiatu cha mjukuuu wako kwanza malizamwanao sio za babayako kruuuuuuuuu
@mrandacharles3006
@mrandacharles3006 4 года назад
We mama utakufa kifo kibaya sana dunia hii we ione hivihivi tu
@sweetmama6885
@sweetmama6885 4 года назад
Kwa kweli. Dah...! Bibi gani anaroho mbaya hivi? 🙄☹
@tatianamnyiamba6416
@tatianamnyiamba6416 4 года назад
Anasikiliza mashabiki huyu.
@Do-it-yourself_at_home
@Do-it-yourself_at_home 3 месяца назад
Unajua kinachoendelea? Yani mtoto wako auliwe ili watu wapate mali wewe ukae kimya tuu?
@isayamwijarubi6290
@isayamwijarubi6290 4 года назад
Mama acha uroho umeshapewa mgawo zaidi ya milioni 400 we na mmemeo badao tu hadi za watoto
@kulwaabdulrahman6196
@kulwaabdulrahman6196 4 года назад
Yaaan Pesa ni mchawi Na mama anamsaliti Mwanae !!! Ngoja mzee Magu Alione .....
@khneesajumaa2052
@khneesajumaa2052 4 года назад
Wewe Mama mhogope mungu alokuhumba hachana na hao watoto wahachie Mali watoto Wewe ulitakiwa ukae pembeni sio kuwa na huchu wa mali za watoto unaishangaza dunia watu wote wanakuona mbaya zaid ya shetani
@chiefndatu1895
@chiefndatu1895 4 года назад
We mzee waache watoto wale mali za baba yao, kwani za baba ako umekula na nan❓
@elinahjoseph3085
@elinahjoseph3085 4 года назад
mungu naomba ukasimamie hii familia jaman mama naumia sana ukiwa kama mzaz uliye zaa kwa uchungu kuwa na roho ngumu iv uijui kesho yako jaman kwa mungu utajibu nn jaman kwann mali iwe kigezo cha kuwaonea watoto tena wajukuu wa uzao wako akika shetan kakuteka mama kuwa na hofu ya mungu jaman nimeumia sana toka nafatilia hii familia najifunza mengi duh 🙏🏽
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 4 года назад
Mimi naona uyo Jaji kaona akajipumzikie mana kaona wanamsumbua tu
@ibraimoissiaca6058
@ibraimoissiaca6058 4 года назад
Sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 года назад
Hahah yani full kuchoshana kesi za kifamilia
@sashababy1321
@sashababy1321 4 года назад
Ila mtawachelewesha kupata aki yao Awa watoto lkn watapata tu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 года назад
Yani huyu mama hana hata aibu SHAME ON YOU kugombea mali za mwanao na wajukuu 😡😡😡
@privatusngemera2914
@privatusngemera2914 4 года назад
uyo mama sio mtu mzuri
@florameza3491
@florameza3491 4 года назад
Naomba Raid wangu magufuli ingilia watoto wapate haki yao
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 года назад
Tunaomba serikali iwasaidie hawa watto ambao wananyanyasika na huyo bibi
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Atasura tuu
@dorismgeni6146
@dorismgeni6146 4 года назад
Mbona watu hawaeleweki Mara wewe Bibi una roho mbaya Mara mashangaz Mara mke wamarehem vp toa maoni yalio kamilika Mimi nasema mke na watt waache na Mali zao
@elizaeliza2435
@elizaeliza2435 4 года назад
Bibi mtihan huyo sasa alikuwa anabisha nini kupiga mjukuu km akufunga nyumba bibi kapata milion mia mbili lkn bado asee roho mbaya san hiyo mtu ana watoto kbs agekuwa akuwa na watoto je.....aseee
@arlonmasanja7797
@arlonmasanja7797 4 года назад
Mama Mchawi.
@shedrackhm2204
@shedrackhm2204 4 года назад
...linapenda pesa hilo jimama !! Jione !!!
@privatusngemera2914
@privatusngemera2914 4 года назад
weewe mama mbna unajidhalilisha, auna aibu na nitamaaaaa za uzeeen aujalidhika na mil 200, do!!!!? wazeee wa cku iz
@damianmachilutv1167
@damianmachilutv1167 4 года назад
Huyu mjomba ameongea point nzuri sana,
@tulizachatal7053
@tulizachatal7053 4 года назад
Pole sana Calvin huyo siyo bibi yako bali mbaya wako tena mulozi alie bitafuta kabiacha hata muchawi huyu ambao bibi yako atakufa vibaya
@tulizachatal7053
@tulizachatal7053 4 года назад
Tunaomba mweshimiwa rahisi Johny Pombe Magufuri angilee kati kusaidia yatima hizi la sivyo mashangazi bibi babu watamaliza wa toto hawa baba Uneye tetea wa nyonge ingilia kati hi kes imalizike kabisa towa neno moja tu baba tunakuomba sheria itumike
@bentychiziwi6861
@bentychiziwi6861 4 года назад
Jamani mama pesa nimapambo ya dunia waunee Imani hawa wajukuu maisha nimagumu kesi haina mana muachie mungu kilakitu wasamehe
@azizarashid3413
@azizarashid3413 4 года назад
Watoto hawa nawaonea huruma sana ,wewe mama huna huruma kwawajukuu zako ,looo
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 4 года назад
Kinaroho mbaya sana icho kimama
@miriamdaniel3532
@miriamdaniel3532 4 года назад
Wajomba sio POA nyie niwachonganishi wakumbwa kialali nguvu hiko wapi kikeni au kiumeni mnashikilia kila seem Kama Nani?kiumeni pia wanaaki nyie wajomba nawachukia kwasababu mnapata masilai wajomba mnaonekana kuwapapulisha watoto kwa masilaiyenu wajomba nyie Dio mnaweza kumaliza mgogolo huu na Dada yenu akatoka ngelerezani nakama maakama himengudua ameuwa Dola hitasimama
@faikamohamed3699
@faikamohamed3699 4 года назад
Jizi ili mama
@samuelndalahwa3423
@samuelndalahwa3423 4 года назад
Mungu aliyemuumba atajibu Kwa pigo kuwa Kwa kuwa umma tuliamini amani Nimetokwa na maombi yalifanywa na sehemu yao walipata Hata wasio husika
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
Hii familia haina busara kabisa Yaani huyu bibi anauwezo wa kudhuru hata wajukuu zake
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Kweli
@dorismamf7404
@dorismamf7404 4 года назад
Haswaa inaonekana hata wanauana wenyewe manakilamtu anataman apate mali
@salumkaisi4907
@salumkaisi4907 4 года назад
Hapana huyo Bibi ana hisa ktk Mali ya mtoto wake
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
@@salumkaisi4907 wamepewa na mume.wake milion mia mbili na kitu kila mmoja bado watot wake wakike wamepewa milion 70 kila mmoja hivi bado tena wanataka nini kama sio tamaa tuu kutaka agawane sawa kwa sawa na watoto wa marehemu hivi ndio haki hiyo au sheria ya dini inavosema au serkalin?
@mwebraniaonline7001
@mwebraniaonline7001 4 года назад
Huyo mama wamwachie hizo mali anaweza hata kuwazulu,maisha yanatafutwa.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Wewe mama si una mumeo, ngoja afe udai mali zake.
@suzanmaswatu3814
@suzanmaswatu3814 4 года назад
Huyu mama amefurahi mwanae kufa sio kwa kuhangaika na mgao wa mali kiasi hicho
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 года назад
Uyu mama n wakumtumia radi moja kalii imtesee isimuue mbwa uyu
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 года назад
Atifisile Jonathan usisahau kumtumia na mama wa dogo aliyemchinja wifi yake mchana kweupe kama KUKU
@marymasanyiwa3529
@marymasanyiwa3529 4 года назад
Huyu Bibi uliachia milioni 200 lakini bado na amabazo ulikuwa nazo ww Kama mama lkn mbona unaroho mbaha Sana ww Bibi zitakufikisha wapi ushazeeka kwanza majumba hujarizika tu jaman
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
Inauma sana huyu bibi anachotafuta atakipata na watazidi kuuwana
@SHEIKHMWAIPOPOTV
@SHEIKHMWAIPOPOTV 2 года назад
Hapana jamani huyo Bibi hamjamwerewa tuwe wakweri kesi iliopo hapo ni mauwaji huyo mjane amewekwa ndani inasemekana yeye ndio alimuuwa wifi yake tuwe wakweri na huyo mama yakoaliuwaa Jambo la Mari lingine Bibi anahaki ya kulisi
@SHEIKHMWAIPOPOTV
@SHEIKHMWAIPOPOTV 2 года назад
Huyo kijana anadanganywa na hao wajomba wajomba hayo Mambo ninyi ndio mnayakuza Mali za msuya ni za watoto na wazazi wake sio ninyi wajomba mnawaharibu hao watoto
@errydeo8865
@errydeo8865 4 года назад
weweee mama,si ulipewa chako,au.//kwani una miaka mingapi ya kuishi??acha uchu...nanyie wana habari,achaneni na huyu mama...so greedy
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 года назад
Mpuuz uyo mama
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Jamani uchungu wa mwana!!!
@radhiyaoman2543
@radhiyaoman2543 4 года назад
Sura tu inamuonyesha muda si mtu ni sheitwaan
@mrschura3134
@mrschura3134 4 года назад
Mali huwaniza watoto. Haowazazi walishindwa kutafuta zao. Selekali iwasaidie watoto plz
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 4 года назад
erry deo anaona ataishi milele
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 4 года назад
Mwanangu kua makini na hako kabibi ukute kinakunyemelea na ww kikuangamize
@tulizachatal7053
@tulizachatal7053 4 года назад
Wwe mama huna hata aibu umefisha mwanao na unadai mali zake bakuchunguze vizuri patia wa juku wako amani
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 года назад
Huyu mama ni mroho sana, hiyo mali sio yake ni ya watto na mama yao,
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Umeonae mmmm
@Expedito2512
@Expedito2512 4 года назад
Hiyo mali ni ya marehemu na siyo watoto na mama yao
@michaelmbise3874
@michaelmbise3874 4 года назад
So ufugaji Wa kuku Unahisi kati ya mama na wajukuu ni nani mwenye uhalali Wa kubaki na Mali? Swali kijinga tu!
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Mduda hivi wee baba ako akifa mali inabidi iende kwa ukoo sio hata vitabu vya dini vimeandikwa na mrithi sasa kama ya marehem nani anapwasa kupewa au angezikwa nayo😏😏
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 года назад
@Zawadi Issa huna uhakika na hilo, huwezi kuwa shahidi wa hilo, na wala hakuna hukumu aliyo pewa mpaka leo, so you better say according to sio unasema aliuwa.
@zaynabhafidh3598
@zaynabhafidh3598 4 года назад
Duuuuuuh Poleni sanaa mke na watoto wa marehemu Erasto Msuya pamoja na majaribu magumu mnayopitia Mungu yupo na haki itatendeka. Mali ni za watoto sio za familia ya mume wala mke. Serikali izidi kuingilia kati watoto wapate haki yaooo
@allyomari680
@allyomari680 4 года назад
Mama cmamia Mali za mtt wako hauwezi ukaangalia Mali za mwanao zachezewa mwanamke anabadilisha wanaume wakat mwanao yuko kaburini komaa mama kunawatu hawajui Mali zasimamiwa vipi
@twalibyunus2589
@twalibyunus2589 4 года назад
Unaa akilii wewee Alii omarii ,
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Mali za watoto hizo na sii vinginevyo waachie tuu
@michaelmbise3874
@michaelmbise3874 4 года назад
Duu Ally Omar Watoto wake Erasto wapo na ndo Main characters so huyo bibi ni uonevu tuu ilitakiwa asimame ka bibi na siyo kama adui
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
Ally Omari kumbe mazombe mko wengi 😏😏kwani marehemu alikuwa mgumba hakuzaa mali za watoto hicho kibibi hakihusiki maadam fungu lake alishapewa
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 года назад
Ally Omari Una AKILI SANA, kuna watu wanashabikia tu hawajui mambo magumu aloyopitia huyu Bibi...
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 4 года назад
Mahakam kesi km hz iwe inawatimua tu watu anaina hii maana mali ni ya mke na watoto hawa wengine njaa tu na huku wameisha pewa bado wanataka nn
@phdedwin1453
@phdedwin1453 4 года назад
We mama mjinga sana
@donclassictz7652
@donclassictz7652 4 года назад
Mama anaroho mbaya hata kwawajukuu wake
@ashamsuya516
@ashamsuya516 4 года назад
Mama huna hofu ya MUNGU ? mwanao afe unga"nga'nie mali za watoto ? serikali tunaomba muwasaidie hawa watoto
@saadaramadhan586
@saadaramadhan586 4 года назад
Magufuli saidia hii familiya jamani watoto wapate haki yao
@user-cl8bz4zw1r
@user-cl8bz4zw1r 4 года назад
Mama kumbuk kuna leo na kasho nawaw watt nidam ya mtt wak mali nimapambo ya dunian 2 ukif huendi nazo mtani wangu duuh
@glorymiko4864
@glorymiko4864 4 года назад
Unatamaa kweli wewe mama. Huna hata aibu. Mwanao amekufa akaziacha hizo Mali' mbona hakuondoka NAZO,?. Dunia inakushangaa.?wewe uko njiani, pressure ya Mali itakuondoa
@wilbertvalentino95
@wilbertvalentino95 4 года назад
Hana hofu ya mungu hyo Bibi
@faustinmarko3472
@faustinmarko3472 4 года назад
Wewe Bibi nyan'gau
@mohdkhamis6885
@mohdkhamis6885 4 года назад
Toka mwanzo nilishasema Jerry Muro hana uwezo wa kusuluhisha kesi hii Hii kesi sio ya kawaida ni kesi kubwa mno
@jaycee9067
@jaycee9067 4 года назад
Mohd Khamis very true.. hii kesi nzito.
@sashababy1321
@sashababy1321 4 года назад
Lkn upande wa wazazi wa msuya naona Ndio wasubufu sheria ya mirathi hinasemaje...., mbona iko wazi marehem ana watoto kwanini wasikabiziwe watoto Mali zao
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
@@sashababy1321 inashangaza nakusikitisha.Ila Mahakama zetu ni shida sana rushwa tupu ndio maana makesi hayaishi nikuzungushwa tu ilo linajulikana
@sashababy1321
@sashababy1321 4 года назад
@@leokamil6284 Ila watapata aki yao adi hapa bibi kashajiweka sehemu mbaya
@jaycee9067
@jaycee9067 4 года назад
sasha baby unajua haya mambo ya family ni magumu sana.. hatuwezi kujua huyu mama anaona nini kinachoendelea kwenye mali za mtoto wake.. sisi binadamu wakati mwingine tuna tabia ya kutake advantage ya situation flani flani zinapotokea.. sitashangaa kusikia kuwa upande wa huyo mke wa msuya wanafuja mali za marehemu kwa kuwatumia hao watoto ambao pia inawezekana wamewarubuni ili wawe upande wao. Hii kesi ni nzito. Huyu mama anajua anachopigania.. pia tukumbuke huyu mama yeye pia sio masikini.. yupo vizuri tu kipesa.. anyway huu ni mtazamo wangu.. sichukui upande wowote kwa sababu sijui undani.. nawashangaa tu watu wanaomlaumu huyu mama moja kwa moja.. Mimi nawakumbusha tu kuwa MTOTO ANAUMA....
@victorjames3730
@victorjames3730 4 года назад
Mama anang'ang'ania Mali za wajukuu hii noma sana
@deodorantdeodorant6309
@deodorantdeodorant6309 4 года назад
Huyo bibi siku zamwisho mungu atamfungia jiwe shingoni akatupwe baharini.
@neemahamza1116
@neemahamza1116 4 года назад
aisee unapoteza mzazi halafu migogoro inatokea loh hamna kitu kitam kama mzazi bora usiwe na mali uwe na mzazi
@mdakilwambo693
@mdakilwambo693 4 года назад
Huyu mama ni jambazi
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 года назад
Huyu mama mshenzi
@victorjames3730
@victorjames3730 4 года назад
Sura yake tu inaonesha anaroho mbaya, walishapewa million 200 kila moja yeye na mumewake ila bado wanataka Mali za wajukuu
@privatusngemera2914
@privatusngemera2914 4 года назад
utafikili nae alikuwa muolewaji
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 года назад
Endelea kupambana BIBI, Erasto hakupambana ili mali zake zije zirithiwe na mashemeji.👋👍
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 года назад
Bibi we we ni mzazi tumbo LA uzazi nilikukumbushwe uchungu watoto was mwanao,huko aliko msuya anakuona unamhuzunisha, acha roho mbaya, bibi gani we we? Ogopa MUNGU hadhihakiwe.
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Kumbuka dunia na vyote vilivyomo ni Mali ya Mungu waachie watoto usijiwekee ya kesho ni yamwenywe mwenyenzi Mungu wengi wameyaacha kwa kutokujua kesho ya mungu
@eusebiokikoti6702
@eusebiokikoti6702 4 года назад
Mie naona huyo mama yuko sahihi sana .Kisheria warithi wa Mali za Marehemu ni wazazi wa marehemu ,mke wa marehemu,na Watoto wake wote .Kwahiyo Huyo mtoto kuamini kuwa yeye ndio mrithi pekee wa Mali za Babayake ni upungufu wa Akili!
@fundimchizi5225
@fundimchizi5225 4 года назад
Erasto alikuwa don,na ana watoto na mke,hako kabibi si kana mume,tuko hapa magu akili nyingi ana kavutia pumzi,,atasema neno tu tupo,,,magu atoe kauli tu,huenda wamemfunga mke wa erasto warudishe mali..
@oum759
@oum759 4 года назад
Huyu mama Ana roho mbaya Sana kwn kijana wako si Ana watoto n mlishapewa pesa zenu
@salamamousa6026
@salamamousa6026 4 года назад
Bibi mkorofi sana. Kwa tamaa ilivyomshika.
@ashritaabdallah6474
@ashritaabdallah6474 4 года назад
Mama acha ukorofi mama Mali tutaacha tu mauti yapo kuungana familia ni jambo jema Mali ni mapito tu
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Hajui yakesho ni yamungu kuchinjana hapo kupo Mungu tusimamie twakuomba
@hamisimterela45
@hamisimterela45 4 года назад
We we MTT jua Huyo mama nimama was baba yako
@winfridashango6481
@winfridashango6481 4 года назад
Mjomba pole sana
@mjasiriamalishupavulailamu7163
@mjasiriamalishupavulailamu7163 4 года назад
Aibu zako mama kupewa note milioni zote 200bado hujalizika. Hawa watoto vipi mnawazurum acha mungu hapendi hizo Mali zawajane nawatoto
@oum759
@oum759 4 года назад
Huyu mama n wasichana wake wanaeza hta kuuwa Hao watoto
@victorjames3730
@victorjames3730 4 года назад
Ila wachanga kwenye inanukia pesa hapo hamkubali kushindwa, hata kama ni dhurma mnakomaa tuu, cheki uyo mama apo anavokoma kudhurumu.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 года назад
Nyie ndugu na wazazi wa msuya,Mungu anawaona .
@lotishimbilu6617
@lotishimbilu6617 4 года назад
Ww mama ni MTU mzma lkn ni choko Mali ni za watoto Wa marehem ww unahangaika nn au raha yako uwaone wakiwa maskini waache bwana ushakura maisha yako tiari
@wingracealfred1978
@wingracealfred1978 4 года назад
Wewee mama Mungu anakuona
@josephchala4483
@josephchala4483 4 года назад
Mungu waumbue hawa wanao taka mali za watoto na mke wake msuya hawana ata aibu jaman kessi hii inajionyesha wazi kabisa mnawakandamiza watoto wa marehemu daaaah
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 года назад
Ila mimi nawajua ndugu zangu wa kaskazini kwenye pesa hawana utu kabisa
@tulizachatal7053
@tulizachatal7053 4 года назад
Pole sana mtoto mpaka nalia kabisa ila Mungu anakuona muchawi atashindwa tuu
@lildraco_k8977
@lildraco_k8977 Год назад
Mama mama nakuita Mara pili acha kula wajuku zako
@WaridawaridaWarida
@WaridawaridaWarida 4 года назад
Shangaz anajiliza nini hapo haoni anacho kifanya mama yake anacho kifanya kamuuzia kesi mkwewe ili amiliki mali ila kumbuka Mungu hachukui rushwa ipo siku itajulikana ukweli na Mungu atakulipa yote uliyo mtendea mkweo kukaa jela
@neemdamas5457
@neemdamas5457 4 года назад
We mama Kuma ww siulikubali kifuta kesi kwa muheshimiwa Jeri Muro Leo Tena umegeuka we mama mpumbavu akili hauna utakua unataka Roho zaiyo familiya sio bure msenge ww
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
Kwahyo hyo mama anaona pesa ni mhimu zaidi kuliko mwanae alie fariki hajiulizi mwanae Pamoja napesa zake lakin kaziacha kwann asiwaache watoto wa mtoto wake waishi kwaamani mali nimapambo tu yadunia
@helenshija9730
@helenshija9730 4 года назад
Wewe bibi weweee Mungu anakuona ila sura tu inaonesha huna utu
@lucasmourice8347
@lucasmourice8347 4 года назад
Sasa mbona mama anasema kusimamisha sio kuondoa daah huyu mama cjui anaroho gani
@sashababy1321
@sashababy1321 4 года назад
Itakua muwaji wa mwanae
@elizabethmichael8936
@elizabethmichael8936 4 года назад
lucas mourice aacheni tu
@elizabethmichael8936
@elizabethmichael8936 4 года назад
luMungu utusaidie cas mourice
@jenipherchristopher8083
@jenipherchristopher8083 4 года назад
Huyu mama anacho kifanya Mungu anamuona anaonyesha anaroh mbaya sana anafurahia kupoteza muda wa hawa wtt aialishapewa chake jmn kah binadam watu waajabu sana!!!!!!!!
@zuberimgawilo2639
@zuberimgawilo2639 4 года назад
@Zawadi Issa kweli
@selemanijeanpierre7931
@selemanijeanpierre7931 4 года назад
Uwajui wapare wanapenda kesi wanaweza kuhuza n'gombe kwa kesi ya kuku
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 4 года назад
Kabisaaaa
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
😂😂😂😂kuchinjana
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 4 года назад
😂😂😂😂
@hojamathias9989
@hojamathias9989 4 года назад
Huyu mshenzi Sana a chia Mali wajukuu hovyooo
@mahmoudabdul4359
@mahmoudabdul4359 4 года назад
Huyo bibi na wahovyo kuwahi kutokea hapa duniani ovyo sana baradhuli
@julianamasunga700
@julianamasunga700 4 года назад
Kweli mjomba ni mama....
@emmanuelmabalahungwe2800
@emmanuelmabalahungwe2800 4 года назад
Uchu wa Mali ndicho kinamsumbua huyo mama,kwani watoto wa marehemu hawapo
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 года назад
Huyu mama mchawi wa roho mbaya,nalimrshazeeka linasumbua watt,Mungu anawaona.
@salumkaisi4907
@salumkaisi4907 4 года назад
Rudini ktk Sheria ya kislam uislam unaseme mwanaume akifa akiacha Mali nae ana mke, watoto,wazaz, ndugu,yani Kaka,Dada wa marehemu wote Wana hisa ktk Mali hiyo na namna yakugawa hawagawi sawa sawa
@irenesisamo2184
@irenesisamo2184 4 года назад
Yaani mi naona bora usomeshe watoto ukifa uwaache na utajiri wa elimu usiache mali maana watoto watateseka uache hela kwa mwanasheria za kusomesha watoto kama bado wadogo maana mali ni shida poleni watoto wangu Mungu atasimama hata hao hawata ishi milele
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 4 года назад
Kweli inawezeka ulidabulika na mwanao wanavyodai wivu wanini kiasi hichi bibi wewe ni shetani wewe mali za watt ni kweli umemuweka huyo mama magereza mchawi mkubwa mzee mkubwa njinga sana Utakufa hivi karibuni
@magrethsanga942
@magrethsanga942 4 года назад
Hicho kibibi kitoe Mali za marehem kwa wa toto
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
😂😂hakitaki tamaa mbaya
@barakaakyoo1905
@barakaakyoo1905 4 года назад
Unaroho mbaya mama kama auta kufa jua yatima astahili kuonewa
@mjasiriamalishupavulailamu7163
@mjasiriamalishupavulailamu7163 4 года назад
Mama mama mama wachaga kwa pesa pole sana Mali yawatoto jamani
@ushindimedia351
@ushindimedia351 4 года назад
Hawa ni Wapare, na si Wachagga.
@babumjumbe1691
@babumjumbe1691 Год назад
Mama laiti mwanao akimka siatakuona mjing sana
@elizabethmziray2461
@elizabethmziray2461 6 месяцев назад
Wewe ni mkewe?Si angekuoa kwani si ulikuwepo mke wake akiolewa,mwehu sana wewe mama
@rehemaradhid5716
@rehemaradhid5716 4 года назад
Masikini hawa watoto watia hurumaa
@leokamil6284
@leokamil6284 4 года назад
Sana
@ahmedali1552
@ahmedali1552 4 года назад
Mama achaaa tamaaa...
@thedeo472
@thedeo472 4 года назад
Mali za Marehemu ni za watoto na mke. Na wala siyo Mama, Baba, Dada, Kaka. Kwani sheria za Tanzania zinasemaje. Hakuna cha familia kukaa kugawana mali. Familia ya Marehemu ni mke/wake na watoto
@bintiannar6845
@bintiannar6845 4 года назад
Wapen watoto hki yao
@injili90
@injili90 4 года назад
Du Utu na ubinadamu hakuna ukifika umri huu na unagombania Mali za watoto balaa thamini ulichonacho Utu umetoweka
@evashoo4587
@evashoo4587 4 года назад
Ivi hawa watu ni wachaga wa wapi jamani
@agnessmsacky6657
@agnessmsacky6657 4 года назад
Jamani jamani tunaomba raisi aingilie Kati tafadhali Kama ni wapare nikawaida yao
@ahmedali1552
@ahmedali1552 4 года назад
Mke ndo anajuwa uchunguuu....alilalanaee kitanda ki1 wameshea mwilii so shidaa ninii..weee naniii hata usemee hayoo tamaaaa mbayaaa familia itateketeaaaa 1day watauwana....nashkuru mungu kwa kunipa kipato cha kawaidaaa...coz ukiwa maskinii mtihanii ukiwa tajiri mtihani
@mikehizza2756
@mikehizza2756 4 года назад
Huyo mama ni pasua kichwa
@avax5717
@avax5717 4 года назад
Mama taahira atakuwa. Mroho kweli kweli halafu.
@rukiamziwanda7458
@rukiamziwanda7458 2 года назад
Bibi mbaya huyu Kama sura yake
@laylertalpha8226
@laylertalpha8226 4 года назад
Mali inamtoa roho hicho kibibi acha kabsaa msije muua mtoto wawatu peleka tamaa mbelee uko
@issahhussein1922
@issahhussein1922 4 года назад
Huyo bibi anaonekana kabisa si mwema
@mako331
@mako331 4 года назад
Pamoja na kwamba naweza kumlaumu huyu Mama haraka haraka hatuwezi kujua yaliyo ndani ya familia na jinsi walivyoipata hiyo mali, watoto wawili wameuwawa na inasemekana huyo Mke ndiye aliyeua sasa hapo kuna shida kubwa. Kama sikosei yule mwali alikiri kumuua wifi yake au ni mimi sikumbuki vizuri!
@michaelmbise3874
@michaelmbise3874 4 года назад
Hivi unadhani huyu bb akipewa hizo Mali watoto Wa Erasto waendelee kuteseka Itasaidia marehemu kufufuka? Think far brother kuna leo na kesho wee utakuwa kwenye kundi lipi? Kwann ujitwike mizigo ya mtu mwingine?
@issahhussein1922
@issahhussein1922 4 года назад
Yaani siku zote ukichuma Mali kwa njia za mkato yaani njia haramu kama kwa waganga alaf ikatokea ukafa tu huku duniani lazima Mali zako ziyumbe na mwisho wasiku zitayeyuka zote
@happymsaki1720
@happymsaki1720 4 года назад
@@issahhussein1922 umenena dogo
@zuberimgawilo2639
@zuberimgawilo2639 4 года назад
100 % true huyo mke ni mtuhumiwa wa mauaji ya wifi yake. hapo ukweli mungu ndio anao jua@makongamg
@julianamasunga700
@julianamasunga700 4 года назад
Raisi tunaomba huwasaodie hawa watoto ...huyu bibi na watoto wake wote hawana nia njema na hawa watoto....magu uonee huruma hawa watoto jamaniii. .....
@rozzymosses2601
@rozzymosses2601 4 года назад
Mama mtumizima hajielewi kabisaa
@alexsalum7824
@alexsalum7824 4 года назад
We bibi MUNGU anakuona!
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 года назад
Usiifute mama pambana kama mbwai naiwe mbwai dini la mkund kulipa kwa mkund
@marcodominico9503
@marcodominico9503 4 года назад
KWA MAONI YANGU. HUYU MAMA MI NAONA ANA HAKI, KWAKWELI HAWEZI KUKUBALI KUONA MALI ZA MWANAE ZIKO KATIKA MIKONO ISIYOELEWEKA. HUYU KIJANA MTOTO WA MAREHEMU ARUDI KATIKA MIKONO YA WAZAZI WA BABA YAKE, AACHE KUSIKILIZA WATU WA PEMBENI.
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 года назад
Marco Dominico weee ulifwatilia hizi habali toka mwanzo huyo kijana hawampendi hawezi rudi upande wa baba ake alishapewa kesi ya mauji ya mama waloangaika kumtoa hao wajomba zake na unaambiwa ilikuwa kazi sana hao lengo lao ilikuwa kumpoteza na huyo kijana ili wachukue vizur hizi mali
@doreenkissia2928
@doreenkissia2928 4 года назад
hapana.msimamizi wa mali anaweza kuwa huyu kijana ni mtu mzima.halafu mrithi wa mali ni mtoto sio mama.huyu mama akiga hizo mali zake si atawaachia watoto wake? au atamuachia mama yake?
@zuberimgawilo2639
@zuberimgawilo2639 4 года назад
Isitoshe huyo bibi ana binti yake alichinjwa kibada mama ya hao watoto ndio mtuhumiwa na ndio maana yuke jela ndio maana bibi ana uchungu mtoto wake wa kiume alipigwa risasi dada yake mdogo akachinjwa
@anethmollel6898
@anethmollel6898 4 года назад
Ni siku za mwisho kweli yaani bibi anaonenea wajukuu zake wa halali live?????? Rais wetu ingilia kati bhana
Далее
Kaunti ya Lamu na Garissa wazozania mpaka
3:50
Просмотров 4,3 тыс.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 25 тыс.