Тёмный
No video :(

MANDONGA AMJIA JUU MWAKINYO/"SIMFAHAMU NI NANI/NITAMPIGA NDUKUBEE MPAKA AZIME/MWANZA KUTAWAKA"… 

Mpenja TV
Подписаться 533 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Bondia Karim Mandonga atapanda Ulingoni July 29 dhidi ya Bondia Golola Moses kutoka Uganda, Pambano litapigwa Mwanza.
Mandonga ametoa Msemo mpya 'NDUKUBEE' ndio ngumi anayokwenda kumchakaza nayo Golola hiyo Tarehe 29.
Aidha ametoa maoni yake juu ya Mpira wa Miguu na kueleza kuwa kwa sasa anakaa katikati Ya Simba na Yanga kama Mzalendo, japo Yanga ndio anaipenda zaidi.
Pia amejibu kuhusu Bondia Hassan Mwakinyo juu ya kauli zake kwa Wacheza Masumbwi na hapa Karim amekiri kuwa hamfahamu Mwakinyo kama ni Bondia.

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 Год назад
Mandonga tunakukubali sana ila ❤ila usijethubutu kukumbatia transfoma yatakukuta usiyoyatarajia
@goodlucksteven6377
@goodlucksteven6377 Год назад
Nomaaaaaaaaa
@ramadhanmwamto6778
@ramadhanmwamto6778 Год назад
Nakubali mandonga😂😂😂
@RichWise671
@RichWise671 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@muzdwalifattsaad7963
@muzdwalifattsaad7963 Год назад
Mwamkinyooo humjui
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Mandonga kipenz Cha watanzania😂😂
@shaffisumaida8800
@shaffisumaida8800 Год назад
Ndukube
@mzeewapwani1068
@mzeewapwani1068 Год назад
We ccm unataka ubunge mandonga umemisi Ela za ccm
@goodlucksteven6377
@goodlucksteven6377 Год назад
Migolole
@stevekipepeo2134
@stevekipepeo2134 Год назад
Noma sana😂
@mkalimlanzi6335
@mkalimlanzi6335 Год назад
Alale wimaaa😊
@goodlucksteven6377
@goodlucksteven6377 Год назад
Mtu kazii ukamkaze uyo boya sasa
@SalimRashid-cq2pi
@SalimRashid-cq2pi Год назад
Huyu mandonga atumiwa na mapromota atajuaje kua chizi ngumi kila weki wapigana mm niko pale
@iddiamiri7690
@iddiamiri7690 Год назад
Ndukube😂😂😂😂😂
@elizabethmajaliwa5189
@elizabethmajaliwa5189 Год назад
Wewe baba usitafute kiki kupitia Mwakinyo , saaizi yako ni halima Bandola🤣
@senseiamani4684
@senseiamani4684 Год назад
Mandonga mtu kazi ni mmoja tu
@user-fu3sv4mq1m
@user-fu3sv4mq1m Год назад
Mandonga mwanang wa nguv nakukubl sana una bayaa kaka
@amdunishomari2221
@amdunishomari2221 Год назад
Mtu kazi alikwepo kahama juzi juzi alafu mwez huu anakiwasha mwanza 🙌
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Hahahahahaha
@chuseboy
@chuseboy Год назад
Serenget boys😂😂😂15 years old
@essanfesto3049
@essanfesto3049 Год назад
Miaka 18🤣😂🤣😂🤣😂🤣
@adammsimo2715
@adammsimo2715 Год назад
Daaaaa😂😂😂😂😂
@hamisibaharia-bl9og
@hamisibaharia-bl9og Год назад
Mwenye ndonga zake
@stanastana3199
@stanastana3199 Год назад
🤣🤣 mandoga ana mikwara balaa
Далее
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Просмотров 396 тыс.
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
Просмотров 1,8 млн
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
Cheka na uwe na furaha - part 1
3:09
Просмотров 822 тыс.
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
Просмотров 396 тыс.