Huwezi choka kumsikiliza Rc Agrey Mwanri. Nimesha sikiliza hii clip zaidi ya mara 5. Na sitachoka kurudia kusikiliza. Hongera sana Mheshimiwa mkuu wa mkoa
Nataman tu skku moja nikutane na Mh. Magufuli walau nimshike mkono wa kumpongeza. Mungu akulinde Rais wangu na vibaraka wrote na wasokupenda wote no wachawi
@@suzansuzanei1143 hapana yupo Ila kwa Sasa sio mkuu wa mkoa ,alitaka kugombea ubunge akashindwa kwa kura Moja.Kwahiyo Kwa Sasa ni barozii wa zao la pamba na Mwinjilist Kanisa Fran hivi la tabora
East Africa will never have a President like this. Whoever instigated Rais. John Pombe Magufuli's death, his or he's 10 generations will only see trouble. Rest well my hero
Kiukweli katika speech zilizobamba na zitabamba miaka nenda rudi ni hii.. Mwanri ana uwezo mkubwa mno Tena sana wa ku capture mindset & attention za watu. Magu mwenyewe hapo anasaluti 😆
Agrey Mwaniri kagombeee tunatamani kukuona Bungeni kwa Mara nyingine bado unafaa kuisaidia nchi Nadhani kusitafishwa kwako kuna maana plz do it Dad I love so much natamani kuwa kama wewe
Aggry Mwandry, ni mfano wa viongozi shupavu wanajua Kucheza na opportunities. Kiukweli raisi amefanya kazi kubwa na mkuu wa mkoa huyu ni mfano wa kuigwa Kwa kweli... Hongereni Sana viongozi wa nchi
Miamba kweli kweli, nchi ilikua na watu hii bwana, ila huyu mwanri inafaa arudi kazini kabisa, nmependa hapo alivyoongea kwa msisitizo "nawasukuma ndani" 🔥🔥🔥
Sukuma ndani natamani nahuku🇧🇮🇧🇮nione mvi Kama yamzee wa Toronto tabora magufuri wewe nijembe dunia nzima Mimi Ni MURUNDi nikionana nawee face to face nakupa Laki mbili atakama wewe nimweshimiwa kwasababu wewe nijembe dunia nzima 🙏🙏🙏ww Ni number ☝️✔️✔️✔️✔️✔️✔️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👊💪👊🏋️🏋️🏆🏆🏆 wabongo mungu awape Nini? 👊👊
mwanri kuna kipindi alikuwaga waziri wakati wa maswali bungeni mbunge akimpiga swali kabla hajajibu kwanza anamsimfia mbunge muulza swali kwa swali lake zuri na anavyowatetea watu wake baada ya hapo ndio anamjibu swali lake ana mbinu sana za uongozi