Тёмный
No video :(

MAPYA YAIBULIWA "MSIGWA HAFAI CCM, SGR TUMEPIGWA BILIONI 700, TUNADANGANYANA TANZANIA SIO SALAMA" 

JAMBO TV
Подписаться 906 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

11 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 156   
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Tukiondoa tofauti ya vyama, sisi sote ni watanzania, Serikali itoe tamko tusitekane kwa itikadi tukajenga visasi vya kiitikadi kati yetu. Kwa kuwa watekaji ni watumishi wa serikali ya ccm, Na watekwaji ni watu wa vyama vya upinzani, Serikali iliondoe hili kwa kauli thabiti ilihutubie taifa na kupiga marufuku vyombo vya usalama kuteka wananchi,ili raia tuamini kwamba hakuna mkono wa serikali katika utekaji. Serikali ikiendelea kukaa kimya na kugeuza utekaji kama mambo ya kisiasa kuna hatari kubwa ya kuwafanya wananchi kutekana kati ya wanaoteka,na wanaotekwa.
@waziradam2794
@waziradam2794 24 дня назад
Asante sana David. What goes around comes around. Watch your back pl’se. You have entered enemy territory!
@paull8659
@paull8659 24 дня назад
Kuna haja ya kutumia nguvu kuindoa CCM milele.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 17 дней назад
Haya tangulia tukuone
@FridayMwassa
@FridayMwassa 13 дней назад
​@@walidmgonja3644Bila shaka wewe unafurahia sana yanayofanyika
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 24 дня назад
😢😢😢HIVII HUYU ALIYEIPITISHA KATIBA HII MBOVU ALITUTAKIA NINI SISI WATANGANYIKAA😢😢
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 23 дня назад
Nyerere na wakina piusi msekwa na jaji warioba ingawa toka zamani sasa warioba anaipinga anaiona sio katiba ya kwendana na maisha yasasa ukizingatia tuko mfumo wa vyama vingi ila majambazi wachache wenye uroho wa madaraka ili waendelee kuneemeka na familia zao
@solomtz7049
@solomtz7049 21 день назад
Brother tumeingizwa cha kike, halafu huyu mtanazaji ni ccm kabisa
@user-kd3mk4to2h
@user-kd3mk4to2h 21 день назад
Hongera sana David Jumbe mungu akulinde fumbua watanzania akili na mawazo.amina
@user-fw8bk3bc2p
@user-fw8bk3bc2p 24 дня назад
Itakuwaje Kama mahojiano haya yapewe nafasi kwa vyombo vyetu vya habari Kama TBC,ITV nk
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 13 дней назад
😂😂😂 haaa haaa hatari
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 13 дней назад
TBC tv ya CCMO waweke hayo madini thubutu hasirani haito wezekana b !
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 24 дня назад
WELL SAID KIONGOZI
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 19 дней назад
MUNGU TU NDIYE MLIPA KISASI WA KWELI NA ANAYESIHILI. MLILIENI MUNGU NA KUMUOMBA AWALIPIYE KISASI AMINNI. KABISA MUNGU ATASHUKA NA KUWAPIGANIA ANASUBIRI MUMUOMBE TUUUKWA JINA LA YESU KRISTO AMIN AMIN
@evelina9621
@evelina9621 11 дней назад
Pelekrni.umoja.wa.mataifa.utekaji.watu.tanzania.ikome.hili.jambo
@shabanadam4476
@shabanadam4476 22 дня назад
Excellent conversation congratulations and big respect 🙏
@efremmwalongo828
@efremmwalongo828 11 дней назад
Safi sana bro
@meiruzibwe9145
@meiruzibwe9145 10 дней назад
Waaooh Ahsante kwa kufikisha ujumbe.
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s 25 дней назад
Kweli kaka nchi yetu imekuwa siyo seemu salama ya kuishi
@gracefoya4609
@gracefoya4609 24 дня назад
Kweli unafaa sana kuwa msaidizi wa Tundu Lisu. Hongera sana . Nami naitamanj hiyo Tanzania unayoelezea . Mungu akupe maisha marefu uioe hiyo Tanzania "mpya"
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 16 дней назад
Nice comment ever seen
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 24 дня назад
Ccm mnasikia hata nyinyi mnauzwa .hasara inayo patikana wote mtalia tena sana tena watekaji ni watanzania tumejisahau mfano munyampara akiwa jera anajiona yeye siyo mfungwa.anapiga wenzake anapewa buti mkanda sare anajiita mimi munyampala. Hivohivo mnatuteka mnasahau kuwa tunapigania haki zetu sote kuna siku mtakumbuka
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 22 дня назад
Mwandishi huyu safi sana anafaa kuwa CNN BBC
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 19 дней назад
Safi sana kiongozi alafu ndg mwandishi umeshindwa kweli kuweka picha yetu ya treni umeweka treni ya kenya inamana umekosa picha kweli
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 20 часов назад
Ni kweli majambazi hayo. Na ndio maana yanang'ang'ana ni ktuibia tu. Na mafisadi kweli
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 24 дня назад
Yetu macho, karibu nahamia Zanzibar jamani. Kwani Kumenoga sana, Bara mhmm!!!
@rayamgeni9772
@rayamgeni9772 21 день назад
Njoo tu huku ndo kumeoza
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 24 дня назад
Kwili ni usalama bandia
@gidongailo7174
@gidongailo7174 22 дня назад
Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kutengeneza jamhuri ya Muungano wa TANZANIA badala ya kutengeneza kitu inaitwa Muungano wa Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 24 дня назад
Upo sahihi kabisa jino kwa jino
@jarnskorelly464
@jarnskorelly464 21 день назад
Kweli uko vizuri unacho sema ni kweli😢
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 25 дней назад
Kwa taarifa yako juma huyo unaye msema tutamkumbuka kwa kuuza aridhi na mali zetu kwa waarabu hilo tu ndo tutamkumbuka nje na hapo hatokumbukwa kwa lolote hivyo usimfariji
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 21 день назад
Mchakato wa kuchukua form Mwaka 2020 ulikuwa wa hatari sana. Ule mshike mshike haukua wakitoto
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 24 дня назад
MASAOUNI ,Dr.MMWINYI ,NCHIMBI, LUGOLA,hayo yakuppewaa,Sierro, waliopewa posti hizo ,nichai kwao na CCM ,HONGERA YA Mwinyi kwa kazi Nzuri za kuwalpua WAUWA MSHO ,salipewa URAISI ZNZIBA .... CCM OYEEEEEEEE
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 24 дня назад
HATUKO SALAMA
@solomtz7049
@solomtz7049 21 день назад
Kabisaa
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 13 дней назад
Watekaji wanafahamika ni wale waliotajwa na Mh. Benson
@efremmwalongo828
@efremmwalongo828 11 дней назад
Endelea sana kutupatia elimu watanzania
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 5 дней назад
Wenyeviti wa mitaa ni tatizo sana
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 25 дней назад
Upo vizuri sana ndugu hata tukae IPO siku watanzania watakuja kujitambua
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 20 дней назад
Msigwa amesha toboa madudu yenu ya Chadema ni Saccos tuuu mbona Mbowe anawaibia munamuacha tuu😂😂
@FridayMwassa
@FridayMwassa 13 дней назад
Kaiba nini,unaacha kupinga ufisadi unaosababisha kukosa huduma muhimu kama maji na barabara unahangaika na visenti vya upinzani
@meyasadavid9801
@meyasadavid9801 24 дня назад
Atugombei urais kwa hisia ndugu
@valenakomba9218
@valenakomba9218 15 дней назад
Upigaji mkubwa sanaaaa yaani mnavyotuammbia sisi wananchi tunaumia Sanaa.
@user-kd3mk4to2h
@user-kd3mk4to2h 21 день назад
Kiukweli anachokieleza kiongozi huyu wa chadema nakiona kuna mantiki na Mungu anajambo la muhimu na nchi hii .Mungu tunusuru na ukatili unaofanywa na watu wasio na hofu ya Mungu . Inusuru nchi hii katika wimbi la siasa ya uhasama tuwe pamoja na viongozi watende haki. Kuwe na hofu ya Mungu waache uovu
@PietroPescatore-b3g
@PietroPescatore-b3g 8 дней назад
Je, wawekezaji wa kisasa wanaweza kuteua serikali waitakayo wao 2025?
@IssaJohn-kk8pb
@IssaJohn-kk8pb 20 дней назад
Kweli mwenzako akimwaga mboga wewe mwaga ugali uko vizuri sana
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o 25 дней назад
Kaka kweli unaongea Kwa hisia kali.unachoongea ni ukweli kabisa watanganyika tutasafa sana.
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 13 дней назад
Ndugae alishasema Mama anauza Tanganyika japo hata yeye alikuwa shetani nusu malaika na sasa yanatimia Mama kizimkazi anatuza tukiwa na Mgovi yetu ya bara!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 22 дня назад
Maneno mengi hayasaidii kitu.
@AthumanDauda
@AthumanDauda 12 дней назад
Akili kubwa
@user-mo3ik6go6r
@user-mo3ik6go6r 22 дня назад
Rooo yangu hinauma sana
@johnfani9380
@johnfani9380 25 дней назад
Bora kupigwa Kuriko visionekane kabisa
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 22 дня назад
Na mjibu maswali yuko vizuri mnooo
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 11 дней назад
KuiondoaCCM kama mtajiwenu eti Lisu nikupigwa risasi.. hiyomtafute kazinyingine ikulu wanaingia kwamtaji wakuiteka nguvya umma mujitafakari napropoganda zakufikirika itawachukua hatakarne moja bilskuchukua dola Houston utani.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 24 дня назад
Huyo mtangazaji ni chawa
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 16 дней назад
Raisi ndiyo anaye asisi hayo mambo huyo jamaa anaongea nini??? Punguzeni ujinga watanzania tuchukue hatua
@TeamKRX
@TeamKRX 14 дней назад
Nina asili ya Kiarabu Ila daah hawa watu Naona samia anajiona muarabu Sijui Hawajui Nash’angaa
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 23 дня назад
Hii ni akili kubwa kiukweli nchi miaka 70 tunajadili ujenzi wa kiwango cha lami ambayo inaangusha magari hovyo mno... ni hatari sana
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 20 часов назад
Au utekwe
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 24 дня назад
Wacha ubwege ccm hawana inchi wewe bwege bandali hukumbuki masai wanapata shida wewe unaona vema. Tozo za umeme zimeongozeka ccm mnabariki
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 23 дня назад
jino kwa jino😂😂 eti wakimuengua wa chadema nao wana muangua wa ccm😂
@zabronmwaipungu2212
@zabronmwaipungu2212 22 дня назад
Lakini hao mnao wasema polisi wako busy kukamata wadangaji.
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 23 дня назад
Viongozi wabaya wataziponza familia zao vizazi vijavyo vitapata taabu mno wafurahie tu ujinga wawazazi wao ila watalipa tu aminini ipo siku
@usafiaps318
@usafiaps318 17 дней назад
Sema Ukweli Wote.Nchi Inauzwa Tukiwa Tunaona.SGR Akili Za JPM.
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 13 дней назад
Msigwa roho fisi tu yule mwendawazimu.
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 16 дней назад
Nyie viongozi fanyeni kazi ya kuunganisha wananchi wataingia barabarani bila kuwahitaji nyie wakipata elimu vizuri.
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 24 дня назад
Hakika Hilo nani naliunga mkono wamezidi wahuyo hão wa ccm
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 18 дней назад
Wadau acheni huu msemo wa kusema Tz ina amani, hakuna mwenye amani, Tz kuna uvumilivu tu na sio amani , elewa amani inatoka moyoni, tofautisha amani na utulivu ndio mseme tz ina amani, tunahitaji katiba mpya mchana kweupe.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 17 дней назад
Akili huna,umeandika utumbo gani hapo!
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 17 дней назад
@@walidmgonja3644 utumbo wa chawa dume
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 17 дней назад
@@walidmgonja3644 utumbo wa chawa dume
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 21 день назад
Huyu bwana ana faa kuwa mwalimu wa jukwaa la siasa,,hata majibu yaake yanatunzinka akilini
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 22 дня назад
Acheni uongo nyie kila siku tumeibiwa kila siku tumeibiwa elezeni bac namba tulivyoibiwa hamna maelezo
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 21 день назад
@@user-vl4rz6lf6d yaani kama hujui tumeibiwa tembelea migodini nani wamiliki nenda Loliondo na kifaa utambuzi kitakuambia uko katika ardhi ya Emirates nenda bandarini utamkuta DPW misitu si yetu ni ya wageni nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya bure waliozinunua wameziuza kwa billions gas si yetu ingawa iko nchini yote aliyoacha Nyerere tumeuza au kugawa bank kubwa ya NBC iliyokuwa mpaka vitongojini tuliiza kwa billion moja upo Tanzania na huyajui haya tuko mbioni kuuza mwendokasi subiri nawe uuzwe ndiyo utavuta shuka kumbe kumekucha
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 21 день назад
Wewe unajua jiinsi gani wizi unavyo fanyika halafu unataka kusema watu wakwambie!!!!!
@knight6757
@knight6757 25 дней назад
🤑....
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 24 дня назад
Hata kama mngefanya jpm alikuwa hashikiki,mtu wa haki yule mabwege nyie acheni angalieni Sasa iiiiiiiiiii nchi imeenelea ngoringoro wanyama wanastarehe,na bandari inaingiza trilioni kumi Kwa wiki ,mama anafanya kazi,samia oyeeeeee
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 23 дня назад
56:31 wewe ni kihiyo
@hopefully7090
@hopefully7090 23 дня назад
Hizo hela zimekusaidia nini?
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 23 дня назад
Jinga
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 22 дня назад
​@@davidkawesa3594kwa kweli ni jinga boya inaelekea kalamba matapishi
@liberatusmsasa7103
@liberatusmsasa7103 20 дней назад
Mbumbumbu mkubwa wewe! Acha uchawa wa ki mavi! Msikurupuke kubwabwaja mambo msiyoyajua.
@user-kd3mk4to2h
@user-kd3mk4to2h 21 день назад
Duuuu viongozi wa chadema wana akili kubwa mungu wanasuru na mabaya eawafumbue wwnanchi mawazo waweze kudai haki zao jmn kuna ukweli nausikia hapa unaogopesha
@petermogha7025
@petermogha7025 25 дней назад
Usifiche family yako ccm haina hofu kama cdm njoo tz sio kenya.
@richardhosea8827
@richardhosea8827 21 день назад
Acha tupigwa gawa kwa wtz miion 67 vijisent
@zefamange7281
@zefamange7281 20 дней назад
MBONA MLISEMA HUYU MAMA ANAUTAWALA BORA?
@user-kd3mk4to2h
@user-kd3mk4to2h 21 день назад
Huyu kiongozi ana uwezo mkubwa sanasana wa kujieleza na ana uwezo wa uongozi Mungu ampe uzima,afya na waendelee kutujenga wananchi kwa imani kubwa bila kuteteteshwa na kuyumbishwa
@DamaryMkindi
@DamaryMkindi 23 дня назад
WAELEZENI WATANZANIA SGR TUMEPIGWA JE BILION 700
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 8 дней назад
Hana jipya huyo kiongozi, ana akili ya kitoto sana. Matope mtu. Hana suluhu ya tatizo bali ni mkuzaji wa tatizo na uchochezi. Kazi kuponda wenzie tuu, Suala la utekaji ni siri kubwa na hilo halina vyama maana hata CHADEMA kunamafia watekaji rejea maelezo ya Dr. Slaa aliyekuwa Katibu mkuu CDM ya ukili kuwa kulikuwa na Utekaji ndani ya CDM.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 24 дня назад
Watekaju ni CCM. U must forme young TZ..
@fidelnkurunziza
@fidelnkurunziza 22 дня назад
du nihatari kwakwel bora mngu ajetu hikikizazi kifutwe kije kingine mana inauma mutu uriye mpa madaraka anarudi kukuuwa
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 19 дней назад
TATIZO LENU NI KUWEKA WAZI MBINU ZENU NA MIKAKATI YENU YA SIRI . MSITANGAZE HADHARANI MIKAKATI YENU. BALI IWE SIRI YENU ILI WASIJUWE NA KUPATA MBINU YA KUWADHIBITI
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b 16 дней назад
Unamuigizia Salim kikeke , hapo ndio mnafeli
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 13 дней назад
Wewe unamuga Nani na akili yako?
@evelina9621
@evelina9621 22 дня назад
Tunakurisha.mm.kwetu.mi.ma.mkanana..milimami
@simongwandu7392
@simongwandu7392 25 дней назад
Lisu hatafanikiwa kabisa asipoteze
@monicamwita7865
@monicamwita7865 24 дня назад
Wewe ndiye unatafanikiwa?
@mariaanthoniangowi9376
@mariaanthoniangowi9376 24 дня назад
Wee mwandishi acha ujinga wako unaotaka Miami isha waTanganyika. Uchumi ukishanyang' anywa utasafiri na nini esse?
@simonsadala2386
@simonsadala2386 24 дня назад
Lissu ndiye kiongozi aliyetupotezea viti vya ubunge awamu yake akiwa mgombea wa Urais chadema tulianguka kwa 100% hatumtaki 2025
@monicamwita7865
@monicamwita7865 24 дня назад
Kwa wizi kura ilikuwepo? Acha mnafiki.
@waziradam2794
@waziradam2794 24 дня назад
Nadhani weye ni fala upinde au both!
@floraashery224
@floraashery224 24 дня назад
Wewe boya
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 17 дней назад
Viti vilivyopotea Ni vya mamako, ulikuwa hujui kilichotokea?
@simonsadala2386
@simonsadala2386 17 дней назад
@@erestizacharia4758 🤣🤣🤣🤣🤣 umejaaa kwenye 18 nachokijua ni kwamba 2015 Mzee Lowassa alikisaidia Chama kupata viti vingi vya wabunge na madiwani lkn 2020 Lissu akatupotezea majimbo yoteee
@gracefoya4609
@gracefoya4609 24 дня назад
Nimekuaminia Mwanachadema imara. Usije kutuangusha kama Msigwa, amejiaibisha mwenyewe. Mungu akuimarishe na kukulinda kijana wetu. Hawapendi kusikia maneno kama yako.
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 18 дней назад
Watu wanatekwa, mkuu wa dola kimya, alafu uzur kashatuambia atakuwa chura, ndio maana kila janga abakaa kimya, arusha na mapikipiki yaliotokea , yeye kimya, eti mnasema tuna amani, wenye amani ni wanaokula nchi kwa kufuru ,
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 17 дней назад
Acha umalaya na kudanga,fanya kazi uachane na kulalamika mitandaoni
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 17 дней назад
@@walidmgonja3644 kakojoe ukalale
@patricklameck2425
@patricklameck2425 9 дней назад
Unaongea bila ushahidi unaropoka tu. Wewe hata baiskeli ya miti umekwisha wapa wanachi. Watu wanafurahia SGR wewe unapenda. Ufai hata ubalozi wa nyumba 10.
@PietroPescatore-b3g
@PietroPescatore-b3g 8 дней назад
SGR inasimamiwa na nani?
@SeveriniPeterMkini
@SeveriniPeterMkini 8 дней назад
Hesabu ya umbali kutoka DSM kwenda kokote nchini, umbali huanzia CLOCK TOWER jirani na Railways-Police-Station
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 13 дней назад
huyu mtangazaji waajabu kweli..anakaa na kutoa interview lakini yuko anachat na watu. kwann lakini?
@petermogha7025
@petermogha7025 25 дней назад
Sio kweli nakufuatilia maongezi yako. Endelea Tukusie roho inauma nakutani CDM hoyeee
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 18 дней назад
Kunawatetezi wawa Rabu hivi wemwislaam unaweza kupewa hata mita moja ya ardhi huko arabuni mbona mnakuwa wajinga ooh ubaguzi wa kidini Samia akawape shamba lake si ardhi yetu
@mtewelemtewele0260
@mtewelemtewele0260 25 дней назад
Nimetokea kumpenda huyu mwamba anajuwa kujenga hoja ila bila kumsahau mtangazaj yuko vidhur
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 23 дня назад
Msigwa ambaye ni mchungaji falsafa yake ya kusema waamini wake wakitenda dhambi zinazotendwa na wafuasi wa shetani , atamkubali shetani na ataamua kuwa mfuasi wa shetani . Hakika limenishangaza . Sasa anasubiru apewe kazi ya kumtakasa shetani aliyempinga. Yetu macho na masikio tuuone huo utakaso wa kumtakasa shetani
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 22 дня назад
Djumbe ni Mwamba wa CDM Singida kzkazn tunajivunia
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 20 дней назад
Hiyo Ndio Dawa Ya Kuiondoa Ccm Atakae Usika Kumuengewa Mgombea Yoyote Wa Chadema Asibakishwe Tumechoka Kufanywa Wajinga
@user-cj2iq1qv6n
@user-cj2iq1qv6n 20 дней назад
NIKIFANIKIWA KUFUNGUA KITUO CHA REDIO HUYU MTANGAZAJI HATAKUA WA KWANZA KUPATA KAZI YANI JAMAA KM SIO MTANGANYIKA BONGE LA MTANGAZAJI MAOJIANO HAYA AYAWEZI KUFANYIKA TBC ITV AU KITUO CHOCHOTE TANGANYIKA MIDIA ZOTE. TANGANYIKA ZIMENUNULIWA NA CCM WATANGANYIKA WOTE TUNAJUA
@henryguerrinoh160
@henryguerrinoh160 14 дней назад
Mfaume mlali
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Wananchi hilo tunalijua kwamba Lissu alipita lakini mwenendo wa ccm na serikali yake 2020 ulikua mbaya sana wa kuvunja katiba na sheria za uchaguzi ikatwaa ushindi nchi nzima kwa nguvu ya dola! Na sasa bado aliyeingia kwa hisani ya kikatiba nayeye amekataa maridhiano ya kuundwa upya kwa tume huru ya uchaguzi,na kuzuia katiba mpya ya wananchi. Lengo la serikali hii kwa watanganyika ninini?!
@feruzyjuma
@feruzyjuma 23 дня назад
Ujinga Tu,,,mbona hamuiangushi serikari mbovu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 25 дней назад
Endelea na uchawa wa ccm IPO siku
@eliewardeneliewarden4069
@eliewardeneliewarden4069 22 дня назад
Nyinyi wachaga hamtapewa nchi munamipango ya kuharibu nchi endeleeni kuwa watoa taarifa.
@djumakadege659
@djumakadege659 25 дней назад
😮😮😮Hatari !!! Ukisikia mtu anawataja waarabu ujuwe hapo kuna ubaguzi wa kidini ! wazungu na nchi zao wanaitwa kwa jina la wawekezaji ! Hakuna kitu kibaya kama ubaguzi wa kidini. wakati uliopita Hakuna mtu alieruhusiwa kuongea. kaja kiongozi mwingine na kuruhusu haki ya kujieleza sasa maelezo yenyewe ndiyo kama haya tunayoyasikia. Wananchi wa Libya hivi sasa wanakumbuka Rais Gaddafi. watanzania au Watanganyika epukeni sana maneno ya kueneza chuki na ukabila! mtakuja kujuta na kumkumbuka huyu mama Rais samia suluhu Hassan.
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 25 дней назад
Afadhali wao wanaitwa waarabu wazungu wanaitwa mabeberu.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 25 дней назад
Kwani warabu ni dini? mbona kana hujitambui wewe mwarabu anaitwa mwarabu kwa uarabuni wake mzungu anaitwa mzungu kwa uzungu wake usiingie dini hapo kama ni dini hata wazungu wana dini lkn wanatajwa wao kama wao na si dini yao, hivyo acha uchochezi
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 25 дней назад
Aah hovyoo. Wewe jumakadege umefanya utafiti gani kuhusu ubaguzi wa kidini? Uarabu sio Uislamu,na uislamu sio dini ya waarabu bali uislamu unatumia lugha ya kiarabu kufundisha! Je,tumewekeza uarabuni kama waarabu wanavyowekeza kwetu kwa mikataba isiyo wazi? Tafakari
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 25 дней назад
Warabu wenyewe sikuiz huko uarabuni wanabadili dini kwa kasi wanaingia kwenye ukiristo wewe bado umebong'aa na uislam tu, kalaga bao
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 24 дня назад
Maandishi ni yako yamejaa udini hakuna jipya hapo mwl nyerere alijikinga na ulanguzi WOWOTE lkn maamuzi yanayayofanywa bila kufuata katiba ni kwa kujinufaisha hivyo waarabu wamekuwa bora kuliko wamaasai ni kwa ajili ya dini
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 24 дня назад
CHADEMA tafuteni kazi ya kufanya hii nchi hatuwezi na wala hatutakubali muiongoze tena hatutakubali.. CCM oyeee
@albinusmkono5887
@albinusmkono5887 24 дня назад
Chawa mkubwa hujitambui Kibaraka mkubwa. Ondokana na mambo yakukariri wewe said ally
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q 24 дня назад
Wwpumbavu😊
@user-ih1pk1vs4q
@user-ih1pk1vs4q 24 дня назад
Tatizo la nchi yetu uongozi itatuchukua muda mrefu sn kujikomboa mpk tupate kiongozi mwenye hofu ya Mungu toka uhuru hatujapata hivyo bado safari ya watanzania ni ndefu sn
@monicamwita7865
@monicamwita7865 24 дня назад
Shida uchawa. Wezi wa magoti mkono. Huoni aibu?
@monicamwita7865
@monicamwita7865 24 дня назад
Magoli si magoti
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 25 дней назад
Kwani waarabu ninani kwenye nchi yetu wewe juma hao waarabu wananchi zao sisi hatuwahitaji hapa kwetu Tanzania wao sana nchi wana rasilimali zao hivyo kuwa taka waarabu sio udini bali ni kwa ivamizi wao na kutuibia rasilimali zetu wakishirikiana na viongozi wetu wadio na uzarendo wala utu juu ya taifa hili hivyo kuwataja waarabu sio udini kwanza toka hapojuma nanda uarabuni
@evelina9621
@evelina9621 22 дня назад
HAfai
@evelina9621
@evelina9621 11 дней назад
Anaogopa.wazee.wa.cc.m.anzibitiwa.
@athumanmapunda
@athumanmapunda 22 дня назад
Mwongo msenge sana huna adabu mkundu wa mama yako siasa ya maji taka
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m 22 дня назад
Yeye ametukana usikute hata nyumba huna
@solomtz7049
@solomtz7049 21 день назад
Acha kutukana bwana
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 21 день назад
Akili zako ni kama za punda tu kama Jina laki
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 21 день назад
Hujiheshimu
Далее
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20
skibidi toilet zombie universe 37 ( New Virus)
03:02
Просмотров 1,8 млн
PORTAL SPAMMER🤬🤬🤬| Doge Gaming
00:19
Просмотров 1,6 млн
Китайка Шрек всех Сожрал😂😆
00:20