Тёмный
No video :(

WAPAMBE WA MSIGWA IRINGA WAHAMIA CCM, WAVALISHWA KIJANI NA NJANO, ATUPA KADI, WAIKANDIA CHADEMA 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 168 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 108   
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl Месяц назад
Duuuuuuuuuuu! Msigwa. @ Ulikuwa kwetu umetoka ili kudhihilisha kuwa hukuwa Wakwetu. Hongera msigwa. Ok
@Nunshumutwafa
@Nunshumutwafa Месяц назад
Ahsante sana Comred msingwa
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 Месяц назад
Machizi tu wala hata haitutishii Chadema safiiiiiiiiiiiiiii
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Месяц назад
Unateseka kweli 😂😂
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 19 дней назад
Hahaha unaumia kumoyo
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 21 день назад
Msigwa Mungu anakuona hufaii kuwa pastor
@polpaul8432
@polpaul8432 Месяц назад
Mbona hamna kitu hapo yaani ubunge miaka kumi unaondoka na watu kumi aibu msigwa
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Msigwa ni yule yule oh ni yule yule
@gerachtangatya2835
@gerachtangatya2835 Месяц назад
Nimependa uo wimbo kwamba ccm ni Ile ile
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu 12 дней назад
Njaaa
@deomtekele3166
@deomtekele3166 Месяц назад
Siasa nzuri sana
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 21 день назад
Mwisho wa ccm ni 2025 Mungu amesikia kilio cha watanzania 🙏
@fridamarco2122
@fridamarco2122 Месяц назад
Hongera sana Msigwa umechagua kilicho boraa😂
@prospermiraji8473
@prospermiraji8473 Месяц назад
Mbona naona waliojiunga kama aliwapanga vileee! Watu wake wa karibu na sio a mere mwanachama wa cdm. Kaaaibika vibaya
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Месяц назад
toka juzi wanatafuta watu wa kuwalisha uniform na kuwapa kadi za CCM wajifanye wamerudi ccm wkt tunajua karudi peke yake km alivyokwenda kwa Samia
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Месяц назад
Wacha waende msigwa atapata ukuu wa wilaya, waliohamia watabaki wakipiga myayo.
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv Месяц назад
Kwenye msafara wa mamba nabkenge nao wapo
@magesagambajr3546
@magesagambajr3546 5 дней назад
Umasikini unatutesa sana nchi za kiafrika Hii yote ni njaaa tu Na ogopa kufanya maamzi wakati una njaa
@ElishaOisso
@ElishaOisso Месяц назад
Umasikini ukizidi sana unazaa unafiki na kujipendekeza
@josephmyovela5815
@josephmyovela5815 Месяц назад
Nukuu ya Msigwa hiyo Bungeni😂
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 17 дней назад
Jitu la hovyoooooo
@ScolaMwamlima
@ScolaMwamlima Месяц назад
Nimeipenda hiyo
@nyakipambodispensary3289
@nyakipambodispensary3289 13 дней назад
Mmmh
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Месяц назад
Msingwa huwezi kushinda ubunge bro nikwambie ukweli but lissu yuko imara sana bro
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 23 дня назад
Huko CCM Msigwa atapata ukuu wa wilaya sasa hao wapambe wake watapata nini ubarozi wa nyumba kumi au!?
@LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
@LusekeloMwakyalabwe-ux9xq Месяц назад
Daa njaa mbaya
@magrethmajani9170
@magrethmajani9170 Месяц назад
Hakuna kitu
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s Месяц назад
Kweli uwezi kukosa vyote ccm wamekosa kuleta maendereo ya watu lakini nyimbo mnazijua na polopaganda miaka 1945 enxi za mkoloni
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Месяц назад
Maajabu ya Msigwa.Turn Coat,I can't believe this.
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Месяц назад
watakuwa wakinga tu sio wahehe
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 17 дней назад
Mbunge miaka kumi unawatu 11
@user-vo7oq3gz9c
@user-vo7oq3gz9c 21 день назад
Kile kidogo kinacho Baki tuleteen maji nzasa
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s Месяц назад
Hata yuda Iscariot alikua mazuri sana kabla ya kumwasi yesu
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Месяц назад
Matumbo yatapasuka CCM 😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
😂😂😂
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Месяц назад
Poleni sana.
@user-bf9xj3nf1o
@user-bf9xj3nf1o Месяц назад
Wanasiyasa malaya watakuwepo
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
Mitumbo, watu mitumbo.
@BatazalNdifwa-nk2hl
@BatazalNdifwa-nk2hl Месяц назад
Ushauri. Mpeni cheo na wapeni vyeo Hakika hakuna vyeo hakuna Wanaccm hapo. Ok
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 Месяц назад
Bila chadema wasingekuwa na umaarufu huo,mpaka kupokelewa hivyo,mfano wangetoka udp au chauma, pipoooooz
@user-oj5co8nx6i
@user-oj5co8nx6i Месяц назад
Sasa ni kwanini asiwalete wote hapo ñdio ingeniga?
@costaninMmasi-f4x
@costaninMmasi-f4x Месяц назад
Tu
@bulugunhandi
@bulugunhandi Месяц назад
Mbunge miaka 10 unaondoka na watu 10 aibu sana
@JosephNgonyani-lh9js
@JosephNgonyani-lh9js Месяц назад
Hapana kwa kweli sio kweli msigwa sio mwanasiasa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Tumbo kama gunia Mwenezi alikuwa Makonda tu
@lewangamunishi1480
@lewangamunishi1480 Месяц назад
Msigwa anaenda kufa kisiasa
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 Месяц назад
Yaani mtu anakwenda ccm na watu 15 katika Nyasa nzima
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j Месяц назад
Mmesha kula chen
@user-jh8de4tf4d
@user-jh8de4tf4d Месяц назад
Nauhakika wataludi chadem hao
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Msigwa untafuta cheo haya yetu macho
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h Месяц назад
Tatizo njaa naumasikini mkubwa nafikila zaifu kwawatu yaani ukiangalia hao wote matumbo yamewasumbua msigwa kaaidiwa cheo wewe eti nimemfuata niuzaifu wakifikila nanjaa tu siasa zamaji taka nchi hii
@maulidmusa8902
@maulidmusa8902 Месяц назад
Suasa ya kufuata mtuimroitwa na wajati. Bendera guata upepo hadi lini? Upumbavu tupu
@masukehaluyi7421
@masukehaluyi7421 Месяц назад
Umeandika kilugha mzee
@user-nr8gx1vs6t
@user-nr8gx1vs6t Месяц назад
😂🤣😂🤣😂
@frankyahaya8978
@frankyahaya8978 Месяц назад
Msigwa wewe ilikua unakula hela ya ccm mda mrefu sana na msukuma alifichua Siri hiyo kabla hajahama chadema.
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 Месяц назад
Hata haina utamu msigwa kuongea unafiki tu kisa karud ccm anavunga anataptapa tuu
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li Месяц назад
Huwoo ni ushamba njaa hao niwachache sana chadema aina watu WA dizaini hiyoo wewe msigwa ni muhehe nani asiye wajuwa wahehe atuwashangani hao awawezi kutetemesha chadema tukutane kwenye uchaguzi msigwa tunakuchapa asubuhi tu wewe sura ngumu
@evodiuskivili7499
@evodiuskivili7499 Месяц назад
Mchunga tumbo
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Месяц назад
Kama naww unaona siasa bongo ubabaishaj tujuane
@ClementLushino
@ClementLushino Месяц назад
Alioigia nao ndio aliotokanao, kiongozi wa Kanda unaondoka na watu kumi tena IRINGA majini Kanda ni IRINGA majini tu, si mikoa za ya mitatu.
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot Месяц назад
Umeixhiwa xela ccm kuna wered kuxhnda ww kwaiyo tulia wakat wako umeixha
@LivinusMwinuka
@LivinusMwinuka Месяц назад
Hao nimalimbukeni,ingekuwa jeshini msigwa namesake wangekula shaba.
@user-pb4rn2tj4q
@user-pb4rn2tj4q 28 дней назад
Chadema ni wahun tu siyo Chama ukomboz hawana utetez lisu haongelei Cha kufanya yy matus lema hvyo heshima hawana waangalie siasa za magalibi hoja inakuweka pazur syo matus
@MichaelJoashi
@MichaelJoashi Месяц назад
Hii nchi watanzania bado sana elimu hatuna
@johnnkelebe7360
@johnnkelebe7360 Месяц назад
Kwa upande wa Iringa Chadema wamepigwa na kitu kizito
@rizikimbeve8611
@rizikimbeve8611 Месяц назад
Aiseee siasa mchezo mchafu haufai kuigwa kuliwa kaa mbali na hiyo michezo ya ajabu
@WillbadBeda
@WillbadBeda Месяц назад
Vya bure vinauwanyie maskini wa akili
@user-nn5lv6nb6i
@user-nn5lv6nb6i Месяц назад
Yn najisikia kichf chef kumwon chademq ila chadema itabaki kua safi yn njaa ndo imewapelek huko
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 Месяц назад
Kweli ni ileile misukule hawajahi kubadilika haka kajamaa kila kakibweka unasikia chadema mbowe na miccm haijui kuwa huyu jamaa anampigia mbowe kampeni
@user-bl3go5yr8u
@user-bl3go5yr8u Месяц назад
Ama hakika iliandikwa asiyevumilia mpa mwisho hataokoka
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Месяц назад
Wote mnawo waona hawana habari ya kuzwa bandari mikataba.hawajuwi chochote. Nahawo wamenunuliwa kwa sh 5000. Hawana lolote .sasa ndiyo unaweza kuona wajinga. Walivyo .
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад
Kweli ile ile ya wezi wa kura
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw Месяц назад
Vaa kofia ilioandikwa ccm
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 Месяц назад
Naona hata hawa hajamaa hawajielewi hakikisha unawapa fungu lao usiwarushe
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 Месяц назад
Chadema angalieni mapokwama na maamuzi magumu yachukuliwe,msidhani haya mambo yana afya kwa chama,ni bora hapa media mtukane ila ndani shughuli ya kujenga chama kwa nguvu ya chuma iwe inaendlea,la sivyo ipo siku mtanyoosha maelezo.
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Месяц назад
Msigwa ni mwana siasa malayamalaya
@TATUMSUMSA
@TATUMSUMSA Месяц назад
Ulevi sio pombe tu hata upo ulievi usiousiswa na kilevi ni hatari Sana. Poleni Kwa kumpokea kilopo huyo
@MichaleMwakyambiki-pq4co
@MichaleMwakyambiki-pq4co Месяц назад
Achen utapeli.
@tunumigila8995
@tunumigila8995 Месяц назад
Wamemwaga mboga kamwaga ugali😅😅😅😅😅
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Wangeondoka wakina sosopy siglada hapo hasara vidampa tu hao😊
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Mikia nyuma nyuma
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv Месяц назад
Wengine kweye kanisa lake
@WillbadBeda
@WillbadBeda Месяц назад
Kweli njaaa haina jasiri
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 20 дней назад
Njaa haina baunsa na Msigwa siyo wa kwanza kufanya hivi.
@lewangamunishi1480
@lewangamunishi1480 Месяц назад
Mbona kadi za zaman
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Месяц назад
Umeuliza vizur sana ccm ni wajinga sana reasoning capacity zero
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s Месяц назад
Wamepangwa hao
@paull8659
@paull8659 Месяц назад
Msigwa huko ulipo sasa hakuna ufisadi wa mabilioni , uuaji, wizi wa kura? Huko kuna demokrasia? Je unaweza kwasasa kumpinga Samia? Samia aliyesema Lissu kupigwa risasi ni sawa? kuwa ccm lazima ichukue dola ni sawa. Wewe ni mchj. wa Ibilisi, mnafiki, muongo, hovyo.
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s Месяц назад
Makamanda Hawa wanapangwa
@AsiaChengula
@AsiaChengula Месяц назад
Haijatustua bado
@salama1113
@salama1113 Месяц назад
Ufisadi tuu uzalendo aah
@estambuya3901
@estambuya3901 Месяц назад
Hamna kitu hapo.
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s Месяц назад
Biashara ya kununua watu umeanza na ndo umebaki upande wa ccm
@user-oy5dz5xl8s
@user-oy5dz5xl8s Месяц назад
Hakuna ulichochukua tutajuana
@kagombaEnok
@kagombaEnok Месяц назад
Waende tuuu makapi hayo
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Hawajulikani hao
@shanjemanumba6325
@shanjemanumba6325 Месяц назад
Hapa kafeli hahahaha iringa ni chadema hakuna mpinzani
@bazilmateru915
@bazilmateru915 Месяц назад
Mapambano yamemshinda
@ntegrity277
@ntegrity277 Месяц назад
KWELI MALAYA HANA AIBU KWELI MSIGWA LEO NIWAKUITUKANA CHADEMA? KWELI USIMSAIDIE MBWA ALIYECHOKA ANAWEZA KUWA ANATAFUTA WA KUUMA MIAKA 20 NDANI YA CHADEMA LEO UNAITUKANA SAHANI ULIOLIA CHAKULA
@camilomassao8971
@camilomassao8971 Месяц назад
Ni ccm haohao wamevaa uniform mpya 🤣🤣
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 27 дней назад
TATIZO WANACHAMA. AWATAKIAMINI KUWA NDANI YA CHAMA KUNAMATATIZO MAKUBWA NA YANAITAJI YAFANYIWE UTATUZI WA ALAKA SANA WANABAKIA KUSEMA ANATAKA MMOJA WANAINGIA MIA NA KUSEMA NJAA INAWASUMBIA MARA WAMENUNULIWA NA KUTUKANA TU CHUKUENI ATUA WATU WENYE NGUVU WANATOKA WOTE
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 Месяц назад
Hawa ni mahawara zake tu
@samuelshunashu7705
@samuelshunashu7705 Месяц назад
CHadema hatuna kadi za hivyo za kwetu Chadema ni za 🎉 kidigitali wadanganyeni wajinga wenzenu hao mbogamboga
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw Месяц назад
Nilikuwasijuikamamsigwanifalakiasihiki
@DavidMutiba-hr3vo
@DavidMutiba-hr3vo Месяц назад
Shukrani ya punda ni mateke.huwezi kuamini huyu ni msigwa mpambanaji dhidi ya ccm.
@bulugunhandi
@bulugunhandi Месяц назад
Hakuna kitu
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 Месяц назад
Njaa
Далее
small vs big heart 💖 #tiktok
00:13
Просмотров 5 млн
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
Просмотров 150 тыс.
MSIGWA AZUNGUMZA WATU WASICHOKIJUA NDANI YA CHADEMA
32:54