Тёмный

MASTAA WANAWAKE 10 WENYE WATOTO CHINI YA MIAKA 25 SUPER WOMAN 

NDIZI MEDIA
Подписаться 273 тыс.
Просмотров 448 тыс.
50% 1

#TOP10 #WANAWAKE #superwoman
MASTAA WANAWAKE 10 WENYE WATOTO CHINI YA MIAKA 25 SUPER WOMAN
WANAWAKE MAARUFU 10 MASTAA WENYE LIPS NZURI TANZANIA
TOP 10 YA MASTAA WAKIKE WANAO FANANA KILA KITU MAPACHA
MASTAA WANAWAKE 10 TANZANIA WAZURI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 30 TOP 10
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAZURI ZAIDI TANZANIA
WANAWAKE WAREMBO KUMI TANZANIA WAZURI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 30
WANAWAKE 10 WAZURI MASTAA TANZANIA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 20 WENYE PESA NA UMAARUFU MKUBWA
#PAULA #ANJELLA #ZUCHU #FAHYVANNY #DIAMONDPLATNUMZ #ZARI #TANASHA #WEMASEPETU #KAJALA #HARMONIZE #RAYVANNY #ALIKIBA

Видеоклипы

Опубликовано:

 

25 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 276   
@zainabthomas6960
@zainabthomas6960 2 года назад
Hapo kwenye miaka tumepigwa
@lilianomusebe6442
@lilianomusebe6442 2 года назад
Elizabeth ndio mdogo kwa Hawa watu wote wengine wote ni uongo
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
hahahaah
@glorykimario2280
@glorykimario2280 2 года назад
Kwel kabisa
@happybakari643
@happybakari643 2 года назад
Umeona
@zainaamani6384
@zainaamani6384 2 года назад
Wow good
@kitimedia
@kitimedia 2 года назад
Super woman nawapendaaa mnoo
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
,🙌🙏🙏
@alaikamyale784
@alaikamyale784 2 года назад
Ebu msituchanganye kwahiyo lulu mkubwa kuliko amisa? Jaman acheni uniya kaaaaa
@siwemamusa6659
@siwemamusa6659 2 года назад
Mwenye umri mdogo ni Lulu wengine nikuanzia 30 nakuendelea umri wao mbona wanapunguza miaka
@jacklinebrightness4513
@jacklinebrightness4513 2 года назад
Nilikuwa nasubiri mtudanganye mpka kwa Lulu, maan tumevumilia sana
@allenalfred3963
@allenalfred3963 2 года назад
Yan iyonekane lulu na mobeto mkubwaa lulu huu uongo jmn punguzeni kutudangaany
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Yani eti lulu wa 95 mobeto wa 94, hivi hizi media zinatuonaje sisi
@nancykwamboka8096
@nancykwamboka8096 2 года назад
Faymah you deserve everything mama jipe rohoo
@lydiahboyani1021
@lydiahboyani1021 2 года назад
Fayma you deserve that age
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🙏🙌🙌
@zuenakapinga7567
@zuenakapinga7567 2 года назад
Hongera Sana Lulu
@kemkemtv5542
@kemkemtv5542 2 года назад
Wooow nimempenda sanaa mpo vizuri kwa kutujuza
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🙌🙌
@saumsalim4393
@saumsalim4393 2 года назад
Waooow fayvanny I love you
@irenemnemba5008
@irenemnemba5008 2 года назад
Hamisa miaka 25 kila mwaka miaka haisogei uwiiiiiiiii msinichefue me af mbona wolper hayupo au mwanae ni mkubwa
@shukurusaid4834
@shukurusaid4834 2 года назад
Wengine tutaijua miaka yao kwenye msalaba au historia fupi ya marehem
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Hahha 😅😅😅😅naona miaka haiongezekagi
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 Год назад
Na kama kasema kazaliwa 1994 basi anaingia miaka 28 mwaka huu hiyo 25 basi tenaaaa watanzania tusigande miaka vooo akaaa🤣🤣🤣
@asiaasia1069
@asiaasia1069 Год назад
🤣🤣🤣🤣hawakuwagi wakubwa hao wanakuwa kushuka chini na siojuu kwenye msalaba ndotutajua ukweli wengine ni wazee nandevu zao wanaludi utotoni amakweli dunia inageuka ss🤣🤣🤣
@JaclineChua-us1bg
@JaclineChua-us1bg 2 месяца назад
Namba 1 watixha ❤
@ruthkasumba7739
@ruthkasumba7739 2 года назад
Yaan 1999 haooo wooiiiiii😆😆💔
@lauramtei1120
@lauramtei1120 2 года назад
Namba moja mmetisha
@tausiomary7109
@tausiomary7109 2 года назад
Wow 🥰🥰🥰🥰🥰
@sultanmsoloni8635
@sultanmsoloni8635 2 года назад
Mmmmh umri wao wengi sio kweli
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
😂😂🙏
@azaifatally134
@azaifatally134 Год назад
Masha allah
@zuchu-fireofficialvideo10.54
@zuchu-fireofficialvideo10.54 2 года назад
Mpo vizuri ndizi
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🙏🙏
@yusuphsefu2466
@yusuphsefu2466 2 года назад
Mpo vizuri ndizi
@Ashsultana
@Ashsultana 2 года назад
Kwa umri ukaona utuwekee pili-pili kwa matako 🤣
@johnsonjohn6315
@johnsonjohn6315 2 года назад
🤣🤣
@inackboy5226
@inackboy5226 2 года назад
Woow careen nimempenda kumbe mdogo ivyo
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🔥🔥🙏
@irenemajuma3275
@irenemajuma3275 2 года назад
@@NDIZIMEDIA the
@irenemajuma3275
@irenemajuma3275 2 года назад
@@NDIZIMEDIA L,
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 2 года назад
Good
@agneskasawanga6164
@agneskasawanga6164 2 года назад
Jmniii aunt n wa miaka 25 chini hapana mbna n mbibi Sanaa tangu m nazaliwa alikua muigizaji na Leo m n miaka kadhaa tuu asitudanganye bhna huyoo kumkadilia tuu n miaka 32 au 33
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 года назад
Katto cha beka kizuri Mashaallah. 😘
@veronikapanga7455
@veronikapanga7455 2 года назад
Happy ww mzur
@scollarmwakoba6850
@scollarmwakoba6850 2 года назад
😂😂😂😂😂jamani bongo sihami watu wanajifanya watoto lakin sura zimewakomaa kama ganda la fenesi 🤣🤣🤣
@yasmeenmichael8888
@yasmeenmichael8888 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@hellenpaul9671
@hellenpaul9671 2 года назад
Love you mlioshika namba moja pia love you happy my lovely dada
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🙌🙌🙌🙏
@bahatijoseph4260
@bahatijoseph4260 2 года назад
Your work is very nice because you can upload to nature of our artist I love it bye 🇹🇿🍒🤣🙋🍒♥️♥️
@kitimedia
@kitimedia 2 года назад
Ndizi mpo juu sanaaa nawapenda
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🙌🙌🙏
@zuenaaliy1925
@zuenaaliy1925 2 года назад
Ndizi haswa🤣🤣
@officialnajma1698
@officialnajma1698 2 года назад
Wapo juu kwa uhongo
@miriammwendanga5242
@miriammwendanga5242 2 года назад
C'est bon
@254amarasiara
@254amarasiara Год назад
Elizabeth be proud for u to be called amum
@styvengoy2295
@styvengoy2295 2 года назад
Bien
@timpiyiankimaro5079
@timpiyiankimaro5079 2 года назад
Kwenye miaka tumepigwa kabisa
@emilianasamaje5015
@emilianasamaje5015 2 года назад
Goood
@veronikapanga7455
@veronikapanga7455 2 года назад
Kwaiyo mm nipo sawa na tanasha miaka
@yonahnjoseph249
@yonahnjoseph249 2 года назад
Jua kali
@joannahilham5483
@joannahilham5483 2 года назад
Sasa kabisa
@kabibimasha8944
@kabibimasha8944 2 года назад
Nivinzuri sana kujivunia kuitwa mama
@irenemnemba5008
@irenemnemba5008 2 года назад
Hivi mbona mnataka kutufanya sisi wapuuzi hiyo miaka yaani ni uongo mtupu..acheni zenuu bana et Ruby miaka 23 huyo bibi mkweli hapo ni elizabeth tyuu wengine wote unafki.
@rachelkasheto3965
@rachelkasheto3965 2 года назад
Wamesema rubby ana 25
@brendaemsuya6607
@brendaemsuya6607 Год назад
Mmmh hyo miaka ya kwel jmn eeeh jmn 22,,23, hey
@IreneChodota-th8bl
@IreneChodota-th8bl 8 месяцев назад
Nawapenda
@mtobeshamasingili9092
@mtobeshamasingili9092 2 года назад
Bigp
@stellahmsigwa6493
@stellahmsigwa6493 2 года назад
Kwa lulu sawa ila et gigy mdogo kwa lulu mmm
@zaynabally6039
@zaynabally6039 2 года назад
Mbna mastaa wte wamewekwa na watoto wao kasoro ruby
@mwajabukaseke8710
@mwajabukaseke8710 2 года назад
Amber ety 22 😅😅😅😅😅😅
@shamusanasa4058
@shamusanasa4058 2 года назад
How old is she??
@maryantony2961
@maryantony2961 2 года назад
🤣🤣😂😂
@zuu7130
@zuu7130 2 года назад
Apo wagodo ni lulu na tunda na faima wengine ni uongo
@queenbeulatv6645
@queenbeulatv6645 2 года назад
Nmeona fayvanny nika subscribe😂
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 года назад
👌 👏 😍
@OdetteChristine
@OdetteChristine 3 месяца назад
❤🎉
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 2 года назад
Hapo kwenye miaka so kweli
@meshack3266
@meshack3266 2 года назад
wanawake sula zao ndo zilivyo ila wadogo sana
@neemaemmanuel2390
@neemaemmanuel2390 2 года назад
Waongo kwel
@neemaemmanuel9564
@neemaemmanuel9564 2 года назад
Umendez
@lydiahboyani1021
@lydiahboyani1021 2 года назад
Bado tunda ako sawa
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
🙏🙏🔥🙌
@evodiusimwesi6632
@evodiusimwesi6632 Год назад
Imani
@evodiusimwesi6632
@evodiusimwesi6632 Год назад
Imani
@fortunataedward9913
@fortunataedward9913 2 года назад
tunda my fovarite
@wemakibanga
@wemakibanga Год назад
Zayder🤗
@user-dr7sy8rp4v
@user-dr7sy8rp4v 10 месяцев назад
Namba moja ametixha❤
@dama4995
@dama4995 2 года назад
Acheni kudanganya miaka yenu ....age is juxt a number be proud of yourself acheni ujinga 😏😏😏😏😏😏😏
@neemakalenga2141
@neemakalenga2141 2 года назад
Hi
@saumsalim4393
@saumsalim4393 2 года назад
Namkubali saana fayvaany
@TabithaHamis
@TabithaHamis 2 месяца назад
Acheni uongo wa miaka
@neemakasuga6391
@neemakasuga6391 2 года назад
Amaizing xanaaaaaa😅😅😅😅
@danielpaul84
@danielpaul84 2 года назад
Miaka ya hamisa ni uongo na zaidi ya 25
@agnesagnes5082
@agnesagnes5082 2 года назад
Wote niwaongo isipokua lulu tu hapa bt hao wengine vinyanya hahaa
@jescageorgeduuuebhapana9382
@jescageorgeduuuebhapana9382 2 года назад
Lulu na tunda wadogo
@saumumuya5908
@saumumuya5908 2 года назад
Uongo kabisa maana hata lulu ni wa 93
@user-yw3fp8gr5n
@user-yw3fp8gr5n 4 месяца назад
Na kweli khaa jamani wamekomaa hatari
@zaharahassan8665
@zaharahassan8665 2 года назад
Weng wamdangany uml
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
😂🙌
@alaikamyale784
@alaikamyale784 2 года назад
Kwenye umri waongo kwa kweli
@monyshaali181
@monyshaali181 2 года назад
Sura zimekomaa 🤣🤣
@agnesagnes5082
@agnesagnes5082 2 года назад
Hahaa eti miaka ishirini na waongo sanaa
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
😂😂😂😂alafu eti wanachezea 20 /20
@shukurusaid4834
@shukurusaid4834 2 года назад
wanaionea miakaa jamani
@magrethzuberi2375
@magrethzuberi2375 2 года назад
Waongo iyo miaka ngoja tusubiri misalaba tu ndo haidanganyagi Ila Lulu ni wa 94
@wendeisaack6385
@wendeisaack6385 2 года назад
Lulu wa 95 wewe km hujui
@agnesagnes5082
@agnesagnes5082 2 года назад
Ata lulu niwa 97 hapo kwa lulu naamini bt hawa wengine vinyanya hahaa
@omanphone3455
@omanphone3455 2 года назад
😀😀😀😀😀😀😀bongo nahamaje jamani mimi
@officialnajma1698
@officialnajma1698 2 года назад
😂😂😂😂😂😂🙌bongo sihami
@modestajamada3496
@modestajamada3496 2 года назад
😂😂😂😂😅😅😅🤪
@salmamohd8202
@salmamohd8202 2 года назад
Ambalulu kazaliwa 99 ama bongo sihami mtumeeeee huu leo ni uongo
@veronikapanga7455
@veronikapanga7455 2 года назад
Hahaha wanadanganya miaka
@modestajamada3496
@modestajamada3496 2 года назад
😂😂😂😂😂😂
@bebytimukitos7874
@bebytimukitos7874 2 года назад
in raha kuitwa mama
@JackstarNchimbi
@JackstarNchimbi 10 месяцев назад
Dah tumepigwa na kitu kizito
@belibeauty9580
@belibeauty9580 2 года назад
Jamani umesaaukareen kwa warembo went lipc kali
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 года назад
ruby girl
@damarisosebe4161
@damarisosebe4161 2 года назад
Damaris
@radhianuhu1974
@radhianuhu1974 2 года назад
Ila kwa mobeto mmmm hyo yuko 37
@tausilazaro2477
@tausilazaro2477 2 года назад
Wadogo wanahela lakini wamekomaaa sura hatariii
@abasiramashoo5026
@abasiramashoo5026 2 года назад
🥰 😍 🥰 👏 😍 🥰
@feroozmrisho5187
@feroozmrisho5187 2 года назад
Niwaweli tu wengine ote nimadungaa embe wamiaka 40 had 35 wasitudanganye ..jaman😁😁😁🔢
@josephinjulius6008
@josephinjulius6008 2 года назад
Mbona mama pasko hayupo
@barkamobile9410
@barkamobile9410 2 года назад
Fayma ongera
@tausilazaro2477
@tausilazaro2477 2 года назад
Yaani wamekomaaa sura pamoja na kujipamba kote lakini sura zimekomaaa kweli heeee
@veronikapanga7455
@veronikapanga7455 2 года назад
Kwa happy tumedanganywa
@mariumbonifasi7281
@mariumbonifasi7281 2 года назад
Mbona mimi hunitaji
@neemashabuke5106
@neemashabuke5106 2 года назад
🤣🤣🤣kwahiyo mm namzidi caren
@modestajamada3496
@modestajamada3496 2 года назад
😂😂😂😂😂😂
@fatmaf1466
@fatmaf1466 2 года назад
Mmi mwenye nashang kushinda tanasha naruby
@greacembwnwilibati8197
@greacembwnwilibati8197 10 месяцев назад
Kajala sijamona
@lightnessonesmo7827
@lightnessonesmo7827 2 года назад
Mdog kuliko wote no Elizabeth maiko tuuu wengine ni uongo uwiiii ee kiruuu
@minatsaidi4720
@minatsaidi4720 2 года назад
Mhh lulu 26 hpn
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
Jamani kweli tena
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 2 года назад
Uongo gan huu😂😂caren simba mwanae wakike
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 2 года назад
😳
@user-qq8lv3sy7z
@user-qq8lv3sy7z 5 месяцев назад
Ila bongo bana du!
@hamidahhamidah2113
@hamidahhamidah2113 2 года назад
Gigi 23ans yanyokooo
@algomasudi2939
@algomasudi2939 2 года назад
Myaka za uongo zile
@hakikapharmacyltd1353
@hakikapharmacyltd1353 2 года назад
Ninzul tuu
@rehemamzei873
@rehemamzei873 2 года назад
Azm
@mirriamnafula6826
@mirriamnafula6826 5 месяцев назад
😂 hi
@DanielYae-kw6dr
@DanielYae-kw6dr 6 месяцев назад
Weeee
@aaysays325
@aaysays325 Год назад
Sjamuon waper wang kun watu hum hawawez mzid waper kwanin hjamuweka
@husnayahya5070
@husnayahya5070 2 года назад
Sasa lulu umemuweka wann wakat yy kavuka 25
@dijadiose7400
@dijadiose7400 2 года назад
😂😂😂😂😂😂 nimecheka mm waongo hawaaa akiiii,amburlulu miaka 22 doh
@birusidesmond3245
@birusidesmond3245 2 года назад
😅😅😅
@roseedward8803
@roseedward8803 2 года назад
Umenisahu mimi Namiaka 21 namtoto wa kiume nimezaa na msanii maalufu
@msafirimkude2688
@msafirimkude2688 Год назад
Mmenixaau Mimnaewatt Wawli
@shadracksimiyu4643
@shadracksimiyu4643 2 года назад
Mejja am luiza akenyan girl although am 17yrs old l need ya help although am an artist by am still down
@salmamohamedmbonde2137
@salmamohamedmbonde2137 2 года назад
Muvi
Далее
Спецэффекты в Симс 4
00:36
Просмотров 279 тыс.
MENDA - Maybe (Original Mix)
6:49
Просмотров 184 тыс.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
Воьвзина де
4:07
Просмотров 175 тыс.
Malohat
3:35
Просмотров 424 тыс.