Тёмный

WASANII 10 MATAJIRI ZAIDI TANZANIA 2023/2024 LIST RASMI IMETOKA 

NDIZI MEDIA
Подписаться 271 тыс.
Просмотров 412 тыс.
50% 1

#wasaniimatajiri #TOP10 #matajiri
WASANII 10 MATAJIRI ZAIDI TANZANIA 2023/2024 LIST RASMI IMETOKA
TOP 10 MASTAA WALIO ACHANA VIBAYA NA KUTOLEANA SIRI ZA NDANI ZARI/LUKAMBA/RAYVANNY/HARMONIZE/KAJALA
#lukamba #cecy
TOP 10 COUPLE BORA ZA MASTAA NA WAPENZI WAO NA UMRI WALIO PISHANA 2022 - 2023 EAST AFRICA
TOP 10 WASANII MATAJIRI BONGO 2021 2022 WANAO INGIZA PESA NYINGI LIST RAMSI IMETOKA
MASTAA WANAWAKE 10 WENYE WATOTO CHINI YA MIAKA 25 SUPER WOMAN
WANAWAKE 10 MASTAA WENYE SIMU ZA BEI KUBWA AFRICA MASHARIKI UTASHANGAA
TOP 10 YA MASTAA WAKIKE WANAO FANANA KILA KITU MAPACHA
WANAWAKE MAARUFU 10 MASTAA WENYE LIPS NZURI TANZANIA
TOP 10 ya Watoto wa mastaa wanaotikisa Instagram Bongo
TOP 10 MASTAA WAIOFANYA SURGERY KUBWA EAST AFRICA
TOP 10 MASTAA WA KIKE WAZURI ZAID TANZANIA/WASICHANA 10 WENYE MVUTO ZAID WA SURA NA SHEPU TANZANIA
MASTAA WANAWAKE 10 TANZANIA WAZURI NA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 30 TOP 10
WANAWAKE 10 MASTAA WENYE MAKALIO MAKUBWA TANZANIA
MASTAA 10 WA KIUME WENYE SURA NZURI ZAID TANZANIA/TOP TEN WASANII WA KIUME WENYE MVUTO ZAIDI
TOP 10: LISTI ya WASANII Wanaojua KUTUPIA NGUO za GHARAMA na KUPENDEZA BONGO...
TOP 10 Wasanii Ma Handsome ZAIDI Tanzania (Handsome Boy) Part 1
TOP 10: MASTAA 10 WALIOINGIZA PESA NYINGI DUNIANI KUPITIA INSTAGRAM 2019
TOP 10 WAREMBO MASTAA WASIOZEEKA EAST AFRICA
TOP 5 (FIVE) YA WATOTO WA MASTAA WANAOPENDEZA ZAIDI TANZANIA
MASTAA 21 WA KIKE WAZURI ZAID TANZANIA/LIST YA MASTAA WANAOONGOZA KWA UZURI NA MVUTO ZAID TANZANIA
TOP 10 YA MASTAA 10 WAIGIZAJI WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 40 WENYE MVUTO NA UZURI
UTACHEKA! WAREMBO BONGO WANAVYOONEKANA BILA MAKE UP 😂
WASANII KUMI BORA BONGO MWAKA 2020 ..TOP 10
Top 10 Mastaa wenye Ushawishi zaidi Tanzania
LIST YA WAREMBO 10 BORA TANZANIA| ZUCHU ASHIKA NAMBA.. AMBERRUTTY GUMZO|BEAUTIFUL LADIES IN TANZANIA
MASTAA WANAWAKE 13 WAZURI EAST AFRICA 2020 - 2021
LIST YA WASANII 10 MATAJIRI AFRIKA MASHARIKI
MASTAA 10 WA KIUME WENYE SURA NZURI ZAID TANZANIA/TOP TEN WASANII WA KIUME WENYE MVUTO ZAID
WASANII KUMI WENYE MADEMU WAZURI ZAIDI TANZANIA ❤
WATOTO 10 MAARUFU TANZANIA, MTOTO WA KIBA AWEKWA KATI NA WATOTO WA DIAMOND PLATNUMZ,
WASANII 10 WAKIUME TOP 10 WANAO ONGOZA KWA KUVAA VIZURI EAST AFRICA
WASANII,MASTAA 20 WANAOMILIKI NDEGE ZA KIFAHARI ZAID DUNIANI HAWA APA/LIST YA MASTAA WENYE NDEGE
List ya Warembo kumi bora Tanzania ❤️( Top 10 most beautiful Tanzanian celebs
WASANII 10 WA KIKE WAZURI ZAID TANZANIA HAWA APA/ MASTAR WAREMBO ZAID KWA SHEPU NA SURA ZA KUVUTIA
LIST YA WASANII MAFREEMASON WAKUBWA TANZANIA/WASANII KUMI WACHAWI KULIKO/LIST YA WASANII ILLUMINATE
TOP 10 MPYA YA MASTAA TAJIRI ZAIDI DUNIANI HII HAPA.
TOP 10 MASTAA WANAOONGOZA KWA FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM MWAKA 2021 TANZANIA
UTASHANGAA WASANII 15 WANAO ONGOZA KWA KUVAA VIZURI NA KUPENDEZA TANZANIA
MASTAA 10 WENYE MKWANJA MREFU BONGO!
WATOTO WA MASTAA WATAOSUMBUA VIDUME
Top 10 ya mastaa waliowahi kukiri kuwa Messi ni bora kuliko Ronaldo
LIST YA WATOTO WA MASTAA KUMI WANAOJUA KUVAA NA KUPENDEZA
TOP 10 List ya wasanii Matajiri ZAIDI Kuliko Wote Duniani Mwaka 2021 | 2022
TOP 15 Majina Halisi Na Miaka Kamili ya Mastaa Kutoka Tanzania
WASANII 15 WANAOJUA KUONGEA ENGLISH TANZANIA HAWA APA/MASTAR 15 WANAOJUA KUONGEA KIINGEREZA ZAID
MASTAA 10 WAREMBO ZAIDI AFRIKA MASHARIKI-2020/ TOP 10 MOST BEAUTIFUL CELEBRITIES IN EAST AFRICA.
HAWA ndo WASANII 5 wenye MAGARI YA KIFAHARI Tanzania
JEURI YA PESA! Jionee Mastaa 10 Wanaomiliki Ndege Binafsi

Видеоклипы

Опубликовано:

 

9 ноя 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 638   
@listonereuben4450
@listonereuben4450 7 месяцев назад
May be tunatofautiana kuelewa ila mm nlivyomuelewa huyu jamaa ametoa takwimu ya hawa iliohusisha pesa walizo nazo pamoja na vitu wanavyomiliki kama nyumba,magari na vngne ndo maana tunaona pesa nyng sana ila tukizungumzia pesa kama pesa bado sana kufika uko😂😂😂😂😂 kwa kifup hzo n pesa walizotengeneza toka waanze mzk ila sio pesa walizo nazo😂😂😂😂😂
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
Kabisa Asante kwa kunisiadia kunyoosha maelezo 🙏 waja wameniandama sana
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
Utajiri wa wasanii hawa unatokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mauzo ya muziki, mikataba ya udhamini, na uwekezaji katika biashara Bila kusahau mali zisizo hamishika.🙏
@user-fz8hn9uy2t
@user-fz8hn9uy2t 7 месяцев назад
​@@NDIZIMEDIAàkgk
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 7 месяцев назад
@@NDIZIMEDIA Mauzo ya muziki ni kweli lakini si hela nyingi hivyo na anaeongoza katika biashara ya uuzaji wa miziki anajulikana. Kuhusu uwekezaji ni uongo hakuna mwekezaji wa magari wala vitu visivyohamishika na magari waliyo nayo mengi yao ni used na ni mmoja tu ndio mwenye gari ya gharama kama Roll Royce wengineo hayo ma V8 mengi yao ni used. Ule uwekezaji sijui mashamba ya miwa na vinginevyo ni kiki tu na uongo. Hebu tutajie. Fulani ana kiwanda Fulani , Fulani ana kiwanda Fulani. Kuhusu udhamini huo wala haulipi kiviile sasa nani anadhamini nini si tunajua wachache tu ndio wenye kudhamini biashara nyingi na hasa ni mmoja tu
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 7 месяцев назад
Hata hivyo wanavyomiliki siyo vya kufika dola nyingi kama hizo. Wana magari ndio lakini wengi wao wana used cars na hayo ma V8 .Kuhusu nyumba nani mwenye nyumba hata ya kuzidi dola milioni 5 tu tutajieni majina na nyumba zilipo.Labda huyo mwenye Rolls Royce. na media na anaongoza katika kuuza miziki katika platforms. Kuna mwenye gari inayozidi hata dola milioni moja? Au Yale mashamba ya miwa na watu kujifanya ma Bakhresa ndio nayo mnapigia hesabu? Kilimo cha nyanya cha Kiba na kuuza humu humu nchini.ndio kumpatie mamilioni ya dola?? Wenzenu wa Nigeria wanapotangaza utajiri wa wasanii wao huonyesha na picha au video za viwanda na biashara zao na tunawasikia wanavyojaza ma arena Ulaya na Marekani. Sasa hizo listi hua kila mwaka zinatoka nao wanakadiria hivyo hivyo na hawafiki mamilioni ya dola kama haya
@RashidaAbdallah-gb6pk
@RashidaAbdallah-gb6pk 5 месяцев назад
Diamonds Mungu Amzidishie.Natunamuombea Nikiwepo Mm Pia
@Malashidjuma
@Malashidjuma 4 месяца назад
Acha uongo bro Marioo awezi shinda jux hela
@yusrasalim4356
@yusrasalim4356 Месяц назад
Acha ubishi kaka
@Alexandertvonline11
@Alexandertvonline11 28 дней назад
nikweli marioo awezi kumzidi jux uongoo tu
@lizzgift
@lizzgift 8 дней назад
Yeah hawezi😂😂😂
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 6 месяцев назад
Jana nimeona Forbes 2023. Tanzania kuna msanii mmoja tu mwenye dola mil 10 yuko wa 8 Afirika. Wa kwanza Yusu Ndusi dola mil.145 wa pili Akon dola mili 80 wiz kid 30 Burns boy 17 Wiz kid mil 30 Davido mil 28 diamond wa 8 dola mil 10na ni yeye tu Afrika Mashariki. Sasa Burma Boy na kujaza kote kule MaArena ana mil 17. Akon MTU maarufu duniani hadi anataka kujenga mji wake ana dola mil 80 hizo zako si porojo. tu
@guyndikumana4065
@guyndikumana4065 6 месяцев назад
Unaweza ukajenga mji kwa pesa zako ndogo tu, ukijaliwa ku present Business Plan yako kwa investors ambao wapo tayari kushikamana na wewe bega kwa bega. Investors kama Banks, companies, governments ao watu binafsi. Naamini wapo wengi watanielewa nazungumzia nini # Akon ($80m)
@didiercimanuka3548
@didiercimanuka3548 5 месяцев назад
Félicitations vraiment Grands millionnaire Diamond simba bonne chance pour la réussite
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 7 месяцев назад
Wooow ongera saaana kwao ❤❤❤❤❤
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
❤️❤️Utajiri wa wasanii hawa unatokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mauzo ya muziki, mikataba ya udhamini, na uwekezaji katika biashara Bila kusahau mali zisizo hamishika.🙏
@JumaaKhan-ur5xh
@JumaaKhan-ur5xh Месяц назад
Duud unyamaaa umetishaaa
@pc_boy426
@pc_boy426 7 месяцев назад
Kabisa🔥🔥🔥🙏
@user-kc2xx2eo6r
@user-kc2xx2eo6r 4 месяца назад
Duh marioo 😊😊
@ByamunguErnest-jc7kd
@ByamunguErnest-jc7kd 7 месяцев назад
Kwakweli nyiye niwaongo sana tafazali fanyenyi kwanza uchunguzi kambla amujatowa taarifa, zote ambazo munasema ni uwongo mutupu. Nyie munatania na pesa nyinyi
@user-fd5ol8kl3o
@user-fd5ol8kl3o 7 месяцев назад
Nomaaaà sana
@weremadanielmusiomi8712
@weremadanielmusiomi8712 9 дней назад
Diamondd ana ela sana. Mungu ambariki❤
@RuderSivya
@RuderSivya 7 месяцев назад
Pole sana nasisi toko na vipj ila ukuna msimamizi
@vanitejeshi5520
@vanitejeshi5520 7 месяцев назад
Uwongoooooo
@bensonsimon8563
@bensonsimon8563 4 месяца назад
@lizzgift
@lizzgift 8 дней назад
😂😂😂😂
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 7 месяцев назад
Congrats to them
@user-ls1ru3zy6o
@user-ls1ru3zy6o 5 месяцев назад
Diamond
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 7 месяцев назад
Eti zuchu million kumi walaih Hume lewa ama huna fanya kusudi😂😂😂
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
Utajiri wa wasanii hawa unatokana na vyanzo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mauzo ya muziki, mikataba ya udhamini, na uwekezaji katika biashara Bila kusahau mali zisizo hamishika.🙏
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 месяцев назад
Hii safi saana , Forbes list zao za mchongo, wao wawe na list na sisi zetu
@JustinNyamugali-zm1jc
@JustinNyamugali-zm1jc День назад
Eza kaka boye 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@huntboy497
@huntboy497 6 месяцев назад
cool
@RamadhaniNgupepe-sd9ny
@RamadhaniNgupepe-sd9ny Месяц назад
Mmmmmmmmmhhh uwo ni uongo uyo Ruger ana ela izo Dora 100 ❤
@AboubakaryKimwinyi
@AboubakaryKimwinyi Месяц назад
Zuchu han pesa yyt awez kumzid lady jaydee hpo umenipiga na kwa wanaume king n bilioea sema yule mshikaji ajionesh
@user-mv7km8lt5j
@user-mv7km8lt5j 3 месяца назад
Alikiba na nandy
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 7 месяцев назад
marioo hampati jux ata kwa dawa mtuache basi😢😢😢😢 tunaishi nao hao watu hatuwaoni kwenye tv tuu
@papiampangaje
@papiampangaje 7 месяцев назад
Bora useme ww
@papiampangaje
@papiampangaje 7 месяцев назад
Jux huenda akawa wakwanza au wa pili
@MwakabanaCompanyltd
@MwakabanaCompanyltd 29 дней назад
Mimi hii listi sijaielewa kabisa yaan jux ata tano bola Ayumo ivi nikwel?😮
@benjaminhardwork9355
@benjaminhardwork9355 7 месяцев назад
@KhamisAbdallah-lm9tn
@KhamisAbdallah-lm9tn 7 месяцев назад
Juma Kilaza jee si tajiri!!
@user-ct5yt9zp1u
@user-ct5yt9zp1u 7 месяцев назад
Amna u kweli jaman mtatuuwa 😢
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
Ninaheshimu maoni yako, na ninaelewa kwamba unaweza kutokubaliana na orodha niliyotoa.
@ramlaleila374
@ramlaleila374 7 месяцев назад
😂😂
@elsabio11
@elsabio11 5 месяцев назад
Jamaa muongo kingese
@Johnnduwimana-mf7ud
@Johnnduwimana-mf7ud Месяц назад
Uko bien
@RashHassan
@RashHassan 7 месяцев назад
Hii NI listi ya wasanii Maarufu Tu Lakin sio LIST ya wasanii Matajiri.
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 7 месяцев назад
kweli kabisa
@JacksonMahenge34
@JacksonMahenge34 7 месяцев назад
We ndo umenena
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 7 месяцев назад
Niko upande wako kaka
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 7 месяцев назад
Tukiachana na hiyo list ya wasanii maarufu, tunaomba utupatie list ya wasanii matajiri sasa.
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si 6 месяцев назад
Toa takwimu tukuone,usipinge ovyo
@user-kj8oo2wm4i
@user-kj8oo2wm4i 6 месяцев назад
1 diamond tu yeyedie mwalimu
@mwezzireen17
@mwezzireen17 7 месяцев назад
Rayvanny fayvanny ❤❤❤❤
@user-ct1nr4rl9q
@user-ct1nr4rl9q 4 месяца назад
God bless all🎉
@user-mg4ci5cz7q
@user-mg4ci5cz7q 5 месяцев назад
Mimi kutoka Congo Dr,yaani ktk waongo wewe namba moja, hiyo takwimu Yako hifute kbs wala usizidi kudanganya watu.
@ericmugishaa8507
@ericmugishaa8507 7 месяцев назад
Urofaaa nyinyi ndomunatumana wasani wenu hawafanikiwii
@user-ot7qy4qw2v
@user-ot7qy4qw2v 5 месяцев назад
Aujui
@hasneabdulla
@hasneabdulla 7 месяцев назад
Na watowe sadaka kwa masikinina. walemavu. vikongwe visivyojiweza pia wajenge misikiti na madrasa kwa wale waislamu ikiwa pesa zao ziko Safi na waende kuhiji waache maanasa hayo ni mambo yakupita tu watayawacha hapahapa Duniani Akhera wanakwenda wao na Sanda na amali zao tu ikuwa njema ama mbaya anaejuwa ni mmoja tu Allah
@dannysmithdt
@dannysmithdt 6 месяцев назад
😂😂😂ila na ww dada pesa za wenzako unazipangiy Ivo
@tiagopatriciojulio
@tiagopatriciojulio 4 месяца назад
Jux na marioo tajir jux bro
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 7 месяцев назад
Waambieni waoe na waolewe.lasivo.Mungu anawasubiri langon.pindi.tu watakapokufa.miili.yao.mwanadamu ni loho wasijisahau wamche Mungu mwanadamu dunia.inapita na binadamu nae.atapita.pesa bila kumheshimu.Mungu.ni.makaratasi
@kisayansi-news
@kisayansi-news Месяц назад
King 👑 kiba 1
@RoseEsipeya-vk4kx
@RoseEsipeya-vk4kx 6 месяцев назад
❤❤❤
@EmanuelKasonso
@EmanuelKasonso 2 месяца назад
Ukwel utabaki kuaukweli2 walio Chin naowaongeze juudi kufikia malengo Kam wenzao❤
@godlovemanase3423
@godlovemanase3423 7 месяцев назад
List of famous musicians. 😅. But ther people own money oo 😅
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 5 месяцев назад
Huyo ulimueka no 1 afai
@AnnaMandia-fw1lt
@AnnaMandia-fw1lt 7 месяцев назад
Acha uongo hamzid alikiba uo ni uongo tafiti vizur
@Tzboymontana6884
@Tzboymontana6884 25 дней назад
Uwongo br so kwel😮😮😮
@Tzboymontana6884
@Tzboymontana6884 25 дней назад
Zuchu azidi pesa jux😮😮
@paulrobertmapunda5483
@paulrobertmapunda5483 7 месяцев назад
Ninyi niwezi na waongo kabisa
@fpackorpack
@fpackorpack 7 месяцев назад
Nambamoja ni konde geng
@user-bm5gf9kc6x
@user-bm5gf9kc6x 4 месяца назад
wasanii ni wans muzik2 achaulofa
@user-kc2xx2eo6r
@user-kc2xx2eo6r 4 месяца назад
Uwongoo
@BrightonMwonge-nt1um
@BrightonMwonge-nt1um 5 месяцев назад
Mmh so kweli
@TajiriHalisi-ez1tf
@TajiriHalisi-ez1tf 7 месяцев назад
Simßaa👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁
@jrinosse3887
@jrinosse3887 5 месяцев назад
Liwaaa
@ChekSanga-po2mv
@ChekSanga-po2mv 7 месяцев назад
Jamanii kwer ivi vitu au swaga
@user-mf9tu4yu3p
@user-mf9tu4yu3p 3 месяца назад
Swaga tu dollar ml 10 sio masiala😂😂
@bahatirweganwa4273
@bahatirweganwa4273 4 месяца назад
So kweli
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 7 месяцев назад
New chuiii namba njoja
@abdulrahmanelias2098
@abdulrahmanelias2098 7 месяцев назад
Mwanang uyu jamaa anatuchukuliaje aisee hv kweli tanzania nani mwenye dollar milioni 100 kumamake uongo uwo amna kitu apo
@ApollinaireBalolage
@ApollinaireBalolage 2 месяца назад
Taarifa za uongo. Uko kichaa sana
@lizzgift
@lizzgift 8 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂
@user-or8xh1ye2h
@user-or8xh1ye2h 7 месяцев назад
mh🎉 🎉
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 8 месяцев назад
Si kweli. Hawana mamilioni hivyo. Mwaka Jana kadhaa. Walitoa listing za East Afrika hakuna alievuka dola milioni 15 hats Diamond alikua na dola milioni kumi. Hizo listi zinatoka nyingi nyingi tu East. Afrika hakuna anaevuka dola milioni 15 hata Diamond. Huo uwekezaji unaohadithiwa wala haupo
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 8 месяцев назад
Toaa zaa kwako basii
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 7 месяцев назад
@@ngoyaboy1590 google uone meenyewe. Jana nimegoogle Forbes katika afrika Mashariki yote mwaka 2023 msanii was kwanza kwa utajiri ana dola milioni 9.2. Na hizi mbona zinatoka nyingi tu hata mwaka Jana Diamond alikua anaongoza Afrika mashariki akiwa na dola milioni 10.Kama unajua tafuta ukweli google. Huo uwekezaji wa wasanii unaozungumziwa ni uongo mtupu huyo ametunga tu uongo . Eti dola milioni 100 wengine 50 wengine 20 hizo ni bilioni ngapi kwa hela zetu ??
@voyagebulongo4185
@voyagebulongo4185 7 месяцев назад
Ndio kabisa umeongea ukweli kabisa.
@dannywillson5874
@dannywillson5874 7 месяцев назад
Diamond ndio umtoe hapo wengine sio kwel
@BijouxMunezero
@BijouxMunezero 7 месяцев назад
Forbes inasema diamond ana 7millions
@WurialManengtap
@WurialManengtap 7 месяцев назад
It's Truth to this because there is no way Marioo can defeat
@japharymwasenga1481
@japharymwasenga1481 7 месяцев назад
We ni kichaaa Kuma la kibuyu wewe zuchu anaweza kumshinda ela jux ata mboss na marioo
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
Ninaheshimu maoni yako, na ninaelewa kwamba unaweza kutokubaliana na orodha niliyotoa.
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 7 месяцев назад
Hela za wasafi
@DuncanLubale
@DuncanLubale 2 месяца назад
Diamond may God add u something
@AnselmeKalema
@AnselmeKalema 2 месяца назад
Ata mimi sikubali Marion awe napesa nyingi kumzidi jeux huongo kbs
@merinakassembe118
@merinakassembe118 7 месяцев назад
Sasa shangazi ana utajiri gani zaidi ya.kudanga
@ankovictor1564
@ankovictor1564 7 месяцев назад
Wema yupo namba ngap
@user-ii5mb2yb5y
@user-ii5mb2yb5y 3 месяца назад
n kweli pia me nimeelewa nitazipata pia😮😮😮😮😮
@IlhamHaidary
@IlhamHaidary 6 месяцев назад
I love you daa zuhura
@user-ce8cp7bo4l
@user-ce8cp7bo4l 4 месяца назад
Harmonize awe moja bana
@user-re4ve4nf3p
@user-re4ve4nf3p Месяц назад
Huu n wazimu harmonize hamshindi mond hapa hatuongei kishabiki
@arnolddavid2802
@arnolddavid2802 7 месяцев назад
Huyu jamaa muongo kweli aisee
@atumbomorisi8526
@atumbomorisi8526 6 месяцев назад
Mimi namkubali zahidi (Nandi) na mpenda tu sana
@dominicomari7040
@dominicomari7040 7 месяцев назад
Simba hongera sana qwa dollar American million mia moja baba ndio maana nakupenda ❤❤❤❤❤
@JulesMweze
@JulesMweze 3 месяца назад
Ujamaa anaongeya uongo sn marioo auwezi muzidi jux pesa
@nicholausmwinuka7640
@nicholausmwinuka7640 7 месяцев назад
Sema.nyie mnawenge sana hakuna kitu hapo
@josephtuyishime1084
@josephtuyishime1084 7 месяцев назад
Sio kweli hawana hiso pesa
@Ange-B.J
@Ange-B.J 3 месяца назад
Ongooooo😢😢🙈🙈
@mananzizaabdul2689
@mananzizaabdul2689 7 месяцев назад
Huyu jama akili hana hata aibu..mchenzi mkubwa ..hakuna hata mwenye 20m kwenye hao wasani..umevuta bangi
@SmonTangas
@SmonTangas 5 месяцев назад
Nasemawasitudanganye mwenyepesa hamokonde boy mwana namkubarisana
@SmonTangas
@SmonTangas 5 месяцев назад
Hamo ndietajirimwana hanambamba
@SmonTangas
@SmonTangas 4 месяца назад
Tajirii bamboo kama bamboo 111
@user-vf2ct7sw8y
@user-vf2ct7sw8y 5 месяцев назад
Achauongo😂
@Grety_etungano
@Grety_etungano 6 месяцев назад
Acha Uongo bro
@AdamKalazai
@AdamKalazai Месяц назад
Hiyo ombea Yako mwenyewe mtu mwenyehela diamond Simba
@anipendayeye7438
@anipendayeye7438 7 месяцев назад
Wale wote hawanakitu kwa sababu katiyao wete hakuna aliye nipa kuzake
@GloirePilo
@GloirePilo 7 месяцев назад
Merci beaucoup
@dannywillson5874
@dannywillson5874 7 месяцев назад
Sema wew jamaa umevuta bangeeee😅😅😅😅😅
@ApollinaireBalolage
@ApollinaireBalolage 2 месяца назад
Taarifa za uongo
@ChekaBoy-mt8sd
@ChekaBoy-mt8sd Месяц назад
Niukweli but tunaomba mungu atuinuwe Sisi wasaani wa kenya😊
@zacharypromise6117
@zacharypromise6117 7 месяцев назад
Uongo eti million 100 hata na wakina wizkd hawana hela kama izo 🤣🤣🤣🤣🤣
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 месяцев назад
Kulingana na makadirio ya hivi punde ya jarida la Forbes, utajiri wa Wizkid mnamo 2023 unakadiriwa kuwa dola milioni 300. Hii inamfanya kuwa mwanamuziki tajiri zaidi nchini Nigeria na mmoja wa watu matajiri zaidi barani Afrika. Wizkid amepata utajiri wake kupitia kazi yake ya muziki, biashara, na uwekezaji. Ameuza zaidi ya albamu milioni 50 na amepokea tuzo kadhaa, ikiwa ni pamoja na Tuzo za BET Awards na Tuzo za MTV Europe Music Awards. Anamiliki kampuni yake ya rekodi, Starboy Entertainment, na anamiliki biashara kadhaa zingine, ikiwa ni pamoja na lebo ya nguo, kampuni ya uzalishaji wa filamu, na kampuni ya ujenzi. Wizkid pia anawekeza katika mali isiyohamishika na hisa. Anamiliki majumba kadhaa nchini Nigeria na Afrika Kusini, na anamiliki hisa katika kampuni kadhaa za kimataifa. Katika mwaka uliopita, Wizkid ameendelea kupata mafanikio makubwa katika kazi yake ya muziki. Ametoa albamu mbili za mafanikio makubwa, "Made in Lagos" na "More Love," na amefanya matamasha mengi duniani kote. Pia ameendelea kupanua biashara zake, na ameanzisha kampuni mpya ya vinywaji, Made in Lagos. Kwa kuzingatia mafanikio yake ya sasa, inawezekana kwamba utajiri wa Wizkid utaendelea kuongezeka katika miaka ijayo. Hapa kuna baadhi ya vyanzo vya utajiri wa Wizkid: * Muziki: Wizkid analipwa dola milioni kadhaa kila mwaka kwa matamasha, mauzo ya albamu, na matangazo. * Biashara: Wizkid anamiliki kampuni kadhaa, ikiwa ni pamoja na Starboy Entertainment, Made in Lagos Apparel, na Made in Lagos Drinks. * Uwekezaji: Wizkid anawekeza katika mali isiyohamishika, hisa, na biashara zingine.
@user-dl9cf1me8g
@user-dl9cf1me8g 4 месяца назад
😂😂
@user-yl5sx4ds9n
@user-yl5sx4ds9n 3 месяца назад
Mmh co kwa list hii
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 7 месяцев назад
Ahaha Vanny ana dollar 15M 😢
@user-ob1hl6yp3b
@user-ob1hl6yp3b 4 месяца назад
Wanalia njaa et matajili
@AnordvenustmeshackAnord
@AnordvenustmeshackAnord 19 дней назад
Mwamba anatudanganya live live
@user-vf2ct7sw8y
@user-vf2ct7sw8y 5 месяцев назад
Achauongo
@Farida-ee7kz
@Farida-ee7kz 3 месяца назад
Uongo marioo hana izo pesa
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 7 месяцев назад
Harmonize awe namba tatu ulisikia wapi
@MwakabanaCompanyltd
@MwakabanaCompanyltd 29 дней назад
Yaan haha mimi najiuliza kazitoa wp? 😊
@AbdoulAbdoul-zy3kz
@AbdoulAbdoul-zy3kz 13 дней назад
Anaye ista hili niyeye tu simba Diamond
@MrwinnerVerick
@MrwinnerVerick 2 месяца назад
Uongo auko sawa kabisa
@user-zo4ho9hy5j
@user-zo4ho9hy5j 7 месяцев назад
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 natoka congo
@FunnyAlpineVillage-se6wr
@FunnyAlpineVillage-se6wr 5 месяцев назад
Kwahy kama unatoka kongo
@user-vf2ct7sw8y
@user-vf2ct7sw8y 5 месяцев назад
Harmonize
@HappyBuffalo-bl2bj
@HappyBuffalo-bl2bj 6 месяцев назад
Ongeza yao lakn wawakumbuke maskn
@Vanesafaustine
@Vanesafaustine 28 дней назад
Acheni kutudanganya
@user-sl8vi8hs2f
@user-sl8vi8hs2f 5 месяцев назад
😮😮😮😮😮
@user-oc4hy9dz6h
@user-oc4hy9dz6h 7 месяцев назад
Hahahahha heti zuchu ana 10m niatar uongo hadi unakera labda milioni kumi za kitanzania ,,kwanza kwenye wasani maskini zuchu yumo maana kila kitu ananunuliwa na diamond
@user-nc4tj4gf3r
@user-nc4tj4gf3r 7 месяцев назад
Na pesa anazo nunuliwa ujue no za zuchu
Далее
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 4)
13:27
Просмотров 1,6 млн
Сумерки сасага🧛
11:41
Просмотров 1,2 млн
BABAYANGU KIPOFU Full episode /2/ /#love
25:07
Просмотров 497 тыс.
Yalan 1. Bölüm | Full Bölüm
2:17:04
Просмотров 7 млн
Artur Arakelyan - Ser Ka
3:02
Просмотров 666 тыс.
Shoxruxbek Ergashev - Alam ekan (Official Music)
4:37