Тёмный

Maswali matano utakayoulizwa siku ukitua airport ya marekani ) ukikosea hayo maswali, shida! 

Dnyota usa
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 94 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 555   
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Kama na ww umetamani msosi wa dola 15 kama mimi na unakubali kazi ya huyu jamaa,,piga likes za kutosha hapa
@bongeviwanja7341
@bongeviwanja7341 Год назад
Nakukubali
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Nakubali
@pickyryn6614
@pickyryn6614 Год назад
@@dnyotausa6154 Eti Bro kama unakuja kama mwanafunzi na una ndugu huko ndio unaenda kufikia kwake, wakiniuliza nafikia wapi nikisema kwa ndugu yangu nitakuwa nimezingua? Au natakiwa kusema nafikia Hostel za chuo?. Plz nisaidie hilo Bro🙏
@JaneChilufya-ty2rz
@JaneChilufya-ty2rz Год назад
Dula 🌟 naomba contact mjomba
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
@@JaneChilufya-ty2rz +15167783253 WhatsApp
@wakatv3704
@wakatv3704 Год назад
Kwa sisi tunao safiri tunaona umhimu wako ndugu.
@totodavis1949
@totodavis1949 Год назад
Mungu akubariki bro umenisaidia sana mimi naelekea marekani ila hilo sikulijua 🇰🇪🇰🇪 asande sana
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa karibu
@marykaaya6314
@marykaaya6314 Год назад
Ubarikiwe Sana. Natamani kuongea na wewe kupata visa. Naomba no yako ya simu
@mariedelarie873
@mariedelarie873 Месяц назад
Kaka naomba num yako ya sim nahitaji mualiko​@@dnyotausa6154
@daimakiganjani
@daimakiganjani Год назад
Shukrani Sana kaka. Kwamaana ndoto zetu kupambana sehemu ya uhakika wa kuishi 🙏🏾. KWA KUTUPA MAARIFA
@nassorhamadi
@nassorhamadi Год назад
Mwanba kweli hii elimu siyo ya kuipata bure. Shukran sana kwa elimu
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa
@dennuelamrcrown5810
@dennuelamrcrown5810 Год назад
Shukrani sana bwana D nyota,kazi safi nakupata toka Nairobi Kenya
@isikesamike
@isikesamike Год назад
Mungu akubariki sana @Dnyota usa. Umetisha sana bro, wachache sana wenye roho kama ya kwako.
@zainabumohamed8541
@zainabumohamed8541 Год назад
Uko vizuri sana kijana wangu mungu akujalie naomba namba Yako ili tuwasiliane Nina vijana wangu wanahitaji msaada wako
@obedshadrack896
@obedshadrack896 Год назад
Tuna kushukuru sana, tunathamini kazi yako, Asante bro Dnyota
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Poa karibu
@young26ix32
@young26ix32 Год назад
Thanks bro nime appreciate Sana bro from kenya
@mussabendera1751
@mussabendera1751 Год назад
Dullah star shukran sana will look for you when I get there inshaallah
@kickskamau2049
@kickskamau2049 3 месяца назад
Asante Bro kwa kazi mzuri.Mimi ni trucker hapa Kenya,sasa naomba unitatarichie visa tufanye kazi huko marekani.Asante.
@hermanlupogo5485
@hermanlupogo5485 Год назад
You are right!give us more time to learn!!Safi sana,endelea kutoa somo
@Boaz22
@Boaz22 Год назад
Bro,mi sitosahau nilizuiwa Doha nilikua transfer kuelekea Shanghai china, yaani ilibaki kidogo nirudishwe, issue ilikua form yangu moja ya z visa, kutoka kwa wachina walioniitia kazi ilikua tarehe ime expire, aisee, isingekua wachina kuongea na embassy ningerudishwa wallah, walinikaba mno,ila namshukuru Mungu nilifanikiwa
@freddysanga7538
@freddysanga7538 Месяц назад
kaka mi nashida na namba yako ya waspu
@noahmaxwell8522
@noahmaxwell8522 Год назад
Ongera sana bro kwa kazi zuri
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Год назад
Hapa hapa bongo sisi tunatoka tu, Us tutakuja kununua nyumba hata kumi mtaa mmoja, then tutaheshimiana tu, ila hongera sana broo, Mungu akubariki sana appreciate you.
@sylvesterfrancis6826
@sylvesterfrancis6826 2 месяца назад
Unaambiwa kama upo bongo unapambana mshahara unaingiza zaidi ya milioni 20 baki bongo furahia maisha lakini kama haupati hivyo toka uko magetoni haraka nenda majuu😂😂
@priscastevenvyagusa8169
@priscastevenvyagusa8169 Год назад
Mambo mazuri, keep it up. Umetusaidia sana.
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa pamoja
@MH-xu9nw
@MH-xu9nw Год назад
Mashallah Allah atakulipa kher
@asaadalbusaidi1870
@asaadalbusaidi1870 Год назад
Asante sana ,mungu akubariki
@shubbaantv4588
@shubbaantv4588 Год назад
Kaka kazi yako tunaikulai sana,kaka Mimi nataka kuishi pamanent resident marekani utanisaidiaje.
@wairimundichu5973
@wairimundichu5973 Год назад
Learning everyday... Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥂🥂🥂
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa karibu sana
@pastorisaacpius4993
@pastorisaacpius4993 6 месяцев назад
​@@dnyotausa6154namba zako za simu
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Год назад
Asante bro kwakutuelimisha
@ennamongi9812
@ennamongi9812 Год назад
Thank God blessed
@sulimanm6525
@sulimanm6525 Год назад
Broo pamoja sana mimi npo tanzania zanzibar ndio hom tuna kufaham vizuri brother
@salahkassim9729
@salahkassim9729 Год назад
Salute brother big up to u ... Safi sana
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Upo vzur, ahsante sana kuifahamisha jamii bila ubinafsi
@ZuwenaSinde-hj9qg
@ZuwenaSinde-hj9qg 10 месяцев назад
🤝🙏
@akeey2
@akeey2 2 месяца назад
Good job kijana
@kombohamad5615
@kombohamad5615 Год назад
Asante kwa umahiri wako Allah akupe nguvu
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Amen
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
Asante sana
@user-pj7ng8il4t
@user-pj7ng8il4t 7 месяцев назад
Good guy.... I appreciate you
@ustadhisimbula8622
@ustadhisimbula8622 Год назад
Shukraan brother unamoyo wakipekee sana na unapenda mafanikio ya watu
@rachelgodwin2086
@rachelgodwin2086 Год назад
Unaroho ya kipekee Sana Mungu akupe utajiri mkubwa watu watanufaika Sana kupitia ww 🙏 roho safi
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Asante
@asumaathuman6094
@asumaathuman6094 Год назад
Namm nmempenda sana mwaaa
@maptvnews6955
@maptvnews6955 Год назад
Kaka nakupataje contact zak
@FourTeen_Kiid
@FourTeen_Kiid Год назад
@@dnyotausa6154 ungetuwekea maswali yote na majibu yake kwenye description ingekua poa sana
@rafathealfa2237
@rafathealfa2237 Год назад
Sababu yenyewe ni kusema wew choko tu baasi,Simple and plain
@johnyagat973
@johnyagat973 Год назад
God bless you
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 Год назад
Asante Bro barikiwa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 Год назад
Mashaa Allah Allah akuhifadhi
@BOSSLADY3656
@BOSSLADY3656 Год назад
Hongera sana kaka ,,kwa mawaitha mazuri
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Asante
@bestshine6273
@bestshine6273 Год назад
Asante Brother
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e Год назад
Jazzak Allah kher broo.
@amindavid9347
@amindavid9347 Год назад
Am your new subscriber from kenya,big up bro,,,one day I'll check on you,cuz I have plans to relocate to LIVE & WORK IN THE USA
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Asante sana
@naythardarling1115
@naythardarling1115 Год назад
Shukrani kaka I'm on way to canada December
@davisminja3742
@davisminja3742 9 месяцев назад
Asante kwa maelezo ! Ila kuna vitu natamani uvipunguze kwa maelezo yako!
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Год назад
Asante kwa video zako nzuri na zenye mafunzo, nataka kujua kama huko marekani Kuna kazi na fursa kama unavyoelezea kwa nini kuna homeless na jobless ambao tunawaona wanaombaomba mi taani na kulala kwenye veranda za majumba?!
@gracesimon7473
@gracesimon7473 Год назад
Hao ni walio overstay pia baadhi yao wana makosa. Na hakuna atakaekubali kuajiri mtu mwenye makosa
@minaezekiel1972
@minaezekiel1972 Год назад
Asante Dulla star
@edwinacyril3611
@edwinacyril3611 Год назад
Safi kaka barikiwa sana tunataka kuja. Huko
@freddopeter
@freddopeter Год назад
Well understood kaka dula nyota💪🇺🇸🇹🇿🤍
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa sawa
@morogoromedia
@morogoromedia Год назад
Nakubali ma nyota
@mankaka3735
@mankaka3735 Год назад
Kweli kaka una roho ya kipekeee kabisaaa kaka
@saidikirito2970
@saidikirito2970 Год назад
Safi sana allah azidishe imani yako
@modrickicksjr2149
@modrickicksjr2149 Год назад
Bless you bro
@shalikaim-oc2jw
@shalikaim-oc2jw Год назад
God bless 🙏,,,nko na wewe,,,,
@hellenashely2167
@hellenashely2167 Год назад
Asante kaka ila hujatuambia tutakupataje
@ashimushi6894
@ashimushi6894 18 дней назад
Nakubali sana and i wish this Bruder
@user-wg1vf9bk1z
@user-wg1vf9bk1z 9 месяцев назад
Much respect and love At the same time
@manyuhawilson4201
@manyuhawilson4201 Год назад
UBARIKIWE SANA MWANETU UBARIKIWE MNO
@erigoals3323
@erigoals3323 Год назад
hongera sana mkubwa
@noellazaro763
@noellazaro763 Год назад
Bless up Rasta, haya madini nishida mzee.
@user-mv1ui4bb2f
@user-mv1ui4bb2f Год назад
Bless man
@avithfrancis1491
@avithfrancis1491 Год назад
Kaka nataman sana kufanya uo mchakato wa kupata visa,vp mpaka kutua hapo inaweza nicost kama kiasi gani cha pesa
@kingdbmrazoo6876
@kingdbmrazoo6876 Год назад
Siwezi kukulipa nikifika marekani nitakutafuta bro GOD bless your.
@kabletv
@kabletv Год назад
D star.... aminia
@user-gx1mn7ub5y
@user-gx1mn7ub5y 6 месяцев назад
Naenda kuka kwenye kitii😂😂😂😂😂😂 thank you
@kenfun
@kenfun Год назад
Mbona unakula kwa streets. Hivi hauulizwi ama
@annapeter6065
@annapeter6065 Год назад
Ubarikiwe sana bwana Abdul
@user-wg1vf9bk1z
@user-wg1vf9bk1z 9 месяцев назад
Dah mwanagu nakukubali Sana ❤
@mlionea
@mlionea Год назад
Nice video bro. Kitu kimoja nakukosoa .. usikule tena kwa RU-vid
@muranisalim3572
@muranisalim3572 Год назад
Ubarikiwe 🥰
@joycemalisa5703
@joycemalisa5703 Год назад
Asantee nimekuelewa sana shikrani
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa
@ezm
@ezm 4 месяца назад
Kazi Nzuri sana
@duncanlochukudi8111
@duncanlochukudi8111 Год назад
Kaka hongera sana kwa maneno yako
@hassanramatu1146
@hassanramatu1146 Год назад
Safi sana kak
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Asante sana mwamba🙏🙏🇹🇿
@vitymteysemere4777
@vitymteysemere4777 Год назад
Shukran sana kaka kwa elim
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa sawa
@kodackdeblack7982
@kodackdeblack7982 3 месяца назад
Love you D 💥💥💥💥💥 soon nakuja uko
@ninsiima.mariamu7035
@ninsiima.mariamu7035 Год назад
Hooooo Asante sana kaka
@jimmyangela5717
@jimmyangela5717 Год назад
Big up dulanyota
@allybulushi624
@allybulushi624 Год назад
Muungu akubarik broo
@khalidnibikora6924
@khalidnibikora6924 Год назад
Kazi safi bro big up sana.......ubarikiwe sana...alafu kaka kama haujuwi kingeleza kwa hayo maswali unaweza toboa??
@bwwm7914
@bwwm7914 Год назад
utajaribu uwezavyo
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 4 месяца назад
Umeeleweka vizuri mno
@mussachipeta297
@mussachipeta297 Год назад
Nakubalii kaka Kwa kuongeaa vizur sanaa
@allychamackyambi
@allychamackyambi Год назад
God bless you man mungu ndio wakukulipa 🙏🏿
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Asante
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 Год назад
Nasubiri uniungeee na u host mwanangu from Tz living Kenya
@aash4145
@aash4145 Год назад
Bora nimepata elimu kwako,,,, ili ikitokea safar, niwe makini
@kitalambobabloja8742
@kitalambobabloja8742 Год назад
Mweweeeeeee blessing bro
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Yap man
@danielmwakyagi9930
@danielmwakyagi9930 Год назад
Vip bro kama una green card maswali yanakua kama hayo hayo
@wilsonm.7376
@wilsonm.7376 Год назад
Asante sana dulla, somo zuri sana leo ingawa bado tupo bongo..
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa
@mdmahammad3278
@mdmahammad3278 Год назад
Thank you
@suleyhaji5313
@suleyhaji5313 Год назад
Kweli babu
@matunzojr4862
@matunzojr4862 Год назад
Nimeelewa sana mkuu najichanga sana nimevuka robo mpaka sasa broo lazima unilete huko one day
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa karibu
@dannymziwanda6944
@dannymziwanda6944 Год назад
Kizazi sana mzee
@ckotadani
@ckotadani Год назад
Yes man
@neemagodlisten2590
@neemagodlisten2590 Год назад
Aise wewe ni mtu mzuri sana
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 8 месяцев назад
Mkuu asante sana nime appreciate mambo uliyosema🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@johnmfuko4426
@johnmfuko4426 8 месяцев назад
Nakutafuta soon mambo mengi ya kunisaidia
@allyshomari7417
@allyshomari7417 9 месяцев назад
Respect mdogo wangu!!
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 2 месяца назад
Ahsante sana kaka
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Год назад
Kaka mungu akuweke umetupa elimu nzr wengine hawawez kutupa madini haya
@user-zo6wx9zt3p
@user-zo6wx9zt3p Год назад
Naomba jibu broo kama hujui english vp apo sasa maana ss wengine mungu hakutujalia kujua english
@prospermbwambo2265
@prospermbwambo2265 Год назад
Kaz nzur kaka nimekupata vizur
@A2ZTz
@A2ZTz Год назад
Safi mkali tisha sanaaa
@fahadsaid9616
@fahadsaid9616 Год назад
Big up Dulla
@Moris495
@Moris495 Год назад
Muhuni umetisha
@jafarikilima368
@jafarikilima368 Год назад
Umetisha mzeebaba saruti
@dnyotausa6154
@dnyotausa6154 Год назад
Sawa
@user-gx1mn7ub5y
@user-gx1mn7ub5y 6 месяцев назад
Hamuna haja ya kupita kuulizwa maswali ni kishuka na kimbia wakinishika na zimia na fulaha but thank you so much 😂😂😂😂😂😂😂
Далее
Jinsi ya kupata mzungu marekani
44:20
Просмотров 30 тыс.
APARTMENT YA DOLA MOJA MAREKANI (PART 2)
6:56
Просмотров 52 тыс.
Abari njema kwa wanaomba visa ya marekani
29:11
Просмотров 15 тыс.
Kazi kibao marekani kila aina
29:37
Просмотров 4,3 тыс.
Nyumba za kupanga marekani mjini NewYork
17:51
Просмотров 3,2 тыс.
Maswali Ya Interview Pale US Embassy
21:57
Просмотров 6 тыс.