Kama munavosema yesu alikufa akavishwa Sanda akazikwa. Mbona Nyinyi Wa Kristo mwavalishwa Suit na dress veil mukizikwa na sanduku?? Mwenda kinyyke na Yesu
Wewe hujui hata ukivishwa suti ya arusi lazima atavishwa sanda tu kwenye sanda wakristo lazima avishwe kwani wewe umeshawahi kuzika mkristo ukaona wanavishwa suti peke yake?