Тёмный

QURAN YAMPINGA DR. SULE KUHUSU SAYANSI, ATAKIWA ALIPE MILIONI 200 ALIZOAHIDI, VINGINEVYO.... 

BAYYINAT DM TV
Подписаться 39 тыс.
Просмотров 4,9 тыс.
50% 1

Wasomi mara nyingi wamemuonya Dr.Sule kuhusu kauli zake kwenye nyanja za Kisayansi. Mara hii ameongea mambo ambayo hata Quran imeyakataa. Ametakiwa alipe Milioni 200 alizoahidi

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 204   
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 месяца назад
Asante sana kwa somo zuri mwalimu
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 4 месяца назад
Ubarikiwe sana ndugu mtumishi. Umefafanua vizuri sana.
@samweljackson5754
@samweljackson5754 4 месяца назад
Asante sana mwalimu Daniel mwankemwa, tunakufutilia kutoka kongwa dodoma
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 4 месяца назад
Yani ubarikiwe sana jembe letu
@AkonkwaProductions
@AkonkwaProductions 4 месяца назад
Niko darasani mwalimu Mungu akubariki Sana
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 4 месяца назад
Sawa bikira za yesu. Wakorintho wapili 11:1
@AntonyManeno
@AntonyManeno 4 месяца назад
Mpe Elimu Huyo Sule Atoe Hio Pesa Kwa Kauli Yake Mwenyewe❤ Na Ukipea Uioshe Na Dam Ya YESU❤❤❤
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 месяца назад
Safi
@moseskusamba431
@moseskusamba431 4 месяца назад
Amen mtumishi
@DanyshazaMbeho
@DanyshazaMbeho 4 месяца назад
mwl Daniel mwankemwa wewe umejibu kweli ila sule inahitaji uwe na kiwango kidogo Cha kufikiri Ili mdio umuelewe Mungu akubariki Daniel
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Kitu ambacho Sule kapigwa chenga hakukielewa ni kwamba mwanga au Nuru ya Jua inatoka kwa Mungu mwenyewe. Mungu ndiyo alipa Jua nguvu/energy. Kwahiyo hiyo Nuru au mwanga ni Mungu ndiyo anayo, akaiweka kwenye Jua, na ana uwezo wa kuitoa kwenye Jua, likabaki halina nguvu yoyote kukawa na giza, kama alivyofanya kule misri kwa farao kwa siku tatu mfululizo. Alilinyang'anya Jua nguvu yake kukawa na giza. Kwahiyo mwanga au Nuru ndiyo vilitangulia kuumbwa kabla ya Jua. Sule anamhitaji Yesu Kristo avikwe nguvu za Roho mtakatifu apate uwezo wa kuyasoma na kuyatafsiri maandiko kwa usahihi
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 4 месяца назад
Mfundishe huyu jamaa anapotosha sana Sule anawapoteza wengi
@wasaficlassicshoes
@wasaficlassicshoes 4 месяца назад
NIPO DARASANI MWALIM
@rweyemamueustace4254
@rweyemamueustace4254 2 месяца назад
Mungu wa Biblia yupo juu sana kwa binadamu
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 4 месяца назад
Sule mnipe mm jmnnnnnn
@albertvalentino130
@albertvalentino130 4 месяца назад
Tatizo LA SULE,kwa habari ya Biblia ni bonge la maamuma,yaani ni mjinga kweli kweli --- na kwa bahati mbaya,maamuma wenzie wanamtukuuuuza,nayeye anajiona ansjuuuuwa,kumbe ni bonge la maama kuhusu maandiko na uweza wa Mungu --- huu ni msiba mkubwa kwa wasio jua neno la Mumgu --- Yesu alisema "... angalia ile nuru iliyomo ndani yako,ikiwa ni Giza,si giza hilo "
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 4 месяца назад
Mwalimu kalale
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Kama Kulikuwa na Mungu wa Makafiri/Mafarao wa Misri waliabudu Mungu Jus (Sun) je Wakristo mnapo abudu/mnapofanya Ibada Ibada Kuu ya Wiki/Jumaa ktk hiyo Siku ya Jua (Sun Day) je mnaazimisha/mnaabudu nini kama sio Kuendeleza Kuabudu Mungu Jua wa Makifiri/Mafarao wa Misri?
@happyfanuschamahanga7134
@happyfanuschamahanga7134 4 месяца назад
Dkt Sule anajua tofauti iliyopo kati nuru na mwanga?
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 4 месяца назад
POINTI YA NANE 👉 kuhusu 'Mbingu', Biblia inasema katika Ayubu, sura ya 26, Mstari wa 11, kwamba… ‘Nguzo za Mbingu zitatetemeka.’ Qur’an inasema katika Surah Luqman, sura ya 31, Mstari wa 10, kwamba… ‘Mbingu hazina nguzo zozote - Je! Hauoni? Huoni Mbingu hazina nguzo yoyote? - Bibilia inasema mbingu zina nguzo.
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
Sikiliza Danel.Soma historia. wala si yesu pekee alofufua. hata hiyo bibilia petro pia alifufua. lkn Daneli ivi wafikiri Mwenyezi akandike historia ya kuzaliwa Mtume Muhammad. amuandikie nani? Makuraish? Makuraish walimjua kuanzia kuzaliwa kwa babu zake, kuanzia Adnaa . Mungu hakuwa na sababu ya kuwaandikia historia yake. Na hilo ndi mjue Bibilia si neno la Mungu. kwa sababu Musa kazaliwa,wana wa Irael wanamuona, kapewa utume, kapambana na Farao wakiwa nyuma yake, kawakomboa, kaelekea nao Inchi ya ahadi, wakagoma kuingia, wakaadhibia kutangatanga jangwani miaka arobaini. Yote haya ni historia wameiishi wana wa Israeli.Kisha katokea mtu kaikusanya, mwtuambia ni maandishi Matakatifu. hivi Mungu awaandike watu historia yao wenyewe?hana ya kuandika?fumbue i macho.
@lilhydon452
@lilhydon452 4 месяца назад
Simple logic Mwalimu hata hapa kwetu mbona yapo kipindi Cha mvua zinakata siku mbili hamlioni jua ...
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 4 месяца назад
Hili zee njoo live kwenye mdahalo mbona unakimbia kimbia mzee
@moseskusamba431
@moseskusamba431 4 месяца назад
Mtumishi huyu sule ni mtupu mtaumiza Kichwa bure yeye anjuwa elimu ya majini na Pete angent wa shetani
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Mwana wa Adam ni Mtu/BinAdam yeyote alotokana na Uzawa wa Adam (awe Mwanaume/Mwanamke). Hivyo mwana wa Adam si Yesu/Mwana wa Maryam tu🙌
@GervasSospeter-vt3zi
@GervasSospeter-vt3zi 4 месяца назад
Waislam warishapotea kabra ya sure yaan sure anawamarizia
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 4 месяца назад
Sasa Kama unavyosema Daniel I mwankemwa KWAMBA halikutajwa juwa mbona hata Mwanza tunaambiwa nyoka NDIYE aliyemdanganya hawa hapatajwi ibilisi wala shetani !!!? Lakini mnasema aliyemdanganya hawa ni shetani wakati kitabu cha mwanzo kwenye bustani hakisemi hivyo kinasema nyoka?? Sasa SULE kusema juwa limeumbwa SIKU ya 4 nikutokana na bibilia inayotamka mwanga WA mchana umeubwa SIKU ya 4 na mwanga WA USIKU ambao ni mwezi mbona IPO wazi hapo ? Sasa unasema KUANZIA mstari WA kwanza hadi WA wata hakuna mahali palipotajwa juwa mm binafsi napata kigugumizi.unataka litajwe juwa MOJA KWA mojaja???
@clecam1
@clecam1 4 месяца назад
​​@@HamisAbdallah-cj2sc Sasa nyoka anaongea na wewe!! Hile ni lugha ya picha
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 4 месяца назад
Hili zee linawadanya wakristo wenzake kwasababu hawajui quraan
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Waambie wewe ukweli huo wa Quran
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 4 месяца назад
Kachoka kupambana na uislam
@AndersonNketa
@AndersonNketa 4 месяца назад
Hajachoka anapambana ili muweze kufahamu​@@rashidmohamed1949
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 4 месяца назад
Muujiza wa giza mahala mahala hata juzi mwezi wa April 8,2024 Kulitokea kupatwa kwa Juasehemu bwa za North America kulikus na giza kiasi kwamba hata wanyama/Ndege na wadidu walianza kurudi majumbani ,mwezi ukikaa kati ya Jua na Dunia lazima mahala flani kuwe na giza totoroo,na sehemu nyingine mwanga kama kawaida
@paulokaflete6557
@paulokaflete6557 4 месяца назад
Dk sure niwahovyo hajui
@jjtm164
@jjtm164 3 дня назад
Watu hujifanya wamesoma Revelation 21:23 And the city has no need of sun or moon, for the glory of God illuminates the city, and the Lamb is its light.
@profs.a5412
@profs.a5412 4 месяца назад
Kumbe sule hana akiliiii kweliii🤣
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Je, atakapo kuja Yesu itakuwa Muda/Saa hiyohiyo Kuondokewa/Kunyakuliwa kwenda Mbinguni kuhkmiwa hapatakuwa na Maisha ya Kuishi/Uhai Duniani?!
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 месяца назад
Hamna kitu hapo. Hiyo hoja huwezi kuijibu hata ungepewa miaka Mia.
@joramsengi9123
@joramsengi9123 4 месяца назад
Kachemka wapi ?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 месяца назад
Sule ni muongo ana potosha sana waislamu wasio jua ukweli wa vitabu
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 4 месяца назад
POINTI YA PILI👉 biblia inasema katika Mwanzo aya ya 1 namba 3 na 5,… 'Nuru iliundwa siku ya kwanza.'na katika Mwanzo, sura ya 1 Mstari wa 14 hadi 19… inasema na sababu ya mwanga - nyota na jua nk, iliundwa siku ya nne '. Je! Sababu ya nuru inawezaje kuundwa siku ya 4 - baadaye kuliko nuru iliyoanza kutokea siku ya kwanza? - hapo haijakaa kisayansi.
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 4 месяца назад
POINTI YA TISA 👉 sio tu Mbingu Zina nguzo lakini - Biblia inasema katika kitabu cha kwanza cha Samweli, sura ya 2 Na. 8, na vile vile kitabu cha Ayubu sura ya. 9, Mstari wa 6, na kitabu cha Zaburi sura ya. 75, Mstari wa 3, kwamba… ‘Hata dunia ina nguzo.’
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Mganga wa kienyeji Sule wafundishe maamuma wenzio kufuga majini,BIBLIA waachie wenye haja ya kwenda mbinguni
@favoritebrayo
@favoritebrayo 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂hii ni kali🤣🤣🤣
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 4 месяца назад
Huyo sule bado mtoto sana akanyonye ili akomae kiakiri
@EnyasiJohn
@EnyasiJohn 3 месяца назад
Siku ni Nuru na giza tu. Kazi ya Jua ni mwanga tosha kwa ajili ya uono wetu katika siku.; na tena na kazi za kisayasi mambo mengine mengi.
@profs.a5412
@profs.a5412 4 месяца назад
Huyo sule ni mganga anaye tumia majiniii huyoooo😂
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 4 месяца назад
POINTI YA NNE 👉 Mwanzo, sura namba 1 Mstari wa 9 hadi 13 inasema… ‘Dunia iliumbwa siku ya tatu.’ Mwanzo sura ya 1, 14 hadi 19 inasema… 'Jua na Mwezi viliumbwa siku ya nne.' Leo sayansi inatuambia ... 'Dunia ni sehemu ya mwili wa mzazi… jua.' Haiwezi kuwapo kabla ya jua - hapo.haijakaa kisayansi.
@roggerasili3089
@roggerasili3089 4 месяца назад
Sure sio anakosea! ni kwamba hajui na ajiui kama hajui. ila ye anajua anajua wakati hajui.
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
Kumbe Danel hujasoma Quran. kama Allah ndani ya Quran hajazungumzia hatma ya ulimwengu haya maisha ya dunia yatakua na maana gani? soma quran: 81,82 na 84. Na pia Isa (Yesu) kwa mujibu wa mafundisho ya uislaam atakuja atafanya majukumu yake kwa muda na atakufa aiache dunia yaendelea kama kawaida.
@PoulFred
@PoulFred 4 месяца назад
Dr wa majini huyu kusoma penyewe anahangaika tu kweli hili dk majini
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
Musa pia alirogwa.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Aya gani Musa alirogwa
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 4 месяца назад
Nuru ya jua nury ya mwexi mwalimu hujasoma vizuri rudi kusoma
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Haelewi Maana/Tafsiri ya Neno NUURU anajuwa NURU ni Kuangazia Kuona Kilichopo Gizani/Kisichoonekana tu kumbe Lugha ya Kiswahili ina Maneno Mengi Kwa Kutegemea lengo/Nia ya Mzungumzaji na Wanaomsikiliza/Kumfuata. Kiswahili Kimeazima Maneno kutoka ktk Kiarabu na Qura'an na ndo Utakuta Maneno ya Kiarabu/Qur'an hutafsirika Kwa KILUGHA na KISHERIA. Wakeisto wangefundisha na angeelewa Vema BIBLIA kama tu Wangetumia Lugha mama ya huo Ukristo na Biblia. Laakin kwavile Ukristo na Biblia ni vya Mchongo hivyo hupata shida Kutafsiri, Kufundisha/Kuelezea na Kutetea Uhalali wa Uwepo wake🙌😂😂😂
@albertvalentino130
@albertvalentino130 4 месяца назад
Tatizo la SULE ni ujinga ---- kuhusu Biblia,SULE ni maamuma kweli kweli,yaani ni mjinga aliyepitiliza ---- kwa bahati maamuma wenzie wa Biblia,wanamtukuuuuuuza kwa kumwona anajuuuuuwa,kumbe ni bonge la maamuma --- huu ni msiba mkubwa " wainalilah wainalilah rajuun "
@HassanAbdulhussein-mu6kb
@HassanAbdulhussein-mu6kb 4 месяца назад
Usiku na mchana mwanzo ulipatikana kwa NURU baadae JUA.That is bible.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Na mwisho wa dunia jua, mwezi na nyota zikitoweka tutabaki na nuru ile ya siku zile 3 za kwanza kabla ya jua
@emmanuelodiga9020
@emmanuelodiga9020 4 месяца назад
Mtumishi siku hizi sikuoni kwenye Midaalo
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Midahalo ipi? Ile ya mwisho nimeshiriki hujaziona video zake himu ya tarehe 1-2/6/2024?
@SamirOmary-qq2yn
@SamirOmary-qq2yn 4 месяца назад
Yesu alifufua mtu kwa idhini ya mungu
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Muhammad aliwahi kumfufua nani?
@hashirukitumbi6245
@hashirukitumbi6245 4 месяца назад
Musa na Ibrahim walimfufua nani?
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 4 месяца назад
Hawez jibu hapo​@@hashirukitumbi6245
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Neno NURU limegawanyika sehemu nyingi/maeneo Mengi itategemea na Tafsida/Muktadha tusidanganyane. lnaposemwa Qura'an ni Nuru, Uislamu ni Nuru, Mitume/Manabii-Mwana wa Maryam ni Nuru si kwamba Nuru hiyo eti ni Yesu la..🙌 Kuna NURU Mwangaza/Mwanga na NURU Mwongozo/Uzima (Uhai) wa Mja/Nafsi au Kitu Kufaulu/Kufanikiwa (Kuneemeka) kwa Kufuata Mwongozo wa Mungu
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
Someni Historia.si kazi ya qurani kuandika historia ya Mtume wala miujiza aloifanya. hayo yameandikwa na watu walioishi nae na walioambatana nae. someni historia.na vitabu mnavyo lkn mwajitia uziwi upofu.
@stevenmwakimi3731
@stevenmwakimi3731 4 месяца назад
SULE ANAZIDI KUCHANGANYIKIWA. INASIKITISHA SANA.
@msafirimlawa
@msafirimlawa 4 месяца назад
Dor aache kubishana na. Maañdiko ambayo hata babu take aliikuta.
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma 4 месяца назад
Akupe hizo milioni 200…kwa jinsi ambavyo umefafanua, hata mtu ambaye hajaenda shule anaweza akaelewa. Hicho kisa cha mapito kule Misri, huku kukawa giza na huku kukawa mwaga kwa mda wa siku tatu tena katika nchi moja; kimenifungua akilii na kuelewa kilichokuwa kinaendelea ndani ya zile siku tatu kabla ya jua na mwezi kuumbwa. Wewe ni mwalimu makini.
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 3 месяца назад
Dr sure siku nyingi huyo anapotosha watu yupo na mwenzake Mazinge Bible haidanganyi kitu, Hao wanapewa hela kupotosha watu wamedanganya sana ila mungu awasamehe
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 4 месяца назад
😅😅😅sure ni msomi kwenye vichwa vya waislam,kwa watu wengine ni kituko.
@StevenMtambo
@StevenMtambo 4 месяца назад
Nimekufuatilia mwanzo mwisho hakika nimekuelewa mtumishi ,,unachoongea kinaukweri sio mpotoshaji huyo ,,amebaki na misimamo ya upotoshaji tu
@joramsengi9123
@joramsengi9123 4 месяца назад
Muhammad anawazuga waislam tu kwa sababu haiwezekani aibuke tu bila kutabiriwa popote. Na amekuja miaka 600 ili waliokuwepo wakati wa Yesu wawe wameshakufa ndo mana watu wamedanganywa sana
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 4 месяца назад
Huyu jamaa anatamani awe mjuaji lakini ni ngumu kupambana na qurani wanasayansi wenye wamesarrender mbeye ya quran. Halafu huyu ni mpaka akachambue biblia hao kina sule wamemeza vitabu vyote. Live debate hawezi kwasababu ni mpaka akachambue ndo aweze kujibu.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Unawasema wanasayansi gani? Dr Maurice Bucaille aliyesema Quran inajichanganya kuhusu uumbaji wa mbingu na ardhi siyo mwanasayansi?
@roggerasili3089
@roggerasili3089 4 месяца назад
uongo au haujui kama haujui ni kwamba nuru sio Jua hata tochi,mwezi,nyota vinaleta nuru
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 4 месяца назад
Mjomba umechemka ,hujajibu hoja.
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 4 месяца назад
Ila wakristo nyie muogopeni mungu
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 4 месяца назад
Kwalipi?
@Punda284
@Punda284 4 месяца назад
Sule anachanganya kati ya mambo ya kiroho na shule,anachanganyikiwa.
@mwoso
@mwoso 4 месяца назад
Sidhani Sule atatokea na maelezo ya kupinga haya mafundisho. Au tuseme tu ni kiburi kitakua kinamsumbua
@mwoso
@mwoso 4 месяца назад
Amina
@eiddykenga5816
@eiddykenga5816 4 месяца назад
Ukristo ushirikina tu
@DDREATVISION
@DDREATVISION 3 месяца назад
Biblia nuru ya dunia
@frankmwakalinga7455
@frankmwakalinga7455 3 месяца назад
Elete million 200 yeye ndie mwongo akili ndogo haiwezi kudanganya akili kubwa😂 Sule umechemka
@patrickmuniu1862
@patrickmuniu1862 4 месяца назад
Juzi juzi sule aliitisha pesa kwa mitandao akisema apewe msaada kwa ajili ya kuandaa mjadala wake na ndacha sasa hizi milioni mia mbili atazitoa wapi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Kwa Swala la Kuwatumia Majini Dr. Sule Kachemka. Na ndoma Mtume Muhammad alisema anskhofia Wasomi watakuja ipoteza Dini ya Kiislamu Kwa Kuchomeka ya Uwongo/yao Binafsi (ya Ushirikina) Kwa Maslahi yao Binafsi. Ndomana Uislamu Unahimiza Kusoma/Elimu Ili Mja usipotezwe. Mtume Muhammad aliposema; "nakhofia Wasomi/Wana wa Zuoni watakuja Kuja ipoteza Dini. Na hakuwataja Wana wa Zuoni Kwa Majina yao Wala Utaifa wao/Nchi zao, Bali Wana wa Zuoni wa Popote Duniani, iwe Saudia, Tz nk.
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u 4 месяца назад
Quran yenyewe imehiba maneno kwa biblia . Quran ni kitabu cha ujinga sana tukija kwenye uhunbaji quran ina sema juwa huwa lina zama ndani ya maji kila mara liki shuka sasa juwa kweli lina shuka au ni dunia ina zunguuka . Tena Quran ina sema kwamba dunia nikama mkeka na milima ni mawe yaliyo wekwa kwaku support dunia isiruke. A upepo sasa watu wanao soma uho ujinga wana jifanya wana weza ku attack biblia kwenye sayansi kweli ? Kwanza biblia ime andikwa na mashahidi wengi ila quran ahina hata shaidi mjoja kwanza uthman ame unguzaga Quran nyingi sana sasa kitabu kama Icho ni cha ku amini?
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 4 месяца назад
Usiruke ruke mada?hakuna Mtu anayejuwa Pepo ipo katika location gani?
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Yesu anaijua na ndiye anayeiandaa hiyo pepo
@hashirukitumbi6245
@hashirukitumbi6245 4 месяца назад
Yesu hana anachokijua soma hapa Mathayo 24 36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.
@hashirukitumbi6245
@hashirukitumbi6245 4 месяца назад
Jibu hapo huyo mwana aliyetajwa hapo ambaye hana anachokijua n NANI huyo?
@zundaauson9894
@zundaauson9894 4 месяца назад
Neno ''NASI'' kwenye kitabu Cha Quran linawakilisha watu gani
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Wanasema ni lugha ya kujitukuza ya Allah
@graduationtv3072
@graduationtv3072 4 месяца назад
Hili neno halijibiwi miaka mia maana Mungu anajitukuza kwa kupitia utukufu wake siyo wingi nafsi au chochote na malaika akitumwa alete ujumbe lazim aseme allah ninasema au asema allah
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 4 месяца назад
Daniel kama mgonjwa hivi Macho yamemtoka Hajachangamka. Hii ni dalili sasa amechoka kupambana na UISLAM.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Macho yangu ndiyo mada ya somo hili?
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 4 месяца назад
Sasa ulitaka biblia ivitambue wakati koruan ndio imekopy na kupest baadhi ya maandiko kutoka kwenye biblia,nikuuluze dr uchwara sure,kati ya biblia na koruan kitabu kipi kilitangulia
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 4 месяца назад
Kama qur'an imekopi bibilia mbona haija nakili na makosa yaliopo kwenye bibilia? Qur' an imekuja kisadikisha yale yalokuwepo ktk taurat na injili maana vitabu hivyo mmeviharibu
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 4 месяца назад
Duh,umetoa macho kama vile unasisitiza majibu sahihi wakati ki sayansi bado unajichanganya mno,kwakuwa unasema baada ya kuumbwa Jua ndipo mwanga wa Jua ulipo wezesha Mwezi na Nyota zingine,Ukweli Daniel bado unajichanganya,na wewe hujui kabisa kama Jua ni Nyota ila unaamini Nyota zinapata nguvu yake kutika kwenye Jua wakati Nyota zooote ni Majua hivyo Jua nalo ni Nyota hakuna Nyota inayogawia nishati nyota nyenzie,hivyo si kweli kwamba Nyota zilipata au zinapata nguvu toka kwenye Jua ,na Kila Nyota uionayo nayo ina Solar system yake kwa maana inazo sayari zake na kuna Nyota zingine kubwa kuliko hata Jua naweza taja hata kwa Majina kama ilivyo kwa SUPERNOVA nk.
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 4 месяца назад
Umepotea wewe ndugu, njoo kwenye Nuru bado mapema
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Jua linapata nguvu yake kutoka wapi?
@stevesostenes1389
@stevesostenes1389 4 месяца назад
Mwalimu nenda mahakamani ukalipwe million 200 zako. Hawa vihelehele kama Sule wakulipe, By the way Sule ajiita Dr amesomea wapi ? Kama sio ujanja ujanja tu.... ?
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Tueleze na Mpangilio wa Kiinitete (Embryology) Kutoka Ktk Biblia kama Biblia ina Sayansi.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Sawa
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 4 месяца назад
Unalalamika2
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Hujipi muda wa kumsikiliza na kutafakari.
@rweyemamueustace4254
@rweyemamueustace4254 2 месяца назад
Sule huzo 200milion abaki nazo zisije zikawa ni za majini.
@Blessedboi8019
@Blessedboi8019 4 месяца назад
Funza sule kabisa. Sule hana Ufahamu
@petermgonja8547
@petermgonja8547 4 месяца назад
Sule n kizibo
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
Nikisima amekuja danieli na slley haijamaanisha aliekuja kwanza ni daniel akafuatilia sulley. inawezekana akawa alokuja kwanza ni sulley akafuatia daniel. hivyo hivyo, apo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. hakuna ushahidi wa kipi kilianzwa kuumbwa. Lkn pia jambo jingine unalotakiwa ulijue ni kuwa mbingu na ardhi si viumbe pekee vya Allah s.w. bado anaviumbe vingine, mfano:- Arshi,kursiyu,maji,lauh- mahfuudh(ubao),kalamu, pepo,moto n.k. unapo soma kwenye quran kuwa Allah ameumba mbingu na ardhi na vilivyomo kati yake..., haimaanishi kuwa hivyo ndio viumbe vya Allah tu basi, bali Allah anatuzungumzia hivyo kwa kuwa maisha kwa ujumla tunayaendesha humo.
@graduationtv3072
@graduationtv3072 4 месяца назад
Allah kaumba kwa kutamka au kuumbwa kwa kufinyanga udongo? Njoo utujibu
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
eleza wewe.
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 4 месяца назад
Jua ina nuru na mwezi inanuru
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Hiyo nuru vinaipata kutoka wapi?
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Kumbe Muhammad alilogwa akawa mwendawazimu? Sasa wanajuaje aya anazodai kupata wahai zilitoka kwa Mungu?
@khamishassan68
@khamishassan68 4 месяца назад
Jua ndio linaleta nuru (mwangaza)katika duniani hii bila ya jua hakuna siku.
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Hiyo ndiyo elimu ya Kiislamu ambayo haijui kwamba siku ya mwisho jua litatoweshwa, je mtabaki giza?
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
​@@BAYYINATDMTVSiku za Akhera tofauti na Siku za Duniani. Siku za Duniani hutegemea Kwa Nuru ya Mzunguuko wa Jua na Mwezi. Jua Lina Mwisho wake na ikifika Mwisho Jua litasimama/litatoweka na Kutakuwa Giza (Ishara za Kiyama/Mwisho wa Dunia) Kisha Mungu ataweka Nuru/Mwanga usotokana/usotegemea Jua. Mungu ametuwekea Jua na Mwezi kutokana Faida zitokanazo/zipatikanazo ktk Jua na Mwezi Kwaajili tu ya Kuishi ktk Dunia. Mfano baadhi ya Mimea na Shughuli zetu BinAdam/Viumbe Kwa hapa Duniani hutegemea Mwangaza wa Mwezi na Nishati/Mwangaza kutoka ktk Jua. Kwanza Kitakapo tokea Kitama hakutakuwepo na Mbingu na Ardhi Bali itakuwa Mazingira Mengine/Mapya tofauti na tunavyoona na tunavyoishi Duniani kwa Maumbile nk Mungu ni Mweza asiye wezwa.
@patrickmuniu1862
@patrickmuniu1862 4 месяца назад
Sasa sule je jua lisipochomoza ama wakati wa mvua ama mawingu yakitanda yazuie jua je mchana kutakua Giza mchana
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Jua lisipochomoza Haina Maana halipo/limezimika Kabisa Bali Kuna Mazingira yanayofanya Jua lisichomoze/lisiangaze/lisionekane
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Hoja Si Kujibu Bali Hoja Jibu liwe Sahihi.
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 4 месяца назад
Bado hujajibu
@issaabdallah7660
@issaabdallah7660 4 месяца назад
Qur'an ni kitabu pekee ambacho kimethibitishwa na fact za kisayansi na huo ndio muujiza Mtume muhaamad leo watu wanasoma qur'an wanashangaa fact hizi Muhammad alizijuaje na wakati huo hakukua na maemdeleo ya teknolojia kama hivi sasa wakristo tulizeni akili zenu mtafute ukweli sio kulishwa matango tu na kina daniel qu'an haina makosa yeyote yale ya kibinaadamu kam yalivyojaa kwenye bibilia watafiti wanasema bibilia ina makosa zaidi ya 50000
@lajumaofficial521
@lajumaofficial521 4 месяца назад
Mbona Sule na waislamu wanaisemea Quran na si kuisoma hiyo Quran walivyo wepesi kuisoma biblia? Angeonyesha ukweli wa Quran watu watofautishe. Wapinga Kristo ndo hawa
@tirox-hm7rh
@tirox-hm7rh 4 месяца назад
Mwalimu Daniel mwambie huyo Sure hata Yesu alifika duniani na sayansi ilikuwepo na wanasayansi pia walikuwepo. Mfano wa mwanasayansi maarufu naamini kama kasoma sekondari atakuwa anamfahamu na siyo mwingine ni Archimedis ambaye alikuwepo 215years before Christ
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 4 месяца назад
Nilipo okoka nilipata shida sana kuwaelimisha ndugu zangu kimwili na kiroho waisilam, kumbe natwanga maji kwenye kinu, hakuna mwisilam anayeweza kutofasili bibilia japo nikiswahili, na yesu nikapokea hiyo nuru yakristo nikapata nguvu kubwa, kumuelimisha mwisilam nisawa mtu unaongea vitendo kwa kipofu,
@OmariShuli
@OmariShuli 4 месяца назад
Lazima upate tabu. kwa sababu bibili haieleweki. na wakristo hutegemea nguvu za kishetani kisha wanadai wametokewa na roho mtakatifu,jambo ambalo ni uongo.leo ktk wahubiri kumi wa kikristo basi nane watakwambia wametokewa na roho wa bwana.Alianza mtume wao Paulo,
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 4 месяца назад
Utalawitiwa huko Rumi 1:27
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 4 месяца назад
Shekhe alisema kweli wabishi watajibu lakini mwenye elim hawezikujibu
@Shomariamuri1
@Shomariamuri1 4 месяца назад
Ninyi mmepotea ndugu yangu, kujeni kwenye Nuru bado mapema
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 4 месяца назад
Amesema hivyo ilikujilinda iliuongo wake usibainishwe tunaijua hiyo mbona nynyi mtu akiongelea quran hao mashehe wanajibu inamaana hawana elimu? Ukiona kajibiwa ujue hana hiyo elimu yabiblia
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Huna elimu wewe na Sule pia, kama unaona yuko sahihi, basi uwezo wenu wa kufikiri unafanana. Mna uwezo mdogo.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 месяца назад
​@@Shomariamuri1kwenye majini ndo unapotukaribisha Kwa mashetani?
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 4 месяца назад
Ukisoma biblia kwa jinsi ya Mwili waislam Mmmh , itawachanganya saana ,maana kwenye Biblia ni Unabii na utimilifu na bila kuelekezwa Mungu alikua anamaanisha nini hutoelewa kamwe inawezekana ata hivyo, Nuru alikua anamaanisha vingine kwa jinsi ya roho.
@aizzyashery5564
@aizzyashery5564 4 месяца назад
Million 200 anye wapi jmn au watamchangia
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 4 месяца назад
Yule sule tunamchukulia kama mlevi anasema anywi pombe uku anapika sijui anaonjaje.Mfuga majini.
@pascalvirgilio7208
@pascalvirgilio7208 4 месяца назад
Sule elimu hauna wewe jini mkubwa
@Motheking-ps2tl
@Motheking-ps2tl 4 месяца назад
Anaelimu kubwa sana
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 4 месяца назад
@@Motheking-ps2tl labda ya majini
@petermgonja8547
@petermgonja8547 4 месяца назад
Million 200 ataipaata wapi? Atabisha Tena kama juzi kwenye mdahalo.
@AmmarIssa-d8s
@AmmarIssa-d8s 4 месяца назад
Nimizikilize, maelezo ya danieli elimu Hana, njaatupu inamsumbua
@joycedimoso8648
@joycedimoso8648 4 месяца назад
Elezea wewe mwenye elimu sema wapi kakosea kisha urekebishe tujue ukweli
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 месяца назад
Tuambie unavyoelewa wewe
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 4 месяца назад
Toa hoja alipokosea ni wapi? Pengine wewe unaelimu zaidi ya hiyo tutakuelewa
@FarajaMtavangu
@FarajaMtavangu 4 месяца назад
ndo maana MUNGU sio mwanadamu angeniachia kiti sekunde tu ningesafisha huu uchafu unaochafua bible ila waislam tambueni kua biblia ilikuepo tangu kipindi Cha kina Moses takribani 4000 yrs a go then after Christ kupaa 500 yrs latter anazaliwa Mohammad then aje na kitabu sahihi kushinda bible aminini nawaambia msipoamoni mapema MTA amino akija na utukufu mwingi na maraika na Kwa kuwaumiza roho aliyekuja pale bustanini Kwa adamu ndiye huyu Yesu hata aliyempa mbao Moses ni Yesu baba hajawahi kuinuka patakatifu akaacha wale viumbe na wazee na malaika wanaabudu kiti Baba anaenda kazi kupitia mwanae nae ndiye neno
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 месяца назад
Shaiytwan/Ibilisi ameumbwa Siku nyingi tu je afuatwe?!
@yohana1242
@yohana1242 4 месяца назад
Acha kupotoa watu wee
@rweyemamueustace4254
@rweyemamueustace4254 2 месяца назад
Sule soma Kutoka6 ili umjue Mungu wa biblia ni nani baada ya kuisikiza voice ya mwalimu Daniel
@HamzaMakobanice
@HamzaMakobanice 4 месяца назад
Mpka utheme
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 месяца назад
Mpaka mseme nyie makafiri wa kiarabu mlizoea zamani wakristo walikuwa hawajibu hoja na sasa wakiristo wanajua kutoa hoja nzuri kuwashinda hao wahadhili waongo waongo kina sule na kina mazinge
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 4 месяца назад
Kumbe huyu mganga Sule ni punguwani hivi;nilikuwa nakuona mtu wa Ilimu kume Umi kabisa
@binaamour318
@binaamour318 4 месяца назад
Hakuna kafir yeyote anaeweza kucha lenji kur aan hajatokea wala hatatokea na aliejaribu ameshindwa hoja za kweli kama ww kur aan hamna hata mtu mmoja anaeweza kutoa mfano w kur an w unapiga kelele t!
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV 4 месяца назад
Quran inajua siku sita maana yake nini? Tuambie hapa
@user13375
@user13375 4 месяца назад
Unaposema kafir ,tayari ushajitambulisha akili ni ndogo,wenye elim huwa wastaarab, wajinga huwa na chuki ,kwanza uelewe bibilia na quran hupishana katika mambo mengi sana.
@user13375
@user13375 4 месяца назад
Kuwa na udugu na majini yatosha kukufanya kuwa na akili za chuki.😮😮
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 4 месяца назад
Unataka ulipwe wewe millioni 200 pesa za majini njoo na mdahalo si unakimbi kimbia!
Далее