Тёмный
No video :(

Mazishi ya Baba Mkwe Wa Kikwete Yawakutanisha Viongozi MbaliMbali Wa Vyama Tofauti 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 227 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 лет назад
Kwa kweli Mzee Lowassa Hata ukimwangalia tu kwa mwonekano ni Mtu mwenye busara na hekima, Mungu amlinde.
@manafikhatib9413
@manafikhatib9413 6 лет назад
INNA LILLAHI WA INNA ILLEIHI RAJIUN...... Mungu ailaze roho yake mahala pema kwenye wema. Amin
@SwahiliPrideBongoMovie2018
@SwahiliPrideBongoMovie2018 6 лет назад
PUMZIKA KWA AMAN, innalilahy wainaillahy rajiun ALLAH AKBAR
@raheemnanyakata3894
@raheemnanyakata3894 6 лет назад
Innallilah waina illaih rajiun.....faida za kuish na wtu vzr..jaman ndugu zangu waislam na wale wa dini zingine tuish na wtu vzr bila kujali wadhifa,cheo,au hali ulonayo.tujifunze kupitia matukio..sory kama kuna nilomkwaza
@abuuissa1642
@abuuissa1642 6 лет назад
Innallilah waina illaih rajiun Naam naona Al Akhy Halfani amejikita kwenye sunnah zaidi maa shaa Allah
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 лет назад
Mwenyeezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ammeen ammeen ammeen 🙏 🙏 🙏
@sweetlove9550
@sweetlove9550 6 лет назад
Rip babu ss tulikupenda lakini mola alikupenda zaidi m .mungu ailaze roho yake pema palipo na wema ameen
@nasrynasry4632
@nasrynasry4632 6 лет назад
Innalillah wainalillah raju'ni
@mtoroonetv9621
@mtoroonetv9621 6 лет назад
Nimechukizwa na muziki uliowekwa na hawa Clouds Media Group... Mmefeli sana kujua huyo ni wa dini gani...
@allyshafi4391
@allyshafi4391 2 года назад
M/mungu ampe kauli Tahiti 🤲
@hamzajusata6611
@hamzajusata6611 6 лет назад
Mbona mmeweka music Tofauti na kiislamu
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 лет назад
Poleni nyote mliofikwa na msiba huu poleni sana@kikwetes family mbele yake nyuma yetu
@abdallahfuad5085
@abdallahfuad5085 5 лет назад
the BGM doesn't embrace the context, kanisani hakupigwi qaswida please for the respect of the family, I believe this can be rectified. Inna lillahi wa inna illaihi rajuun.
@abubakariramadhani1372
@abubakariramadhani1372 5 лет назад
mungu awajarie sana Amina
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 лет назад
Poleni sana kwa msiba, Inalilahi wainaillahi radium.
@jumahory5249
@jumahory5249 6 лет назад
mh.jk. pole namsiba
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 6 лет назад
poleni ndg
@deogratiusmarwa8389
@deogratiusmarwa8389 6 лет назад
pole sana
@peterwilliam195
@peterwilliam195 6 лет назад
poleni sana
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 лет назад
innalilahy wainaillahy rajiun
@hadijadamumbaya5423
@hadijadamumbaya5423 6 лет назад
Poleni sana
@mussabuhondo6928
@mussabuhondo6928 5 лет назад
Huyo Kaka alobeba hapo mbele hutaki kuachia wenzie
@latifamanzi2903
@latifamanzi2903 6 лет назад
R.I.P Babu Ila huo muzik s mahala pake hapo
@femmyyakobo2116
@femmyyakobo2116 6 лет назад
poleni
@towardlearningsuccess4465
@towardlearningsuccess4465 6 лет назад
Please naomba mawasiliano ya kiongozi wa TV hii
@newagecommunications7258
@newagecommunications7258 6 лет назад
Pole zangu kwa familia ya Mzee wetu...
@dottohenry2794
@dottohenry2794 5 лет назад
poleni sana familia yote ya muheshimiwa j,m,kikwete
@franciskavyega280
@franciskavyega280 6 лет назад
Poleni
@kilamegroup2968
@kilamegroup2968 6 лет назад
Innalillah wainna ilaihi rajiun
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 года назад
Innalilah wanna ilah lajihun
@Zubaiba
@Zubaiba 6 месяцев назад
Innalillahi wainnalillah rajiun
@ahmedstza2900
@ahmedstza2900 6 лет назад
Ina lillah waina ilaih raajuun
@nigeriacultureandtradition8527
APUMZIKE KWA AMANI.
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 6 лет назад
Wala msililie jamani,mtakufuru.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Innalilah wainnailah Rajiun
@ibrahimenos4199
@ibrahimenos4199 6 лет назад
Amen
@nurdinismail8961
@nurdinismail8961 6 лет назад
Innalilah wainaillah rajuun
@abubakarmohamed8248
@abubakarmohamed8248 6 лет назад
Duuh mh.kikwete mudawote tabasabu kubwa hata akiwa msiban
@florakweyunga878
@florakweyunga878 6 лет назад
poleni,sana.kila mtu ataonja mauti.Mungu baba ampumzishe kwa Amani. Amen.
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 6 лет назад
Abubakar Mohamed kama dhinho
@abubakarmohamed8248
@abubakarmohamed8248 6 лет назад
Hahaa eti km dinho
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Bonyeza picha hii kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe uone mwanzo mwisho alichokifanya Lowasa kwenye mazish
@wemakalam9415
@wemakalam9415 6 лет назад
May his soul rest in peace ammeen
@cosmasngolomole6517
@cosmasngolomole6517 6 лет назад
Pole sana Mr kikwete kaz ya Mungu haina makosa
@jonasamos555
@jonasamos555 6 лет назад
Daaaa marehem ameondoka mapema sana
@allysondaudi3998
@allysondaudi3998 6 лет назад
Sote ni njia moja
@hurumasafari9799
@hurumasafari9799 6 лет назад
Allyson Daudi poleni sana
@starnewstvtv1126
@starnewstvtv1126 6 лет назад
Rip
@mbaroukkhaan9809
@mbaroukkhaan9809 6 лет назад
Clouds hapa mmechemsha sanaaa kwanin muweke music wakat marehem wakati msiba ni wakiislamu inamaana mmeshindwa kuweka hata qaswida za msiba za kiislami
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 6 лет назад
kwani waislamu wanamuhabudu nani??na wakristu wanamwabudu nani??? acha udini wimbo ni wimbo tuuu
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 6 лет назад
Hata hiyo inausiana na mungu
@cmsa1r
@cmsa1r 6 лет назад
mbarouk khaan tulia wewe. Duh. Stupid
@suzanamsagaty7137
@suzanamsagaty7137 5 лет назад
mbarouk khaan
@ubuyutv2577
@ubuyutv2577 6 лет назад
R. I. p
@mackdonardbaharia5699
@mackdonardbaharia5699 6 лет назад
R. I. P
@suleimanally3515
@suleimanally3515 6 лет назад
shehe wali
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 6 лет назад
RIP
@massaej6232
@massaej6232 6 лет назад
Dj Amani Tv online polen sana familia ya mzee wetu mstaafu
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 лет назад
Hivi huyu khalfan kikwete si ndio yule mtoto wa kikwete alietukana watanzania wapinzani baada ya uchaguzi 2015,.? Ndio maana namkubali JPM kichizi kuna watu nakumbuka waliona kama Tanzania ni mali yao binafsi sababu sio kwa dharau ile
@restymlale6003
@restymlale6003 6 лет назад
christmas machele ndio ninakubaliana nawe kuhusu hili. Juzi hapa kulikuwa na program kwenye TV huku arusha karibu na mbuga za wanyama. Hawa watu wamewauzia ardhi waarabu wa amerates. Wamasai wamenyang'anywa ardhi. Inasemekana familia hii! Imewauzia familia ya kifalme United Arab Emirates. Ila Wamasai wameishitaki serikali. Ninategemea Wamasai watarudishiwa ardhi yao!
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 лет назад
resty Mlale jamaa aliharibu nchi sana aliirahisisha ikawa kama nyanya mbovu sokoni
@yusuphmdadike8758
@yusuphmdadike8758 6 лет назад
christmas machele nyie vp ya msiba mnaingiza ya siasa yani nyie kila sehemu siasa tu nadilikeni nyinyi
@hassanmakamba7166
@hassanmakamba7166 6 лет назад
Ukiona mtu anapenda sana lawama sana ujue ana dalil za kufel maisha...huu ni msiba siyo sehemu ya kukosohoana pia hakuna binadamu mkamilifu pia kila mtu anabaya lake na zuri lake pia ndomana neno toba lipo kwenye kitabu ambacho hakina shaka ndani yake....
@ramsoramso9273
@ramsoramso9273 6 лет назад
christmas machele acheni unafki nyinyi afadhali ya jakaya lkn awamu hii ndio nchi lmeingia shimoni kabisa nyie mnaendelea kupiga makofi tu
@SwahiliPrideBongoMovie2018
@SwahiliPrideBongoMovie2018 6 лет назад
MBONA LOWASSA namuonea huruma sana yuko sawa kweli
Далее
MTOTO wa KIKWETE ATINGA MSIBANI kwa MEMBE
1:48
Просмотров 45 тыс.
BIG CHAWA FT MIRAJI KIKWETE P.O BOX MASAKI
1:14
Просмотров 17 тыс.