Тёмный

Mbona mnachukia nguruwe mkristo ahoji maswali yamwagwa kama mboga kimeeleweka ujumbe umefika 

Salim Daawah Kenya
Подписаться 49 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@janieali5521
@janieali5521 Месяц назад
MashaAllah walimu wetu kwa kuwatoa hao watu gizani mpaka waweze kumjuwa Mungu wa haki na wapekee.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Inn shaa Allah wataelewa tu
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk Месяц назад
Masha Allah Masheikh Kwailimu Yenu Kubwa Kwa Wezetu Wasio Waislam Allah Awaongoze
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen
@worldarmy3712
@worldarmy3712 Месяц назад
Mashallah nawapenda kwa jili ya allah mungu awahifadhi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen sote tuna kupenda sana kwa ajili ya Allah
@daawaonestreetassociation.5702
@daawaonestreetassociation.5702 Месяц назад
Amiin sisi wote tuombeane dua
@daawaonestreetassociation.5702
@daawaonestreetassociation.5702 Месяц назад
Support this group by subscribe in RU-vid channel name (daawa one street association)
@mahmudmugarura2175
@mahmudmugarura2175 Месяц назад
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
@Shilangadi
@Shilangadi Месяц назад
Asalam alaikum. . Kazi njema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
@AbdirashidmohamedNoor
@AbdirashidmohamedNoor Месяц назад
Mashaalah sheikh salim may Allah protect you
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen sote
@MahdiHassan-n6c
@MahdiHassan-n6c Месяц назад
Walaikum assalam warakmatullahi wabarakatu
@MashoAbdi-m6n
@MashoAbdi-m6n Месяц назад
Alhamdulilah Kwa neema ya uislamu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Alhamdulillah tunashukuru
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Месяц назад
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p Месяц назад
Ma sha Allah tabaraka Rahman. Kw kumuona walim wangu nampenda saaaana kw ajili y Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r Месяц назад
MashaAllah Allah awaongoze nyote inshaAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen sote
@minaniyasini7834
@minaniyasini7834 Месяц назад
Allah awape afya njema na subra wahadhiri wetu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Месяц назад
@@salimdaawah123 Assalaam aleykum warahmatullahi wabaraka.
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Месяц назад
@@salimdaawah123 Yani nikweli kabisa unacho waambia my shekhe, kuna chaneli nimeona hapo kenya wa na santayzi watu, yani maiti mochwari zinaingiliwa na kuna mituraa inauzwa hapo kenya ni matumbo ya binaadamu. Nilishangaa sana. Na mke wa huyo mtu alisema sikuzote akitaka kula hiyo muturaa mume anamkataza na anakua mkali haswa.
@isahbarasa
@isahbarasa Месяц назад
Kazi safi walimu
@Lil_Chain1
@Lil_Chain1 Месяц назад
Masha Allah nimependa sana diini yangu Allah awape meema hapo duniya na kesho aqera❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Месяц назад
Masha Allah sheikh salim ujumbe umefika
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
@@hassanmpemba5747 wataelewa tu inn shaa Allah
@bashirmahero7021
@bashirmahero7021 Месяц назад
Nilkua nmetegea sana mashaala nmepata
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Masha Allah
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 Месяц назад
Furaha kuwaona Tena walimu wetu alhamdulilah Neema ❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Alhamdulillah kwa neema ya uisilamu
@spinicahakama4500
@spinicahakama4500 Месяц назад
Salim anaelezea vizuri sana ❤❤❤, mashallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@nassorsaid3150
@nassorsaid3150 Месяц назад
Mashaallah
@AchimoRamadan
@AchimoRamadan Месяц назад
Wakristo viraza sawa wanapenda kutumia ujanja janjaa hakuna chochotee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
@@AchimoRamadan kawaida yao hawana hoja
@AishaTabi-e2z
@AishaTabi-e2z Месяц назад
Mashalla watu wengi mashalla Allah awape maisha marefu shekh😂❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen sote
@achangomaitambae1229
@achangomaitambae1229 Месяц назад
Allah awajazi kheri.huyo mzee kanimaliza.ajuwae siri ya maiti ni muosha.sijui imeingiliana vipi hapo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
@@achangomaitambae1229 hahaaaaaaa wakristo siunawaelewa
@estherwamaitha1006
@estherwamaitha1006 Месяц назад
Masha Allah KAZI zuri
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Alhamdulillah
@ahmedcaptain2347
@ahmedcaptain2347 Месяц назад
@AlhajiSaidi-uo8zl
@AlhajiSaidi-uo8zl Месяц назад
jazakallhu haira mashehe wetu2
@husha6372
@husha6372 Месяц назад
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu utafiti unsonyesha kuwa nguruwe hana Wivu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah shukuran kwa hayo
@everlynechepkoech5649
@everlynechepkoech5649 Месяц назад
Mashallah tabarkala...Good job
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Alhamdulillah
@daawaonestreetassociation.5702
@daawaonestreetassociation.5702 Месяц назад
MashaAllah Allah bless you all thinks inshaAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen all of us
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Месяц назад
Madrasa ni kiarabu kwa kiswahili ni chuo kwa kizungu ni school
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Masha Allah kwa ukumbusho huo
@fatumahamisi1604
@fatumahamisi1604 Месяц назад
Mashallah mashekh wetu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
@hassanalfan6941
@hassanalfan6941 24 дня назад
Ma sha ALLAH
@mamasiham9287
@mamasiham9287 Месяц назад
Mashaalah ❤
@josemu870
@josemu870 Месяц назад
Alllahhamdhulila barikiweni sana sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Aameen ameen ameen sote
@adanabdi5249
@adanabdi5249 Месяц назад
Sawa
@dominicwafula3997
@dominicwafula3997 Месяц назад
ASalam aleikum brothers, guess whos is cooking, Salim on the deck lazima waelewe 2 InshaAllah. Yani salim akishika mic 2 lazima kila kitu kichambuliwe sawa.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@suleymanali431
@suleymanali431 Месяц назад
mungu awape kheri huyu jamaa wa mwisho ni mkorofi kuropoka tu na kupoteza wakati uchochevu ndiyo ako naye hana elimu yeyote na anaonekana ni mlevi, hayuko timamu usimpe wakati ndiyo hawa wakristo sugu wenzake ndiyo wanashangilia. empty debe make noice hawana chochote kwa kichwa.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Kabisa wakristo ni mtihani sana Allah atupe subra
@Elybwayz
@Elybwayz Месяц назад
Mashaallah allah Akbar 🙏
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali Месяц назад
Wakristo kwa ubishi tu, Hamjambo, hadi mnakanusha yaliyomo ktk Biblia yenu ‼️🥱, ha,ha,haaa😂😂😂😂 *(KUMBUKA KWAMBA, ELIMU HAINA MWISHO, UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI TU)*
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk Месяц назад
Alhamdhulilah Kwa Nehema Ya Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Alhamdulillah
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Месяц назад
Hakuna jina ya Yesu hapa Ephesians3:9 na kuwaangaza watu wote wajue habari za madaraka ya siri hiyo, ambayo tangu zamani zote ilisitirika katika Mungu aliyeviumba vitu vyote;
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Wakristo hupenda kuongeza tu huyu mzee alikuwa amekuja kuvuruga sio kusoma
@nayef3903
@nayef3903 Месяц назад
Asalam aleykum hao jamaa wanaoleta mchezo na kuvuruga usiwaruhusu hapo huwa wanafanya kusudi hata wakiwa wakiuliza maswali wanamchezo. Yule aliyeruka ruka huwa ni mmoja wao wakataze uwambie kuwa hamupendi machezo.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 Месяц назад
Innalillah wainna ileihi rajiuun
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 Месяц назад
Wazee wa short cuts maneno ya kichwa tu na ushahidi hana .Musimruhusu huyo mzee tena.
@loner_wolf
@loner_wolf Месяц назад
Leo consumer kakuweza ustadh...... I mean huyu mzee wa mwisho .😢
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
@@loner_wolf huyu mzee hajui chochote ila anaongea tu
@254trends
@254trends Месяц назад
Asalam alekum maustadh wetu biblia ya sda iko inatwa good news bible nivile tu watu hawajajua inasema sabato ni jumamosi inaingizwa tu polepole
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh kumbe kila kanisa watakuwa na bibilia yao sasa
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 Месяц назад
Walahi ni ukuweli. Mombasa yote ni yako ukila mogaga easy explain
@nubianqueen6700
@nubianqueen6700 Месяц назад
Rubbubiyyah ndo shida kuelewa kwa hawa mandugu zetu.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Yeah ukweli kuelewa kwao ni matatizo
@loner_wolf
@loner_wolf Месяц назад
Sasa anaongea na walimu au anataka kusikilizwa wasikilizaji ? Mzee wa hivyo kweli .
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Месяц назад
Kawaida ya wakristo
@SimonNjau-yl7hg
@SimonNjau-yl7hg Месяц назад
Kuna andiko sipati ya Quran Mungu akisema dini hii ya uislamu ni dini yangu mimi ifuateni nami nasilimu 😊😊😊kunayo?????
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r Месяц назад
Malaika Gabriel ambaye die jibreel ametumwa na Mwenyenzi Mungu kwa mtume Mohammad saw kumwambia kuwa dini ya uisilamu ndio njia yake iliyonyooka Sasa shida iko wapi
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r Месяц назад
Silimu basi kwenye njia iliyonyooka
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni Месяц назад
Kwani uko ulipo ipo iyo andiko mungu alosema dini ya ukristo ni dini ya mlmungu?
@dulividuli5237
@dulividuli5237 Месяц назад
Kwanza tupe ww ilo andiko ndani ya Biblia liseme namna ivo maana hata ilo Neno Ukristo ndani ya Biblia nzma hamna
@SimonNjau-yl7hg
@SimonNjau-yl7hg Месяц назад
​@@dulividuli5237hakuna dini ya ukristo dini yetu kristo kwa hivyo mimi ni mkristo soma yahana 3:16 Na hii dini yenu ya ukristo sijui mnaitoa wapi 😂😂😂😂😂😂😂😂
Далее
Распаковка Monster High Potions #monsterhigh
01:00
Распаковка Monster High Potions #monsterhigh
01:00