Mbosso anazungumzia wimbo wake mpya #SinaNyota na jinsi unavyohusiana na maisha yake ya mahusiano, anaelezea ugonjwa wa kutetemeka mikono unaomtesa tangu alipokuwa mdogo na mwisho anafunguka kwa kirefu uhusiano wake na Marehemu Martha aliyefariki September 11, 2019, sintofahamu ya mtoto wao aitwaye Ibrah na jinsi alivyokuwa akimpenda
#ChillnaSky
13 сен 2020