Тёмный
No video :(

Mbosso: 'Naishi maisha yangu ya kawaida licha ya kuugua maradhi ya moyo' 

BBC News Swahili
Подписаться 615 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mwanamuziki wa kizazi kipya na mashuhuri sana nchini Tanzania Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kama @mbosso_ anasifika sana kwa muziki wake, maneno yakimtoka moyoni.
Lakini Mboso anaugua maradhi ya moyo. Hivi karibuni aligunduliwa na tatizo la moyo kwa jina arteriosclerosis, ambalo husababisha uchungu kifuani na pia mikono yake hutetemeka. Ni vipi basi hali yake ya afya imeathiri maisha yake ya kila siku hususan kama msanii.
Mwandishi wa BBC @saidaswaleh amekutana na msanii @mbosso_ Jijini Dar Es Salaam.
🎥: @frankmavura
#tanzania #bbcswahili #sanaa

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@jamsonkingz6498
@jamsonkingz6498 Год назад
Ila sioni haja ya kumsubirisha mtazania mwenzenu jamani, Hanna binadabu mwenye anaweza kujibadikisha ugonjwa jamani😭😭😭🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@munjy11tutorials
@munjy11tutorials Год назад
We mbosso khan hela zote unazotengeza unashindwa kwenda kwenda India au Switzerland au Germany ukapata matibabu ya uhakika na ukalimaliza hilo tatizo
@miriammwangi2254
@miriammwangi2254 Год назад
It's only heart transplant that can be done.... Hakuna tiba
@txmedia1228
@txmedia1228 Год назад
Pole mbosso
@BigZhumbe
@BigZhumbe Год назад
Pole sana Mhindi wa kusini
@howtomakeyotube
@howtomakeyotube Год назад
Duuh hizi dalili nimexiona Kwa mdogo wangu.
@husseinnassir3372
@husseinnassir3372 Год назад
huyu mtangazaji ni saida swaleh wa mombasa? amepotea sana
@sergenshimirimana-wf2uk
@sergenshimirimana-wf2uk 4 месяца назад
😢😢😢
@sergenshimirimana-wf2uk
@sergenshimirimana-wf2uk 3 месяца назад
😢
@aisha_mohammed5825
@aisha_mohammed5825 Год назад
Mbosso khani
@kendradamas8063
@kendradamas8063 Год назад
Pole sana mboso
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 Год назад
pif maji yamoto baad ykul nakabl ykul itakusaidia kuhem vzr
@erickabel6201
@erickabel6201 Год назад
🥰👈
@laj1699
@laj1699 Год назад
Huyu anatafuta kiki mpaka na marazi ya moyo. Unamarazi ya moyo na bibi za watu unajua kulala nao mpaka ukawazalisha mpuzi wewe.
@ryobasubeti3447
@ryobasubeti3447 Год назад
Ila sisi watanzania bhana
@backfordtengela7574
@backfordtengela7574 Год назад
Fala kweli maradh ya moyo ufanyi mapenz
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 Год назад
Akili Zako Yaani😂😂...Kwaio unatarajia maradhi ya moyo huzalishi kabisa🤣🤣
@sanchostylist...9719
@sanchostylist...9719 Год назад
@@backfordtengela7574 Daaaah😂😂
@jacksondinodmproduction2093
Mwenzako unamuita mpuhuzi aijakufikia na nyiye ndo mungu uwaga anapika pigo kweli pumbavu zako mungu akulahani na wewe unachekea marazi ya mwenzio fala kabisa wewe😂
Далее