Тёмный

MBOWE ATIKISA MOSHONO ARUSHA, AIVAA SERIKALI YA CCM | TANZANITE YAZUA BALAA |AZUNGUMZIA UKUTA WA JPM 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 178 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 3 месяца назад
Hongera sana kamanada wamewakaangia watoto wetu sumu ya elimu miaka msingi watoto wao wakalisha keki ya elimu nje na ndani ya nchi
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 3 месяца назад
Makala njoo ujibu hoja hapa
@hamissomary6869
@hamissomary6869 3 месяца назад
Tunakuelewa sanaaa baba"tumechoka na hyaa mambwa ya ccm
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 3 месяца назад
Mtachoka sana wapendwa!😂😂😂
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 3 месяца назад
Arusha wamenifurahisha
@VenassJoseph
@VenassJoseph 2 месяца назад
Sema mheshimiwa
@usafiaps318
@usafiaps318 2 месяца назад
Shikilieni Hayo Mnayoyasema.Iko Siku Nchi Punde Itakua Chini Yenu.Tumuombe Mungu Hili Litokee.
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 3 месяца назад
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
@shillabajumuzi
@shillabajumuzi 3 месяца назад
Ongera kamanda endelea kugusa elimu ilani iwe elimu elimu tupate somo la elimu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 3 месяца назад
Iko hivi watoto wa kasimu majaliwa viongozi wote.wa serekali wao wanasoma elimu mnchanyiko wa kingereza ya juu ila kwetu walikuwa elimu ili watoto wao watutawale kisultanj baba raisi mtoto raisi uongozi kifamilia ktk nchi yetu
@HamisLeo
@HamisLeo 3 месяца назад
Kweli kbx, ukienda mashulen ya private walimu ni wakenya. Pia tusome kiswahili hadi 4m4 wakati hukumu mahakaman hutolewa kwa kingereza, na miswaada bungeni hupitishwa kwa kingereza. Upuz kweli kupeleka mbunge wa lasaba bungeni
@ElishaOisso
@ElishaOisso 3 месяца назад
Arusha ni wanamabadiliko wa kweli
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 2 месяца назад
Nwenyekii wa kudum
@DavidKagulu
@DavidKagulu 3 месяца назад
Yani nikiliona jitu linasema Mimi ni ccm namwona tahira sana
@HumphreyNyiti
@HumphreyNyiti 2 месяца назад
Huyu mwamba sna akili sana
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Месяц назад
Viatu juu pesa hakuna
@evaemil856
@evaemil856 2 месяца назад
Du watu wanapiga miayo kuonyesha njaa, na wengi wamekunja nyuso kuonyesha maumivu ya maisha na hasira ya hali ngumu ya maisha na tax juu. Mali Ya serikali msichome, ni kuitoa CCM na Chama tawala kitakachokuja kitamiliki magari hayo na hizo nyumba. Magari mengi yatauzwa kwa wananchi kwa pesa halali kulingana na thamani ya gari.
@AllyMandunda-tj9jc
@AllyMandunda-tj9jc 3 месяца назад
YAANI WEWE MBOWE UNANIFURAHISHA SANA NA HOTUBA ZAKO, WAPE VIDONGE VYAO MACCM
@CharlesMwakajinga-r5d
@CharlesMwakajinga-r5d 3 месяца назад
Eti makonda atalipia maholi ya harusi wanatuona hatuna akili angesema atatupuguzia ugumu wa maisha tungemuelewa
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 3 месяца назад
Mifumo ya elimu yetu umetisoofisha halafu viongozi hawataki kufanya mabadiliko ila wanapeleka watoto wao kusoma shule za kiingreza mungu anawaona. Ukitaka kuwa taifa wanyime elimu bora
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 3 месяца назад
Mwamba Kazini
@jacksonmwakosha3655
@jacksonmwakosha3655 3 месяца назад
Wambie mweshimiwa mbowe make tuliopitia tunajuta sana lkn watanzania tunalingia kiswahili wakati tunaabika sana
@widimaelimushi
@widimaelimushi 3 месяца назад
Unaelimisha vizuri wajinga wengi hawaelewi Ni mbumbu.
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 3 месяца назад
Arusha mmeletewa makonda awapumbaze. Nyie watu muwe na akili.tuliwaamini sana watu wa Arusha kwa mabadiliko msituangushe. 2025 hakikisheni mnaisafisha arusha
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 3 месяца назад
Na anawapumbaza kweli!!!
@frankcharles3980
@frankcharles3980 3 месяца назад
CHAMA DUME CHAMA IMARA KABISA WANANCHI TUBADIRIKE TUSIWE MISYUKA
@mataypanga5262
@mataypanga5262 3 месяца назад
Kamati ya ukombozi au kusakaka majambazi wa Taifa?
@albertvalentino130
@albertvalentino130 3 месяца назад
Du watu wanatamani kulia.
@saidmwakasekela4589
@saidmwakasekela4589 3 месяца назад
Cff
Далее