Тёмный

MBUNGE ALLY KESSY AMSHAMBULIA MBUNGE MWENZAKE "UMEACHANA NA MUME WAKO BAADA YA KUPATA UBUNGE" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 июн 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Aliyesikia "Tulia tulia ww tulia nikupasheee ujui chochote" hahahahhahhahah
@ameknews2315
@ameknews2315 4 года назад
Ndugu zangu wa Tanzania ninaomba katika uchaguzi wa 2020 tunapotaka kuchagua viongozi naomba tuangalie nani atakuwa muwakilishi sahihi kwetu sio tuangalie chama iwe Ccm, Chadema,Act,Nccr mageuzi,Ads ila tuangalie nan sahii kwa kuweza kutetea na kuweza kuwasilisha kero zetu katika bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Ahsante
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 4 года назад
Poa poa ni kweli tuangalie watu sahihi na siyo watu wanaofanya mipasho Bunge gani sasa hili???
@yusrahkeissy9202
@yusrahkeissy9202 4 года назад
Mpe ukwel wake hyoooo mh keissy kiboko
@jamaa2760
@jamaa2760 4 года назад
"Kapata Ubunge kamwacha Mume"
@vitalischarles2714
@vitalischarles2714 4 года назад
Mh..Raisi funga hili Bunge Maana limepoteza dira... personal matter zinageuzwa ajenda kweliii😭😭 Mh Ndungai muogope Mungu..unakera Sana brother
@albertlokoya7937
@albertlokoya7937 4 года назад
Tatizo ni kiti cha spika ndio kinacho ruhusu huu uropakaji. Nawasihi wabunge wachague mtu sahii kwenye bunge linalokuja
@novesnuhunathan6105
@novesnuhunathan6105 11 месяцев назад
Huyoo dada untill now n mbungee...kessy yeye aliukosaa😂😂😂😂
@solemba595
@solemba595 4 года назад
Kwa aina hii ya uwakilishaji, Tutamiss Sana Bunge la Speed and Standards, R.I.P mzee Samueli Sita...
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 года назад
Kiboko ya nyumbu wazush ni babu kessy hapendag ujinga
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 3 года назад
Hili ni Bunge la nyuma kabla ya uchaguzi, Hapa waliofeli ni kessy mwenyewe au pamoja na Speaker Ndugai.
@amanimgaya9623
@amanimgaya9623 4 года назад
Kessy Kama kessy😂😂😂
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 4 года назад
Wenyekiti mlinyaga hangalieni munako ipeleka nchi hii
@YamunguYb
@YamunguYb 4 года назад
Hahahaha Kesi kama Kesi Du!!
@amotowntz6381
@amotowntz6381 4 года назад
Ndugai muogope MUNGU ndugu yangu, Usilewe madaraka kumbuka MUNGU ndio speaker mkuu
@salimliemba3458
@salimliemba3458 4 года назад
Dada kaingia cha kiume chezea kessy kamaliza kila kitu
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 года назад
Hahahah bunge letu ni tamu sanaaaaa
@leonardmanyanza1058
@leonardmanyanza1058 4 года назад
Kuhusu bunge lisiwe live hii ndo maana yake
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 4 года назад
Hahaha jamn mmi ni raia wa nkasi kusini lakin naungana na kesi kwa asimia 50% kwa mabadiliko aliyo yafanya nkas kaskazini kiukwel tunatamani Wana nksi ata awe mbunge wa nkasi yote kaskazini na kusin maana kusini hatuna mbuge🤣😋
@robertterry8909
@robertterry8909 4 года назад
safi
@kishimbamusic5116
@kishimbamusic5116 4 года назад
Duh! Hatariiiii
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 года назад
Dahhhhh yaani spika Hana double standards kabsa inaonesha anapenda sana wasema ovyo kuliko wasemwa ovyo
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 2 года назад
Aiseee tumetoka mbali sana
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 4 года назад
Yaan mh kessy jamn uchelewi kutoa povu
@activestudios.
@activestudios. 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣TULIA NIKUPASHE UJUI CHOCHOTE
@ommyrevocatus5765
@ommyrevocatus5765 4 года назад
Utaratib mh
@valeriaveda7519
@valeriaveda7519 3 года назад
Jaman kessy nimekumis kwa mipasho😂😂😂😂
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 года назад
Mtajuana wenyewe
@alphageorge5563
@alphageorge5563 4 года назад
Ndugai kama sheikh Kipozeo
@aishasmoni5881
@aishasmoni5881 4 года назад
Naam
@johariismail2646
@johariismail2646 4 года назад
SPEAKER ANGALIA KAULI HIZI ZINAGHAFIRISHA WATU.. 😭 Bunge linatoka kwenye mipaka na Kuwa mipashoo
@stanleycharles6102
@stanleycharles6102 3 года назад
Kweli Mmekutana🙆
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Huyu kessy ni mwehu!!!
@sabinashabani9742
@sabinashabani9742 4 года назад
Umemuonamwehu we ndo hazinamo kabisa acha wapewevindoge vyao 😂😂😂😂😂 hata sipika kasema wameyataka wenyeweeeeeee
@jeremiadaudi5780
@jeremiadaudi5780 4 года назад
Injin 9 ndo nini?
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 4 года назад
Mungu anawaona lakini
@adammjomba1554
@adammjomba1554 4 года назад
Wewe ndungai umesha kua mzee ni wakati wako wa kutenda haki unawadhulumu sana sana wapinzani hususani wabunge wa chadema hawachangii chochote dk 10 wanazo ongea hata DK 3 hazifiki mara miongozo mara Vile mars DK zako zimeisha ,wewe mzee acha dhuluma ,wewe ni binadamu tenda haki kesho kiama ,yuke mdada Dr Tulia ana afadhali sana Na watu wa mbeya wengi wao ni wapole Na wadini , Mimi yuke m Dada Dr Tulia simjui lakini sura yake anaonesha ana dini Na hofu ya Ahlla sio job ndungai yupo mkali Kali sana Na dhuluma kibao kamdhulumu tundulisu hofu yangu mimi amesha kua mzee Sasa atatubu lini ?kwa Ahlla, ,
@stevenngussa9334
@stevenngussa9334 6 месяцев назад
Ndio maana hakajarudi bungeni haka kazee, shenxi type
@revocatusgervas3450
@revocatusgervas3450 4 года назад
Kesy ni habari nyingine kabisa
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 4 года назад
Hahaaaa anataka kushindana na kesi?
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 4 года назад
Ehhh....Sio kwa kusutana huko😂😂😂
@hajihaji6351
@hajihaji6351 4 года назад
Hawa wabunge hawana tena cha kujadili wamalize tu watokee
@nazmaabdullkarim8022
@nazmaabdullkarim8022 4 года назад
Watajuana kwakwel
@frolasanga457
@frolasanga457 3 года назад
jamani kapata ubunge kaacha mume..mh!!! inasikitisha sana..loo!!
@tanzaniayetu6973
@tanzaniayetu6973 4 года назад
Daaah hili bunge lisiende kwa uzalilishaji wanamna hii,wanawake watakosa confidence yakueleza mambo yamsingi,alafu utaona tofauti ya mabunge ya wasomi na hawa std7,akili ndogo inaendesha kubwa Katiba ibadilishwe kama huna degree hakuna ubunge
@OmanOman-gc1zu
@OmanOman-gc1zu 4 года назад
hawa wanakuj kupiga soga au ni bunge😂😂😂😂
@shabaazbikorwa2580
@shabaazbikorwa2580 4 года назад
Spika hauko fair ipo siku utakuja kupata matatizo utakapo toka madarakani usiwi na double standards unapo simamia bunge
@peterjohn1969
@peterjohn1969 4 года назад
Mueshimiwa kesi safisana ao wamama walioacha waumezao wasikuzoee kwaajili ya ubunge wasikuzoee wakazie makahaba wanataka kushindana wanawanaume
@stanleycharles6102
@stanleycharles6102 3 года назад
Basi kapata Moto wa huyo aliyemtukana
@stanleycharles6102
@stanleycharles6102 3 года назад
Mzee Ndugani umeona Politics? Somo umeelewa wewe sasa
@anuarabdullrahman5993
@anuarabdullrahman5993 3 года назад
Sema huyu mzee anazingua point zake pumba sometimes
@teddymassawe3061
@teddymassawe3061 3 года назад
😁😁😁
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 4 года назад
Huyu hafai uwa anaongea hovyo kweli hana ustaarabu
@amanimgaya9623
@amanimgaya9623 4 года назад
Hahhaaaa nikupasheeee😂😂😂🙈
@santielapareso9296
@santielapareso9296 3 года назад
😂😂tuliaaa nikupashee kidg hujui kituuu
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 4 года назад
Huyo ni mwanao
@tumaininerei5948
@tumaininerei5948 4 года назад
Kila jambo na wakati wake.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 года назад
Hili aunge linakoelekea ni matatizo
@peterjohn1969
@peterjohn1969 4 года назад
Ndugai chapa kazi usiangalie makelele yawatu wewe angalia hoja niyakweli au la wengine muachie mueshimiwa kesi amalizanenao
@dullahdullah5499
@dullahdullah5499 4 года назад
Mipasho
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 3 года назад
😹🤣🤣
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 4 года назад
Hahahha...inatosha
@cazoramahussein1998
@cazoramahussein1998 4 года назад
et nd spika wa bunge yan anafanya kampen hapohapo math**r F**k
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 3 года назад
🤣
@godiegodie1336
@godiegodie1336 4 года назад
Huu mzee anachobo kaa dem vile
Далее
BALAA MBUNGE KESSY NA MSIGWA LEO BUNGENI
9:25
Просмотров 53 тыс.
Ne jamais regarder une fille à la plage 😂
00:10
Просмотров 385 тыс.
would you eat this? #shorts
00:23
Просмотров 1,2 млн
Kithure Kindiki: This is my Net worth
2:02
KIMENUKA: Wabunge Nusura Wavaane Kisa Waziri Mwijage!
11:48
Inside Mark Zuckerberg's AI Era | The Circuit
24:02
Просмотров 1,3 млн
Ne jamais regarder une fille à la plage 😂
00:10
Просмотров 385 тыс.