Тёмный

WATANZANIA WABUNI GARI INAYOTUMIA UMEME UDSM "TUMEANZA KUUNDA GARI YA POLISI AMBULANCE ITAFATA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 341   
@bertinruvuna4756
@bertinruvuna4756 10 месяцев назад
Hongereni sana UDSM, hii gari ni nzuri kwa ukweli!Hamuwezi kuweka solar energy upande wa juu ili ichaji battery kwani jua tunalo la kutosha na gari hii inaweza kutembea umbali mkubwa.
@emmanuelmwalukasa6002
@emmanuelmwalukasa6002 Год назад
Hongereni sana ma-injinia wetu. Kazi yenu ni nzuri sana na ya kutia moyo. Naomba Mungu awaongezee ubunifu katika kuboresha gari hilo kwa matumizi yenye manufaa kwa taifa letu. Watanzania tumebarikiwa na Mungu hivyo tujiamini, tunaweza. Mtu ye yote asiwakatishe tamaa, ushindi ni wetu. Songa mbele. Hayo ndio maendeleo. Tunaomba "support" ya nguvu toka mamlaka za juu nchini kwa maendeleo endelevu ya teknolojia hiyo.
@KuwakuMalumba6895
@KuwakuMalumba6895 Год назад
We need more Car 🚗 like this in Burundi 🇧🇮 please guys make more Car 🚗 like this. We come to buy to u guys in Tanzania 🇹🇿 but make strong 💪🏿 Car 🚗 we can use for long time. Keep try u best guys. I hope everything gonna be fine in future. Let go back to work now🇧🇮🇹🇿🚗💪🏿
@mugishapanther
@mugishapanther Год назад
Tanzania number one guy nipeni like zangu
@dr.alexmagufwa9131
@dr.alexmagufwa9131 Год назад
Hongereni sana!, Hiyo ni hatua kubwa sana ktk kujitegemea. I'm really proud of you guys.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Год назад
Hongereni sana UDSM, hii ni sifa na heshima kubwa kwa taifa letu. Nadhani Wizara husika ina cha kufanya ili kuhakikisha ugunduzi huu unaenda kimataifa. Mimi naamini wanaweza kutengeneza gari ya kutumia umeme kwa ajili ya safari ndefu tuachane na unyanyasaji wa mafuta ya waarabu. Kudos UDSM👏👏
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 Год назад
utakua na chuki binafsi t waarabu ww huna lolote...
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM Год назад
Serikali hii ndio itakuwa ya kwanza kupiga marufuku. Serikali ya Tanzania inaua vipaji vya watanzania. Watafute UDSM na gari lao baada ya miaka 2. Utaambiwa wanafanya maboresho ya mifumo. Na huo ndio utakuwa mwisho.
@user-yr9ii6tc3c
@user-yr9ii6tc3c Год назад
Hapo sawa
@MrMachume
@MrMachume Год назад
Watu wengi kinachowasumbua ni ujinga na kutojitambua. Kama wewe hujawahi kugundua au kutengeneza chochote unawezaje kuanza kukosoa elimu hii kubwa ya kutengeneza magari kisa bodi? hujitambui wewe, na ukiwa hivyo ndani yako halikai neno jema, kazi yako ni kutafuta mabaya usiku na mchana. MUNGU akusaidie sana.
@stevensamwel4854
@stevensamwel4854 13 дней назад
Tz Tunakwenda mbele, ongera sana kwa kufikiri.
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Год назад
UDSM hongereni sana huwo mundo wa gari ni mzuri sana hasa wa Gofu 🏌️ hata kwa watalii hao wanao ponda wancheni tu ndio wabongo
@cmantz8837
@cmantz8837 Год назад
Nikweli kako poa
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 Год назад
hyo gari nimeipenda ila ongezeni kitu cha ziada kwamba. Hiyo gari fanyeni iweze kujichaji. wakati unaendesha mfumo wa tairi ufungwe mota zenye kuchaji battery ya pili (emergency), kwa maana baada ya KM hizo 100 battery iwe full,,, shirikisheni ideas za wadau
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 Год назад
Hii idea nzuri waifikirie
@lungusii
@lungusii Год назад
Ukiongeza uzito kwenye tires uta create another issue kwa mimi kucharge lazima uchaji kama ilivyo kawaida
@deustibalema9426
@deustibalema9426 Год назад
Hili haliwezekani, linapingana na principles za physics na engineering.
@stainlesseducators699
@stainlesseducators699 Год назад
Utakuwa umeviolet principle of conservation of energy. Energy can't be created.
@otmarmkali8883
@otmarmkali8883 Год назад
@@stainlesseducators699 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-93NXHr3fxpo.html
@husnasalim9614
@husnasalim9614 3 месяца назад
Tanzania 🇹🇿 tunaweza Allah kuza vipaji vya ndugu zetu ❤❤
@BLESED-CHANNEL
@BLESED-CHANNEL Год назад
UDSM hongereni sana kwa hatua hiyo ila swali masudi kipanya wa clouds alitengeneza gali ninyi nayi mmetengeneza gali je hakuna anaye weza kutengeneza baskeli za kuchaji maana tunahitaji baskeli kwaajili ya mizunguko ya hapa dar es saalam naomba mtutengenezee baskeli za kuchaji.
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Год назад
Hongereni kwa assembling nzuri...
@tanzaniahabarleotv1424
@tanzaniahabarleotv1424 Год назад
Hongera sana. Ukwel tuseme ivi ni lini watatengeneza gar la mtaan huu ujinga tumeuchoka. Injinia mzimaa leten Gari sio vifaaa vya gari vilivyoungana watu wanunue ivi sura hiyo nan atainunua 😔😔😔😑😑 kiberiti
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Год назад
Safi sana kazi nzuri
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Hongereni saana, Elon Musk wanamuona Genius Kwa ajili magari yake ya Tesla, naomba Hawa Wataalam wawezeshwe kabla hajachukuliwa na Nchi nyingine, Kwa hakika hata Kagame anaweza wachukua , naomba wawezeshwe kweli tutafika mbali
@emmanuelburchard3153
@emmanuelburchard3153 Год назад
Hongereni sana UDSM. Mmelianzisha mlimalize. Msikate tamaa.
@user-pc6gp3xr5l
@user-pc6gp3xr5l Год назад
hongereni sana kaka MUNGU awtumie katika iyo program mahali ambako TANZANIA tunaenda watakuja kupiga saluti kwa huyu MUNGU wetu aliye hai MUNGU AWBARIKI
@rulangwa
@rulangwa Год назад
It is a very good golf car i love it
@emmanuelherman-pb9dx
@emmanuelherman-pb9dx Год назад
Mpo vizuri hata royc rolls iliaza hivi hivi hongereni
@nicholauslema2707
@nicholauslema2707 Год назад
Hongereni sana kwa Jitihada za Namna hii. Maoni yangu ni hv, Kuhusu Charging Process/Charging system ni Vema mkachagua Kufunga Solar Panels na MPPT Solar Controller ili Battery iwe inacharge During the Day. Na ikiwezekana Muweke Multiple Batteries( e.g 12v 200Ah × 2). TumeElewana? Au tukutane niwape Madini zaidi...
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Год назад
Fact
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Год назад
Wakutafute
@ekiintertrade4862
@ekiintertrade4862 Год назад
Hongereni sana kwa ugunduzi, huo ni ugunduzi wa gari hilo lenu. Wengine nao wamegundua magari yao, ugunduzi si wa mtu mmoja tu wa gunduzi ni wengi kadiri ya kila aina ya gari. Bigup sanaa.
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 Год назад
kazi nzuri sana ,,,
@yesuyuhaipectv9176
@yesuyuhaipectv9176 Год назад
Lo! Mungu awainue zaidi, hata wenzetu walianza gari lilikuwa na tairi za chuma.Mimi Askofu Nkundwe Zebadiah Mwakatage.Ninawapongeza sana saan.Hata Body mlivyo ibuni kwa mara ya kwanza nimeipenda hiyo gari itakuwa na soko sana kwenye matukio.Isaya 41:6-7 inasema wakasaidiana kila mmoja akaisifia kazi ya mwenzake akaifanya kwa usitadi
@georgemarwa6359
@georgemarwa6359 Год назад
Much respects
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Год назад
Hongereni udsm,hongera Tanzania yangu
@ammoody8130
@ammoody8130 4 месяца назад
Maashallah Maashallah Maashallah
@mbwanamtessa8607
@mbwanamtessa8607 Год назад
Nime penda kazi ni nzuri sana. Lakini nina maoni, kwanini ktk mfumo wa umeme wasinge dizaini mfumo wa umeme gari likitembea liwe linajichaji lenyewe ili chaji isihishe.
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 Год назад
Hapo maana yake watengeneze gari za huduma za jamii
@musicschool_tz7014
@musicschool_tz7014 Год назад
@@Mr_smart.code_10 unamaanisha wataikosesha tanesco pesa
@barakahtwinzi8927
@barakahtwinzi8927 Год назад
Hongereni sana udsm mmefanikisha hakika hii nzuri watanzania tusapotii hii juhudi ya wagunduzi wetu
@mclee493
@mclee493 Год назад
I wish dr samia suluh hassan hili ulipatie. Kipaumbele kama mpira nas tuwe na vyetu tanzania naipenda nchi yangu
@cimpleweston6327
@cimpleweston6327 Год назад
ongeleni sana kazi nzuri
@petrondunguru6069
@petrondunguru6069 12 дней назад
That is very good.
@phoncechriss
@phoncechriss Год назад
Big up for good work UDSM
@msafirimatingo6065
@msafirimatingo6065 Год назад
Saf sana watanzania,nimeipenda San,Mungu aikumbuke Tanzania,gar zetu ni zetu tu shepu ya gar haitupi shida huo ni mwanzo tu naamin mazr yanakuja mbele,go on brother.
@swamituisihaka2552
@swamituisihaka2552 Год назад
MaashaAllah! Pongezi kwao.
@FrankThomasTillya
@FrankThomasTillya Год назад
Big up, Binafsi ningependa kuona wakitumia body ziliotengenezwa tayari, hakuna haja ya kudesign wala kutengeneza body mpya, zipo nyingi tayari sokoni, na mifumo mingine tayari inameet safety standards, muhimu ni electric motor part na efficiency
@anthonysindabaha7517
@anthonysindabaha7517 Год назад
Kuna Haja kubwa sana ya kudesign kuliko kutumia body ambayo ipo on market Hao TDC wanafanya innovations kupata idea mbali mbali..
@ibrahimmakonyola4905
@ibrahimmakonyola4905 Год назад
Safi san kk
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Woohf big up Sana 💪 kwenu
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Год назад
Serikali iingilie kati na kuwasaidia hawa ndugu waendelee zaidi kutengeneza magari kama haya. Hongera sana vijana.
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Год назад
Safi kabisa Yani mh rais awashike mkono mtengeneze mengi zaidi
@abdalahsambala6667
@abdalahsambala6667 Год назад
Kanzi nzuri hapa next time ni kuboresha kweny body na interior desighn kuleta muonekano mzuri
@user-pi6rk4mc2q
@user-pi6rk4mc2q Год назад
Bravoooo bravoooo Mungu azidi kutenda
@protasmichael2660
@protasmichael2660 Год назад
Hongera sana nitaleta range langu mniwekee mfumo wa umeme
@ibrahimmzungu3849
@ibrahimmzungu3849 Год назад
Hongereni sana
@ahmetmwandu8499
@ahmetmwandu8499 Год назад
Hongeren sana ni hatua nzuri
@gadiosmangana.
@gadiosmangana. Год назад
Hongereni Sana aisee,msisikilize wakatisha tamaaa keep going,big up.
@hojameleka6624
@hojameleka6624 Год назад
Kazi nzr sana mliyofanya
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 Год назад
Ongera sana aisee mungu ibatiki Tanzania kwangu mm nashukuru hata kwa icho kidogo angalau.
@marojumamugha3062
@marojumamugha3062 Год назад
Hongera sana kiukwel nimefurahia jins Tanzania inavyozidi kupiga hatua
@travelwithme14
@travelwithme14 Год назад
Hongera kwenu vp kuhusu kp Motors
@sifaelpyuza3422
@sifaelpyuza3422 Год назад
Good keep on
@jamesmichaely8646
@jamesmichaely8646 Год назад
Hongereni Sana Kwa Hatua Mulio Fikia Ila Kwenye Chaji Mnaweza Kutengeneza System ya Kuchaji better Kama Gar Zingine hyo Itakuwa Bora Zaidi Na Hicho Kitu Kinawezekana Bc
@denismtonyole5965
@denismtonyole5965 Год назад
Nimeipenda sana hiyo project mloifanya oky sasa naomba mwendelee kutoa vifaa vya kuuza kwa kila mtu kwa beinafuu mtapata mafanikio makubwa sana hususani kuanzia pikipiki mpaka hayo magari mambo mingine fanyeni utafiti kuanzia MOTA na BATTRY vitengenezwe hapa hapa tz ili vifaa hivyo tupate kwa bei tunayoimudu wa tz na nchi jirani asnteni Mungu awabariki sana.
@revocatuskato9474
@revocatuskato9474 9 месяцев назад
hii ndiyo maana halisi ya elimu ya juu,hongera sana
@gozbertmahenge-gz6no
@gozbertmahenge-gz6no Год назад
hongereni Sana siomda mtabuni mabehewa ya SGR mkovizur
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 Год назад
Safi sana mpo vizuri Tanzania Up
@raismalingumutz8473
@raismalingumutz8473 Год назад
Vizuri Sana watanzania
@maningulubinza7453
@maningulubinza7453 Год назад
Good job
@devotaijumba8332
@devotaijumba8332 Год назад
Big up
@anthonymgina2253
@anthonymgina2253 Год назад
Safi Sana, mnaeshimisha Chuo.
@casmirymagonya548
@casmirymagonya548 Год назад
Mwanzo mzuri, hongereni sana UDSM
@husseinlatifa1443
@husseinlatifa1443 Год назад
Ninaiona kesho nzuri ya Tanzania, hongereni sana
@hebronkilimanjaro6724
@hebronkilimanjaro6724 Год назад
Good Job 👍
@modestbartholomew1731
@modestbartholomew1731 Год назад
Mkiwezeshwa mnaweza,mbona Uganda wametengeneza Marcopolo bus.Mwanzo Mzuri hongera sana.
@sabbob574
@sabbob574 Год назад
Hii gari ina speed gani?
@johnb.j.m206
@johnb.j.m206 Год назад
Hongereni sana UDSM. Haya mambo ndiyo tunapenda tupate wabunifu toka vyuo vyetu. Pamoja na mafanikio hayo nawashauri muelekeze nguvu kutumia teknologia ya microchip badala ya kutumia nyaya.
@KawezaSeleman-zs6ng
@KawezaSeleman-zs6ng Год назад
Mmetisha pambaneni mnaweza
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Год назад
Hongera bongo sihami nilikuwa nampango wakuhama
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 Год назад
Mko vzr hongereni Sana Tena sanaaa
@leverimlaki5667
@leverimlaki5667 Год назад
Nitahitaji gari moja.
@Goodluck-uf5um
@Goodluck-uf5um Год назад
Very good hii ndio tanzania
@rofinkitali3765
@rofinkitali3765 Год назад
Tafuteni katika kumbukumbu za Kitivo cha Uhandisi hapo UDSM. Gari ya kwanza ya umeme ilitengezwa hapo UDSM miaka ya sabini.
@hamadsalimhamad2399
@hamadsalimhamad2399 Год назад
hongereni sana sana tunataka tanzania mpya, naomba namba zenu za mawasiliano nina kitu cha kuboresha hiyo gari.
@HajiHamisi-cg6kc
@HajiHamisi-cg6kc Год назад
hii nimeipenda sana hongera sana
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Год назад
Nzuri!!! hii itabeba wachezaji waliyopata majeruhi
@HighzackMichael
@HighzackMichael Год назад
All the best UDSM home of intellectuals......2015- 2018
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 Год назад
Duh! 2009 - 2012
@ismailahmed8728
@ismailahmed8728 Год назад
Kwa huku ulaya ni kama electric scooter 25,30,50km but tz comes up golf 100km or more good start msisahau nyingine kupeleka katika viwanja vya mpira kwa mkapa couse is look like uwanjani itapendeza piya airport na mahotelini all the best
@gershommaloda5248
@gershommaloda5248 Год назад
Hongereni Udsm kwa kuweza kutengeneza aina hii ya gari. Hata hivyo nafikiri Mhandis unafahamu kuwa gari zitumiazo nishati ya umeme zimekuwa Sokoni kule Ulaya kwa miaka sasa. Kuita mmebuni gari ya kutumia umeme nafikiri sentensi haijakaa sawa ! Tafadhali mtuweke sawa hapo ili jamii iende sawa nanyi tafadhali.
@rasheedabby2871
@rasheedabby2871 Год назад
Kazi Nzuri sana Wakuu
@luagampugusi8389
@luagampugusi8389 Год назад
Jitihada mzuri sana wataalamu kutoka kitivo cha maarifa🎉🎉,ombi langu ni muunge nguvu pamoja na kaka Masoud Kipanya na wale wa NIT team kulifanya swala kuwa endelevu.Pia naomba kufahamu haya wataalamu 1.Siku za mvua inatembea hii? 2.Inabeba uzito usiozidi kiasi gani kwa injini iliyopo? 3.Inaweza kwenda kwa speed gani ya juu zaid ikiwa na uzito wa juu wa kikomo kubeba?
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Год назад
I support the big work they are doing , Mungu awainue zaidi , Safi sana pambaneni . Mungu afungue njia , Tusibeze kazi ya mtu , Let's promote this to go further .ni vile tu tumekosa watu wenye Ari ya kuleta mabadiliko
@christianngao5608
@christianngao5608 Год назад
Good
@MeshakiSaidi
@MeshakiSaidi 3 месяца назад
Nimekuku bari mungu agusaidiye usonge mbere
@elwinmlaponi1084
@elwinmlaponi1084 Год назад
MUNGU ibariki Tanzania
@mtekelechapemba5501
@mtekelechapemba5501 Год назад
UDSM hakika hongereni sana sana. Kama serikali ingewaongezea capital ya kueleweka naamini historia kubwa itatengenezwa na UDSM. Magufuli angekuwepo basi hii project ingesongabele sana.
@kherikhamis1913
@kherikhamis1913 Год назад
TZ , mbele daima
@odamssanga9025
@odamssanga9025 Год назад
Kwa kweli mbaka hapa, itaonekana Elimu inamaana, sio MTU anasoma Hadi chuo kikuu Ila anaishia kuuza nyanya, kwa kweli kwa hapa hata sisi ambaye hatujasoma Basi tunahamasika kusoma na kuwasomesha WATOTO wetu, kwa kweli Ni hatua nzuri Sana Sana sanaaaa! Anayekosoa huyo ndiye ambaye hawezi kitu, kwa ujumla wenye MAMLAKA mliunge mkono Hilo Jambo, bila kuogopa wakuu wenu wa Dunia. Amen.
@bulunjamalimikulwa4876
@bulunjamalimikulwa4876 Год назад
Changamoto yetu kubwa sisi hua tunatengeneza vitu vingi sana, panapokuja kuleta ugumu ni bei. Niliwahi kujiuliza kwenye vitu vidogovidogo kama mafuta ya kupikia ya singida (ALIZETI) yanatoka kwetu hapa hapa na ukizingatia japo sio kwa umuhim kiwanda tulikua nacho karib na tulipokua tukiishi lakn bei ya mafuta ikawa juu kwa asilimia 14.29% kwa lita ukilinganisha na mafuta ya safi. Nachanganyikiwa nisielewe n nn shida hapo, duh! Mambo ya ajabu sana.
@joycemetili3876
@joycemetili3876 Год назад
Bulunja, hata huoni ugunduzi, juhudi na mafanikio ya watanzania wenzako?!! At least wape pongezi then mengine baadae
@petrowashale1891
@petrowashale1891 Год назад
Yuko sawa wengi wamepongeza ye ACHA akosoe kwenye ukweliii unajua mataifa ya wenzetu kwasababu bidhaa zinatengenezwa home gharama sio kubwa mfano magari Kuna nchi Hadi znaweka restrictions kwambaa asubuhii wafanyakazi watumie magari ya umma na sio magari Yao kupunguxa folen .. LAKINI KWA TANZANIA GHARAMA INATOKANA NA KWAMBA VITU VINGI HATUTENGENEZI NYUMBANI.. TUNAUNGANISHA VITU AMBAVYO TUNANUNUA NJE.. HAPO NDIO CHANGAMOTO ZINAPOZALIWA
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 Год назад
Izo ishu ni kutokana na Kodi kubwa kutoka Serikalini kwaiy mwisho w cku mweny bidhaa atatak kufidia kodi yake kwa kufanya bidhaa yake iwe ghali ...
@englebertfilbert316
@englebertfilbert316 Год назад
Kuna dogo alitengeneza helicopter ......aliishia wapi....mwingine radio station ....aliishia wapi
@tanzaniahabarleotv1424
@tanzaniahabarleotv1424 Год назад
Kaka. Ni Bora watengeze gari zuri kwa bei wanayotaka huenda akapatikana mteja sasa gari la gofu kaka gofu mtu akishinda au kushidwa unajua? Ivi anaelimu Gani huyu jamaaa?Bora masudi kipanya
@martinisadru9899
@martinisadru9899 Год назад
Mimi nimewapenda sana hao vijana, natamani sana ikawe mladi endelevu, ili kuepukana na magari ya mafuta,
@huseeinramadhani8121
@huseeinramadhani8121 Год назад
Safi sana kaka
@bestmilltz7071
@bestmilltz7071 Год назад
Bravo
@primeprinting948
@primeprinting948 Год назад
safi sana inaweza tumika town vizuri tu
@bakermusa9033
@bakermusa9033 Год назад
Hongera japo mmenichanganya tu kwenye frog light .hiyo ni ya UD pekee
@johnsalem8236
@johnsalem8236 Год назад
Imekaaa powa sana hiyo big up kwa wanaume hao waloingia kazini
@ezekielgwamaka9998
@ezekielgwamaka9998 Год назад
Hongereni sana hii ndio tz ya kisasa elimu kwa vitendo na maendeleo ya kweli
@saidimohamedimgotomgoto979
@saidimohamedimgotomgoto979 Год назад
Safi sana
@ahmedalshaibany
@ahmedalshaibany Год назад
Hii sasa ni gari, congrats
@msomaliwilliam
@msomaliwilliam Год назад
Mimi nimelipenda Sana hiyo gari inauzwa bei gani. Pia nawapa ongera sana
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 Год назад
Safi Sana ! inatembea km ngapi na chaji ikiisha uko njiani inakuaje
@lucyluhaga783
@lucyluhaga783 Год назад
Kazi nzuri lakini Sasa mmeunganisha2 vitu vya watu..jaribuni namna nyingine
@simonmwashambela3233
@simonmwashambela3233 Год назад
Tupende vya kwetu aijalishi vimeunganishwa saw lakin wamejalibu na wanaweza sna
@georgenyasudi4060
@georgenyasudi4060 Год назад
This is very encouraging. But why make an ugly car even if it's for trial?
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 Год назад
Hongera sana sio wengine wamekalia umbea na majungu na uchawi na roho mbaya. Ila ona Tz uwa hawathamini hao watu utasikia Wazungu wamemchukua yuko kwao anaunda magari . Kuna wabunifu wengi ila Serikali ya mavi kunuka haiwathaminin, ndio maana mimi niliamua nijiondokee mavi kunuka nije Ughaibuni nitumie ujuzi wangu kwa watu wanaothamini ujuzi wangu .
Далее
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
Просмотров 13 тыс.